ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Elia Mtishibi _ Ni Bwana (official video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2023
- iko hazina ambayo wenye hekima watawekeza huko hazina ya umileleni bali wasio busara huwekeza kwenye vitu visivyo vya umilele ambako nondo na kutu hufika..
#NiBwana #Maninchrist #EliaMtishibi
song : Ni bwana
Song writer and singer :Elia Mtishibi
studio :Apex studios
Producer :Benny William
Video director:Einxer
Bgv's :Cate & Abigail
Ni furaha tupu nyakati zote kwa kuwa Baba ametupa kicheko kwa Roho wake ndani yetu
Bravo broo
Furaha yetu imeshikiliwa na mambo ya milele tuliyoyarithi katika KUFA & KUFUFUKA kwa Yesu Kristo 😂 hayo hayaondoki, tunayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu.
Amani yangu ni Bwana 🎉❤acha nicheke🥰🙌
yayayayayayayayayaya siweki hazina yangu kwenye vitu vialibikavyo
hongera kaka
Amina 🙏
Mkuu mkuu ungeendelea kupanda tu😂🔥🔥
Powerful brother umebarikiwa sana
Cheko langu ni BWANA
Much love man of God ukirudi kenya limuru utapata tunaijua yote my hakika amani furaha yangu yote ni kwa mungu i feel blessed
Safiiiiiiii kaka yangu ✨✨🔥🔥
🙌🙌🙌🙌
Amina mtumishi nyimbo nzur sana mtishibi ubarikiwe na Mungu akuinue
Blessings mawio🎉🎉🎉 kaz nzuri
Kazi nzuirr sana MOG🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sana huu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Ni BWANA
👍
Nice 🎵
Ni Bwana
Hawajuii tu ni neema 🙏🙏🙏
Nimependa sana Melody aiseh 😂😂😂😂
Kazi nzuri sanaa bro.
Barikiwa Sana 👏👏👏👏👏
❤❤❤❤ ni swala la muda
Tu
Hongera kwa kazi nzuri mkuu,
Mungu akubariki sana mkuu.
💎💎💎💎💎 be BLESSED bro
Kaka umeupiga mwingi
Rilekusudi ambalo Bwana ameliweka ndani yako linaanza kuonekana. Ubarikiwe sana mwana wa Mungu
Daaah nakubali kakaaa unetishaa sanaa!!!
My favorite 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
Furaha yangu aitegemei vitu vialibikavyooo🔥🔥🔥🔥🔥 Ni Bwana
Be blessed sanaaaa
Awesome song
Hii imeweza. Mob love from Kenya bro.
Blessed
Blessings Sir, great one there🙌
🔥🔥🔥🙏
Your a star bro,keep it up..💪
God bless you
🙏🙏🙏
Be blessed brother!
Amazing sana
Waaaaaah what a song Sitegemei mazingira na vitu
Jehovah is with you brother
Kazi iendelee 🙌🙌🙌🎼🇹🇿
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri pambana endelea kumtukuza Mungu tunabarikiwa sana
MUNGU AKUTUNZE SANA
I would love to to a collabo with you some day, if God will ever allow. Nice song
Ahsante Mungu akutunze
Be blessed Elia
GOD BLESS YOU MTISHIBI
Hakika furaha yangu ni Bwana🙌🙌🙌
My favorite song🔥🔥🔥🔥🔥
❤furaha yangu ni bwana 🔥❣️
🔥🔥🔥