Mm nashukuru sana kwa somo lako zuri maana nazidi Kubadika nlikua mtu wa kulalamika sana na iyo tabia ya kuamini kua mtu ananizalau hasa mdogo angu akiongea akimaliza tu mimi namuambia haya bhana we nizalau tu aisee nimepokea kitu kikubwa kutoka kwako asante sana brother
Wazo zuli sana nimelipenda kalibu tuzungumze vizuli tunaweza japo kuunda japo kundi dogo la watu japo10 and then tuone tunavyo weza kubadilishana uzoefu
Leo bro nachangia kwa mara ya Kwanza nimekuelewa Sana ezden may Allah akuzidishie.. natamani kua na rafiki kama wewe nikupende kwa ajili ya Mungu.Maana ukiwa na rafiki muuza utuli basi na wewe utanukia.maana pia napenda kusoma vitabu lakini nakua mzito.nnakitabu kimoja nimenza mda lakini sikimalizi cha Robert Schuller.tough time never end but tough people do
BIG UP BROTHER HUWA NAKUSIKILIZAA KWA SAUTII YA MWISHOO NISIPOFUNGUA SAUTII MPK MWISHOO NAHIS KM SITAKUELEWA BLESSED BROTHER nmecoment kwa herufi. kubwa
I am being entertained with da lesson my brother. Guess what ? I am going through such situation of incompatibility but I handle this. You know we speakers are philosophers and Psychologist. Nice job Thank you.#Ramadhan Mkuga. TH-cam @MKUGA LIVE.
Hapo 11:30 yani uwiiii umenigusa kunajiran yangu flan yeye hajali kabisa misimamo ya wengine yani mfano anaweza mwaga maji aliyooshea samaki uwanjani akiambiwa 'si ukamwage huko shimoni' jaman kaka ezden atakuja juu huyo 'Mniache jamani shombo tu imekuwa shida sasa ningemwaga mavi ingekuwaje si mngeniamisha mtaa mwisho anamalizia mnajiona wasaafi eti "usafi huyo kwiyo". Ngoja niongeze sauti nipo nae hapa kibarazani asikie.
Yani kaka Ezden somo lilopita na hili leo Ukweli ni komesho tangu nimeaza kukufuatilia Mana kuna baadhi yetu kuachana na mtu asie endana nae ni kama dhambi hadi anakuja kugundua kuwa hakuwa mtu sahihi uzee anao na kashapoteza fursa nyingi Jazzakallah kher
Asalam aleykum! Nashukuru sana kwa darasa kaka pia nimefurah kwa kuwepo point kwenye screen mana inatusaidia sana ambao huwa tunakaa na madaftar na kalam mezani Mi naomba uwekaji wa point kwenye screen iwe endelevu
Saf sana
Hongera Sana kaka mafundisho yako yanatujenga na kutuimarisha sehemu kubwa ya ufahamu wetu
Nashukuru sana na karibu sana
Allah akuzidishiye xna na uzidi kutu elimishia.katik uwislamu tuna sema jazaaka Allahu khira.
Ahsante Sana jaman maana umenisaidia kutambua udhaifu Wangu barikiwe sana
Somo hili Lina ukweli 100% shukran Sana
asante sana , ninarafiki na tunafanya kazi moja ila tunapishana kwenyematumizi ya muda, nashkuru umenifundisha cha kufanya.
Mm nashukuru sana kwa somo lako zuri maana nazidi Kubadika nlikua mtu wa kulalamika sana na iyo tabia ya kuamini kua mtu ananizalau hasa mdogo angu akiongea akimaliza tu mimi namuambia haya bhana we nizalau tu aisee nimepokea kitu kikubwa kutoka kwako asante sana brother
Pole sana
Asante sana bro kwa madini unayotupa
That's good lesson bro, thank you.
Natamn tuungane wote tunaonglia masomo yako tuunde Darasa ili tufundishwe zaidi maaana wew ni💪
Wazo zuli sana nimelipenda kalibu tuzungumze vizuli tunaweza japo kuunda japo kundi dogo la watu japo10 and then tuone tunavyo weza kubadilishana uzoefu
It's very helpful thank you my Brother Ezden be blessed 🙏🙏
Pamoja sana kaka
Mashallah mchango wamafanikio yangu uooshauri wako
Nafurahi sana mafundisho yako nafatiria kila ukiyatoa
Thenks my bradha 😍😍adi nimecheka kwakweli dah umenikumbusha mbali sana 🤩🤩🤩
Shukran sana kwakweli umenigusa kwakweli.
Nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako, God bless you
Leo bro nachangia kwa mara ya Kwanza nimekuelewa Sana ezden may Allah akuzidishie.. natamani kua na rafiki kama wewe nikupende kwa ajili ya Mungu.Maana ukiwa na rafiki muuza utuli basi na wewe utanukia.maana pia napenda kusoma vitabu lakini nakua mzito.nnakitabu kimoja nimenza mda lakini sikimalizi cha Robert Schuller.tough time never end but tough people do
Kaka Nakupenda kwa ajili ya allah unanifingua sana kiakili
Mashaalah katika masomo yako nnayoyapenda somo hili limeahika bendera.nimejifunza sanaaa haisemeki.mungu azidi kukupa nguvu uwendelee in shaa Allah.
Shukran sana brother
Great 👍👍
Zidi kutupatia madini bro allah atakufanyia wepesi inshaallah
Asante sana kwa ushauri kaka
Mungu akujalie tunazidi kuelimika
each one teach one thank you brother God bless you brother
Masha Allah Somo Zuri Sana
Asante kwa darasa
BIG UP BROTHER HUWA NAKUSIKILIZAA KWA SAUTII YA MWISHOO NISIPOFUNGUA SAUTII MPK MWISHOO NAHIS KM SITAKUELEWA BLESSED BROTHER
nmecoment kwa herufi. kubwa
Shukran sana
Very true Kaka...ASANTE KWA MAFUNDISHO YAKO MAZURI
we bro unajuw San maan somo lak nimeelewa san
I like your wise teachings,,,
Nice subject
U are awesome
Nakupata San kaka mada zako nazikubali Sana umefanya Mimi Mara nyingi nanunua bando ili niangalie ni mada gani umetuandalia mungu akubarik Sana kaka
Kaka nimekusoma vizur sana tupo pamoja
I am being entertained with da lesson my brother. Guess what ? I am going through such situation of incompatibility but I handle this. You know we speakers are philosophers and Psychologist. Nice job Thank you.#Ramadhan Mkuga. TH-cam @MKUGA LIVE.
Kaka unanifanya nimekuelewa zaid asant
Shukrani nime elewaa
Kaka nakuelewa sana
Thanks a lot kaka kwa somo la leo limefungua akili na jinsi ya kuishi na watu wsshindani yani mtu anataka umskize yeye.
Leo umeongea fact sana bro'
Uko sawa
Nice sana kaka
Shukran kwa somo zuri
thank you teacher
Barikiwa brother
Nipo pamoja na wewe brother
Nimara ya Kwanza leo kuksikiliza lkn umenielimisha kitu kikubwa saaana shukran saaana nitasikiliza zooote upo sawa
nipo hapa,nimejiunga..
Iko pouwa sana nimejifunza kitu kutoka kwako
much love from kenya uko juu sana kaka
Kaka masomo yako vzr nimekuwa nikiyafwatilia sanaaa big up na MUNGU aendelee kukuinua
Wisdom words sir ❣️
We jamaa unajuwa xanaaa than joel
Respect for you
😊😊yan ni kweli kabisa Kaka nipo kwenye hali hizo zote ninaish nae 😊😊
shukran...
Thanks brother
Haaha hahaahaha Ezden
daaa kwakweli umenielimisha sana
Hapo 11:30 yani uwiiii umenigusa kunajiran yangu flan yeye hajali kabisa misimamo ya wengine yani mfano anaweza mwaga maji aliyooshea samaki uwanjani akiambiwa 'si ukamwage huko shimoni' jaman kaka ezden atakuja juu huyo 'Mniache jamani shombo tu imekuwa shida sasa ningemwaga mavi ingekuwaje si mngeniamisha mtaa mwisho anamalizia mnajiona wasaafi eti "usafi huyo kwiyo". Ngoja niongeze sauti nipo nae hapa kibarazani asikie.
Kaka somo lako linaeleweka Sana
Thank you
kiukwel broo tangu naanza kukfatilia nimebadirika sana nakushuru sana
Yani kaka Ezden somo lilopita na hili leo
Ukweli ni komesho tangu nimeaza kukufuatilia
Mana kuna baadhi yetu kuachana na mtu asie endana nae ni kama dhambi hadi anakuja kugundua kuwa hakuwa mtu sahihi uzee anao na kashapoteza fursa nyingi
Jazzakallah kher
Naungana nanyi kuhusu munguhapendi tufanane sanaaa ndomaana finga print haziendani dunia mzima
Kwenye simu zetu za Tecno fingerprint zinaingiliana tu 😅😅
😀😀wallahi kweli kaka
Edzen wewe wakwache aisee,nilikufuatilia mda mrefu, leo nishawishika nikwambie bayana, we mwalimu mzuri.
Pamoja sana kaka
Saf
It really what you talk and I have those friends
Nmekusoma.tunakuwapa tangu le
Ukiona mnaendana lazima mtasikirizana, Brother tunaendana kimaadili ndiyo maana napenda kujifunza kwako
Ukweli unao bro tufundishe ili tujielewe ktk maisha
Umenifunza mambo muhimu kwa maisha yngu😍
Mbona unaeleza vitu sahihi lakin ni tofauti kichwa cha habari
yeap🙏🙏🙏LIVE MOREE
Arafu Leo mbona huna Pete 🙈🙈🏃 🏃🏃 samahan lakn
Asalam aleykum!
Nashukuru sana kwa darasa kaka pia nimefurah kwa kuwepo point kwenye screen mana inatusaidia sana ambao huwa tunakaa na madaftar na kalam mezani
Mi naomba uwekaji wa point kwenye screen iwe endelevu
Umeongea point kaka kila siku tunao hawa watu 🤝
Kweli kabisa uliosema yako sawa maana unaweza kupanga jambo na mwenzio halafu analiona halifai
Berry well
Nice
Big up u are vip man hiyooo material.
Kabisa
Iko poa kaka
Edzen mi najofunza sana kupitia ww nmepiga hatua xna
Saf san
Huo ni Ukweli kabisa brother, Research yako iko sawa maana hayo yote yapo twayaona.
Umetufungua sana akili
Du wapo weng sana kdg umenizarau hata umuleze vp haelewi.
Nimekuelewa kaka
🙏👌🥰
👋👋👋👋👋👍👍👌
Mtaji ninao japokuwa mdogo ila naamini unatoaha sana kuwanza
👍
#EachOneTeachOne
Its ok
❤❤❤😂
Mwalimu makin ninajifunza
Imeleweka iyoo
mnapatikana wapi office?
Woo