ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
USIYEZUILIKA - Elia Mtishibi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2020
- Hakuna kinachoweza kumzuia Mungu kufanya chochote anachokifanya maishani mwetu...he is unstoppable..
Song writer & performer ; Elia Mtishibi
Studios; rider & Nubian kush..
Producers; Justine rider & ibrah mwasiposya..
Sollo; Nahum Gideon
Bass; Benny ngowi
Back vocal; Ester nyanda..
#usiyezuilika #eliamtishibi #teamEbenezer
Safi xn dogo
Safi sana mzee Wa kanisa
Kabisa hazuiliki.....ameen...wimbo umenibariki sn...uinuke viwango kabisa...
wimbo huu unaimba sana moyoni mwangu tangu mara ya kwanza kabisa nilipousikia, ninaupenda sana Mungu azidi kukutumia mtumishi wake 😊
Mtishibi hii ni ushuhuda kabisa
Amen
Kazi nzr mean wimbo mzr video Kali mungu akuinue zaid
Blood kazi kubwa sana hii.....Gooo gooo to the next level
Hongera sana ndugu yangu kwa kaz nzr mungu azidi kukupa nguvu na kutuletea v2 vzr tuko pamoja
🙌🙌🙌
Kaka unajua kiasi gani huu wimbo naukubali for years,.kazi kubwa sana hii,.🔥🔥🔥💥💥💥
Kazi kubwa sana hii💥💥
Wimbo umejaa NENO🔥🔥
Hongera sana kaka.
Kaka kaka kaka.... nakukubali Sana tuendelee kumbariki Mungu tu kwa kazi hii🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe kwa kazi nzuri
Nabalikiwa Sana
Hongera kaka kazi nzuri bwana azidi kukuinua
Daaa! Nyimbo yangu pendwa ya mwaka
Ubarikiwe sana mdogo wangu, unajitahidi sana
🙌🙌🙌🙌🙌the unstoppable God🔥🙌
Song makini god bless you blood
Barikiwa sana kaka Elia
Mung akubarik kaka kaz nzur
Hongera broo kaz nzury
Balikiwa kazi njema
Hongera kwa kazi nzuri
Nomaaaaaa bonge la kazi
Hongera sanaa kazi nzur sanaa bro
Be blessed kazi nzuri
Endelea kubarikiwa na kuwa wa baraka Bro. #You're highly favoured
Ngoma kariiiiiii 🔥🔥🔥🔥
My brother , I love this
Good song Mr #Usiezuilika
kaz nzur kka
Hongera Sana broo
Great one.. Powerful
Nkbl kak 🔥🔥🔥🔥mkn xan
Go sir go..🔥🔥🔥
Hongera... this is a beautiful song. I love it❤
This aseee ni 💥🔥🔥🔥 bro
Powerful man 💪💪
Broooo ngomaa imekaa poaaa
Baraka baraka🙌🙌
Kweli habaatishi
Nice messages keep it up
Glory to God🙌🙌
Currently on repeat mode. I wish I could click the 'like icon' a million times cause that's how blessed I feel. Kwa kweli MUNGU wetu HAZUILIKI
Ooooh thanque so much Jackie ....endelea kubarikiwa nao....
💥💥😇
Sir Congrats
MUNGU akuinue zaidi pacha
Baraka telle pacha
@@eliamtishibi4129 Video kali sana mwana
I'm totally convinced that you are going places, keep up the good work bro. We love you from +254
Nakubali
Nice🔥🔥🔥
Kaka hujawahi kosea
Utukufu kwa bwana yesu
🙏🙏
Hongera sana my brother
Very powerful & blessed song kk mkuu 🙏🙏🙏
Shukrani nyingi Sana my brother
Nice
Let me worship God 🙏🙏🙏..
Hivi ulkua unafikiria nn to write these lyrics
Kaka🙌🙌 nilikua tu namfikiria yeye
Hukoseagi charming servant of Living God🤗
Glory to God
❣️
Well done Brother a it is one of the beautiful videos with a cool view, congratulations!
#usiyezuilika
Ni namba moja katika playlist Yangu nilioanza nayo Mwaka....
Tuanze tour sasa
Mzee BABA mwezi wa pili huu tunaanza nayo nikitoka Moshi tu
@@eliamtishibi4129 Sawa Sawa baba
Congratulations Sir!Good Job!
Appreciated u bro God with u