@@davisrotich116 ndo h unarudia yale yale kuwa akili huna aya hizo zinazungumzia ukweli wa mtume muhammad na inawezekana hujui nini maana ya akili na hujawahi kujiuliza kuwa akili ni nini na yupi mwenye akili?na unaonekana unazani akili ni kuwa na degree'master nk
Mungu mwema sana pastor wangu. Kibiti pwani tunakubaribisha
Nimefurah kukuckia na nilikua cjuh nakusikiaje Kwa mara nyingne mungu aendelee kukufanya kama chombo chake🙏🙏🙏🙏
Tunashukuru sana mwl wangu Mwankemwa
Barikiwa sana mpendwa
Ubarikiwe mwaalimu daniel mwakemwa na wote wlio wezesha elimu hii kutufikia
Asante sana Mwl wangu Kwa shule hiyo, karibu tena Mwanza
Asante kwa kurudi tena kufundisha nilikumisi sana mafundisho yako
Amen 🤝🙏🙏
Wameshidwa kwenye mijadala sasa wamehamia kwenye TH-cam kutukana uislam.😂😂😂
Katukana wapi ama vipi katukana? isipokua Nuru ikujiapo utaudhika soma Yohana 3:20
Ama kweli wakiristo hamna akili kabisa
Hujapata kusoma Quran 7:157 na Quran 62:2 ukajua wasio na akili ni kena Nani
@@davisrotich116 ndo h unarudia yale yale kuwa akili huna aya hizo zinazungumzia ukweli wa mtume muhammad na inawezekana hujui nini maana ya akili na hujawahi kujiuliza kuwa akili ni nini na yupi mwenye akili?na unaonekana unazani akili ni kuwa na degree'master nk
Kwani alio mfanya adam atende zambi kwamaana ibilis si bado tupo nae ulimwenguni yeye kama adam kasamehewa kazi ipo kati yangu mimi na wewe
Wewe wacha kugeuza maandiko soma mpaka mwishoacha kuweka viraka yesu mwenyewe alisujudu
andiko gani Yesu alisujudu
Kusujudu hakumaanishi chochote mbele za Mungu maana nisalamu tu
@@mussakilo4916 ndiyo lakini hiyo ni katika bibilia lakini katika Koran kusujudu nikusalimia niskuabudu
Nikweli wakristo hatuna akili ubarikiwe🙏 ulie fanyika kuja kuhukumu ulimwengu kwakua umepewa mamlaka