Anakujua- Elia Mtishibi (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.พ. 2021
  • Tunapitia mambo mengi Sana kwenye maisha yetu ambayo yanasumbua "MIOYO" sana.. tunaumia kiasi AMBACHO hatuwezi kufanya mambo mengine zaidi ya kuuguza vidonda vilivyosababishwa na watu,wapenzi wetu, mipango yetu kufeli n.k..
    Njia ni moja tu yakuutuliza MOYO wako.. Ni kuuambia MOYO TULIA YESU ANAKUJUA na utatulia...Mungu augange moyo wako unaposikiliza wimbo huu...
    Studio :RIDER REC MWANZA
    Prod: JUSTINE RIDER
    BASS:Amos belvin
    SOLO :Nahum Gideon
    #anakujua #eliamtishibi #teamEbenezer
  • เพลง

ความคิดเห็น • 30