BAYYINAT DM TV
BAYYINAT DM TV
  • 385
  • 3 997 744

วีดีโอ

HAKUNA SABATO MBINGUNI: AMRI,SHERIA NA HUKUMU ZINAPOTOSHWA NA WASIOJUA NENO
มุมมอง 2.1K6 หลายเดือนก่อน
HAKUNA SABATO MBINGUNI: AMRI,SHERIA NA HUKUMU ZINAPOTOSHWA NA WASIOJUA NENO
MAJINA YALIYOKO PEPONI: NI YA MASWAHABA WA YESU AU MUHAMMAD S.A.W?
มุมมอง 1.1K6 หลายเดือนก่อน
MAJINA YALIYOKO PEPONI: NI YA MASWAHABA WA YESU AU MUHAMMAD S.A.W?
MSALABA: NGUVU YA MUNGU INAYOUTESA ULIMWENGU WA KIISLAMU
มุมมอง 2K6 หลายเดือนก่อน
MSALABA: NGUVU YA MUNGU INAYOUTESA ULIMWENGU WA KIISLAMU
BIBLIA NI JIBU YAJA KIVINGINE KUELEZA UKWELI WA BIBLIA DHIDI YA MAFUNDISHO POTOFU YA IMANI
มุมมอง 3.5K6 หลายเดือนก่อน
BIBLIA NI JIBU YAJA KIVINGINE KUELEZA UKWELI WA BIBLIA DHIDI YA MAFUNDISHO POTOFU YA IMANI
QURAN YAMPINGA DR. SULE KUHUSU SAYANSI, ATAKIWA ALIPE MILIONI 200 ALIZOAHIDI, VINGINEVYO....
มุมมอง 5K7 หลายเดือนก่อน
QURAN YAMPINGA DR. SULE KUHUSU SAYANSI, ATAKIWA ALIPE MILIONI 200 ALIZOAHIDI, VINGINEVYO....
MDAHALO DAY 2: WALIMU NDACHA NA DANIEL WATUMIA BIBLIA NA QURAN KUTHIBITISHA KIFO CHA YESU
มุมมอง 15K7 หลายเดือนก่อน
MDAHALO DAY 2: WALIMU NDACHA NA DANIEL WATUMIA BIBLIA NA QURAN KUTHIBITISHA KIFO CHA YESU
SULEMAN MBOGO: EMANUEL MAANA YAKE MUNGU PAMOJA NASI, AKATAA HAIMUHUSU YESU, HAELEZI INAMHUSU NANI
มุมมอง 3.7K7 หลายเดือนก่อน
SULEMAN MBOGO: EMANUEL MAANA YAKE MUNGU PAMOJA NASI, AKATAA HAIMUHUSU YESU, HAELEZI INAMHUSU NANI
JE MADHEHEBU YAKO, INAMFUKUZA YESU KRISTO AU INAMKARIBISHA?
มุมมอง 9287 หลายเดือนก่อน
JE MADHEHEBU YAKO, INAMFUKUZA YESU KRISTO AU INAMKARIBISHA?
Tamko Rasmi la Mitume na Manabii kuhusu UTATU
มุมมอง 17K8 หลายเดือนก่อน
Tamko Rasmi la Mitume na Manabii kuhusu UTATU
WAISLAMU WAMTUKANA MWENYEZI MUNGU NA NYUMBA YAKE YA IBADA, WAIKANA QURAN NA HADITHI.
มุมมอง 2.9K8 หลายเดือนก่อน
WAISLAMU WAMTUKANA MWENYEZI MUNGU NA NYUMBA YAKE YA IBADA, WAIKANA QURAN NA HADITHI.
JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI
มุมมอง 3.1K8 หลายเดือนก่อน
JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI
HUKUMU ZA MWENYEZI MUNGU ZAMSHINDA MUHAMMAD S.A.W KUZITEKELEZA , AAMUA KUMWACHIA YESU KRISTO
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
HUKUMU ZA MWENYEZI MUNGU ZAMSHINDA MUHAMMAD S.A.W KUZITEKELEZA , AAMUA KUMWACHIA YESU KRISTO
JE, MAJINI YA KIISLAMU YALIMSAIDIA MFALME SULEMANI KUJENGA HEKALU HUKO ISRAEL?
มุมมอง 1.7K8 หลายเดือนก่อน
JE, MAJINI YA KIISLAMU YALIMSAIDIA MFALME SULEMANI KUJENGA HEKALU HUKO ISRAEL?
Shadraki, Meshaki, Abednego: miungu ya Babeli Inayoua Kiroho cha Wafuasi Wengi wa Biblia
มุมมอง 8708 หลายเดือนก่อน
Shadraki, Meshaki, Abednego: miungu ya Babeli Inayoua Kiroho cha Wafuasi Wengi wa Biblia
MAJIBU KWA ISAYA MWAKILEMBE: WAISRAEL HALISI WAKO KWAO ISRAEL LICHA YA KUKATALIWA NA ANT SEMITISM
มุมมอง 2.7K8 หลายเดือนก่อน
MAJIBU KWA ISAYA MWAKILEMBE: WAISRAEL HALISI WAKO KWAO ISRAEL LICHA YA KUKATALIWA NA ANT SEMITISM
MDAHALO: JE, MWENYEZI MUNGU NI JINSIA GANI?
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
MDAHALO: JE, MWENYEZI MUNGU NI JINSIA GANI?
HARMONIZE AJIBIWA: MWENYEZI MUNGU NI BABA, SI MWANAMKE!
มุมมอง 2K8 หลายเดือนก่อน
HARMONIZE AJIBIWA: MWENYEZI MUNGU NI BABA, SI MWANAMKE!
DOA JEUSI KWENYE PAJI LA USO: CHAPA YA MNYAMA KWA MPINGA KRISTO
มุมมอง 1.7K9 หลายเดือนก่อน
DOA JEUSI KWENYE PAJI LA USO: CHAPA YA MNYAMA KWA MPINGA KRISTO
MFUNGO WA RAMADHANI ZANZIBAR: KERO YA TANO YA MUUNGANO
มุมมอง 1.5K9 หลายเดือนก่อน
MFUNGO WA RAMADHANI ZANZIBAR: KERO YA TANO YA MUUNGANO
FREEMASON NA UISLAMU MAJIBU YA UKRISTO KWA WAISLAMU PART 1
มุมมอง 1.4K9 หลายเดือนก่อน
FREEMASON NA UISLAMU MAJIBU YA UKRISTO KWA WAISLAMU PART 1
MJADALA KUHUSU UNABII WA ISAYA 53 BAINA YA USTADH ShaffIy and MWALI MU DANIEL
มุมมอง 1.6K10 หลายเดือนก่อน
MJADALA KUHUSU UNABII WA ISAYA 53 BAINA YA USTADH ShaffIy and MWALI MU DANIEL
JE, KANISA CATHOLIC HUONGOZA SIASA ZA TANZANIA?-MAJIBU
มุมมอง 1.9Kปีที่แล้ว
JE, KANISA CATHOLIC HUONGOZA SIASA ZA TANZANIA?-MAJIBU
Je, Kuna Adam wa Mwisho Katika Uislamu?
มุมมอง 8852 ปีที่แล้ว
Je, Kuna Adam wa Mwisho Katika Uislamu?
ALLAH CREATED ADAM IN HIS IMAGE! HE IS EMMANUEL!
มุมมอง 8242 ปีที่แล้ว
ALLAH CREATED ADAM IN HIS IMAGE! HE IS EMMANUEL!
KUMBE ALLAH S.W.T NI MFANO WA ADAM KATIKA KUUMBA
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
KUMBE ALLAH S.W.T NI MFANO WA ADAM KATIKA KUUMBA
LAANA YA YESU KWA MUISLAMU
มุมมอง 1.7K3 ปีที่แล้ว
LAANA YA YESU KWA MUISLAMU
YESU YUPI ALIKUFA SAA 3 NA SAA 6? MAJIBU
มุมมอง 1.8K3 ปีที่แล้ว
YESU YUPI ALIKUFA SAA 3 NA SAA 6? MAJIBU
"NIMEKUBALI YESU ALILETA AMANI"-UST. MAZINGE
มุมมอง 2.7K4 ปีที่แล้ว
"NIMEKUBALI YESU ALILETA AMANI"-UST. MAZINGE
NDOA: MWANAMKE MUISLAMU NA MKRISTO WANA HADHI SAWA KIIMANI?
มุมมอง 9K4 ปีที่แล้ว
NDOA: MWANAMKE MUISLAMU NA MKRISTO WANA HADHI SAWA KIIMANI?

ความคิดเห็น

  • @NovatusLusato-w4j
    @NovatusLusato-w4j 32 นาทีที่ผ่านมา

    Utatu mtakatifu ni MUNGU mmoja na kilicho na sura na mfano wa MUNGU yaani utatu huo ni mtu, mtu kawaida ni mmoja lakini ana viungo vitatu vinavyo mkamilisha mtu navyo ni kichwa ambaye ni Baba miguu ambaye ni mwana na mikono ambaye ni roho mtakatifu

  • @brianmusyoka-n4s
    @brianmusyoka-n4s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dael hujieliwe ww kama dacha halikujibu kwamba status nimbaya hukakazireka😅😅😅😅😅

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani ushoga umeanza baada ya hicho unachodai Papa kauanzisha? Kwani haukuwepo kabla? Papa alikuwa anaongelea jambo jipya au lililokuwepo tayari?

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani ushoga umeanza baada ya hicho unachodai Papa kauanzisha? Kwani haukuwepo kabla? Papa alikuwa anaongelea jambo jipya au lililokuwepo tayari?

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ufunuo wa Yohana 2:8 (KJV) Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai... kwan kuna ufunuo upi tena jaman hapa sijaelewa

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aaah sule wewee 😅...upendo wa Mungu unaufqhamu au unajiongelea too kwamba Mungu haezi uonyesha upendo wake kwa kumuua mwanawe ili tukapate nafasi kwa Mungu...😅😅😅aaah yaan waislam mmepotea na mmekataa kusikia kwamɓa yesu ndo njia

  • @FrederickBarongo
    @FrederickBarongo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnachobishania hamkiwezi. Mungu ni mkuu kuliko mawazo yenu. Lililo kuu ni kumwamini Yesu ukaokoka.

  • @samuelgacheru4854
    @samuelgacheru4854 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Onyango,like jina ambalo Isaiah alisema ni Yesu

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbukenii wapendwa ata yohana habari za kitabu cha ufunuo hakusoma alifunuliwa na mungu kwaiyo roho kwanza elimu baadae tuwe makini amini ulicho nacho sio papa wala elenii hapana nabii mwingine hawa wengine nimatapeli

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alie leta mtumishi wamungu mpaka akasomee aliwauwa kwaiyo mtu hafunuliwi namungu kwasasa anafunuliwa na mwalimu tuu ndomaana mafundisho yamwili yamekuwa mengii sana roho mtakatifu hayumo ndàniyao

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasabato siku watakapo kataliwa watakuwa wànalia wakisema jambo moja mungù tulishika sikù mungu atawambia siwajuwi maana mlishika siku lkn tabia zenu haziku endana namii kwaiyo siwajuwiiii

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 วันที่ผ่านมา

    Does Jesus mention the Trinity? Neither the word “Trinity” nor the explicit doctrine appears in the New Testament, nor did Jesus and his followers intend to contradict the Shema in the Hebrew Scriptures: “Hear, O Israel: The Lord our God is one Lord” (Deuteronomy 6:4).

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂wasabato hawa ni shida sana

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 วันที่ผ่านมา

    Daniel wewe ni kiboko piga mbwa hao

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 วันที่ผ่านมา

    WAsabato shida

  • @AgahinyuzaTV
    @AgahinyuzaTV วันที่ผ่านมา

    Tunasoma kuwa Yesu alizariwa kupitia Miriam wakati anajifunua kwetu .Sasa nataka niwurize wakati Yesu anazariwa zamani zakare ali pitia kwanani ili tujue kwamba Yesu Ana mwanzo?

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

    Amesahau pale ambapo Yesu alibatizwa Roho mtakatifu alitoka Mbinguni kwa umbo la njiwa, na akatua Begani kwa Yesu, wakawa wawili, hapo alipo Batizwa Yesu, nafsi zikawa mbili na ya Tatu ilibaki Mbinguni Ambaye ni MUNGU BABA.

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 วันที่ผ่านมา

      Mbona umewatenganisha kipindi munasema kwamba watatu hao ndo wanaunda Mungu mmoja 😂😂😂😂

  • @AmaniMazee
    @AmaniMazee วันที่ผ่านมา

    Ndacha ni uzuni mkubwa sana kwako na wale wote unaendelea kupoteza. Mwanzo 1:1-3 unaweza kunisaidia Mungu , Roho ya Mungu na neno la Mungu. Kweli ni moja Neno la Kristo na Kristo mwenyewe. Ndacha hakuna mtu anaweza kukutukana na mashahidi wa Jehovo na wa Branhamiste wanakana utatu Mtakatifu katika nafsi moja ya Mungu. 1Yohana 5:7 . Uendeleye kupotea katika upotovu wako wa kifarisayo.

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 วันที่ผ่านมา

    Mtabishana nyinyi Wakristo kuhusu imani zenu mpaka siku ya Kiama na hamta patana, imani zenu kuhusu Mwenyezi Mungu ni nani , kuna wanao sema ni mmoja katika wa tatu wa utatu wengine wanapinga wanasema kama huu ni ukafiri kama SDA na Jehova’s Witnesses, na kuna ubishi baina madhehebu ya Kikristo about the neture of Jesus je amezaliwa au kaumbwa na je yeye ni Mungu au ana ungu tu …etc, njooni kwenye imani ya kiislamu which is very simple, someni sura hii inayo onyesha shina la imani sahihi: Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. --al_ikhlaaS 1 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. --al_ikhlaaS 2 Hakuzaa wala hakuzaliwa. --al_ikhlaaS 3 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. --al_ikhlaaS 4

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

    Hebu jiulize katika 1korintho 6:11. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. Hebu tambua hapo mwishoni mwishoni mwa mstari huo Anapo sema lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. Je huoni kwamba zimetajwa nafsi mbili hapo, yaani Roho wa Mungu, na Mwingine Bwana Yesu kristo? Na Nafsi ambayo haijatajwa Ni Mungu Baba. Ambaye yupo Mbinguni. Yeye ni nafsi ya tatu, baada ya kutajwa nafsi mbili zilizo kuwepo duniani.

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

      Mungu ni mmoja katika nafsi Tatu, pia hata Binadamu tuna viungo vingi lakini ni ni mwili moja soma 1korintho 12:12 Katholiki haijadanganya Bali itawafikisha Mbinguni soma ufunuo 9:7. Hao ni wakatholiki. Alio iondoa sabato ni Yesu mwenyewe soma Mathayo 19:18-19. Amri Alizo tutajua Yesu sabato Haimo.

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora วันที่ผ่านมา

    Hapana utatu mtakatifu sio mpinga kristo, Ndacha umemuhuzunisha Roho mtakatifu. Kanisa limejengwa kwenye Mwamba wewe ni wimbi tu. Huwezi kubomoa. Soma Mt 16:17-19

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 วันที่ผ่านมา

    Nimegundua ndasha anasoma kama gazeti hahahaa

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 วันที่ผ่านมา

    Jaman , mathayo 28:19

  • @davidogero9796
    @davidogero9796 2 วันที่ผ่านมา

    SABATO IKO KWASABABU MUNGU NDIO ALIANZIZA.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV วันที่ผ่านมา

      @@davidogero9796 Alipoifuta hapo hupajui?

  • @jobongaga6233
    @jobongaga6233 2 วันที่ผ่านมา

    Sabato hiko imara na haijaondoka . Soma Acts 13; 14,42,44 . Mtaelewa kuwa bado watu wa mungu walikuwa wanakuzanyika Sabato. Asante sana Mungu hawe nanyi

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 2 วันที่ผ่านมา

    Ndani ya Bibilie kuna aya flani zenye mtazamo wa Monotheism ( imani ya Mungu mmoja ) ambazo zinapingana na Utatu ambao ni imani ya kiajabu ajabu isio eleweka, kwenye 1-Agano la kale: Kumbukumbu la Torati 6:4 ( Sikia, Ee Israel: Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja ) Agano jipya Marko 12:29 ( Yesu akajibu ‘ Amri ya kwanza ni hii: Sikia, Ee Israel: Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja’ ) na Quruani pia inapinga Utatu soma aya hii: Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. --al_maa'idah 73

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 2 วันที่ผ่านมา

      Na vipi kuhusu Isaya 63:9-10 umeisoma na pia Math 28:19 hujaziona? Na kama umeziona umezielewa?

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 2 วันที่ผ่านมา

      @ Math 28:19 haionyeshi kabisa kama Yesu na Roho Mtakatifu wanaungana na Mwenyezi Mungu kusudi wafanye Mungu mmoja kama unavyo dai upotofu wa Utatu. Mwenyezi Mungu amejitosheleza mwenyewe pekee na utukufu wake na uwezo wake mwenyewe, hana shida ya kuungana na viumbe vyake awe Mwenyezi Mungu mtakatifu, mfano wa maana hii utaupata kwenye Isaya 40:28 inasema ‘’ Je Hujasikia? Je! Hujaijua? Mwenyezi Mungu, Bwana, ndiye muumba wa miisho ya Dunia; hatachoka wala kudumaa, na hekima yake haina kipimo” Na maana yakuwa Mwenyezi Mungu kajitosha hana shida na viumbe vyake utaipata pia ndani Quruani, soma: Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha, Msifiwa. --al_faaTir 15

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 วันที่ผ่านมา

      Wasabato bado kabisa

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 วันที่ผ่านมา

      Does Jesus mention the Trinity? Neither the word “Trinity” nor the explicit doctrine appears in the New Testament, nor did Jesus and his followers intend to contradict the Shema in the Hebrew Scriptures: “Hear, O Israel: The Lord our God is one Lord” (Deuteronomy 6:4).

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV วันที่ผ่านมา

      You're wrong brother. Jesus is the One who introduced the Trinity in the Bible. In how many persons and name does Jesus teach people should be baptized into in Math 28:19? What do you call this?

  • @SleepyBarbecue-oe6cu
    @SleepyBarbecue-oe6cu 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo aliekwambia azaazil alikuwa ni Malaika nani? au unalazimisha wewe awe Malaika? Ibnu kathir hakusema azaazil ni Malaika. Unaposema (Mama Samia alikuwa miongoni mwa wanabavicha walifungua kikao cha kuazimisha siku ya wanawake duniania cha bavicha, sasa maana yake Mh Dkta Samia na yeye bavicha? Sasa izo akili gani izo? Wacha kupotosha. Malaika wameumbwa kwa nuru ibilisi azazil kaumbwa moto.

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 3 วันที่ผ่านมา

    Ndasha makelele tu

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 3 วันที่ผ่านมา

    Ndasha mkolofi yaani makelele tu

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 3 วันที่ผ่านมา

    Ndacha kichwa kichwA kigum

  • @SaideFaque-u7u
    @SaideFaque-u7u 4 วันที่ผ่านมา

    Ushaidi katoaa mungo utake usitake yeso akufa nsalabani

  • @FistonKavura
    @FistonKavura 4 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana ninyi munao Amina huyo mwalimu wenu Daniel, huyu mtu anajibu maswali kwakutumia biblia ya Africa kwasababu anajuwa akiyajibu maswali kwakutumia biblia ya watu wote Hawezi kuyajibu hayo maswali

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 3 วันที่ผ่านมา

      Hiyo Biblia ya Kiafrika akiitumia Mwl Ndacha ni sawa, ila nikiitumia mimi siyo sawa kwa sababu inajibu maswali yote? Wewe haupendi upate majibu ya maswali yanayokutatiza?

  • @karimuabdala3234
    @karimuabdala3234 5 วันที่ผ่านมา

    Daniel mweupe sana hana hoja toka zamani sijawahi kumuona akiwa na hoja za haja

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 5 วันที่ผ่านมา

      @@karimuabdala3234 sasa wewe mwenye hoja si uliete?

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 4 วันที่ผ่านมา

      @BAYYINATDMTV wahadhili wa kiislam wanakutoa jasho kila siku kwanza unayoyaongea hayaeleweki unalazimisha uonekane unajua lakini kiukweli hujui kitu

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 5 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu Danielli uishi, uishishi saaana mtumishi.

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

    Mafundisho ya Kweli na Haki (yenye Nguvu) ni ya Uislamu tu . 📌Usituletee ya Ukristo/ya Helen White ktk Uislamu. 🙌

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 5 วันที่ผ่านมา

      @@alhadajjmohammedsmith9042 hebu tuoneshe moja hilo la haki

  • @samuelgacheru4854
    @samuelgacheru4854 5 วันที่ผ่านมา

    Balikiwa sana mwalimu wewe ni mwalimu kweli Roho wa Mungu azindi kukufunulia

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 5 วันที่ผ่านมา

    Nitakufundisha Mwankema Surah Al Araf verse 59 Surah Al. Ankabut verse 16 Surah Al az Zukhuruf verse 46 Mie nafundisha kwa mandiko sio kwa yangu

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 5 วันที่ผ่านมา

    Tatizo lako Mwankema hutaki kujifunza,hawa wote ni Prophet wakislamu ,Noah ,Nuh, Ibrahim , Abraham,Musa,Moses,Sleiman,Solomon,Issa, Jesus jumla ni 25

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 5 วันที่ผ่านมา

      Acha uongo walisilimu lini wakati Uislamu umeanzishwa na Muhammad mwaka 610BK wakati huo hawa walikuwepo? Unataka kumdanganya nani?

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 6 วันที่ผ่านมา

    Tupatiye sasa habari ya machafuko ya ulimwengu iliingiya je duniani ? Isaya Benson ni mungwana tena ni Mwalimu

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 6 วันที่ผ่านมา

    MCH DANIEL wewe ni muzushi mimi ninapo kufatililiya haukufanya utafiti wakutosha wakati Mwalimu ISAYA BENSON yeye alifanya utafiti zaidi wakutosha tuleteye biblia ya orthodoxe catholika

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 6 วันที่ผ่านมา

    ni kweli sababu kaini alimaanisha hivyo wakati alimuuwa Abel alisema kwamba watakao niona wataniuwa kulingana naalama Mungu ali kuwa amemuweka kwenye pacha lauso wanani wange muuwa?

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 6 วันที่ผ่านมา

    Je MCH Daniel je una kubali kitabu cha zashari? na kitabu cha enock?'

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 6 วันที่ผ่านมา

      @@mutulaObedi Ndiyo ninakubali vipo kama vitabu vya Historia. Na cha Henoko ninacho.

  • @mutulaObedi
    @mutulaObedi 6 วันที่ผ่านมา

    Tunamukubali sana Mwalimu wa NENO la MUNGU ISAYA BENSON ni Mwalimu wa NENO sasa kwanini unamubishiya wewe towa maelezo tukusikiye

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 6 วันที่ผ่านมา

      Kwani hujanisikia nilipotoa maaandiko ( siyo maelezo) kuhusu uumbaji?

  • @FrankOmary-k7u
    @FrankOmary-k7u 6 วันที่ผ่านมา

    Wee umelogwa na nini

  • @MarkoAlphonsi-qi6mj
    @MarkoAlphonsi-qi6mj 6 วันที่ผ่านมา

    mwalimu ndacha (Isa9:6 isaya anaelezea habari za Yesu.anaitwa mshauri wa ajabu,Mungu mwenye nguvu ,Baba wa milele,mfalme wa amani.

  • @mussashaha-iv7gg
    @mussashaha-iv7gg 6 วันที่ผ่านมา

    wewe Daniel qur an iache kama ilivyo gombaneni na upumbavu wenu huo wewe huelewi qur an huelewi wewe ni mjinga tu

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 6 วันที่ผ่านมา

    Mwankema .siku zote nakwambia Uislamu ulikuwepo kabla ya Prophet Muhamad hivi hopendi kujifunza

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 6 วันที่ผ่านมา

      Acha uongo ni Uislamu gani ulikuwepo kabla ya Muhammad? Hujasoma Quran 6:14?

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      Wanaouliza/watakaouliza Maswali Kaburini ni Malaika wa MwenyeziMungu. Malaika ni Viumbe wa MwenyeziMungu, hufanya Kazi ya Kumtumikia MwenyeziMungu. Unauliza Maswali ya Kijinga sana.hata Mtoto hawezi Kuuliza. Kwanza hujui Kazi ya Malaika na kama Unajuwa Kazi ya Malaika usingeuliza hayo. Kuulizwa Maswali ya Kaburini Haina Maana Allah hajui Matendo ya Waja/Viumbe wake (Wema na Waovu) wote. Kuulizwa Kaburi ni Miongoni mwa Vipimo/Kutihaniwa Mja aonwe atasema kweli/atasema Uwongo. Tunapomuombea/tunapo mtakia Rehma Mtume Muhammad hatumsemeshi Mtume Muhammad SAW Bali tunamsemesha/tunamwambia Allah . Biblia inasema Kifo/Mauti ni Mshahara WA Dhambi. Kwahiyo Wafu wa Wakristo wote (Yesu/Mungu wa Wakristo, Mitume na Manabii na Waumini wa Kikristo wote ni Wenye Dhambi, hata Wakibatizwa haziwaishi Dhambi zao) 🙌

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@BAYYINATDMTVAdhabu ya Maiti/Mfu huanzia inspotolewa Roho, Kaburini na Siku ya Hukmu/baada ya Hukmu na si Kaburini tu Bali Adhabu ya Maiti/Mfu Hutegemea na Matendo yake ya Duniani (Maovu/Maasi ya Mja) na si Vinginevyo na hata Malipo Mema/Kheir (Swawabu) Hutegemea na Mema alotenda Mja ktk Maisha ya Uhai wake wa Duniani. Kaburini ni Kituo Cha Kusubiri Kuhesabiwa Mema na Maovu ya Mja/Maisha (Uhai) wa Kusubiri Kufufuliwa na Kuhesabiwa (Kulipwa) kutokana na Mema na Maovu yetu Waja kwa Uhai wa Maisha ya Duniani Kaburi ni Eneo/Sehemu ya Kuhifadhiwa Mwili Mja Mfu/Maiti Kwa Popote Duniani atakapofia Mja/na Kuhifadhiwa au Kupotelea/Kuteketea au Kuteketezwa ndo huwa Kaburi lake Mja/Kiumbe. Mfano; iwe Kuhifadhiwa Ardhini, Kupotea/Kuzama ktk Maji (Bahari, Ziwa, nk) , Kuliwa na Mnyama/Mtudu, Kuzagaa Mwili Jangwani/Msituni nk. Na Popote utakafia Mwili wa Mtu huhesabika (hapo alipo) ndo Kaburi lake na si Lazima/mpaka awe amezikwa/amehifadhiwa Ardhini/Kaburini ktk Shimo Maalumu 🙌 Na Malipo ya Maiti/Mfu humjia (hulipwa) Kuanzia anapotolewa Roho Nadi atakapohifadhiwa/atakapo zikwa na Hadi Siku ya Kufufuliwa na Kulipwa. Hivyo Adhabu ya Kaburini/Adabu ya Maiti na Kheri zake/Mema yake huanza Mapema tu Kuanzia Mtu anapotolewa Roho. Kama Mwema utatolewa Roho Kwa Upole na kama Muasi utaipata na Kadhalka ktk Maisha ya Uhai wa Kaburini Kuna Malipo Mema na Mabaya/Adhabu . Na hayo ndo Mafundisho ya lmaan/Dini ya Kiislamu. WaAllahu Aalamu

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      Kuelekezwa/Kufundishwa (Kutamkishwa) Maiti/Mfu Kujibu Maswali ya Siku ya Kwanza ktk Maisha ya Kaburini Si lmaan ya Waislamu wote Bali ilikuwa ni Uzushi tu Wa ktk Baadhi ya Vitabu/Watu (Waislamu) 🙌 Laakin Kiukweli na Kifikra (haingii Akilini) eti umtamkishe/umfundishe Maiti/Mfu Majibu ya Maswali ya Kaburini Kwa Siku Moja/Muda mchacge tu (akiwa Kaburini tu) Wakti Muda wote wa Maisha yake ya Uhai wa Duniani hajasoma/hajawahi Kutamka na hajazingatia (alikuwa Muovu/alipuuza) ndo aje Kushuka/Kukariri Kwa Kufundishwa akiwa hapo Kaburini. Hayo Maswali na Majibu yake yanapaswa Kufundishwa na Kutakuwa/Kuyakariri na Kuyazimgatia (Kuyafanyia Kazi) kabla ya Kufa na hata Mwanafunzi wa Shule ni Ngumu Kumkaribisha Majibu akiwa ktk Chumba Cha Mtihani Wakti/kama hakuwahi Kusoma/hayajui hayo Maswali (alikuwa Mtoto haudhurii Darasani/alipuuza) 🙌 Kwanza hujawahi Kuwaona hao Malaika Wanaouliza Maswali ya Kaburi jinsi walivyo Maumbile yao na Wanavyotisha ndo utaweza Kuwaangalia na Kuwakabili Kuweza Kujibu Maswali yao ilhali Ulipuuza Maamrisho ya Allah/hukusoma na hukuwa Mwenye Kumuabudu Allah/Si Muislamu Muumini?!🙌

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 5 วันที่ผ่านมา

      Kwani Matajiri Wote ni Waovu/Waasi hakuna Matajiri wamchao MwenyeziMungu. Kwanza Biblia ni Maneno ya Watunzi/Waandishi (Luka na WA Mfano wake -Luks 1 : 1) Ndo unataka tuamini Maneno ya Kuokoteza Mitaani?!🙌 Mitume na Manabii was Allah (Muhammad SAW na Watangulizi wake) na Malaika hawafanyi Maovu/Maasi kama ilivyo Kwa Watu/Binadam na Makini wa Kawaida tusiokuwa Mitume, Manabii na Malaika . Mitume, Manabii na wamewekewa Kinga na Allah hawamussi MwenyeziMungu/hawana Dhambi (Maasum) 🙌 Uislamu usiufananishe na Ukristo.🙌

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 6 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu endelea kufundisha hata wakifoka wee endelea kawaida ya mwLimu anahitajika kuwa mkali sa ingine

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 7 วันที่ผ่านมา

    Mwankema , Mungu wa Kweli ni Allah hujuwi tutakufundisha yule Yesu si Mungu kweli ni fake .

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 7 วันที่ผ่านมา

    Jesus na Muhammad aliewaumba ni mmoja.. na huyo mmoja mwenyewe hakuzaa wala hakuzaliwa hana baba wala mama na hana mshirika na wala usimfananishe na chochote na hata ukimfananisha hayuko hivyo.. mnakaa kulumbana lumbana vitabu hamvisomi kila kitu kiko dhahiri" Jesus said nimekuja kwa wana wa Israel tu! Lakini leo mijitu iko uku yombo dovya inamfata yesu inamuabudu yesu wakati Yesu used to pray for his God ellaha...". Staki comment back to my section soma tulia ujitafakari Peace out!

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 7 วันที่ผ่านมา

      Hutaki ukanushwe ulichokitoa hata kama hakiko sahihi? Huo ni uoga na kutojiamini na kutokuwa mkweli.

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@BAYYINATDMTVmwl Mwankemwa kuna tofauti kubwa kati ya kumuombea marehemu(kuiombea roho ya mtu aliyekufa) na kumswalia maiti. Waislamu hawamuombei marehemu bali wanamswalia maiti sababu wanaamini baada ya kumzika maiti roho yake huja tena kuungana na mwili na maiti anaadhibiwa kaburini. Sisi wakristo wakatoliki tunamuombea roho ya marehemu sababu roho yake imeacha mwili na iko mbele za Mungu. Unasema hii haipo kwenye biblia lakini ipo. Najua kuwa wewe ni msomi na unajua ukweli huu kuwa ipo kwenye biblia!