Yaani Mwalimu, umefundisha vile vile ninavyo wafundisha Waumini Kanisani ninakosali Mimi, hongera sana Mwalimu kwa mafafanuzi hayo. Ubarikiwe na BWANA YESU.
Mtumishi wa Bwana Ubarikiwe sana kwa ufafanuxi usio na shaka kuhusu UTATU MTAKATIFU. Kwa kuwa bafo ingalipo na Roho Mtakatifu ndiye atoungozaye kutuweka kwenye KWELI YOTE na azidi kutufinua kuhusu SABATO. Tafadhali tusome kwa maombi Kitabu cha Daniel sura ya Saba na hitimisho lake likiwa matari wa 25.
Umefundisha vizuri sana Mtumishi kwa hekima na lugha yenye staha. Hujatumia lugha ya kuudhi licha ya kuwa Mch. Lusekelo alitumia lugha za kuudhi. Ukweli kama kuna Mkristo hajakuelewa basi ajitathmini imani yake
Hivo ni bichekesho na dhihaka Mungu alikaa tumboni mwa binadamu na kuzaliwa bandani kajisaidia kala kalala kama binadamu halafu akauawa na binadamu. Mbona ni vichekesho na maajabu na dhihaka. Mungu ni mmoja tu hakuzaa hakuzaliwa hana mshirika hafananishwi hajaonekana yupo kila mahali si mbinguni si baba kwani hana jinsia.Hizo ndizo habari za kweli za Mungu zinginezo ni porojo
Baba Mungu akubariki sana mimi Niko Bujumbura Ila somo hili ungiliendeleza kwakuwa mafundisho yaupotovu yamekuwa mengi sana, kwakuwa waalimu wengi nafundisha walio nukuu kwenye vitabu vyakihistoria kwakufundisha yale yaliobadilisha mtazamo wa kidunia.
Hayo ndiyo matatizo ya kutokwenda vyuo vya Biblia. Huyo mzee wa upako akiwa mmojawapo. Hongera mwalimu Danieli kwa mafafanuzi mazuri, Mungu akubariki na kukuinua.
From D RCongo 🇨🇩/Someni maandiko vizuri 👉🏽 Yohana 17:3)( Mathayo 16:13-18)( 1Wakorintho 8:5-6)( 2 Wakorintho 3:17)( Mathayo 18:19-20)( Ufunuo 14:12)( Warumi 10:17)( Waebr 1:1-2) 👉🏽 kwenye maandiko hakunaga mungu roho kama vile ninyi mnavyo zani, ila kuna Mungu Baba, na kuna Mwana wa Mungu ambaye ni yesu kristo), Roho mtakatifu ni roho ya Mungu), mfano tuki soma 👉🏽 Danieli 2:1 nebukadreza aliota ndoto na roho yake ilifazaika)( jiulize sasa nebukadreza na roho yake niwatu wawili tofauti )( mungu roho kwenye 👉🏽 Biblia hayupo
Nyie mnao fuata dini ya waarabu tacheni sisi na Yesu wetu. Fateni HIYO dini yenu mnayoiita ya haki,kumbuka hapo waarabu walichowafanyia Babu zetu, kuwaua,kuwauza,,kuwahasi, nk je HIYO ndiyo haki je Mungu anayapenda hayo?
Mwalimu, waalimu wetu wa vyuo vya Biblia wametufundisha vizuri ila huu ni ukengeufu mkubwa ambao umeingia ndani ya mzee wetu huyu. Asante Sana maana umefafanua kwa uzuri sana, umeeleweka sana.
Amina mtumishi, nafurahi kusikia hivyo🙏 lakini ninasikitika kuona watumishi wakubwa wanatoa mafundisho potofu kiasi hicho maana nilizoea kusikia mafundisho ya aina hiyo yakotolewa na upande ule wa pili.
Mchungaji Lusekelo, Sijamuelewa...Mimi naamini Mungu ni Mmoja katika Nafsi Tatu Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu (1Yoh.5:8); (Mwz.1:26) Yesu Kristo anasema MIMI NA BABA TU UMOJA. HII NI MATOKEO YA KUWA NA MAFUNDISHO YA MAOMBEZI KILA IBADA...KAPOTEZA MISINGI YA IMANI YAKE..NENO LA KRISTO LIMENYAKULIWA NDANI YAKE MPAKA KASAHAU KWANINI ANAOMBA KWA JINA LA YESU.
@@OmariShuliNdugu ukijua Siri ya Yesu kifadhaha hauta wezabkuwa kama ulivyo Yesu ni Mungu ,Sifa zote anazo sjui unabisha nini Yesu ni mwokozi ukimwamin Utapata ondoleo la dhambi ukimkataa huna MunguYohana 3:1-19, 36 Yohana 14:1......Filipo 2:9
@@adamsonkyando-l4ikwaiyo kipind Cha mtume mussa nao waliomba kupititia jina la yeasu na kipnd Cha mitume wengne hasa mussa na kwenderea Nan alie wabebea zambi zao alie shusha Tourat ni Nan alie shusha kitabu Cha enjr ni Nan AYOUB 27:3naapa kuwa kadir ninavyoweza kupumua roho ya mungu iliwa ndan yangu je naye ni mungu
Naona unajitahidi kuungaunga maandiko ila huja toa andiko hata moja alilofundisha yesu kua yeye ni mungu. Yesu mwenywe hakuwahi kusema kua yy ni Mungu na roho mtakatifu pia ni mungu
Mwalimu nimependa sana ulivyomjibu gileskhamisi roho ni Mungu🎉.tuelewe vyema apo jmn Mungu ni moja ambae ni baba katika cheo cha ujumla maana bila yeye kusingekua na chochote mbinguni wala duniani yeye ndo kaumba,yesu ni mungu ktk utendaji wa ukombozi ndomana alivaa mwili roho ilimwingia maria akazaa mwana,,na roho ndie mungu halisi ndomana maandiko yanasema hatosamehewa atakae mkufuru roho mtakatifu✍️
Hata wayahudi wenyewe hawauamini utatu waislam vile vile agano la kale hata Yesu hakuhubiri utatu. Tena waislam wanaamini Mungu ni mmoja tu hakuzAa hakuzaliwa
Ndg yangu Daniel, unaweza kuielezeaje Isaya 9:6.Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa .Tumepewa mtoto mwanaume;Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;Naye ataitwa jina lake,Mshauri wa ajabu,Mungu mwenye nguvu,Baba wa milele ,Mfalme wa milele.Warumi,9:5,Ambao mababu ni wao na ktk hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili.Ndiye aliye juu ya mambo yote MUNGU, MWENYE KUHIMIDIWA MILELE.AMINA.Tito2:13:Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu,MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU;14AMBAYE ALIJITOA NAFSI YAKE(moja)KWA AJILI YETU....Kwa kutaja maandiko machache kati ya mengi sana yanayothibitisha kuwa Mungu ni Mmoja na ni BWANA YESU KRISTO.
@@moseskatega8441kwel Mana bible Kama ni maneno ya mungu ilitakiwa tuskie mungu anasema lakn utaskia mara mathayo anasema who is mathayo na utaskia Luka anasema huyu Luka ni Nan kwann isiwe mungu anasema
Mungu akasema Mwanamke atamuacha baba ake na mama yake ataungana na mume wake mwanaume watakuwa mwili Mmoja (kiebrania--echad) au unification kuwa kimoja Baada ya mume na mke kuungana wanakuwa kimoja
Nimekusikiliza kwa makini, ni mwalimu mzuri sana…..Malaika alikataa kusujudiwa, Petro alikataa kusujudiwa, lakini Yesu hakukataa kusujudiwa. Maana utimilifu wote wa Mungu unakaa kwake kwa jinsi ya mwili. Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo…ni kana kwamba ni viti viwili kumbe ni kiti hicho hicho kimoja. halafu mtu akisema Yesu sio Mungu, hiyo ndio ile roho ya mpinga Kristo inatenda kazi ndani yake.
Lusekelo yupo sawa kabisa nyie ndo waongo yes sio Mungu na hata kaa awe Mungu na Mungu ni mmoja tu hajazaa na hajazaliwa na hana mtoto yesu ni mtume kama mitumi mie iliyowahi kupita
Tunajua mahusiiano ya mungu Baba na mungu mwana yaani Roho wa mungu ndani ya mwili wa kaka yesu au yahshua na ummoja wa Baba na mwana ndani yetu kwa njia ya Roho wa amassih inattosha tuacha e na fudisho la nafsi
Kiti cha enzi cha Mungu na cha mwanakondoo siyo kiti cha Enzi cha Mungu na Mwanakondoo, Hivyo unavyosema kiti cha Enzi cha Mungu na cha mwanakondoo tayari inaonyesha kuna vitu viwili hapo siyo kimoja, Kuna kiti cha Enzi ni cha Mungu pekee
Umeeleweka wasioelewa wanataka kutoelewa. Mungu akubariki .
Hata ukifanya mdahalo na Ndacha hatakuwa na hoja. Maandiko uliyosoma hawezi kuyakosoa.
Ubarikiwe Daniel
Asante mwalimu kwa fundisho na Kwa majibu ya kina kwa mzee wa upako(Anthony Lusekelko) Bwana Yesu azidi kukutumia.Rev, Martin Philip Nchaila.Korogwe
Powerful sermon; Mungu abariki huduma yako katika Yesu kristo Bwana wetu.
Mungu akubariki umemfundisha Lusekelo na wafuasi wake na waislam pia.
Ubarikiwe sana Tena sana nimekuelewa sana
Daniel nimekuelewa sana Mungu akuzidishie maarifa mengi zaid
Mungu akubariki sana ,kwa mafundisho yako,Dan Mwankemwa,naona Roho Mtakatifu nakutumia.
Amina tuminche Daniel. Karibo tena mozabique. Abar za Dar salam
Nashukuru sana Mwalimu kwa kazi njema
Asante mwalimu niko kenya nakufwatilia sana mungu akubariki sana
Daniel Mwankemwa barikiwa sana,wewe ni mwalimu msomi pia mcha Mungu wa kweli full of Holy spirit!!
Be blessed in richly!
Ahsante
Mwehu wewe unatafuta umarufu
Ndiyo mungu aweza kufanyika chochote, daudi kasema mungu aliens mara moja nikasikia mara mbili.
Mwankema ubarikiwe Sana YESU akujaze mafuta zaidi
Yaani Mwalimu, umefundisha vile vile ninavyo wafundisha Waumini Kanisani ninakosali Mimi, hongera sana Mwalimu kwa mafafanuzi hayo. Ubarikiwe na BWANA YESU.
Mungu akubariki sana
Umenifungua kwa upana na undani wa Utatu Mtakatifu . Ubarikiwe.
Mtumishi wa Bwana Ubarikiwe sana kwa ufafanuxi usio na shaka kuhusu UTATU MTAKATIFU.
Kwa kuwa bafo ingalipo na Roho Mtakatifu ndiye atoungozaye kutuweka kwenye KWELI YOTE na azidi kutufinua kuhusu SABATO. Tafadhali tusome kwa maombi Kitabu cha Daniel sura ya Saba na hitimisho lake likiwa matari wa 25.
Asante MTUMISHI Kwa Ufafanuzi Mungu akumie zaidi Nimefarizika sana
Ubarikiwe Mtumishi
Barikiwa mwalimu Danieli
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Kazi yako ni njema. Upo sahihi
Asante mpendwa kwa utumishi wako. Upako anaudhihirisha undani wake, anatafuta kuungwa mkono na wapinga Kristo.
Godda
Hongera Mwalimu Danielo
Umefundisha vizuri sana Mtumishi kwa hekima na lugha yenye staha. Hujatumia lugha ya kuudhi licha ya kuwa Mch. Lusekelo alitumia lugha za kuudhi. Ukweli kama kuna Mkristo hajakuelewa basi ajitathmini imani yake
Yesu Kristo ni Mungu Mkuu..ndani yake kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu....mzee wa Upako hana hoja za Kimaandiko.
Hivo ni bichekesho na dhihaka Mungu alikaa tumboni mwa binadamu na kuzaliwa bandani kajisaidia kala kalala kama binadamu halafu akauawa na binadamu. Mbona ni vichekesho na maajabu na dhihaka. Mungu ni mmoja tu hakuzaa hakuzaliwa hana mshirika hafananishwi hajaonekana yupo kila mahali si mbinguni si baba kwani hana jinsia.Hizo ndizo habari za kweli za Mungu zinginezo ni porojo
Hii nimeipenda na MUNGU akubariki
Barikiwa sana kwa utumishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Daniel nakufatilia nikiwa Zanzibar
Amen mtumishi nimekuelewa Sana
Amen somo zuri limeeleweka Mungu atupe kuelewa.
Ubarikiwe sana Mwl Danieri
Very good explanation. Yeyote anayependa kujifunza lazima asikilize
Safi mwalim
uko sahihi kabisa Mwl Daniel pale mwanzo 1:1 Neno Mungu....
Baba Mungu akubariki sana mimi Niko Bujumbura Ila somo hili ungiliendeleza kwakuwa mafundisho yaupotovu yamekuwa mengi sana, kwakuwa waalimu wengi nafundisha walio nukuu kwenye vitabu vyakihistoria kwakufundisha yale yaliobadilisha mtazamo wa kidunia.
Safi sana, Mzee wa upako alikua anatafuta kiki
Huyu Mzee wa upako ana upako gani! na ni WA nchi gani jamani! Baba asante sana ubarikiwe
Hayo ndiyo matatizo ya kutokwenda vyuo vya Biblia. Huyo mzee wa upako akiwa mmojawapo. Hongera mwalimu Danieli kwa mafafanuzi mazuri, Mungu akubariki na kukuinua.
Nimekwelewa sana mwalim ubarikiwe Kwa somo
Mwalimu nimekua nikikua kinyume na mafundisho yako lakini ya utatu nakubaliana na wewe ubarikiwe lakini kwa sabato!
Barikiwa mwalimu nakuombea uzidi kulifundisha Neno
Safi Sana mtumishi. Yaan umefafanua vizur.
Ubarikiwe Apostel Mwankemwa
Asante mwalimu kuweka sawa huyu mzee muislsmu nusu
HATA MWANADAMU ANA SEHEM TATU MWILI,ROHO NA NAFSI
From D RCongo 🇨🇩/Someni maandiko vizuri 👉🏽 Yohana 17:3)( Mathayo 16:13-18)( 1Wakorintho 8:5-6)( 2 Wakorintho 3:17)( Mathayo 18:19-20)( Ufunuo 14:12)( Warumi 10:17)( Waebr 1:1-2) 👉🏽 kwenye maandiko hakunaga mungu roho kama vile ninyi mnavyo zani, ila kuna Mungu Baba, na kuna Mwana wa Mungu ambaye ni yesu kristo), Roho mtakatifu ni roho ya Mungu), mfano tuki soma 👉🏽 Danieli 2:1 nebukadreza aliota ndoto na roho yake ilifazaika)( jiulize sasa nebukadreza na roho yake niwatu wawili tofauti )( mungu roho kwenye 👉🏽 Biblia hayupo
Good job man of God
Mzee wa upako yupo sahihi mungu ni mmoja na hana mshirika
Nyie mnao fuata dini ya waarabu tacheni sisi na Yesu wetu. Fateni HIYO dini yenu mnayoiita ya haki,kumbuka hapo waarabu walichowafanyia Babu zetu, kuwaua,kuwauza,,kuwahasi, nk je HIYO ndiyo haki je Mungu anayapenda hayo?
@@AlexBoniphace-j8i nahisi utakua shoga wewe maana mashoga wote hua wanapinga ukweli na kutete uovu
Hongera sana mtumishi
Nimebarikiwa sana 🙏🏽 nasema kutoka moyoni
Ubarikiwe sana mtumishi!!! 👏 👏 👏 👏 👏 👏
Yesu akutunze sana uko sahihi sana barikiwa sana
Nimeelewa Sana sana
Mwalimu Mungu akubariki Sana
Nilikua namwani huyu jamaaa Lusekelo kumbe sifuri,sifuri sifuri, HAKUNA Miungu watatu yupo Mungu mmoja kwenye nafsi tatu
Mwalimu, waalimu wetu wa vyuo vya Biblia wametufundisha vizuri ila huu ni ukengeufu mkubwa ambao umeingia ndani ya mzee wetu huyu.
Asante Sana maana umefafanua kwa uzuri sana, umeeleweka sana.
Pole sana Mwalingu wangu, hadi wachungaji wakubwa tunao wategemea wanakuwa mwiba kwa kanisa! Wanakupa wakati mgumu sana.
Hawanipi wakati mgumu kwa sababu Neno la Mungu ambalo ndiyo kipimo cha maneno yetu yote lipo. Kazi yetu ni kulifunua. Ubarikiwe
Amina mtumishi, nafurahi kusikia hivyo🙏 lakini ninasikitika kuona watumishi wakubwa wanatoa mafundisho potofu kiasi hicho maana nilizoea kusikia mafundisho ya aina hiyo yakotolewa na upande ule wa pili.
Tunakuelewa sana mwalimu daniel
Mwalimu nimekuelewa sana❤
Ubarikiwe mtumishi
Okosahihi mtumishi
Mzee wa upako kazingua.. Barikiwa Mwalimu
Usishangae Mtumishi wa Mungu. Watu wengi wako katika Kazi Hii Kama mawakala wa ibilisi. Ameamua kupotosha wasikilizaji hasa mbumbu
Pole wafuac wa mzee wa upako mnayo kazi
Hajasoma bible school,aliinuka tu na upako.
Mithali 30:5
Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio.
Balikiwa mwalimu unaeleweka kabisa
Mungu akubaliki kaka yangu tunakuombea na mungu aendelee kujifunua kwako
Yaani Wewe ubarikiwe sanaaa
Asante sana Mwalimu; Hakika umekuwa mwamuzi wa kipindi hiki. Hawa wachungaji sijui wamekumbwa na nini? Mungu tusaidie kwa kweli.
Mchungaji Lusekelo, Sijamuelewa...Mimi naamini Mungu ni Mmoja katika Nafsi Tatu Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu (1Yoh.5:8); (Mwz.1:26) Yesu Kristo anasema MIMI NA BABA TU UMOJA. HII NI MATOKEO YA KUWA NA MAFUNDISHO YA MAOMBEZI KILA IBADA...KAPOTEZA MISINGI YA IMANI YAKE..NENO LA KRISTO LIMENYAKULIWA NDANI YAKE MPAKA KASAHAU KWANINI ANAOMBA KWA JINA LA YESU.
utamuele huko mbeleni, we fanya utafiti kwa utulivu.
@@OmariShuliNdugu ukijua Siri ya Yesu kifadhaha hauta wezabkuwa kama ulivyo Yesu ni Mungu ,Sifa zote anazo sjui unabisha nini Yesu ni mwokozi ukimwamin Utapata ondoleo la dhambi ukimkataa huna MunguYohana 3:1-19, 36 Yohana 14:1......Filipo 2:9
@@adamsonkyando-l4ikwaiyo kipind Cha mtume mussa nao waliomba kupititia jina la yeasu na kipnd Cha mitume wengne hasa mussa na kwenderea Nan alie wabebea zambi zao alie shusha Tourat ni Nan alie shusha kitabu Cha enjr ni Nan AYOUB 27:3naapa kuwa kadir ninavyoweza kupumua roho ya mungu iliwa ndan yangu je naye ni mungu
@@adamsonkyando-l4itupeni jina la ubatizo la mtume mussa,na Nabii yakob
Utafundisha sana kosa ni kutaja nafsi tatu mungu ana nafsi mmoja mwana ana nafsi mmoja Roho ni neno Tena Roho ni mungu
Alishakataliwa ktk mambo ya Imani msisumbuke,mtu ukimwonya mara ya kwanza ya pili na ya tatu mkatae.Amen
Naona unajitahidi kuungaunga maandiko ila huja toa andiko hata moja alilofundisha yesu kua yeye ni mungu. Yesu mwenywe hakuwahi kusema kua yy ni Mungu na roho mtakatifu pia ni mungu
Waislamu mna jitahidi sana kumuunga mkono mzee wa ...
nenendeni sasa kanisani kwake mkabatizwe.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Swali Je, mbinguni tutawakuta wote watatu...??? Naomba majibu.
Ndiyo wakiwa katika Umoja wao wa Kiungu, Uf 22:1,3
Mwalimu nimependa sana ulivyomjibu gileskhamisi roho ni Mungu🎉.tuelewe vyema apo jmn Mungu ni moja ambae ni baba katika cheo cha ujumla maana bila yeye kusingekua na chochote mbinguni wala duniani yeye ndo kaumba,yesu ni mungu ktk utendaji wa ukombozi ndomana alivaa mwili roho ilimwingia maria akazaa mwana,,na roho ndie mungu halisi ndomana maandiko yanasema hatosamehewa atakae mkufuru roho mtakatifu✍️
Hata wayahudi wenyewe hawauamini utatu waislam vile vile agano la kale hata Yesu hakuhubiri utatu. Tena waislam wanaamini Mungu ni mmoja tu hakuzAa hakuzaliwa
Ndg yangu Daniel, unaweza kuielezeaje Isaya 9:6.Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa .Tumepewa mtoto mwanaume;Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;Naye ataitwa jina lake,Mshauri wa ajabu,Mungu mwenye nguvu,Baba wa milele ,Mfalme wa milele.Warumi,9:5,Ambao mababu ni wao na ktk hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili.Ndiye aliye juu ya mambo yote MUNGU, MWENYE KUHIMIDIWA MILELE.AMINA.Tito2:13:Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu,MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU;14AMBAYE ALIJITOA NAFSI YAKE(moja)KWA AJILI YETU....Kwa kutaja maandiko machache kati ya mengi sana yanayothibitisha kuwa Mungu ni Mmoja na ni BWANA YESU KRISTO.
Hayo ni maandishi ya Wazungu hayako sahihi.Biblia ni kitabu cha Wakoloni
Mimi nafundisha hivi: Biblia ni maandishi ya Wakoloni.Biblia sio kitabu chetu
Wahebrania wanatuhusu nini sisi Wahaya,Waha,Wamasai nk.
❤ fact
@@moseskatega8441kwel Mana bible Kama ni maneno ya mungu ilitakiwa tuskie mungu anasema lakn utaskia mara mathayo anasema who is mathayo na utaskia Luka anasema huyu Luka ni Nan kwann isiwe mungu anasema
Mungu akasema
Mwanamke atamuacha baba ake na mama yake ataungana na mume wake mwanaume watakuwa mwili Mmoja (kiebrania--echad) au unification kuwa kimoja
Baada ya mume na mke kuungana wanakuwa kimoja
Good gospo
You habibu Yesu utamtambua siku yako ya mwisho maana unamsona huyo taahira eako ana mbingu mjings sana tena taahira kama huyo mpumbavu wako
Nakuunga mkono
Nakubaliyana nawe
Mzee wa upako sasa amepotea moja kwa moja.....kukana Yesu siyo Mungu ni upagani wa hali ya juu.
KUAMINI KUWA MUNGU ANAO WASHIRIKA KATIKA MILKI YAKE NDIO USHIRINA WA HALI YA JUU
Yesu aliishi duniani jee wakati wa uhai wake wote aliwafundisha wanafunzi wake kua yy wamuite mungu?
Mwl. Mwalimu Mwakemwa nakukubali kuhusu Biblia ni mwalimu kweli
Nimekwelewa mwalimu
Nimekusikiliza kwa makini, ni mwalimu mzuri sana…..Malaika alikataa kusujudiwa, Petro alikataa kusujudiwa, lakini Yesu hakukataa kusujudiwa. Maana utimilifu wote wa Mungu unakaa kwake kwa jinsi ya mwili. Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo…ni kana kwamba ni viti viwili kumbe ni kiti hicho hicho kimoja. halafu mtu akisema Yesu sio Mungu,
hiyo ndio ile roho ya mpinga Kristo inatenda kazi ndani yake.
Bangi noma
Imnisaindia sana
Pongezi saba kwako mwalimu uko vzr
YAAN UBARIKIWE SAANA
Lusekelo yupo sawa kabisa nyie ndo waongo yes sio Mungu na hata kaa awe Mungu na Mungu ni mmoja tu hajazaa na hajazaliwa na hana mtoto yesu ni mtume kama mitumi mie iliyowahi kupita
Kumbe Lusekero hoooooovyo!
Nipe andiko roho wa mungu (yaani roho mtakatifu )anaitwa mungu.
Mdo 5:3-5
Tunajua mahusiiano ya mungu Baba na mungu mwana yaani Roho wa mungu ndani ya mwili wa kaka yesu au yahshua na ummoja wa Baba na mwana ndani yetu kwa njia ya Roho wa amassih inattosha tuacha e na fudisho la nafsi
Hatuwezi kuacha fundisho la nafsi kwa sababu hata Yesu alizisema ili kutuonesha Yeye na Baba wakoje (Yoh 5:26)
Mzee wa upako anasema kweli #Anaogopa mtamkili
Umeeleweka hata darasani ipo hivo wengi wapo kutotaka kujua lkn anayetaka kujua upo sawa na unathibitisha kwa maandiko Mungu akutangulie.
Kiti cha enzi cha Mungu na cha mwanakondoo siyo kiti cha Enzi cha Mungu na Mwanakondoo,
Hivyo unavyosema kiti cha Enzi cha Mungu na cha mwanakondoo tayari inaonyesha kuna vitu viwili hapo siyo kimoja,
Kuna kiti cha Enzi ni cha Mungu pekee
Jesus was not created, is the Word of God.
Wew Bravo una kiburi cha kubishia Maandiko Matakatifu. Kwa hiyo imeandikwa Mungu aketiye katika kiti cha enzi na Mwanakondoo kumbe amekosea?
Hakika yanatusaidia mnooooo .. Mungu aendelee kukutua nguvu