JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 126

  • @mariousnjessa6123
    @mariousnjessa6123 8 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa mtumishi wa Mungu. Mwenye kusikia na asikie

  • @abelnsyani9244
    @abelnsyani9244 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mtumishi kwa ualimu wako. Mungu akubariki sana

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe.
      Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi.
      Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua
      1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani.
      2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi
      3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili
      4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati
      Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu
      5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki.
      Nakupa hadith za Mtume.
      Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi."
      (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi).
      Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi."
      (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462).
      Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi?
      Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi?
      Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua.
      Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.

  • @EgidMwalongo
    @EgidMwalongo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabisa mwalim wote wanaomkataa yesu siku ya mwisho ni jehanam tu

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 6 หลายเดือนก่อน

      Hahuna muislamu anaemkataa yesu lzima mnapokoment mjue vya kuongea,ila wanakataa sifa mnazompa,hata mm nikiwa mmoja wao.sasa tuone Kama wewe siku hio utakuwa mlangoni kwa jehannam utupeleke tukachomwe au tutakwenda pamoja au ndo ushajihakikishia huku ukiwa na makosa kibao una hukumu watu duniani

  • @OscarMilambo-xu7ek
    @OscarMilambo-xu7ek 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Mungu akubariki sana nimekuelewa sana mwaisa

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @samuelgacheru4854
    @samuelgacheru4854 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu bwana akumbaliki sana,endelea kufunza kuelimisa wa watu wa mungu

  • @samweljackson5754
    @samweljackson5754 7 หลายเดือนก่อน

    Mh! Makubwa sana asante mwalimu endelea kubarikiwa

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 7 หลายเดือนก่อน

    Balikiwa sana mtumishi

  • @honestrafael3390
    @honestrafael3390 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mwalimu

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwehu jadili dini yako ambayo ata mungu Haina mara mungubaba mara mungu mwana mara yesu

  • @ostenmwakasita6960
    @ostenmwakasita6960 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mwana wa Mungu

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe.
      Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi.
      Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua
      1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani.
      2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi
      3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili
      4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati
      Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu
      5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki.
      Nakupa hadith za Mtume.
      Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi."
      (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi).
      Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi."
      (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462).
      Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi?
      Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi?
      Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua.
      Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kama jiwe,lililokuwa jeupe,limegeuka kuwa jeusi,kwa sababu ya kuathirika kutokana na kazi ya kuzitakasa dhambi ya wanadamu ! Lakini wakati huo huo,upande mwingine,unadema watu wanataksswa dhambi zap kwa damu ya Yesu ! --- Ndipo Mimi husema kuwa,hivyo vitabu viwili,havitokani na Mungu huyo mmoja aliyeumba vyote --- kwasababu Mungu hawezi " kujikanganya mwrnyewe " yaani Mungu huyo mmoja,upande mmoja awaambie watu hivyo,kuhusu namna ya kutakaswa zambi zao --- Halafu,upande mwingine,awaambie namna tofauti ya kutakswa dhambi zao,kama alivyowaambia wale wa kwanza,Halafu tuendelee kuamini kuwa vitabu hivyo,chanzo chake ni kimoja -- No," Mungu hayuko hivyo --- kwake hakuna mkanganyiko "

    • @yamungummungulo633
      @yamungummungulo633 7 หลายเดือนก่อน

      Endlea kufuata njia(dini) ili ufike kwake Mungu salama

    • @harunaotieno2893
      @harunaotieno2893 7 หลายเดือนก่อน

      Kitabu cha injili ni kitabu kilichotumwa kwa watu maalum na walkkuwa wana wa Israel sawa sawa na tourati pia ilitumwa kwa watu maalum ila Qur'an ni kitabu kimetumwq kwa ulimwengu mzima

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 6 หลายเดือนก่อน

    Waislam daima huwa hawana hoja, wao kazi Yao huwa ni kupinga tu

  • @abubakarmwasumilwe7070
    @abubakarmwasumilwe7070 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli Ukafiri ni Mtihani

  • @Vicent-nd7bn
    @Vicent-nd7bn 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte mutumishi

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 8 หลายเดือนก่อน

    Kwan sasaiv vipindi vimebadilika???

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe.
      Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi.
      Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua
      1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani.
      2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi
      3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili
      4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati
      Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu
      5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki.
      Nakupa hadith za Mtume.
      Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi."
      (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi).
      Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi."
      (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462).
      Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi?
      Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi?
      Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua.
      Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.

  • @veromosha9090
    @veromosha9090 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mtumishi,,,,Leo nikiwa kwenye majukumu nilipta changamoto ya swali kuhusu alkahaba iko pale kwaajili gani,,,,maana nimeona clip watu wanapaabudu Kama wanamwabudu Mungu wanatukuza jiwe lile kwa heshima kuliko kawaida,,,mbona Kama ni ibada isiyoeleweka,usikute ni ibada za miungu waislam hawaelewi?😢

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน

      Ndivyo ilivyo ni ibada za miungu. Ibada hoyo ilianzia tangu kabla ya Uislamu

    • @veromosha9090
      @veromosha9090 8 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV Asante mwalimu,,,na wanaposema Adam ndo mwislam wakwanza imekaaje iyo,maana hapo tumejifunza hakukuwepo uislam

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 8 หลายเดือนก่อน

      Ukitaka kujua uislam kausome sio kusomewa Alkaba ni kibura ya waislam au ni mwongozo waliopewa waislam wote mda wa kusujudu waelekee sehem moja

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 8 หลายเดือนก่อน

      Huo mwongozo wa alkaba na jiwe jeusi unapatikana kwenye Aya Gani? ndini ya Quran​@@saphinalutaha9077

    • @veromosha9090
      @veromosha9090 8 หลายเดือนก่อน

      @@saphinalutaha9077 kwanini waislam? Nasio wanadamu wote ikiwa Mungu ni moja?..swali langu limetokana na vitendo nlivyoviona kwenye clip flan namna watu wanafanya wakiwa mbele ya lile boksi jeusi la alkaaba,nikama wanalihusudu ilo jiwe kuliko Mungu,sio sawa lkn kwa fikra tu za kibinadamu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 8 หลายเดือนก่อน

    Kaaba ni sehemu yenye maana nyingine kabisa ya kawaida tu. Ni mahali ambapo watu wa wakati waliweka baadhi ya vitu vyao

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 8 หลายเดือนก่อน

    Inasemekana linasamehe dhambi, eti siku ya kiama litakuwa na macho, litakuwa linawatambua Waislamu waliokuwa wanalibusu kwa dhihaka, halitawafutia madhambi yao, na waliokuwa wanalibusu kwa nia thabiti litawafutia madhambi yao. Kama anayesamehe dhambi ni Mungu basi jiwe jeusi ni Mungu wa Waislamu. Soma sunan ibn Majah hadith namba 2944.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe.
      Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi.
      Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua
      1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani.
      2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi
      3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili
      4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati
      Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu
      5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki.
      Nakupa hadith za Mtume.
      Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi."
      (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi).
      Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi."
      (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462).
      Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi?
      Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi?
      Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua.
      Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@MB-yq3tymfundishe huyo kuffar asojitambua

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน

      Ukienda hija unaposujudu kwenye hilo mara 3 na kulibusu, kitendo hicho kinaitwaje?

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV
      Kajibu hoja nilizokupa kwenye video husika ya DOA jeusi ukimaliza kuzijibu halafu uulizie maswali kwenye video husika na hapa tutakuja si unazijua video zako au huzijui?

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe na Daniel nyinyi mamwehu

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

    Akili za ukafiri bwana! Mtihani sana yaani wewe babu umekaa kupinga tu kila kitu, na utaumia sana mana hija ya waislamu ndio mkusanyiko mkubwa kuliko wowote katika dunia hii

    • @elmeskatto
      @elmeskatto 8 หลายเดือนก่อน +1

      uhalali wa ibada haupimwi na wingi wa kusanyiko....wachawi wakikusanyika kufanya ibada je ibada zao ni halali kwa sababu wamekusanyika wengi.

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 8 หลายเดือนก่อน

    Uislamu upo tangia Nabii Adam

    • @selelilumambo2157
      @selelilumambo2157 8 หลายเดือนก่อน +2

      kama uisilam ulikuwepo tangia enzi za Adam..Na mtume Mohammad alikuja kufanya nini

    • @selelilumambo2157
      @selelilumambo2157 8 หลายเดือนก่อน +1

      wew haujui kuwa uislamu uliletwa na mtume???

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahaha😅😅 nmecheka Kwa nguvu

    • @isaackmlayy6228
      @isaackmlayy6228 7 หลายเดือนก่อน +1

      kwahiyo waisrael na wayaudi ni waislamu pungunza utahira

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa Koran ya nini kama uislam upo kabla ya marehemu Mohammed?

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 8 หลายเดือนก่อน

    KUTEREMSHWA
    BIBLIA NA QUR'AN
    Kwa vile Allah alimtereshia Injeel (Good News) Mtume Yesu (pbuh) kabla ya Qur'an kwa Mtume Muhammad (pbuh), Injeel haikureremshwa kuthibitisha au kukosoa Qur'an.

    • @elmeskatto
      @elmeskatto 8 หลายเดือนก่อน +1

      naomba kujua naweza kupata wapi nakala za injili aliyotelemshiwa Yesu ili nisome kujua ndani ya hiyo injili kumeandikwa nini.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 8 หลายเดือนก่อน

    Washirikina tu

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe.
      Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi.
      Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua
      1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani.
      2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi
      3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili
      4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati
      Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu
      5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki.
      Nakupa hadith za Mtume.
      Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi."
      (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi).
      Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi."
      (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462).
      Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi?
      Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi?
      Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua.
      Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน

      Mada ya doa Jeusi niliikimbia lini? Je uko tayari kwa mdahalo kuhusu mada ya doa jeusi?

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV
      Ndio kajibu hoja zangu haraka uache uzuzu. Kwanini wewe ni jitu Ongo na huogopi kudandanya ewe Kafiri Danieli. Wewe sio moja ya vile vitangulizi vya Masihi Dajjal tulivyovifundishwa kweli?

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV
      We mzee tatizo bangi uwe unapunguza hizo au ulivuta ujanani bado zinakupa athari kichwani. Kwa sababu nimeangalia maada mbili tatu hupatii kabisa kama mafundisho yanavyosema. Sasa wewe Mtafiti gani kama sio juha unawadanganya wasojua kisha mnapiga haleluya kweli?. Hujui hii dhima utaibeba?

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTV
      Kwa bahati mbaya wajinga wenzako wanakuona kama bonge la msomi yani kumbe bonge la juha, zindiiq mkubwa, kidajjal flani hivi. Kwann uwadandanye wenzako jiwe la Maquraish na misikiti ya Maquraish wakati uislamu umefundisha wapi chanzo cha jiwe hilo? Kwanini usiwaelekeze chanzo upo tu Maquraish, Maquraish si hadaa hizi.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi,huyo anaye LILAANI TAIFA LA ISRAEL,na huku ana claim kwamba --- " yeye ni mwalimu wa neno la Mungu,ni TAPELI --- MGANGA NJAA asiye jua kitu kuhusu neno la Mungu " Neno la Mungu litimie kwake Mwanzo 12: 3b.

  • @Motheking-ps2tl
    @Motheking-ps2tl 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kichwa nyoka anaijua quran kweli.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน +1

      Msomi Ibn Kathir ninayemnukuu wewe unamuita ni kichwa nyoka? Kwa hiyo mfasiri maarufu wa Quran, wewe unamuita kichwa nyoka? Wewe unaona kakosea kwa sababu ameandika kwamba mnyama atawatia doa jeusi makafiri? Kwani Waislamu hamna alama ya doa jeusi kwenye vipaji vyenu vya uso? Kosa langu ni nini kunukuu?

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTVtatizo huelewki na pia unakusudia kuchafua kitu kisichochafuka

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTVwewe na ndacha mkweli ni nani tufuate

  • @saidiMsume
    @saidiMsume 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inavyoonesha hata maandiko hayajui,uislamu ameubuni marehemu mtume moud,Adamu anahusikaje na Hilo jiwe? Wewe ndo unapotosha ukweli kwa sababu mmejawa na mapepo.

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu nakufwataka nikiwa Congo naweza kupata hivyo vitabu vyakislamu vipi?

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

    Alafu nimegundua kumbe wewe mzee ni bonge la mjinga ,sasa ulitaka OMAR aseme wewe jiwe ndio Mungu wangu?

  • @EgidMwalongo
    @EgidMwalongo 8 หลายเดือนก่อน

    Waisraeli hawezi kulaaniwa na watoto wa babamdogo

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Komwe lako ujui lolote afu Iki kilikuwa kilevi kipuuz hiki

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Jiwe linalofanyiwa Ibada Makkah ewe Mpuuzi Danieli kwenye DOA jeusi ulikimbia kujibu hoja unarudi na ujinga huu nilikwambia kabla ya kuongea kasomeshwe unajia aibu kwa chuki za kijinga na kujikokea moto mwenyewe.
      Kama wewe ni Mkweli waambie watu hilo jiwe limeyoka wapi.
      Kuna elimu kubwa juu ya hilo sio upuuzi wako unaongea vitu usivyo vijua
      1.Hilo jiwe lipo toka Nabii Adamu alitoka nalo Peponi wakati analetwa duniani.
      2.Waambie watu hilo jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa na kwa nini limebadilika kuwa jeusi
      3.Waambie watu kwàmba Misikiti unayoisema na athari za dini pale aliifundisha Nabii Ismaili
      4.Waambie pia watu kwamba Kaaba ni nyumba kongwe kuliko zote na imebomoka Mara ngapi pia huwa inarudishiwa kila wakati
      Moja ya waloirudishia kunyenyua kuta zake ni Ismaili na baba yake Ibrahimu
      5. Sasa wewe unawaongelea Makafiri wa kiquraish wa juzi utakuwa wewe ni mtafiti au mjinga ulojaa chuki.
      Nakupa hadith za Mtume.
      Jiwe jeusi lilishushwa kutoka kwa Allah kwenda duniani kutoka Peponi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "jiwe jeusi lilishushwa kutoka Peponi."
      (Ametaja al-Tirmidhi, 877; al-Nasaa'i, 2935. Hadiyth ameisahihisha al-Tirmidhi).
      Jiwe lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zilifanya kuwa jeusi.
      Imetajwa kwamba Ibn 'Abbas alisema: Mtume wa Allah (rehma na amani zimshukie) alisema: "Wakati jiwe jeusi likishushwa kutoka Peponi, lilikuwa jeupe kuliko maziwa, lakini dhambi za wanaadamu zililifanya kuwa jeusi."
      (Amesema al-Tirmidhi, 877; Ahmad, 2792. Ilizingatiwa kuwa sahihi na Ibn Khuzaymah, 4/219. Al-Haafiz ibn Hajar aliyaainisha kuwa qawiy (imara) katika Fath al-Baari, 3/462).
      Umeelewa kwamba sisi tunajua jiwe limeyoka wapi?
      Na vipi tuliabudu wakati wakati tunajua aliyeliumba huko peponi?
      Kwa akili zako tulijue jiwe na asili yake na tumjue aliyeliumba kisha tumwache aliyeliumba tuabudu jiwe sio?. Nahisi ubongo wako upo kwenye hilo lipua.
      Nabii Issa hakuwa anafanya ujinga unaofanya wewe Soma masomo ya Tawhiid uache shirki siku zaja utakufa nakukumbusha.

    • @elmeskatto
      @elmeskatto 8 หลายเดือนก่อน

      kujibu vitu tofauti na hoja za danieli ni chuki,hoja haijibiwi kwa kejeli.

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 8 หลายเดือนก่อน

      Ujinga tu Ana nn uho

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 8 หลายเดือนก่อน

      Lazma mambumbu yajibiwe

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo jiwe jeupe la mbimguni umeliona vipi umekwenda? Mpumbavu mkubwa

  • @ibrahimkassim8289
    @ibrahimkassim8289 8 หลายเดือนก่อน

    Ni vyema uongelele dini yako unayoijua kuliko kuongelelea uislamu ambayo hauijui .

  • @111dudi
    @111dudi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Quraan inasema Nabi Ibrahim alijenga kaaba. Wewe umekataa, you dalili zako. Toa falili kama nabi Ibrahim hakufika Makka. Acha blaa blaa

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน

      Quran 34:44 kwa Waarabu hajawahi kwenda Mwonyaji (Mtume au Nabii) kabla ya Muhammad. Je Ibrahim aliishi kabla au baada ya Muhammad?

    • @111dudi
      @111dudi 8 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV tatizo liko wapi? Eaarabu walikuwa watu watulivu sio kama mayahudi, waua mitume na wafanya uchafu wa kila aina na mpaka sasa wanafanya maovu sana

    • @suleimaniddi
      @suleimaniddi 8 หลายเดือนก่อน

      Ubiri dini yako kama unataka elimu yakislamu mwone Dr Sele au Mazinge

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 8 หลายเดือนก่อน

      Paka we rather die make money ndio kazi yenu

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 8 หลายเดือนก่อน

    Inna lillahy Wayna Rajna .Muslim do not worship the stone. Waislamu Mungu 1 tu hakuza wala hakuzaliwa .Christians lie ..Jesus hajawahi kuwa Mkiristo ..Paul created christianity..Jesus 300%was muslim

    • @elmeskatto
      @elmeskatto 8 หลายเดือนก่อน

      naomba kuuliza,kitabu alichopewa nabii isa aje nacho kinaitwaje na kiko wapi kwa sasa?

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe babu wacha kujikomba kwa mayahudi, wale ni watu waliolaaniwa hata uwasafishe vipi, kwani wewe hujui kama wayahudi walizikataa neema za Mwenyezi Mungu? Mpaka wakaanza kazi ya kuua mitume? Na hata huyo muungu wako unaemuamini wanampinga halafu eti unajikomba kwao, uwo kweli sio uzwazwa?

    • @elmeskatto
      @elmeskatto 8 หลายเดือนก่อน +1

      jikite kwenye kujibu hoja alizozileta,mbona anachofanya mwalimu danieli ni kitu sahihi,yeye analeta hoja,anatumia vitabu,mjibuni kwa hoja zilizo ndani ya vitabu

    • @elizabethmwaipopo2303
      @elizabethmwaipopo2303 8 หลายเดือนก่อน

      😢

  • @husseinihassani3541
    @husseinihassani3541 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 mwalimu uislamu sio kama ukirsto kuwa utakurupuka halafu useme mm ni mtume nooo mpaka ukasome uelewe uzuri jiwe mpaka sasa lipo pale maka nlifikiri wasema umeenda ukaliona ndo ulijadili kumbe unaelezea kitu ambacho hata huja kiona mzeee baba unakwama wapi?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน +1

      Nilidhani utaniambia hakuna hilo jiwe jeusi ambalo hata Umar ibn Khattab alilikataa lakini wewe unaling'ang'ania.

    • @husseinihassani3541
      @husseinihassani3541 8 หลายเดือนก่อน

      Unazungumzia kitu usichokuwa na elimu nacho ndo maana mzee wa upako akiwarekebisha hamtaki hebu kwakuwa jiwe lenyewe lipo pale nenda siku moja ukasome halfu uje ufundishe wengine elimu ni bora kuliko mihemko sawa kaka

    • @protucekimario8199
      @protucekimario8199 7 หลายเดือนก่อน +1

      lile jiwe sio hilo kama linavyoonekana ingia TH-cam utaona sio hilo kubwa jeusi Bali kwenye Kona kabisa ndo kunakajiwe kadogo kameshikishwa kwenye hilo jiwe jeusi na hilo jiwe ukiliangalia vizur Lina shape like Virgina, ndo nikawaza Mimi kuwa mtume alipenda sana chini hadi akaamua kutafuta jiwe lenye shape kama hiyo angalia vizur utaona hajir bin asward, so hao jamaa wahafanya kitu ambacho hawajui kinamaana Gani, ndio maana jamaa hadi akawa na WA awake wengi hicho ndo kitu alichokipenda​@@BAYYINATDMTV

  • @111dudi
    @111dudi 8 หลายเดือนก่อน

    Akili fupi, mtu mweusi sijda guwa nyeusi, mtu mweupe haiwi nyeusi.ufurahi jiwe likewise jeusi kama wewe

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 หลายเดือนก่อน

      Mtu mweupe sijda inakuwa Rangi gani ?

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 7 หลายเดือนก่อน

    Aki wewe ni mgonjwa kbsa yaani ulitaka yote yawe meupe ama , mbona wewe ni mweusi ? Si ni mapenzi ya mungu au?.

    • @yamungummungulo633
      @yamungummungulo633 7 หลายเดือนก่อน

      Kwann jiwe libadilike rangi kutoka kweny weupe had weusi je jiwe ndio njia ya kusafisha dhambi

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@yamungummungulo633ndugu naona unawapa nguvu wasuoamini Kama Kuna Mungu,kwa sababu unapowazunumzia watu wanaomini kuwa jiwe jeusi limo kwenye sehemu ya Ibadan zao wewe ukahisi ni wapofu,basi geuza shilingi upande wapili uangalie jee wale wanaomini na kulifata sananu la bikra maria tuwaiteje? Siku zote ukitaka kumsema mtu kwanza ujikaguwe wewe ndipo useme,

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassanjuma2772Bikira Maria ni tofauti sana na hajarul aswad. Huyu anaheshimiwa sana hata kwenye Kurani Suratul Maryam 19. Ni mama mzazi wa Yesu au Isa. Sanamu yake ni katika kumuenzi kutokana na hadhi yake kiroho ambayo haibishaniwi hata na waislamu. Hatufuati sanamu ya Bikira Maria bali tunaiweka kwa heshima ya Bikira Maria ni sawa na kumjengea kiongozi anayeheshimiwa sanamu la kumbkumbu yaani monument. Watu hawaifuati ile monument yenyewe bali wanamuenzi mwenye monument . Picha ya rais inawekwa maofisini lakini yenyewe siyo rais bali ni kuonyesha kumuenzi rais. Sasa nyie wa jiwe jeusi hilo linamuenzi nani?

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

    Unawapamba wayahudi alafu unajichanganya mwenyewe, sasa anasema ukimkataa yesu umepotea lakini uzuri wake sisi waislamu tunamkubali yesu na ukimpinga yesu wewe sio muislamu, tatizo lipo kwa hao jamaa zako mayajudi wanaomwita yesu mtoto wa zinaa

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 8 หลายเดือนก่อน

      Kama ambavyo ismail alivyo mtoto haramu na wa zinaa

    • @elmeskatto
      @elmeskatto 8 หลายเดือนก่อน

      waislamu mnamkubali Yesu kuwa ni mwana wa MUNGU?,mnakubali alikufa na kufufuka?

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

      @@elmeskatto Hilo kwetu Ni muhali mana nyinyi wenyewe hamujulikani msimamo wenu kama yesu Ni mwana wa Mungu au yesu Ni Mungu hamjui mushike wapi

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

      @@yohanamwamkili4397 alaa kumbe?

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@elmeskattoWaislam wanaamini Mungu hakuzaa hakuzaliwa na hana mshirika

  • @AlbertMakori-u2l
    @AlbertMakori-u2l 7 หลายเดือนก่อน

    Meza madawa aki wewe ni mgonjwa kabisa

  • @abilahnamnungu1819
    @abilahnamnungu1819 8 หลายเดือนก่อน

    mwankemwa unaumia nini kwa waislam kufanya mambo ya kiislam?acha umbea

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  8 หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe unaumia nini mimi nikitoa tofauti ya jiwe jeusi na jiwe jeupe?

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 8 หลายเดือนก่อน +1

      Fundisha mpaka wafundishike

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 8 หลายเดือนก่อน

      Mnakwenda uchawi 😂😂😂

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTV
      Wewe ni mjinga na unaendeshwa na chuki tu huna misingi ya elimu.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@BAYYINATDMTV
      Wapi ulisoma wewe kama sio kutafuta kuchumia tumbo kumbe unachuma moto