Elia Mtishibi Ft Elizabeth Mtalitinya - Wewe Pekee (Official Live Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2023
  • 📌📌📌
    Kuna wakati kwenye maisha Tunapitia mambo ambayo yanatushawishi kufuata njia nyingine tofauti na Mungu ukizingatia ushauri wa marafiki unakuonyesha jinsi wao walivyofanikiwa nje na Mungu na unaweza kuwaza kufuata njia hizo. lakini Wako watu wachache waliosimama na wakadumu katika kusimama kumtegemea bwana na Mungu akawaonekania katika dhiki zao.. Huu ni moja ya wimbo utakaoinua imani yako sana kwa bwana nakufix macho yako kwake.
    Glory to God.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 55

  • @Noah_A_Misholi
    @Noah_A_Misholi 9 หลายเดือนก่อน +8

    This guy writes mazee, Elia ana neema ya kuandika kaii❤❤
    The pianist nailed it ❤

    • @Pattie-io7dz
      @Pattie-io7dz 4 หลายเดือนก่อน

      I totally agree....anaandika so powerful lyrics

  • @AdacharityColeman
    @AdacharityColeman 9 หลายเดือนก่อน +1

    amekuwa maficho yetu, sitara yetu , ngome yetu na makimbilio yetu. Tuende kwa nani zaidi ya kwa Yesu yeye pekee ndio wa kutumainiwa 🛐

  • @BettyGeorge-el1gb
    @BettyGeorge-el1gb 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hata kwa hilii nakuamini Yesu kwamba utatenda zaidi ya niwazavyo na zaidi niombavyo 🙌🙌

  • @ManziThomasG
    @ManziThomasG 2 หลายเดือนก่อน

    These songs are so beautiful. Please upload them on spotify

  • @emmanuelbaraka673
    @emmanuelbaraka673 5 หลายเดือนก่อน

    bado nakuamini🙏

  • @elishanjau3544
    @elishanjau3544 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hata hili bado nakuamin

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wonderful and powerful song of prayer and hope.
    Nimebarikiwa sana na huduma hii ya Mama Bishop!
    Asante sana Brother Eliya!!
    You are a blessing!

  • @herryjoshua828
    @herryjoshua828 9 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Be blessed my brother...
    Mama angu .....Mungu azidi kukutunza... kwakwel....YESU NDIYE TUMAINI LETU 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @irenesabuni2270
    @irenesabuni2270 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥❤️🔥

  • @bellakombo
    @bellakombo 9 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @louiseissabu
    @louiseissabu 7 หลายเดือนก่อน

    powerful😭😭😭😭😭😭😭 powerful

  • @tatuesperance150
    @tatuesperance150 5 หลายเดือนก่อน

    Powerful😭😭😭😭😭😭powrful❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 9 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA YESU ni tumaini letu hatuna mwingine. Mimi na vizazi vyangu imani yetu ipo kwa YESU tu

  • @davidnkini9811
    @davidnkini9811 9 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @annointedpresents5910
    @annointedpresents5910 5 หลายเดือนก่อน

    🎧🎧🎧🎧

  • @sifuninhayo9104
    @sifuninhayo9104 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU awainue zaidi katika huduma zenu Watumishi.
    Bado namwamini MUNGU hata katia hili. Yeye pekee ndiye tumaini langu❤

  • @elijahsaro6611
    @elijahsaro6611 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana mtumishi elia na huyu mama anagusa moyo sauti yake imenifariji utukufu umurudie mungu good work

  • @nalumbanaglory6736
    @nalumbanaglory6736 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera brodah kaz yako ni njema Mungu aendelee kukupndisha

  • @LilianMassaga-kn7fh
    @LilianMassaga-kn7fh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hata hili bado nakuamini🙌🙇,this is a very powerful worship

  • @user-jw6cu1uz7b
    @user-jw6cu1uz7b 8 หลายเดือนก่อน

    Amekuwa sitara yetu na maficho yetu
    Ur so faithful Jesus,,,Bado tunakuamini❤

  • @Tinna887
    @Tinna887 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekumiss kaka Elia jpili nilimiss kuja kanisani, hongera kwa wimbo wenye kugusa maisha yetu nabarikiwa sana

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 5 หลายเดือนก่อน

    I still believe

  • @siakowero6774
    @siakowero6774 9 หลายเดือนก่อน

    Tumaini langu…..mahali pangu pa kujificha 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌………..yaan haielezeki God bless you Elia & Mama na team kwa ujumla

  • @nibitangasteven9691
    @nibitangasteven9691 9 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤

  • @henryelias4241
    @henryelias4241 9 หลายเดือนก่อน

    Minister Elia Hongera kwa kazi njema. Mungu azidi kukupa viwango vya juu. Barikiwa Sana.

  • @user-kc7rm4me4h
    @user-kc7rm4me4h 9 หลายเดือนก่อน

    Yesu ajawahi shindwa na lolote

  • @Noelprofessionalaudio
    @Noelprofessionalaudio 9 หลายเดือนก่อน

    Black and white kazi ni kali sana
    Kaka Elia noma sanaaaa

  • @calebmuyinza4220
    @calebmuyinza4220 9 หลายเดือนก่อน

    My brother Elia 😢😢 am not understanding the language , but ur anointed oh my

  • @queenmushi9804
    @queenmushi9804 9 หลายเดือนก่อน

    Yesu mimi ni tegemezi kwako 😢😢😢😢😢

  • @rebeccadavid5491
    @rebeccadavid5491 9 หลายเดือนก่อน +1

    Such a powerful song ,be blessed May God lift you higher❤️❤️🙏

  • @getrudalai9732
    @getrudalai9732 9 หลายเดือนก่อน

    Bado nakuamini Yesu 😭🙏

  • @giftmrema5631
    @giftmrema5631 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh My God Hata hili bado nakuamin my father 🙌🤦

  • @johnsywillyz6649
    @johnsywillyz6649 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ooohhh my God..

  • @user-px5yx1te1p
    @user-px5yx1te1p 9 หลายเดือนก่อน

    Hii ni zaidi ya Ibada.,, 🙌🏽🙌🏽🔥 4:37

  • @sophiariwa4707
    @sophiariwa4707 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🇹🇿

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 9 หลายเดือนก่อน

    Powerful song daaaah wakati mwingine hatuelew nn tufanye kwa wakati gani Asante wewe Kristo daaaaah

  • @gillianjared
    @gillianjared 9 หลายเดือนก่อน

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾 aaaaah.... powerful

  • @josphinecharles8161
    @josphinecharles8161 9 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful 🔥🔥

  • @vicentpatrick558
    @vicentpatrick558 9 หลายเดือนก่อน

    Main piano 🎹🎹 🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @user-kc7rm4me4h
    @user-kc7rm4me4h 9 หลายเดือนก่อน

    2:39

  • @johnsywillyz6649
    @johnsywillyz6649 9 หลายเดือนก่อน

    😭 😭 😭 😭

  • @user-dv3wp5dr3q
    @user-dv3wp5dr3q 8 หลายเดือนก่อน

    😢❤

  • @engsabayajosephat2181
    @engsabayajosephat2181 9 หลายเดือนก่อน

    Your blessed MOG

  • @user-so9no4of3v
    @user-so9no4of3v 9 หลายเดือนก่อน

    Amaizing Glory to GOD🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ministergraciousben
    @ministergraciousben 9 หลายเดือนก่อน

    Sound of revival,,, 🔥🔥🔥

  • @omegaebenezer484
    @omegaebenezer484 9 หลายเดือนก่อน

    I put my trust to Him

  • @liljefnjoro7460
    @liljefnjoro7460 9 หลายเดือนก่อน +1

    Was waiting for this powerful song🔥🔥🔥

    • @SamuelErnest
      @SamuelErnest 9 หลายเดือนก่อน

      Am very much blessed

  • @salambarobert3020
    @salambarobert3020 9 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful

  • @omegaebenezer484
    @omegaebenezer484 9 หลายเดือนก่อน

  • @mossesmarko658
    @mossesmarko658 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa anayepiga lead piano ni mtu na ½. Apewe maua yake