MFUNGO WA RAMADHANI ZANZIBAR: KERO YA TANO YA MUUNGANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 68

  • @YohanaMadai-t3j
    @YohanaMadai-t3j 10 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye Hai ni hatariii kubwa sana sana lisiposemwa na kurekebishwa na Serikali, halina sura nzuriii vyombo husika vitoe ufafanuzi kwa umma wa wa Zanzibar, ni aibu kubwa kumlazimisha mtu kufuata dini na kumzalilisha mtu kwa kumchapa kwa kisingizio cha dini umefunga halafu unampiga mtu bila shaka umeshaharibu fungal yako. Mungu awasaidie WaKristo waishio Zanzibar

  • @onesmomvungi4701
    @onesmomvungi4701 9 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana kwa ufafsnuzi huu Mwalimu Daniel.😢😢😢😢

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja mwalimu 👍🏾👍🏾👍🏾

  • @mathiasndigomo2866
    @mathiasndigomo2866 10 หลายเดือนก่อน +2

    Angalieni sana nyinyi wazanzibari waislam mnajiona bora sana dini yenu

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sema Mwalimu najua Wenye hakiri wanakuelewa nikiwemo Mimi

  • @ngesileanganile3747
    @ngesileanganile3747 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa Hawa waislam wanachokifanya sio vizuri huo ni unyanyapaa na kujiona wao ni Bora kuliko wengine Mungu hapendi sisi sote ni watoto wa baba mmoja

  • @YohanaMadai-t3j
    @YohanaMadai-t3j 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ipo siku sauti ya wachache itashindaaa kwa kishindoo

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sikuzote tibia yakujiona bora kuliko watu wengine iyo nitabia yashetani kwani alipo ambiwa msujudie Adam akakataa akajiona bora kuliko adamu

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sio Zanzibar tu, bali Uislamu utatawala dunia mzima. Soma Quran 110 Aya ya 1-3.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Utatawala kwa nguvu za kijeshi?

    • @justinendizeye714
      @justinendizeye714 10 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri usome vizurl njinsi dunia kwasasa inaendeleya, utakuja kuelewa, islam hayiwezi kamwe kuchukuwa dunia, labda muondowe umoja wa mataifa ugayibuni

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 9 หลายเดือนก่อน

    KERO MUUNGANO WA KANISA
    SIO
    RAMADHAN YA MISIKITINI

  • @mathiasndigomo2866
    @mathiasndigomo2866 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibari ni damu ya kiarabu na ndiyo hao babu zao walituuza na wazanzibari wanatamani usiku na mchana waarabu warudi kuja zanzibari na ndiyo maana wamepigia debe na kelele zote DP WORLD

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii tibia yakujiona bora kuliko watu wengine wameuiga kwashetani au ibriss kwani uyo ndie wamfatao

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      Huo ndio mtazamo wako

    • @partsonchundwa2287
      @partsonchundwa2287 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@badruseif1318acha ushabiki ndg

  • @mathiasndigomo2866
    @mathiasndigomo2866 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi wakristo tunafunga lakini hatujionyeshi kwenu kama tumefunga na wala hatutoleta sheria kwa ajili ya kufunga kwetu

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi hamfungi ukikaa na wakristo 100 hupati hata mmoja aliefunga

    • @partsonchundwa2287
      @partsonchundwa2287 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@badruseif1318huna unachokisema ndugu wewe fuata dini yako ila usimlazimishe mtanzania asiye muislam

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 10 หลายเดือนก่อน

      w​@@badruseif1318wewe unafunga nini saana mnabadilisha muda wa kula chakula tuu

    • @JohnSulle-q6p
      @JohnSulle-q6p 10 หลายเดือนก่อน

      Nyie mnafunga au mnashinda na njaa

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalim Daniel kwanini siku moja usije ukampa kipindi pishop ngonyani

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน +1

      Nitafutie halafu mueleze hilo. Akikubali nijulishe.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 9 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV ntajitahid na ninaimani mkiwa pamoja watu wataielewa injiri 🙏

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 10 หลายเดือนก่อน

    Sio wapo waliokamatwa yupo aliokamatwa jifundishe kiswahili

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waliokamatwa Mnjilisti ni wazanzibar Waislamu mbona vitisho na uchochezi au umetumwa na makafiri

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 10 หลายเดือนก่อน

    Uislamu uingilihii mambo yawatu wangine inamaana unataka kuniambia huu uislamu wazanzibar niwaukipofu ukipofu

  • @felixniyungeko1284
    @felixniyungeko1284 10 หลายเดือนก่อน

    Dini ya Islam ina mapungufu sana bila mupanga (kutumia)ina weza kufa bilashaka.

    • @felixniyungeko1284
      @felixniyungeko1284 10 หลายเดือนก่อน

      Wa islam wanao ishi kwa inchi zakikristo wana amani tele
      Wakristo wanao ishi kwa inchi za kislam wana ishi kwamateso

  • @HamadAdam
    @HamadAdam 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni wakala wa shetani. Kupitia kanisa na ukristo

  • @husseindiaby5097
    @husseindiaby5097 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe babu ni mchonganishi
    Nani kalazimishwa kufunga Zanzibar
    Umetumwa wewe
    Heshimu utaratibu wa sehemu husika acha uchanganishi

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

    Kila nchi na utamaduni wake wacha ujinga uwo

    • @partsonchundwa2287
      @partsonchundwa2287 10 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo Zanzibar siyo sehemu ya Tanzania!!?

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@partsonchundwa2287 Zanzibar Ni sehemu ya Tanzania lkn in raisi wake, bunge lake, katiba yake, ina mpk bendera Kwa Iyo kuna baadhi ya mambo ina maamuzi yake yenyewe haiwezi kuingiliwa na mifano katoa babu yako apo kama Kadhi Zanzibar yupo na ana nguvu katika serikali lakini Tanganyika hakuna

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 10 หลายเดือนก่อน

      aache ujinga nani mjinga ni wewe usiyejuwa yakupasayo

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน

      Utaratibu au Sheria? Acha umbumbumbu.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@FredrickKagusa-wt9bw Mimi nayajua yanipasayo

  • @Hanssimpson-ln6zs
    @Hanssimpson-ln6zs 10 หลายเดือนก่อน

    jitoeni kwenye muungano nyinyi ni najisi wala nguruwe

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Kwani Zanzibar hakuna nguruwe?

  • @Hanssimpson-ln6zs
    @Hanssimpson-ln6zs 10 หลายเดือนก่อน

    hata ushoga ni haki yako

  • @imamumbwambo5291
    @imamumbwambo5291 10 หลายเดือนก่อน

    Tumekosa hoja hukupaswa kuzungumzia jambo hilo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Sikupaswa kuzungumzia ili wasio Waislamu waendelee kupigwa kwa sababu ya kutofuata masharti ya Uislamu? Wewe ndiyo huna hoja!

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV waliokamatwa Ni 12 kati ya Hao mmoja tu ndio mkristo

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@badruseif1318anahusikaje na funga yako lazima Kila mtu afunge?

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@FredrickKagusa-wt9bw Hakuna alielazimishwa kufunga musibadilishe mada walichoambiwa wasile ovyo hadharani kutokana na utamaduni wa nchi yenyewe

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 10 หลายเดือนก่อน

      @@badruseif1318 inanihusu Nini ufungue wewe kwa ibaada yako mwenyewe mimi Nile kwa kujificha wakati Kila mtu anauhuru wa kuabudu hadi hapo tuu tayari ni tatizo la kimuungano sababu tunaingiliana wabara wanakuja Zanzibar na wazanzibar wanakuja bara kwa sehemu kubwa wabara ndiyo wakristo wengi na tumeaminishwa kuwa serikali haina dini kuna haja gani yakumkamata mtu ambaye hahusiki na ibaada ya watu wengine ndiyo maana mtoa hoja amesema hiyo ni Kero ya kimuungano Yuko sawa kwa hili serikali au utamaduni huu hauko sawa

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

    Babu waliokamatwa ni watu 12 lakini 11 ni waislamu mmoja ndio mkristo sasa wewe unaumia wapi wacha ujinga uwo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Huyo Mkristo unamkamata kwa sababu gani? Anahusika nini na Uislamu?

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV kutokana na utamaduni wa nchi yenyewe ilivo na nimekupa mfano wa India

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

    Ilo sio jambo la muungano babu wacha ujinga uwo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Inaonekan ujinga umekuzidi. Hujui Watu kutoka bara huvuka mara kwa mara kwenda Zbar?

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTVkila nchi na tamaduni zake Kwa mfano wewe nenda India kamchukue ng'ombe umchinje hadharani wenyewe wahindu wakuone angalia kitakachokukuta wacha mihemko ya kijinga iyo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@badruseif1318Utamaduni gani ulio zaidi ya Katiba? Usiwe mjinga kwa kiwango hicho.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 10 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV izo kanuni zilizowekwa zimewekwa kikatiba ndio mana zikawa na nguvu hazikuwekwa tu kijingajinga kama unavofikiria

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@badruseif1318Nchi za mfumo wa ki secular Zanzibar ikiwepo, zinaishi kwa Sheria za ki secular, siyo kanuni. Punguza mihemko na uache umbumbumbu

  • @Hanssimpson-ln6zs
    @Hanssimpson-ln6zs 10 หลายเดือนก่อน

    huyu ni mchochezi kabisa

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 หลายเดือนก่อน

      Ila wasiohusika na funga hiyo wanapopigwa kinyume na sheria kwa kula chakula chao wewe unaona hilo siyo uchochezi wa kidini . Tumia akili yako sawasawa.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 9 หลายเดือนก่อน

      Mwalimu asante sana Kwa ujumbe huo ujumbe umefika, naomba usijibizane na Hawa Maamuma wasiyoijua Qur'an Wala Katiba Yao!!