MJADALA KUHUSU UNABII WA ISAYA 53 BAINA YA USTADH ShaffIy and MWALI MU DANIEL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 42

  • @selelilumambo2157
    @selelilumambo2157 7 หลายเดือนก่อน

    washamba wa maandiko hawajui chochote 😢 Mungu awahurumie , wapate elimu juu ya mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya watu

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwl.daniel hao masheikh wanaelewah ila wabaki ubishiii tu kurud kwa bhn yesu na shafiiii elimu ndogo ya sana bible nakushukur kwa kumfunzah

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 10 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Daniel, Mungu wa mbinguni akuzidishie afya, umri na hekima zaidi kwa utukufu wa Mungu baba katika jina la Yesu Kristo Bwana na mwokozi waulimwengu wote ninaomba, AMINA.
    Waalimu wa kiislamu watakwenda motoni Kwa hiyari 😢😢

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli mpaka mnamaliza nadilikikusema mungu awabariki Kwan tumeelewa kikubwa ninachokiona nisisi kupokea ukweli na sio ushabiki wa din

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 6 หลายเดือนก่อน

    Dah hapa ndugu waislam muache tu Daniel hamumwezi hoja zenu zimekuwa laini sana

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS 10 หลายเดือนก่อน

    Watafute mwl mzuriii wa kiiisilamu shafiii bado sana inabid harudi darasan

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo wapatikane mashekhe waliobobea kimaandiko,hawa naona wanatangatanga tu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shafii ana uelewa mdogo sana, kaulizwa kama Isaya 53:7 haimtabiri Yesu, Je, inamtabiri nani? Kashindwa kutoa jibu.

  • @josephlikare2211
    @josephlikare2211 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zetu katika Adamu waislamu, mpokeeni YESU ili mpate uzima wa milele .Elimu ya kujibu hoja za wakristo mkubali hamna

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 10 หลายเดือนก่อน

      WAISLAM WANAMUANI YESU
      KULIKO
      WAKIRISTO KUANZIA PAULO
      @josephlikare2211.Muislam hawezi kuwa Muislam bila ya kumuamini Yesu (pbuh) kuliko Wakiristo wanavyodhani kwa sababu walipotoshwa Kanisani.
      Kwenye Qur'an Mtume Yesu (pbuh) ametajwa mara 25 na Mtume Muhammad (pbuh) ametajwa mara 5 ndani ya Qur'an.
      Jee, Mtume Muhammad (pbuh) ametajwa mara ngapi kwenye Biblia?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 10 หลายเดือนก่อน

      WAISLAM WANAMUAMINI YESU KULIKO WAKIRISTO WOTE KUANZIA PAULO
      @josephilekare2211. Kwa mujibu wa Qur'an, Muislam hawezi kuwa Muislam bila ya kumuamini Yesu (pbuh), tafauti na Wakiristo wengi wanavyodhani kwa sababu wamepotoshwa Kanisani.
      Kwenye Qur'an, Yesu (pbuh) ametajwa mara 25 na Mtume Muhammad (pbuh) ametajwa mara 5 ndani ya Qur'an.
      Jee Mtume Muhammad (pbuh) ametajwa mara ngapi kwenye Biblia?

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yani kama kuna kitabu kinamzungumzia Yesu zaidi ktk manabii wa agano la kale basi hiki cha Isaya
    Sasa niulize Yesu alisoma kitabu gani hekaluni kilichomzungumzia yeye na wayahudi wakataka kumuua, si hiki cha Isaya??

  • @abedgreizman4700
    @abedgreizman4700 10 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu god bless you

  • @justinjerome415
    @justinjerome415 10 หลายเดือนก่อน

    Vyema sana mwalimu tunakuombea

  • @Janvier-u4u
    @Janvier-u4u 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe usilikilizee Hilo lipumbavu tunalijua lilikimbia kicha hapa Tanzania

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Lete wewe hoja

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 8 หลายเดือนก่อน

      Ulimkimbiza wewe hicho kichaa?

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 10 หลายเดือนก่อน

    Hata Yesu Kristu alifunfisha kwa Mafano, bila mifano hakufundisha, ndiyo maana ya Bwana Arusi na Bibi Arusi anayeongelewa kwenye Ufunuo kwa maana ya Yesu Kristu na bibi Arusi ambalo ni Kanisa

  • @banyankirubusamarc1727
    @banyankirubusamarc1727 10 หลายเดือนก่อน

    Shafi amebanwa na hoja akakataa maandiko ya manabii anataka tukubali ya kwake yeye, waislamu hoja zinasababisha wakatae Imani ya wakristo, hazipo, hata koroani 2:62 maandiko anasema walio amini mwenyezi Mungu ni wa kristo na mayahundi na wasabai , waislamu hawamo , maandiko hayabajui bana aminini bule Mungu hajui Imani ya kislamu, tena koroani huo banasema ni mungu wao anawambia wale ambao wanajivuna na kumuabudu alha atawatia jehanhamu wadalilike (koroani 40:60) waislamu wana amini wasico kijua ni vipofu watamalizia shimoni.

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 9 หลายเดือนก่อน

    Wanasema kuw muslims wanamuamini Yesu ni miongoni mwa mitume, tena atarufi mara ya pili kuhukumu. Sasa kwa mtazamo huu mbona tena wanamtukanaga, eti Yesu alikuwa jeuri. Pamoja na mengine ya kumtweza.

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 10 หลายเดือนก่อน

    Isaya 53 wakati wa kuteswa kwake, soma mateso ya yesu yaliluwaje?

  • @RamadhaniLukambuzi
    @RamadhaniLukambuzi 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mchungaji ni mjinga wa maandiko na hasipo angalia atajikuta anakuwa mjinga kwa kiwango cha juu;Hapo anaposema maneno yake kwamba Allah amesema tuwaulize Wakristo pale ambapo tunakwama kuelewa maandiko,hiyo ayah kaiongooea haisemi namna hiyo,Soma surat Yunus ayah ya 94:Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia,basi waulize wasomao Kitabu kabla yako.Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi.Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka.Hapa Mohammad anaelezwa na Allah akawaulize watu wa Kitabu hapa anamaanisha Watu wa Taurati,na watu wa taurati ya Mussa ni Waislamu na Watu wa Injili walikuwa ni Waislamu vile vile ndiyo maana hiyo taurati imejaa sheria kali za Allah mpaka leo zinafuatwa na Waislamu!Kwahiyo Kitabu kinachotajwa na Allah hapo sio Bibilia,Bibilia sio Kitabu cha Mwenyezi Mungu!

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vitabu vinasomwa mbona vinakataliwa? Tunaambiwa vimekosewa mbona sielew vikowap vilivyo sawa?

  • @RamadhanMohamed-jz6xm
    @RamadhanMohamed-jz6xm 10 หลายเดือนก่อน

    Ww alikwambia nani Wakristo ndo wengi idadi hiyo umeitoa wapi

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 10 หลายเดือนก่อน

    Na wasikilizaji tuna ruhusiwa kuuliza?

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 10 หลายเดือนก่อน

    Awa walimu wakiislam nafikiri wana ufahamu mchace kwa kusoma vitabu vinavyoeleza

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน

    Shafii hana uelewa mkubwa, swali lake la Malaki inaonyesha hajui kuwa Malaki ni nabii wa agano la kale sawa na Isaya, Yeremia na wengine. Malaki naye alitabiri kama Isaya na Yeremia kuhusu Yesu kabla ya Agano jipya.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu moderator analeta janja janja, hataki kumpa nafasi Mwl. Daniel 😂

  • @RamadhanMohamed-jz6xm
    @RamadhanMohamed-jz6xm 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa sensa gani Serikali naomba huyu ahojiwe atoe ushahidi hili jambo ndo lilileta utata ivo ivo mwaka 2012 waislam wakagoma kuisabiwa sababu ilikua hii

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyu baba sijui anaitwa Shafi hakuna kitu anaongea jamani maana hata layman kama sisi tunaelewa tu hiyo Malaki anayoiongelea. Maana Yesu ndiyo alikuja kututakasa kwa ondoleo la dhambi. Amebaki kusema tu context zake ambazo hazieleweki.
    Yesu alikataliwa Bwana mbona hata alipoanza kuhubiri watu walimdharau wakisema si huyu mtoto wa fundi seremala naye alisema Nabii hawi kwao, je huko si kukataliwa.

  • @januaryyotham5514
    @januaryyotham5514 10 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha hamjui maandiko bibi harusi ni mji mtakatifu alio onyeshwa na malaika

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 10 หลายเดือนก่อน

    Daniel wewe sio ahli dhikri I muongo sana

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu daniel ningeomba uwe unafanya nao sana mdahalo hao jamaa huwa mara nyingi wapo wenyewe wanaongea uongo mpaka basi, ningeomba udili nao sababu hata wao hawajui quran wala hadith wana maneno tu waliyokaririshwa na wengine.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu naye wa swali la Yesu mkewe ni nani, na alipokufa mkewe alilia?😂

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu ndiye mwalimu mnaemleta aje ajenge hoja mbele ya Mwalimu Danieli? Mnautani nyie!!! Hakuna cha maana alicho ongea ndani ya dk 20 alizo pewa 😂😂😂

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน

    Eti mathayo amekosea, waislam akili zao ziko kwenye unyao 😂

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 10 หลายเดือนก่อน

    Ili lidanieli lipumbavu lijinga halina maana

    • @POVELSPORTS
      @POVELSPORTS 10 หลายเดือนก่อน

      Acha makasiriko weka hoja matusi haya jengi