Praise God mtumisi wa Mungu hua nakufwatiria sana katika mafunzo Yako mazuri,na nimenjifunza mengi kutoka kwako.mwalimu ningetaka utufunze kama ni vema mwanamke kuhumbiri kanisani namungu atakumbaliki
Sabato wote mtasema tu bdo....wakati niko huu na hii habari ya eti mama wa makahaba ni roma.........kumbe n israeli.....hilo roho ametusemesha ..hivyo mjipange na walimu wenu wa mchongo................mama wa makaba n israeli na watoto wake ni sodoma na gomora
Sabato iko kwenye amri 10 za Mungu, kutoka 20, soma yote. Sabato iliumbwa Juma la uumbaji, mwanzo 2:1 kuendelea, sababu za kuumbwa sabato zipo hapo mwanzo na kutoka 20:8-11. Amri 10 za Mungu kopi orijino iko mbinguni kwenye sanduku la agano ufunuo 11:19, za duniani Musa alivunja mbao mbili na shetani amejaribu kuifuta, unamsaidia kudanganya. Amri za Mungu ni tabia ya Mungu ni za milele, sabato ilikuwepo, ipo na ulimwengu ujao itakuwepo Isaya 66:23. Kumbuka yote yatapita lakini si neno la Mungu mathayo 5:17-18. Endelea kudanganya watu
Ubarikiwe mtumishi huo ndio ukweli, tangu zamani walioshangilia uovu unaofanana na ukweli walikuwa wengi, mpaka Mungu alipowafuta kwa kuwaangamiza. Hata Leo ni hivyo, endelea kunawa kwa kusema ukweli. Aliyekusudiwa ataokolewa kwa kuelewa. (MUNGU NI MUNGU WA NYAKATI NA MAJIRA HAJIPINGI NA HATAJIPINGA ATAHUKUMU KWA HAKI) Agano la myahudi/ mwebrania na wamataifa ni tofauti. Bila kujua Hilo wengi watahukumiwa saana. Barikiwa.
Ila umesema siku nyengine yaku pumzika ni hiyo ya sunday bila andiko. Maandiko ambayo uko natoa na mambo unayo ongea ni vitu viwili tafauti 😢😢 sikuelewe
Haomunaodai siku au kalenda sisihatunalalenda yakiswahili baali munatumia kalenda yakingerza nakiarabu ambayo munafikiri ni yakiswhili kalenda yakiarabusiku inaanaanza najumamosi naijumaakwao huabudu ya wazungu wao wanaenda najumatatu hadi kumapilikalenda za akina Gregory hivyo tunapotoa maoni towemakini sana nakalenda kama alivyomakini sana huyo mwalimu he is clever head in deed.
Nimeisoma na nikaendelea mbele ambako wewe hukufika ili kujua matokeo ya aya hizo ulizozitoa wewe. Soma hapa Matendo ya Mitume 13:44-48 [44]Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu. [45]Bali Wayahudi, walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayakanusha maneno yaliyonenwa na Paulo, wakibisha na kutukana. Sabato ya Pili Wasabato walimkanusha Pauli na Neno alilowapelekea [46]Paulo na Barnaba wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona nafsi zenu kuwa hamkustahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia Mataifa. Hapa Wasabato wamelikataa Neno la Mungu na kutaka kuendelea tu na Torati na vyuo vya manabii. Paulo anawaacha na anawageukia mataifa na kuwapelekea Neno la Mungu [47]Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia. [48]Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini. Mataifa walipolisikia Neno ka Mungu walifurahi. Waliolikataa Neno wakabaki na Usabato wao, na nataifa waliolipokea neno wakawa Wakristo. Hivyo siku nyingine usitoe Mdo 13:44 kama uthibitisho wa Sabato kwenye Agano Jipya wakati walilikataa Neno la Mungu ili wabaki na Torati na vyuo vya manabii. Umeelewa?
@@BAYYINATDMTV sasa Quran yathibitisha nini eti majuma sabini!Duh Tena wasema Yesu kafuta Sabato ni vile umelewa mvinyo wa Babeli na mama yako katoleki...Tena weww ufundishi ufunuo 17 ww ni WA sunday huwezi hukaelewa
Kwamba wewe ni mjuzi sana wa maandiko ama unafiki nilikwambia wewe ni mpumbavu na utapoteza wengi kwasababu watakaopotea ni wengi vilevile pamoja na wewe.kwama ati na wewe mjumapili wajua kitu gani? Ati Sabato imekomeshwa hiyo ni habari njema kwa wajumapili lkn ni habari itakayowaongoza kupotea. Hapo ni mungu roho anakuongoza na sio roho ya Mungu.
Ndiyo umeishia hapo tu hauna jingine la ziada? Nilifikiri utatoa angalau hata fungu moja lililopotoshwa, kumbe ni malalamiko binafsi. Pole sana. Ahsante kushiriki.
@BAYYINATDMTV sasa wewe unalongalonga ati sabato imekomeshwa huyo ni nani anayeweza kukomesha alichoanzisha Mungu? Malalamiko binafsi ndiyo sasa kwa akili ya kawaida hilo linawezekana?mbingu na nchi hazijapita na kumbe Neno la Mungu limepiitaje? Hujui ya kwamba ni rahisi mbingu na nchi kutoweka kuliko yodi moja ama nukta moja ya Torati kuondoka? Sasa wewe unaongea kana kwamba mbingu na nchi zimetoweka na sheria ikafwata Du! Sijui unatoa wapi makufuru hayo na unaujasiri gani!
@@amanmgeni7520 Amri zote zilizoamriwa pamoja na Sabato Yesu Alizigongomelea msalabani Waefeso 2:15-16 [15]Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. [16]Akawapatanisha wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba.
Daniel: Diamond ana mjini anaishi na majini anakula na majini anatembea na majini leo wakristo wanakaribisha majini madhabahuni halafu wanashangili tume feli
Kwa hiyo mtumishi unataka tuibe, tuue, tuzini, tusiheshimu wazazi, tuabudu Miungu, tusiwapende ndugu zetu, Sabato tuiache, kwa Nini shetani alifukuzwa mbinguni?? Je sio sheria na taratibu nzuri za Mungu shetani alikengeuka na kuzipinga l?
Wengi wanaolalamika hapa utasikia ni wasabato,.... madai yao wanajua kuyachunguza maandiko kana kwamba wao pekee ndo wanaojua na kuelewa neno la MUNGU yani hata hawataki kusikiliza kitu
Najua waadventist wanapinga kila kitu kana kwamba wao ndio waliandika Bibilia , Sda's you must apologise to us,more especially the pope and the catholic church and protestants
Hata sasa hakuna msabato anaeweza kuitimiza mfano siku ya sabato hairuhusiwi kutembea zaidi ya mtupo wa jiwe, leo unakuta msabato anatembea umbali wa zaidi ya kilomita.
You just calculate the number 666 and get the final answer the way you say 666 refers to the Roman pope... show us Catholics proper calculations...coz it's very sad calling God's church " the antichrist",you Sda's you must apologise to us before the closing of the door in heaven, it's not too late to confess to the pope and the catholic church
Daniel to be sincere you have no understanding of the scriptures. Every verse you quote, you quote out of context or you misinterpret the verses for example am taking two verses and show you are misusing them to suit your wrong narrative. You have quoted Ephesians 2:15 and Hosea 2:11. Ephesians 2:15-16 Having abolished in his flesh the enmity, even the law of commandments contained in ordinances; for to make in himself of twain one new man, so making peace; And that he might reconcile both unto God in one body by the cross, having slain the enmity thereby: What is an ordinance? Ordinance is a law or a rule made by a government or Authority (it can be city or town government), it is a local law. From the definition we see that there were laws that was separating the Jews and the Gentiles, these laws made this two groups to be enemies and these are the ceremonial laws that was abolished so that they be one in Christ and not the moral law the ten commandments. So Christ abolished the ceremonial laws and not the moral law the ten commandments. So teaching that Christ abolished even the ten commandments is very wrong. Second one is Hosea 2:11. Hosea 2:11 I will also cause all her mirth to cease, her feast days, her new moons, and her sabbaths, and all her solemn feasts. God is speaking saying I will cause her mirth, feast days, new moon, her sabbaths and all her solemn feasts to cease. Question who is her? Her here does not refer to God, it refers to a woman or you can interpret it as a church. If God was addressing His Sabbath then the statement ought to be different addressing to himself - I will cause my Sabbath to cease. Here we have Sabbath of the ten commandments which is God's and ceremonial sabbaths mentioning in Exodus, Leviticus and Deauteronomy that was pointing to Christ written in Colossians 2:13-17. Stop misinterpreting the word and leading people of God astray.
Brother Enock your comment would be worthy, If you would have produced at least one verse from the Bible which unequivocal shows that after His ressurection, Jesus Himself or His disciples kept on observing the Sabbath day. I can't wait to hear!
@@enockolekete3576 Hebu soma aya hizi uone jinsi Sabato, mwandamo wa mwezi, mwezi mpya vilikomeshwa. Isaya 66:23 [23]Na itakuwa, MWEZI MPYA hata MWEZI MPYA, na SABATO hata SABATO, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA. Hapa tumeona maneno Mwezi mpya, yaani, mwandamo wa mwezi na Sabato. Kisha soma Hosea 2:11 uone vitakavyokomeshwa ni vitu gani? Hosea 2:11 [11]Tena nitaikomesha furaha yake yote, na SIKUKUU ZAKE, na siku zake za MWANDAMO WA MWEZI, na SABATO ZAKE na makusanyiko yake yote yaliyoamriwa. Hapa vinavyokomeshwa ni sikukuu, mwandamo wa mwezi na sabato. Namna vilivyokomeshwa Kolosai 2:14-17 Wakolosai 2:14-17 [14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani; [15]akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo. [16]Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika VYAKULA au VINYWAJI, au kwa sababu ya SIKUKUU au MWANDAMO WA MWEZI, au SABATO; [17]mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Kumbe hati za mshtaka zilizokomeshwa kwa kufutwa pale msalabani zilihusu: SABATO, MWANDAMO WA MWEZI yaani, MWEZI MPYA, VYAKULA na VINYWAJI.
@@BAYYINATDMTV Mchungaji Daniel wewe unapotoa maandiko. Nikianza na Isaya 66:22-23 hii umenukuu haisemi vile unafundisha. Isaya 66:22-23 Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na Sabato hata Sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA. Nukuu hii kwanza inaashiria wakati ujao. It's a future tense. Na ni wakati baada Dunia hii kuchomwa na kuangamiza dhambi ndipo Mungu atafanya mbingu mpya na nchi, ambapo maskani ya Mungu itakua pamoja na wanadamu. Na hii nukuu haizungumzii mwandamo wa mwezi ambayo Hosea 2:11 anazungumzia, miandamo ya mwezi ni sehemu ya ceremonial laws that the Israelites practised which was to end with the Christ on the cross. Dunia hii ya sasa ambayo ni ya dhambiimewekwa akiba kwa moto 2 Peter 3:7, baada ya kuchoma Dunia sasa ndio Mungu atafanya mbingu mpya na nchi mpya ambayo haitakua na dhambi tena na hapo ndo Isaya anasema Itakua mbingu mpya na nchi, watu wote wataenda kuabudu mbele za Mungu Sabato hata Sabato. Mungu atafanya mbingu mpya na nchi Soma Isaya 65:17, 2Peter 3:13, Revelation 21:1. Mchungaji Daniel ni wapi Mungu ashafanya mbingu mpya na nchi mpya ambayo haina dhambi? Sasa wewe kama hautaki Sabato ni ishara kwamba hautaki kuenda mbinguni sababu mbinguni kutakua na ibada ya Sabato ambayo unaikataa.
@@BAYYINATDMTV Thank you Pastor. For me I believe what Christ said and Christ is not a liar. I trust and believe His Statement and Here is the statement. Matthew 5:17-19 Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil. For verily I say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled. Whosoever therefore shall break one of these least commandments, and shall teach men so, he shall be called the least in the kingdom of heaven: but whosoever shall do and teach them, the same shall be called great in the kingdom of heaven. Christ here is on the record saying that Till heaven and earth pass, one jot or one title shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled. So far, the earth and heaven have not yet passed meaning the moral law (the ten commandments) is still intact, not even a jot has been removed. Secondly all the apostles obseverd the fourth commandment by keeping the Sabbath day. Acts 13:14 But when they departed from Perga, they came to Antioch in Pisidia, and went into the synagogue on the sabbath day, and sat down. Acts 13:27 For they that dwell at Jerusalem, and their rulers, because they knew him not, nor yet the voices of the prophets which are read every sabbath day, they have fulfilled them in condemning him. Acts 13:42 And when the Jews were gone out of the synagogue, the Gentiles besought that these words might be preached to them the next sabbath. Acts 13:44 And the next sabbath day came almost the whole city together to hear the word of God. Acts 16:13 And on the sabbath we went out of the city by a river side, where prayer was wont to be made; and we sat down, and spake unto the women which resorted thither. Acts 17:2 And Paul, as his manner was, went in unto them, and three sabbath days reasoned with them out of the scriptures, Acts 18:4 And he reasoned in the synagogue every sabbath, and persuaded the Jews and the Greeks. I have given you enough evidence. Teaching, preachinga/reading the Word and healing are the things that Christ used to do the Sabbath day.Kama Sabato ingekua imeishia msalabani wanafunzi ata na Paulo hawangeshughulika na Sabato tena Na taarifa ingekua waazi kwamba siku ya ibada rasmi ni siku ya kwanza ya Juma. Mchungaji kubali ukweli na Batizwa, Kua msabato na ujiunge na wasabato unaposubiri Yesu akuchukue mbinguni tukiendelea na ibada ya Sabato. Usipofanya Moyo wako kua mgumu bado Mungu atakuzungumzia.
Yohana 5:18 [18]Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.
Hakuna Msabato anayeamimi Yesu alikufa na kufufuka. Hii ni kwa sababu katika Yoh 5:18 Wasabato walipanga kumuua Yesu kwa sababu haikuivunja sabato to bali alimwita Mungu ni baba yake.
Ni sawa na kusema unakula vyote halafu kumbe huli ukiletewa mjusi. Kwamba amri ziligongomelewa msalabani? Moral laws na ceremonials laws unazifahamu kweli? Kama amri kumi(moral laws) ziligongomelewa msalabani kwahiyo unawaambia watu wafanye kinyume chake? Yesu anaposema hakuja kutangua torati wala manabii( to destroy ) unamchukuliaje kwa mfano? Basi toa na somo la orodha ya amri za Mungu tuone utatuletea nini kwenye hadhara
Hakuna hicho kitu unachoandika hapa. Kuna sabato ya moral law na sabato ya siku? Kwenye biblia hakuna kitu kama hicho. Unakitengeneza wewe. Lakini ndani ya Biblia hakuna kitu hicho
Wakristo hilo ndio tatizo lenu. Yani una mchukua msanii kwa7bu ana jina la kiislamu ndio mna tamba kuona kama waislamu mme wateka. Huyo ni muimba kwaya kama nyie na bibilia haikubali nyimbo. 5:23 amosi.
Nimemleta hapo kwa sababu yeye anamuamini Masih Issa ambaye anaamini kwamba ndiye Yesu. Sijasema ameletwa hapo kwa kufuata Biblia bali Quran kama nilivyoinukuu.
Daniel: Diamond ana mjini anaishi na majini anakula na majini anatembea na majini leo wakristo wanakaribisha majini madhabahuni halafu wanashangili tume feli
John hufurahii unapomuona Diamond hata kuthubutu tu kuhudhuria sherehe ya kufufuka kwa Yesu na kusoma Amefufuka? Je unafikiri ni Waislamu wote wanaweza kufanya hivyo?
Barikiwa sana mwalimu kwa fundisho nxurie
Praise God mtumisi wa Mungu hua nakufwatiria sana katika mafunzo Yako mazuri,na nimenjifunza mengi kutoka kwako.mwalimu ningetaka utufunze kama ni vema mwanamke kuhumbiri kanisani namungu atakumbaliki
Ahsante. Tutajitahidi kulifundisha hilo.
Naunga mkona hilo mwenye nataka kuelewa sana kuhusiana na hilo@@BAYYINATDMTV
Mungu akubariki sana mtumishi, tunajifunza vizuri sana
Mwalimu balikiwa Kwa mafunzo Yako mazuri,mungu na akufunulie mengi ili utufunze
Duuuu Daniel soma vizuri maandiko
@@lucasharison2441 Soma wewe halafu tuletee hapa usichoelewa
Sabato wote mtasema tu bdo....wakati niko huu na hii habari ya eti mama wa makahaba ni roma.........kumbe n israeli.....hilo roho ametusemesha ..hivyo mjipange na walimu wenu wa mchongo................mama wa makaba n israeli na watoto wake ni sodoma na gomora
Sabato iko kwenye amri 10 za Mungu, kutoka 20, soma yote. Sabato iliumbwa Juma la uumbaji, mwanzo 2:1 kuendelea, sababu za kuumbwa sabato zipo hapo mwanzo na kutoka 20:8-11. Amri 10 za Mungu kopi orijino iko mbinguni kwenye sanduku la agano ufunuo 11:19, za duniani Musa alivunja mbao mbili na shetani amejaribu kuifuta, unamsaidia kudanganya. Amri za Mungu ni tabia ya Mungu ni za milele, sabato ilikuwepo, ipo na ulimwengu ujao itakuwepo Isaya 66:23. Kumbuka yote yatapita lakini si neno la Mungu mathayo 5:17-18. Endelea kudanganya watu
@@samwelgetocho6913 Sabato haikuwepo kwenye juma la uumbaji. Sabato ilianzia mlima Sinai (Kut 16:23, Neh 9:12-14) Haikuwepo
Ubarikiwe mtumishi huo ndio ukweli, tangu zamani walioshangilia uovu unaofanana na ukweli walikuwa wengi, mpaka Mungu alipowafuta kwa kuwaangamiza. Hata Leo ni hivyo, endelea kunawa kwa kusema ukweli. Aliyekusudiwa ataokolewa kwa kuelewa. (MUNGU NI MUNGU WA NYAKATI NA MAJIRA HAJIPINGI NA HATAJIPINGA ATAHUKUMU KWA HAKI) Agano la myahudi/ mwebrania na wamataifa ni tofauti. Bila kujua Hilo wengi watahukumiwa saana. Barikiwa.
Mwankemwa muombe mungu akulehemu maana unako elekea umepotea
@@GODFREYSABAYO-yz4qx Godfrey, ninapoteaje wakati Neno la Mungu ndiyo taa ya miguu yangu?
Mungu amesema atakomesha sabato zao hai wanao abudi kinyume kama ni sabato yake angesema Nita zikomesha sabato zangu wewe huelewi maandiko
Ila umesema siku nyengine yaku pumzika ni hiyo ya sunday bila andiko.
Maandiko ambayo uko natoa na mambo unayo ongea ni vitu viwili tafauti 😢😢 sikuelewe
❤❤❤🌷🙏🙏🙏
Haomunaodai siku au kalenda sisihatunalalenda yakiswahili baali munatumia kalenda yakingerza nakiarabu ambayo munafikiri ni yakiswhili kalenda yakiarabusiku inaanaanza najumamosi naijumaakwao huabudu ya wazungu wao wanaenda najumatatu hadi kumapilikalenda za akina Gregory hivyo tunapotoa maoni towemakini sana nakalenda kama alivyomakini sana huyo mwalimu he is clever head in deed.
Usome pia hiyo matendo ya mitume 13:16-19
Nimeisoma na nikaendelea mbele ambako wewe hukufika ili kujua matokeo ya aya hizo ulizozitoa wewe. Soma hapa
Matendo ya Mitume 13:44-48
[44]Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.
[45]Bali Wayahudi, walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayakanusha maneno yaliyonenwa na Paulo, wakibisha na kutukana.
Sabato ya Pili Wasabato walimkanusha Pauli na Neno alilowapelekea
[46]Paulo na Barnaba wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona nafsi zenu kuwa hamkustahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia Mataifa.
Hapa Wasabato wamelikataa Neno la Mungu na kutaka kuendelea tu na Torati na vyuo vya manabii. Paulo anawaacha na anawageukia mataifa na kuwapelekea Neno la Mungu
[47]Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana,
Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa,
Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
[48]Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini.
Mataifa walipolisikia Neno ka Mungu walifurahi.
Waliolikataa Neno wakabaki na Usabato wao, na nataifa waliolipokea neno wakawa Wakristo.
Hivyo siku nyingine usitoe Mdo 13:44 kama uthibitisho wa Sabato kwenye Agano Jipya wakati walilikataa Neno la Mungu ili wabaki na Torati na vyuo vya manabii. Umeelewa?
Mwamkemwa ni jasiri katika uongo
Ndugu yangu Mwankemwa umepotea hapo
Hayo ni malalamiko. Unatakiwa uoneshe wapi nilipopotea ambapo sijatoa ushahidi wake katika maandiko.
@@BAYYINATDMTV sasa Quran yathibitisha nini eti majuma sabini!Duh Tena wasema Yesu kafuta Sabato ni vile umelewa mvinyo wa Babeli na mama yako katoleki...Tena weww ufundishi ufunuo 17 ww ni WA sunday huwezi hukaelewa
@@MosesMwiti-q2rKwani Quran haimtaji Masih? Quran imelipata wapi neno Masih kama Biblia isingemtaja?
@@MosesMwiti-q2r mtasema tu bdo na mama wa makaba eti ni roma ...wasabato mtatubu aise
@@BAYYINATDMTV wewe ufundishi Kanisa la Mungu lililo ufunuo 12 na Kanisa KAHABA ufunuo 17 wewe hujui unafaa kukaa nyuma ya tent ufundishwe
Unayapotoa mandiko.
Ufunuo 12:17
Nyoosha wewe
Kwamba wewe ni mjuzi sana wa maandiko ama unafiki nilikwambia wewe ni mpumbavu na utapoteza wengi kwasababu watakaopotea ni wengi vilevile pamoja na wewe.kwama ati na wewe mjumapili wajua kitu gani? Ati Sabato imekomeshwa hiyo ni habari njema kwa wajumapili lkn ni habari itakayowaongoza kupotea. Hapo ni mungu roho anakuongoza na sio roho ya Mungu.
Ndiyo umeishia hapo tu hauna jingine la ziada? Nilifikiri utatoa angalau hata fungu moja lililopotoshwa, kumbe ni malalamiko binafsi. Pole sana. Ahsante kushiriki.
@BAYYINATDMTV sasa wewe unalongalonga ati sabato imekomeshwa huyo ni nani anayeweza kukomesha alichoanzisha Mungu? Malalamiko binafsi ndiyo sasa kwa akili ya kawaida hilo linawezekana?mbingu na nchi hazijapita na kumbe Neno la Mungu limepiitaje? Hujui ya kwamba ni rahisi mbingu na nchi kutoweka kuliko yodi moja ama nukta moja ya Torati kuondoka? Sasa wewe unaongea kana kwamba mbingu na nchi zimetoweka na sheria ikafwata Du! Sijui unatoa wapi makufuru hayo na unaujasiri gani!
Mtumishi kumbuka Kuna sabato za miaandamo ya mwezi pamoja nasikuku zake tofautisha na sabato ya uumbaji ambayo imetajwa mwanzo 2
@@amanmgeni7520 Amri zote zilizoamriwa pamoja na Sabato Yesu Alizigongomelea msalabani
Waefeso 2:15-16
[15]Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani.
[16]Akawapatanisha wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba.
Matayo 22:29 inakuusu ww wajua nn maana ya Babeli wajua majuma sabini yalitia mwaka gani omba Mungu akupe ufunuo ujue ukweli
Mwalimu why SDA's do not celebrate Christmas,l fail to understand them
Ni kwa sababu wamefundishwa vibaya. Lakini wengi waliobahatika kupata somo hili wamenipigia simu na kukiri kuujua Ukweli ambao zamani hawakuujua.
Daniel: Diamond ana mjini anaishi na majini anakula na majini anatembea na majini leo wakristo wanakaribisha majini madhabahuni halafu wanashangili tume feli
@@johnwoshi3459 umefeli wewe. Iwapo Diamond mwenye majini anasoma aya za biblia zinazoonesha Yesu amefufuka, huoni huo ni ushindi mkubwa?
Kweli nabado siku zinakuja ambazo wasabato. Wataomba pooo..na
Wewe umelaaniwa .unageukia injili ya namna nyingine kwa kuigeuza injili ya kristo.
Wagalatia 1:7-9
Una maanisha Neno la Mungu nililolinukuu ni lenye laana?
Kwa hiyo mtumishi unataka tuibe, tuue, tuzini, tusiheshimu wazazi, tuabudu Miungu, tusiwapende ndugu zetu, Sabato tuiache, kwa Nini shetani alifukuzwa mbinguni??
Je sio sheria na taratibu nzuri za Mungu shetani alikengeuka na kuzipinga l?
Hatuibi kuua wala kuzini. Yesu Ametuletea amri mpya (Yoh 13:34) Inaitwa AMRI MPYA siyo kama ile ya zamani.
rev 14:12 ... Alaf wew c nabii wala mwalimu kutoka Kwa KRISTO... Unahitaj kuongezaa kipato tuu
Madai ya kupata kipato ndiyo majibu ya mada hii? Ahsante kwa kushiriki.
Wengi wanaolalamika hapa utasikia ni wasabato,.... madai yao wanajua kuyachunguza maandiko kana kwamba wao pekee ndo wanaojua na kuelewa neno la MUNGU yani hata hawataki kusikiliza kitu
Labda wewe umesikia akitoa andiko yesu aliondoa sabato akaweka jumapili
Najua waadventist wanapinga kila kitu kana kwamba wao ndio waliandika Bibilia , Sda's you must apologise to us,more especially the pope and the catholic church and protestants
Kwani Sabato ni dhambi Hadi ifutwe?
Tumlaumu Mungu kama sisi wasabato?
Kama iliifutwa alianzisha ipi?
Na imeandikwa wapi?
Fuatilia somo tena hayo yote nimeyaeleza kinagaubaga tena kwa maandiko
Akika Wata AngamiA kwa kukosa ma Arifa fumbo 😂 Tu mwamini mungu
Hata sasa hakuna msabato anaeweza kuitimiza mfano siku ya sabato hairuhusiwi kutembea zaidi ya mtupo wa jiwe, leo unakuta msabato anatembea umbali wa zaidi ya kilomita.
Sasa kama hakuna anayeweza kuitimiza una andiko liliondolewa😂😂😂?
Wangeyakemea majini ya diamond age dondoka halafu ageokoka na kumpokea bwana wa mabwana mgekuwa mmemsaidia
Ukifanya hivyo na wewe itapendeza
Alama ya mnyama Jumapili inakuhusu acha kiburi
You just calculate the number 666 and get the final answer the way you say 666 refers to the Roman pope... show us Catholics proper calculations...coz it's very sad calling God's church " the antichrist",you Sda's you must apologise to us before the closing of the door in heaven, it's not too late to confess to the pope and the catholic church
@@EnockOnduko May the ELOHIM helps you.the close of probation is near.
@@EnockOndukoalready the top leader of SDA has confessed to the leaders of the Roman Catholic for slandering against them.
Mtumishi bado tunangoja andiko yesu alitoa sabato akaweka jumapili 😂😂
Atoe wap uyu
Yaani aya zote ninazozitoa wewe huzisikilizi? Mdo 2:1, 42
@@BAYYINATDMTV Hizo haya haijasema yesu ametoa sabato akaweka jumapili ili yesu awe na dhambi ya kuondoa sabato
Daniel to be sincere you have no understanding of the scriptures.
Every verse you quote, you quote out of context or you misinterpret the verses for example am taking two verses and show you are misusing them to suit your wrong narrative.
You have quoted Ephesians 2:15 and Hosea 2:11.
Ephesians 2:15-16 Having abolished in his flesh the enmity, even the law of commandments contained in ordinances; for to make in himself of twain one new man, so making peace;
And that he might reconcile both unto God in one body by the cross, having slain the enmity thereby:
What is an ordinance?
Ordinance is a law or a rule made by a government or Authority (it can be city or town government), it is a local law.
From the definition we see that there were laws that was separating the Jews and the Gentiles, these laws made this two groups to be enemies and these are the ceremonial laws that was abolished so that they be one in Christ and not the moral law the ten commandments.
So Christ abolished the ceremonial laws and not the moral law the ten commandments.
So teaching that Christ abolished even the ten commandments is very wrong.
Second one is Hosea 2:11.
Hosea 2:11 I will also cause all her mirth to cease, her feast days, her new moons, and her sabbaths, and all her solemn feasts.
God is speaking saying I will cause her mirth, feast days, new moon, her sabbaths and all her solemn feasts to cease.
Question who is her?
Her here does not refer to God, it refers to a woman or you can interpret it as a church.
If God was addressing His Sabbath then the statement ought to be different addressing to himself - I will cause my Sabbath to cease.
Here we have Sabbath of the ten commandments which is God's and ceremonial sabbaths mentioning in Exodus, Leviticus and Deauteronomy that was pointing to Christ written in Colossians 2:13-17.
Stop misinterpreting the word and leading people of God astray.
Brother Enock your comment would be worthy, If you would have produced at least one verse from the Bible which unequivocal shows that after His ressurection, Jesus Himself or His disciples kept on observing the Sabbath day. I can't wait to hear!
@@enockolekete3576 Hebu soma aya hizi uone jinsi Sabato, mwandamo wa mwezi, mwezi mpya vilikomeshwa.
Isaya 66:23
[23]Na itakuwa, MWEZI MPYA hata MWEZI MPYA, na SABATO hata SABATO, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Hapa tumeona maneno Mwezi mpya, yaani, mwandamo wa mwezi na Sabato.
Kisha soma Hosea 2:11 uone vitakavyokomeshwa ni vitu gani?
Hosea 2:11
[11]Tena nitaikomesha furaha yake yote, na SIKUKUU ZAKE, na siku zake za MWANDAMO WA MWEZI, na SABATO ZAKE na makusanyiko yake yote yaliyoamriwa.
Hapa vinavyokomeshwa ni sikukuu, mwandamo wa mwezi na sabato.
Namna vilivyokomeshwa
Kolosai 2:14-17
Wakolosai 2:14-17
[14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani;
[15]akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo.
[16]Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika VYAKULA au VINYWAJI, au kwa sababu ya SIKUKUU au MWANDAMO WA MWEZI, au SABATO;
[17]mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Kumbe hati za mshtaka zilizokomeshwa kwa kufutwa pale msalabani zilihusu: SABATO, MWANDAMO WA MWEZI yaani, MWEZI MPYA, VYAKULA na VINYWAJI.
@@BAYYINATDMTV
Mchungaji Daniel wewe unapotoa maandiko.
Nikianza na Isaya 66:22-23 hii umenukuu haisemi vile unafundisha.
Isaya 66:22-23 Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na Sabato hata Sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema BWANA.
Nukuu hii kwanza inaashiria wakati ujao. It's a future tense. Na ni wakati baada Dunia hii kuchomwa na kuangamiza dhambi ndipo Mungu atafanya mbingu mpya na nchi, ambapo maskani ya Mungu itakua pamoja na wanadamu.
Na hii nukuu haizungumzii mwandamo wa mwezi ambayo Hosea 2:11 anazungumzia, miandamo ya mwezi ni sehemu ya ceremonial laws that the Israelites practised which was to end with the Christ on the cross.
Dunia hii ya sasa ambayo ni ya dhambiimewekwa akiba kwa moto 2 Peter 3:7, baada ya kuchoma Dunia sasa ndio Mungu atafanya mbingu mpya na nchi mpya ambayo haitakua na dhambi tena na hapo ndo Isaya anasema Itakua mbingu mpya na nchi, watu wote wataenda kuabudu mbele za Mungu Sabato hata Sabato.
Mungu atafanya mbingu mpya na nchi Soma Isaya 65:17, 2Peter 3:13, Revelation 21:1.
Mchungaji Daniel ni wapi Mungu ashafanya mbingu mpya na nchi mpya ambayo haina dhambi?
Sasa wewe kama hautaki Sabato ni ishara kwamba hautaki kuenda mbinguni sababu mbinguni kutakua na ibada ya Sabato ambayo unaikataa.
@@BAYYINATDMTV
Thank you Pastor.
For me I believe what Christ said and Christ is not a liar. I trust and believe His Statement and Here is the statement.
Matthew 5:17-19 Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil.
For verily I say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled.
Whosoever therefore shall break one of these least commandments, and shall teach men so, he shall be called the least in the kingdom of heaven: but whosoever shall do and teach them, the same shall be called great in the kingdom of heaven.
Christ here is on the record saying that Till heaven and earth pass, one jot or one title shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled.
So far, the earth and heaven have not yet passed meaning the moral law (the ten commandments) is still intact, not even a jot has been removed.
Secondly all the apostles obseverd the fourth commandment by keeping the Sabbath day.
Acts 13:14
But when they departed from Perga, they came to Antioch in Pisidia, and went into the synagogue on the sabbath day, and sat down.
Acts 13:27
For they that dwell at Jerusalem, and their rulers, because they knew him not, nor yet the voices of the prophets which are read every sabbath day, they have fulfilled them in condemning him.
Acts 13:42
And when the Jews were gone out of the synagogue, the Gentiles besought that these words might be preached to them the next sabbath.
Acts 13:44
And the next sabbath day came almost the whole city together to hear the word of God.
Acts 16:13
And on the sabbath we went out of the city by a river side, where prayer was wont to be made; and we sat down, and spake unto the women which resorted thither.
Acts 17:2
And Paul, as his manner was, went in unto them, and three sabbath days reasoned with them out of the scriptures,
Acts 18:4
And he reasoned in the synagogue every sabbath, and persuaded the Jews and the Greeks.
I have given you enough evidence.
Teaching, preachinga/reading the Word and healing are the things that Christ used to do the Sabbath day.Kama Sabato ingekua imeishia msalabani wanafunzi ata na Paulo hawangeshughulika na Sabato tena Na taarifa ingekua waazi kwamba siku ya ibada rasmi ni siku ya kwanza ya Juma.
Mchungaji kubali ukweli na Batizwa, Kua msabato na ujiunge na wasabato unaposubiri Yesu akuchukue mbinguni tukiendelea na ibada ya Sabato.
Usipofanya Moyo wako kua mgumu bado Mungu atakuzungumzia.
Yohana 5:18
[18]Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.
Kuvunja hekalu ni kufuta Sabato? Je wasabato Bado wanachinja wanyama?
Unauhakika wasabato hawaamini yesu ailikufa na kufufuka?
Hakuna Msabato anayeamimi Yesu alikufa na kufufuka. Hii ni kwa sababu katika Yoh 5:18 Wasabato walipanga kumuua Yesu kwa sababu haikuivunja sabato to bali alimwita Mungu ni baba yake.
Alfu mwenzako Chaka Wa Musa ningetaka pia mjadili naye?
Ni sawa na kusema unakula vyote halafu kumbe huli ukiletewa mjusi. Kwamba amri ziligongomelewa msalabani? Moral laws na ceremonials laws unazifahamu kweli? Kama amri kumi(moral laws) ziligongomelewa msalabani kwahiyo unawaambia watu wafanye kinyume chake? Yesu anaposema hakuja kutangua torati wala manabii( to destroy ) unamchukuliaje kwa mfano? Basi toa na somo la orodha ya amri za Mungu tuone utatuletea nini kwenye hadhara
Hakuna hicho kitu unachoandika hapa. Kuna sabato ya moral law na sabato ya siku? Kwenye biblia hakuna kitu kama hicho. Unakitengeneza wewe. Lakini ndani ya Biblia hakuna kitu hicho
@@BAYYINATDMTVth-cam.com/users/liveCMU89-kkV2E?si=Vbf_be7acIYPB0S7
@@BAYYINATDMTVlink hiyo hapo sikiliza vizuri kesho nitakuuliza kama hutakuwa umeelewa
Ni amri 10 au dhambi yaani mash taka ya watu?
Ulisikiliza ndugu?@@BAYYINATDMTV
Makafiri kwama kafiri mnapambana. Nyinyi kwa nyinyi wajinga wakubwa
Wakristo hilo ndio tatizo lenu. Yani una mchukua msanii kwa7bu ana jina la kiislamu ndio mna tamba kuona kama waislamu mme wateka. Huyo ni muimba kwaya kama nyie na bibilia haikubali nyimbo. 5:23 amosi.
Nimemleta hapo kwa sababu yeye anamuamini Masih Issa ambaye anaamini kwamba ndiye Yesu. Sijasema ameletwa hapo kwa kufuata Biblia bali Quran kama nilivyoinukuu.
@@BAYYINATDMTV una amini mahisi issa ndio yesu? Kwa ww mwl Daniel
Kipofu na uislam wako
Issa siyo Yesu na hatumjui. Ndiyo sababu sifa zao hazifanani. @@SaleheKijazy
Hakuna unalo lielewa, soma na zaburi 50 sura yote