Mungu Kazaliwa kavishwa Pepmpas Katahiliwa Govi Kala chakula Kaenda Haja yaani Chooni Hivi Nyinyi wakristo Akili zenu Mbona kama Zimeingia Mafuta ya Taa Munakufuru Sana Wagaratia
Haya yote yamekuwa, ili litimie. Haya yote yamekuwa, yapi? Ya kuzaliwa Yesu Kristo, yaani Kristo amezaliwa. Mbogo anakwepa kukubali, ansema bado ni utabiri. Anataka kusema Yesu Kristo hakuzaliwa.
Sasa Kuitwa Mungu Pamoja nasi Ndo kashakua Mungu Mbona Rafiki yangu Anaitwa Emanuel Kwa Akili zenu Nae ni mungu, Kwani Munafikiri kwa Kutumia nini nyinyi Viraza
Kwani wewe inakuuma nini yesu akiitwa mungu? Ng'ombe ni mungu wa wahindi walio wengi, na huna hasila na wahindi, ila wakristo wakimwita YESU ni MUNGU! Unatokwa na povu mdomoni,,, na wakimwita mwana wa MUNGU unaugua homa kali, sasa lafiki yangu, 😂 hakuna aya ktk bibilia inayo tuonya kua, tukimwita YESU ni MUNGU! au, mwana wa MUNGU! ni zambi, au tutahukumiwa kwenda jehanamu, hivo sisi tutaendelea kumwita yesu ni MUNGU, sababu hakuna katazo hilo! wewe baki na muhamadi wako, mwenye hadhi ya kupata kutoka kwa warabu, na si, kutoka kwa mungu, na inawauma sana kwakua sisi wakristo tumemkataa muhamadi.
Eti unaongea na mwalimu mwenyeuwezo sasa I’ll lime kuja wapi wa islam wakishindwa oja wana hanza kusema una hogopa jini Emanuel una mahana Mungu pamoja na si sasa tuki mwita yesu Mungu kwa kiswahili ina hamana kwa ki hebwania tuna muhita Emanuel
Anajua emmanuel maana yake ni Mungu pamoja nasi ila labda hajui Yesu maana yake nini? Na hajui emmanual ni Mungu kukaa na wanadamu kwa dhumuni lipi? ILI AJUE YESU NA EMMANUEL VINAFANANAJE🤗..! kuwa mwalimu inaitaji moyo aise .. mwalimu daniel Mungu awatie nguvu na walimu wote .. kazi ni kubwa mnayofanya.
Hayo maandishi yenye neno Emanuel hayakusemwa na Malaika.Na hilo andiko la utabiri wa Emanuel kwenye Isaya lilitimia siku zilezile.Ilikuwa ni utabiri wa ushindi wa vita kwa mfalme Ahaz.Haimuhusu Yesu hata kidogo
Yesu sio kungu manake alikia kwa Mungu akisema Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha ? Sasa mungu yesu anaglia kwa mungu gani tena ?😂😂😢 marko (15:34 ) 34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani” Yaani, “Mungu wanguMungu wangu, mbona umeniacha
Mbogho anaju kila kitu ila akikubali tuu ukweli kwa waislamu ni ugomvi mkubwa sana,kwani hawaruhusiwi kumkiri YESU KRISTO, anabisha makusudi ili awafurahishe wenzake.
HAWA WATU NI SHIDA YAANI WAMEMDOGESHA MUNGU HIVI KWELI MUNGU ANAZALIWA NA KIUMBE WAKE TENA MUNGU ANAPIGWA MIJEREDI NA VIUMBE WAKE ANAULIWA NA VIUMBE WAKE KWELI KUJUA YESU SIO MUNGU KUNAHITAJI UWE NA D 2
Ukiangalia Ethiopia Bible different from other Bibles 800 years older King James version 81-88 books compareerden to 66 hapa kuna orginal na Kuna chengine watu wamekifanya
Danieli kabanwa 😅😅😅😅. Immanuel -Mungu pamoja nasi siyo yesu ndiye Mungu. ALLAH pamoja nasi km ilivyo Ismael maana yake Mungu.anasikia siyo Ismael ni Mungu hapana isipokuwa Mungu wetu ALLAH anasikia waislamu wana akili wajua kupambanua maneno.
Kueleza muislam habari ya mbinguni nkama kuongea na mtoto wa shule ya Chekechea.. argument zao niza kitoto kabsa ata mtoto wangu wa grade six haezi kuwa na akili kama ya kiislam.
@@joycedimoso8648umesema kweli. Yesu kazaliwa na mwanamke ambaye ni mwanadamu. Ndiyo maana tunasema hawezi kuwa Mungu. Bali ni mwanadamu kama inavyosema biblia
Ni Mwalimu ndiyo kwani husikii nondo zake?Yesu hawezi kuwa Mungu kwa sababu Mungu hawezi kupakwa mafuta,Mungu hawezi kupewa Ufalme bali Yeye ni Mkuu kila idara na pale Sisi wanadamu tunapomuhita Mfalme wa Wafalme nitayari Yeye ameisha jihita hivyo kwenye vitabu vyake!
mashallah sheikh mbogo wape vitu ❤
Mungu akubariki sana mwelimu Danieli hawa waislamu wangewapotosha watu wengi sana
Uislamu haukujuwa kwamba kunanyakati maarifa yataongezeka na yooote yaliyojificha ndani ya Uislamu yatakuwa peupee
Mungu akubariki Sana mwalimu wetu Daniel
Utatazama Lakini hautona,utasikia Lakini hautaelewa...Grory be to Lord God of Israel in Jesus 🙏 name.
Uko na wazimu,moja ya maanisha Nini,ati unatazama alafu huoni,kiswahili pia unatafsiri
Hongera Sana mwalimu Kwa KAZI njema
Tuko pamoja bos .mtumishi Daniel .waelemishe hao.Yesu wanamoenda ila wapo Kwa maslahi.
Ndagha Mwakifyogo. Nilipoteza namba yako tafadhali.
Mungu Kazaliwa kavishwa Pepmpas Katahiliwa Govi Kala chakula Kaenda Haja yaani Chooni Hivi Nyinyi wakristo Akili zenu Mbona kama Zimeingia Mafuta ya Taa Munakufuru Sana Wagaratia
Myopic thinking
Nawasiwasi sana kuwa Mbogo anauelewa mdogo nakama sivyo basi anaamua tu kuwa mbishi tu.
Mie nimependa mabishano ya hoja bila kugombana, hongereni
Hwa wakirsto ni wabishi sna ukweli wanauacha
😂😂😂😂😂😂😂😂 wee Danieli acha janjajanja😆😆😆😆
Yesu sio mungu maana alipewa ufunuo namungu ufunuo 1
Huyo mkristo Hana lakujibu
😢Ni yule mwanamke alisema sio Yesu
Wa Kristo hawafahamu hata kitabo chao
balikiwa Mtumishi
Danieli toa andiko wapi kaitwa emanueki sio unatowa utabiri😂😂😂 umejitia kitanzi mwenyewe😂😂
Haya yote yamekuwa, ili litimie. Haya yote yamekuwa, yapi? Ya kuzaliwa Yesu Kristo, yaani Kristo amezaliwa. Mbogo anakwepa kukubali, ansema bado ni utabiri. Anataka kusema Yesu Kristo hakuzaliwa.
Sasa Kuitwa Mungu Pamoja nasi Ndo kashakua Mungu Mbona Rafiki yangu Anaitwa Emanuel Kwa Akili zenu Nae ni mungu, Kwani Munafikiri kwa Kutumia nini nyinyi Viraza
Kwani wewe inakuuma nini yesu akiitwa mungu? Ng'ombe ni mungu wa wahindi walio wengi, na huna hasila na wahindi, ila wakristo wakimwita YESU ni MUNGU! Unatokwa na povu mdomoni,,, na wakimwita mwana wa MUNGU unaugua homa kali, sasa lafiki yangu, 😂 hakuna aya ktk bibilia inayo tuonya kua, tukimwita YESU ni MUNGU! au, mwana wa MUNGU! ni zambi, au tutahukumiwa kwenda jehanamu, hivo sisi tutaendelea kumwita yesu ni MUNGU, sababu hakuna katazo hilo! wewe baki na muhamadi wako, mwenye hadhi ya kupata kutoka kwa warabu, na si, kutoka kwa mungu, na inawauma sana kwakua sisi wakristo tumemkataa muhamadi.
Esmael mungu mwenye kusikia😂😂😂😂
Daniel hoyeeeeeee
Eti unaongea na mwalimu mwenyeuwezo sasa I’ll lime kuja wapi wa islam wakishindwa oja wana hanza kusema una hogopa jini Emanuel una mahana Mungu pamoja na si sasa tuki mwita yesu Mungu kwa kiswahili ina hamana kwa ki hebwania tuna muhita Emanuel
Mwl. mwenye uwezo 🤣🤣🤣 kujitapa huko ni kudhamiria kufichua ukweli wa udhaifu wake pasipo kujielewa. Huko ni uzuzu usio kifani .
Hawa watu ndugu wa majini wanashida sana ila wasubili unyakuo ndipo watakapojua Yesu Kristo ni nani.
aca polojo Daniel
Huyu mwankenwa anaongea sana,anapaparika yani😂😂
Waislamu ni wabishi sana hao. Mwalimu wa mchongo, yaani hajui chochote.
Anajua emmanuel maana yake ni Mungu pamoja nasi ila labda hajui Yesu maana yake nini?
Na hajui emmanual ni Mungu kukaa na wanadamu kwa dhumuni lipi? ILI AJUE YESU NA EMMANUEL VINAFANANAJE🤗..!
kuwa mwalimu inaitaji moyo aise .. mwalimu daniel Mungu awatie nguvu na walimu wote .. kazi ni kubwa mnayofanya.
Hayo maandishi yenye neno Emanuel hayakusemwa na Malaika.Na hilo andiko la utabiri wa Emanuel kwenye Isaya lilitimia siku zilezile.Ilikuwa ni utabiri wa ushindi wa vita kwa mfalme Ahaz.Haimuhusu Yesu hata kidogo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbavu zangu
Yaaan aaiisee hawa watu ni wabishiii hawaelewii na hawatakujaa kuelewaa
Jina la yesu libalikiwesana!
Hawa ni njaa ya Tende tu ila Yesu na bible wanavipenda😂😂
Asanta mwalimu daniel
Na tukisema ni malaika mkuu, mtaelewa aje, what a pity
Tatizo waislam wanakaza kichwa we unampa vifungu ye anakupa maneno ya kichwani
Yesu sio kungu manake alikia kwa Mungu akisema Mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha ? Sasa mungu yesu anaglia kwa mungu gani tena ?😂😂😢 marko (15:34 ) 34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani” Yaani, “Mungu wanguMungu wangu, mbona umeniacha
Mbogho anaju kila kitu ila akikubali tuu ukweli kwa waislamu ni ugomvi mkubwa sana,kwani hawaruhusiwi kumkiri YESU KRISTO, anabisha makusudi ili awafurahishe wenzake.
Huyu jamaa wa kibarakasheee kinacho msumbua ni majini yaliyo kichwani mwake
Mwalimu Daniel unatupa Raha sana kwa kuwa na uwezo wa kujenga hoja 😂😂😂😂
HAWA WATU NI SHIDA YAANI WAMEMDOGESHA MUNGU
HIVI KWELI MUNGU ANAZALIWA NA KIUMBE WAKE
TENA MUNGU ANAPIGWA MIJEREDI NA VIUMBE WAKE ANAULIWA NA VIUMBE WAKE KWELI KUJUA YESU SIO MUNGU KUNAHITAJI UWE NA D 2
Ndacha . Na danieli , Hawa watu n hatari, wailamu watakoma
Umekosea sio waislamu watakoma bali wao ndowatakoma watakapo ingizwa motoni
Ni kweli
Ukiangalia Ethiopia Bible different from other Bibles 800 years older King James version 81-88 books compareerden to 66 hapa kuna orginal na Kuna chengine watu wamekifanya
Nauliza tu swali , Hawa waisilaam wamesoma Quran kweli.karibu sana nisiliim lkn CP alinisaidia.ako online Kila siku na waisilaam wamelemewa kulemewa
Eti Mwalimu mkubwa😂😂😂
Hawa jamaa nawapenda marafiki wa kitambo sn
Mbogo ameshinda ila hawezi kukubali
Kwani kuna bikira mwengine zaidi ya mariamu aliewahi kubeba mimba?
Danieli kabanwa 😅😅😅😅. Immanuel -Mungu pamoja nasi siyo yesu ndiye Mungu. ALLAH pamoja nasi km ilivyo Ismael maana yake Mungu.anasikia siyo Ismael ni Mungu hapana isipokuwa Mungu wetu ALLAH anasikia waislamu wana akili wajua kupambanua maneno.
Ishmael maana yake Mungu amesikia sio Mungu anasikia
@@joycedimoso8648 yote sawa amesikia au anasikia kwahiyo huyo Ismael atakuwa ndiye Mungu ?
Hakuna muislam mwenye akili,mimi nitakuthibotishia.hakuna mtu mwenye akili anaweza mfata Muhammad
Mwamkemwa hajui kitu.
Toa aya kudhibitisha haya
@@CharoHarrison-lf3jcIsaya 7:14 ndipo ulipo utabiri wa Emmanuel.
Sasa soma sura ya 7 mpaka mwisho kama Yesu anaingia hapo
Emmanuel ni nani basi,,,,@@IbrahimHassan-wt6py
Kueleza muislam habari ya mbinguni nkama kuongea na mtoto wa shule ya Chekechea.. argument zao niza kitoto kabsa ata mtoto wangu wa grade six haezi kuwa na akili kama ya kiislam.
Waislamu someni waflip 2 tano mtaujua uungu wa yesu
Biblia Gani au yanyerere?
Mwalimu daniel kama yesu nimungu mbona Stefano alimonya yesu akiwa mkono wakuume wamungu?
Mbogo Leo amekutana na kiboko ya waislam
Uyo daniel hana hoja ,kitabu cha mungu kinawezaje kupingana
Mbogo ndiyo Hana hoja ndiyo maana anapewa darasa 😂😂😂
mbogo maswali yake mazuri, weka mada na mbogo tumfunze huyu elimu
Kama mbogo ndio mwalimu uislam umeisha. Matambo mengi hoja hakuna
wakati yesu anasema baba kikombe hiki kiniepuke alikuwa anajiongelesha au alikuwa anaongea nanani? mwl daniel
Wewe mwenyewe unajijua kuwa umegawanyika mara tatu? mwili wako mahitaji yake ni tofauti na Roho yako au pia nafsi yako?
Quran imesema juwa huwa linazama katika maji uhu si ujinga kweli
BIBLIA mbona imesema Yesu alikuwa tahira
Mbogo ni mwalimu mkubwa
Anaishia kujisifu tuu mi ni mwalimu mkubwa lkn ni mbishi kuelewa
Hivi mtu akipewa jina la punda, anakuwa punda? Wakristo mnakwama wapi?
Hivi mtoto wa mbuzi anaweza kuwa kuku?
@@joycedimoso8648umesema kweli. Yesu kazaliwa na mwanamke ambaye ni mwanadamu. Ndiyo maana tunasema hawezi kuwa Mungu. Bali ni mwanadamu kama inavyosema biblia
Mbishi kuelewa huyo mbogo
He was wa islam wana saau kwamba quran ni nyingi ?
Katika uhu mbaji quran ina sema mtu mweusi aliumbwa ahendemotoni
Eti mbogo ni mwalimu 😂
Ni Mwalimu ndiyo kwani husikii nondo zake?Yesu hawezi kuwa Mungu kwa sababu Mungu hawezi kupakwa mafuta,Mungu hawezi kupewa Ufalme bali Yeye ni Mkuu kila idara na pale Sisi wanadamu tunapomuhita Mfalme wa Wafalme nitayari Yeye ameisha jihita hivyo kwenye vitabu vyake!
Mbogo kakamatika
Hawa jamaa wabishi hawana hoja
Mbogo umenaswa, na mtego wewe enenda zako porini
Uwezo Gani wewe huelewi
Huyo mbogo is useless man