MDAHALO DAY 2: WALIMU NDACHA NA DANIEL WATUMIA BIBLIA NA QURAN KUTHIBITISHA KIFO CHA YESU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 250

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductions 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mwalimu wetu Mungu akubariki Sana, una hoja za hekima ya Mungu,
    Napenda sana , angalau unge fika kwetu Congo

    • @ericruyenzi566
      @ericruyenzi566 7 หลายเดือนก่อน

      Miezi zilizopita alikuwa DRC ,Bukavu alijadiliyana na pamoja na Upanga wa radi!.

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Aje akupotosheni zaidi?

    • @kimsi682
      @kimsi682 6 หลายเดือนก่อน

      @@ericruyenzi566 Upanga wa radi ni nini?

  • @AkonkwaProductions
    @AkonkwaProductions 7 หลายเดือนก่อน +5

    Tena mwalimu una msimamo wa kweli kuhusu uungu wa Yesu kristo.

    • @binseif2216
      @binseif2216 7 หลายเดือนก่อน

      Duh nawewe unaamini mungu ni Yesu?alitahiriwa na akavishwa nepi,na akalelewa😂😂😂huyu vp tena

    • @PauloMaona-in4qh
      @PauloMaona-in4qh 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@binseif2216yohana 1:14 ....niambie kabla hajafanyika mwili alitahiliwa???

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu mwenyewe alikua analalamika anasema eloi eloi limaasabakatani Sasa kamyeye nimuungu alikua analia Nini?

    • @binseif2216
      @binseif2216 7 หลายเดือนก่อน

      @@PauloMaona-in4qh Uongo huwa haujifichi,bible yauongo na Mungu amewasahaukisha walokiandika ndomana wakawa wanaandika maneno yanapingana

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Mwenyewe Yesu alisema asiabudiwe yeye kwani ni binadamu na masanamu bali mmuabudu Mungu baba yake. Hii nayo hamuelewi?

  • @samuelmwakasungula178
    @samuelmwakasungula178 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sule uko vizuri katika hilo, wa Kristo wanashika mapokeo ya dini zao badala ya kuangalia ukweli wa neno la Mungu. Yesu Kristo ni mwana wa Mungu. Alitumwa na Mungu kuja duniani kwa ajili ya kumwokoa mwanadamu. Ninaamini kuna Mungu mmoja na Bwana mmoja ambaye ni mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu

  • @samuelmwakasungula178
    @samuelmwakasungula178 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wamefundisha vizuri juu ya kufufuka kwa Yesu Kristo na kudhibitisha kwamba pamoja na maombi ambayo Yesu Kristo aliomba lkn mapenzi ya Mungu yalikuwa ni Yesu Kristo kupitia mateso. Ninashukuru sana watumishi wa Mungu, ni naomba kila mmoja achangie chochote kusaidia watenda kazi hawa maana tumeona wanachofundisha

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mganga Sule amelowaaa😅 Utukufu kwa Mungu alie hai Yahweh kazi yenu ni njema waalimu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na kila kiumbe ni cha Mungu na wote pamoja na Watumishi wa Mungu husema Mungu baba. Mungu ni baba wa wote akiwemo Yesu

    • @kimsi682
      @kimsi682 6 หลายเดือนก่อน

      Elewa kwamba, Kuna watumishi wasio wa Mungu! Kuna wale umtumikia Shetani.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 6 หลายเดือนก่อน

      @@kimsi682 Mimi nazungungmzia dini zinazoabudu Mungu nnaemwamini na shetani si Mungu ila kuna wanaomwabudu

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon หลายเดือนก่อน

    Sule umefundisha vizuri sana mungu ata kulipa siyo hawa

  • @jannffer
    @jannffer 7 หลายเดือนก่อน +1

    I love this may God take care of this people

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha wew ni mualimo

  • @Estherm309
    @Estherm309 7 หลายเดือนก่อน +2

    Cha kufuraisha unatusaidia kuuelewa zaidi kwanza mimi YESU KRISTO nakushukuru Kwa kufa kwa ajili ya dhambi zangu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu kafa kwa ajili ya zambi zako na huku mkiimba kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Unadhani ni mzigo gani kama si dhambi

    • @Estherm309
      @Estherm309 7 หลายเดือนก่อน

      @@hashimchaoga9566 NDIO Kwa kuwa ukiokoka Na utende ndambi Tena autapata Rehema hila walio okoka Ni wengi Bali watakao uridhi uzima Ni wale tu walio ziacha njia zao Na kumrudia YESU KRISTO hili kusiwe Na mapatano Na shetani tena

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      @@Estherm309 Huko kuokoka hata wale masista wa shela walioacha kila kitu cha dunia na kumtumikia Mungu hawataji neno kuokoka . Na wsnaojua vizuri udhaifu wa binadamu wanasema hakuna alieokoka yuko hai. Kuokoka kutaamuliwa na daftari lako siku ya mwisho. Kuokoka ni kugumu sana kwani haitakiwi ukasirike usengenye utamani kisicho chako na mengi tu ambayo binadamu wa kawaida hawezi kuyakwepa. Walokole wengi hawawezi kutimiza hata amri kumi za Mungu hasa ya mpende jirani yako kama unavyojipenda katika dunia hii ya ubinafsi na tamaa

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 7 หลายเดือนก่อน

    Varikiwa sana mtumishi Ndacha kwakufafanua vizuri Yesu akupe Neema zaidi waeleweshe wajue kua Ni Yesu tu aliyekufa na kufufuka

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 7 หลายเดือนก่อน +3

    Waislamu wameshindwa hii mada

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mpambe tu lakini wakristo wanaamini uongo na kutafsiri kivyao kiuongo na wengi hawaelewi wasomacho na wengi hawasomi wenyewe wanasomewa na kupotoshwa

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 5 หลายเดือนก่อน

    Usiseme mtume wa watu wote. Mimi Muhammad si mtume wangu

  • @AlbertKassa-l4b
    @AlbertKassa-l4b 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bila uongo uislamu hautakuwepo

  • @zamosanaa4693
    @zamosanaa4693 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli mwl
    Huyu sule anatakiwa alipe ada maana
    Hana elimu😂😂

  • @GaheneClever
    @GaheneClever 3 หลายเดือนก่อน

    Sur umeshindwahoja

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana professor Ndacha

  • @PeterMalimbwi
    @PeterMalimbwi 7 หลายเดือนก่อน +3

    Asanteni Kwa debate. Swali Kwa Dr Sule: 1.kama mungu alizuia Yesu asiuawe, je alishindwa kuweka mazingira ya kuepusha kifo na akaweza kuleta mtu tofaut auawe? 2.je hiki kifo cha mtu tofaut na Yesu kina umuhimu gani mbele za mungu hadi atengeneze mazingira ya mtu huyu mbadala wa Yesu kuuawa? 3.Je mtu huyu aliyeuawa badala ya Yesu alizikwa wapi? Na kaburi lake lipo? Na Anaitwa nani? 4.Je baada tukio Hilo Yesu alikuwa ktk mazingira gani? Aliishi siku ngapi kabla ya kupaa?na aliendelea na kazi gani kuanzia siku ya kifo hadi kabla ya siku ya kupaa?

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani yesu SI anasema baba yake yupo pamoja nae hawezi muacha Sasa kwanini amuache asulubiwe na kitendo Cha kusulubiwa ni mtu aliyelaaniwa kwa mujibu wa 21:22 kumbukumbu la torati..,..ukikubali yesu kasulubiwa maana yake alikua na laana

    • @frankmwakalinga7455
      @frankmwakalinga7455 6 หลายเดือนก่อน

      ​Yesu kufa aliandikiwa mauti kwa ajiri ya upatanisho kati ya wanadamu na mungu hivyo kifo au mauti ya yesu isingebatirishwa kwa sababu aliandikiwa na manabii walifunuliwa kuja kwake yesu na kuondoka Duniani baada ya kumaliza kazi aliotumwa na Mungu na mauti yake yesu soma Qur'an 3:55

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 20 วันที่ผ่านมา

    Pastre❤❤❤❤❤❤

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah dr sheikh Sule wambiye wasikiye waace kumukufuru mungu

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sulle humuwezi ndacha

  • @AlbertKassa-l4b
    @AlbertKassa-l4b 7 หลายเดือนก่อน +4

    Uislamu umejengwa kwenye uongo na chuki

    • @ericruyenzi566
      @ericruyenzi566 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa !awana elimu ila kelele na wanangangania uongo mtupu !,weko saa watoto wadogo,wana tia uruma !.

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hata kama ni kweli wao wanapinga tu, YESU KRISTO awasaidie wajue kweli na kumrudia Yesu.

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mungu wakutahiriwa

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Mungu Myahudi

    • @nasrahgdjuma930
      @nasrahgdjuma930 7 หลายเดือนก่อน

      @@AliNgurudu-i4r😂😂😂yani you are funny so you think God is limited? Yesu alivaa mwili kama wetu sasa wewe hapo huelewi? It’s sad how you guys have been brainwashed by your god

    • @nasrahgdjuma930
      @nasrahgdjuma930 7 หลายเดือนก่อน

      @@hashimchaoga9566alivaa mwili so there for Jesus was God and a fully man so the fully man was alikuwa muyahudi.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@nasrahgdjuma930God cant play those dirty games you are joking. Avae mwili wa binadamu aje kuishi zaidi ya miaka 30 halafu alipokua binadamu kulikua hakuna Mungu ?!!? Mungu awe mtu halafu azaliwe anyonye ajisaidie atahiriwe abatizwe na ateswe afe afufuke atafute nini katika huo mchezo wa kuchekesha?

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukristo ni dini ya kweli, waalimu wa kiislam mmekwama hamjibu hoja mnatafutiza vi pointi kwa kutafuta uelewa wenu nimashaka sana na elimu yenu.

  • @ayububikitila3521
    @ayububikitila3521 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mwalimu wangu

  • @AllyMsafiri-kw2ne
    @AllyMsafiri-kw2ne 7 หลายเดือนก่อน

    Asante doctor sule .kazi yetu waislamu nikufikisha ujumbe ...mungu awaongoze nduguzetu waujue ukweli.

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 7 หลายเดือนก่อน +2

      Waislam hawana hoja za kufundisha Wakristo.

    • @pascalkalama
      @pascalkalama 7 หลายเดือนก่อน

      Xx ujumbe gani mmefikisha xx

    • @nasrahgdjuma930
      @nasrahgdjuma930 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ujumbe upi ? Uongo wa Islam

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu Ndacha kichwa sana asee. 😮😮❤❤

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Ukristo nidili ndomaana

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 7 หลายเดือนก่อน

    Shida ipo kwamba watu hawajui kuwa Mungu ni rho hivyo wanadhani alipokufa dunia ilikosa Mungu. Yesu akifa ni mwili bali roho aliiweka mahali pa u baba. Hapa yupo Mungu na shetani

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Hujui kasome yakibo 1 mstari wa 17 utaelewatu maana wachungaji wanachagua Aya zakukusomeeni

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dini yao hawa watu waislamu ni Dini ya Uongo
    haiwezekani vitabu vyenu hivyo hivyo vinakubari kafa vingine vinasema hakufa
    Hio dini yenu inatutia mashaka Sana tena inaonyesha wazi kuwa hayo manenolioyaingiza ya uongo mliyaingiza pasipo kujua kuwa kuna andiko limesema yesu atakufa
    hio Dini yenu mnaitetea kwa uongo uongo
    Ukweli hapo haupo
    Subilini hukumu ya Mungu itawakalia kwa kupotosha watu

  • @nicksonlibent2903
    @nicksonlibent2903 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu umemwandaa ndacha kwa ajili ya kizazi hiki ili akawanyooshe hawa

  • @BernadMpakas
    @BernadMpakas 7 หลายเดือนก่อน

    YOH 14:8-9 Yesu kasema yeye ni Mungu

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 7 หลายเดือนก่อน +1

    Doctor shule ana jivi mpaka siku ya kiama atakuwa kuni ya jeanamu anapinga ukweli

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe achakusemahivo hukmu anaijua mungutu

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 5 หลายเดือนก่อน

    Waislamu mnawadanganya watu poleni.

  • @DafudaDotto
    @DafudaDotto 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli kwenye hii maada umechemka dr sure

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Lakini yeye mbona anatafsiri maandiko tu sio maneno yake

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Ukichunguza ukweli Mungu hana sababu ya kuruhusu mwanae auawe eti kwa ajili ya dhambi za wengine wakati inaaminika kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe na kuhusu dhambi ya asili mbona Mungu alishawaadhibu nyoka Hawa na Adam mara tu walipokula tunda. Dhambi ya asili adhabu yake tunaitekeleza kama unakumbuka adhabu aliyotoa Mungu kwa wale wakosaji.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Ukichunguza ukweli Mungu hana sababu ya kuruhusu mwanae auawe eti kwa ajili ya dhambi za wengine wakati inaaminika kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe na kuhusu dhambi ya asili mbona Mungu alishawaadhibu nyoka Hawa na Adam mara tu walipokula tunda. Dhambi ya asili adhabu yake tunaitekeleza kama unakumbuka adhabu aliyotoa Mungu kwa wale wakosaji.

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha MUNGU akutunze miaka mingi ,, sulle mpotoshaji anajitafutia umaarufu usipo maana yaani kusikiliza ndacha sichoki kwani hoja zimeenea nguvu

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu nakushukru kwa kunifanya niwe mkristo.

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 7 หลายเดือนก่อน

      Wakristo wote ni wafuasi wa shetani jina hilo mlipewa na wapagani wa Antiokia hvi dini ama imani ya wapagani yaeza kupeleka kwa Mungu, hvi YESU alikua Mkristo je aliingia kanisani kama nyinyi? Ukristo ni biashara ya wazungu na YESU hakuacha kitu yaitwa ukristo kabisa...huu niukafiri tu wakristo wote makafiri SOMA YUDA 1:4.

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ustadhfarouq7729dini ipi Ina uhusiano na majini kama sio uislamu jibu! Nyie ndio mnauhusiano na majini.

    • @favoritebrayo
      @favoritebrayo 7 หลายเดือนก่อน

      @@ustadhfarouq7729 akili zenu ni kidogo sana mmembebewa akili ndio maana hamwezi elewa

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu hawezi kukupa dini wewe maana yeye alikua akianguka nakusujudu kama waislam

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Napia hawezi kukufanya kua mkristo bali waliokufanya uwe mkristo ni wapagani

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 7 หลายเดือนก่อน +1

    Je siku ukifika huko mbinguni ukamkuta yesu utasemaje

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Yesu hakutwi huko bali atarudi siki ya kiama

  • @selelilumambo2157
    @selelilumambo2157 7 หลายเดือนก่อน +2

    kila ulimi utakiri kuwa yesu ni bwana na kila goti litapigwa mbele zake bwana wa majeshi ♥️💚🤍

    • @selelilumambo2157
      @selelilumambo2157 7 หลายเดือนก่อน

      onjeni muone ya kuwa bwana ni mwema

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Mnakosea na mtaenda motoni kwani Yesu alisema msiniabudu mimi wala masanamu kwani mimi ni binadamu bali muabuduni Mungu baba yangu. Nyinyi bado mnapiga magoti kumuabudu Yesu na hata masanamu yake

  • @BarikielHagite
    @BarikielHagite 7 หลายเดือนก่อน

    Yaan alla anasababisha mtu mwingine auawe kwa kumfananisha na Yesu kwenye macho ya watesi wakati wao watesi walikuwa wanamtafuta Yesu basi mungu wenu alisababisha mtu asiye na hatia kufa

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi makafiri kumbe mukombali sana poleni hata bibliazenu hazieleweki ipiyakweli au ileya Nyerere?

    • @BarikielHagite
      @BarikielHagite 7 หลายเดือนก่อน

      @@AliNgurudu-i4r hata kuandika hujui hoja utaelewa kweli😀😀😀

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mashehe wanapotosha waumini wao kwasababu kwanza Qruan ni rugha ya kiarabu ngumu pia waumini wao hawajui pia kuisoma kushoto kwenda kulia du!

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wanajaziba mno

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Wakristo mnadanganywa mno

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 7 หลายเดือนก่อน

      J​@@AliNgurudu-i4rjibu hoja kwa maandiko sio kwa kukurupuka.

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mohamad ni mtume wa waislamu msitake sisi tuamini kitabu cha mtu mmoja.

  • @Estherm309
    @Estherm309 7 หลายเดือนก่อน

    Akuna mwislamu atafumbua hilo pegine yule prince wa kuwait atakuwambia kilicho mpata adi akaokoka na bado nampenda YESU KRISTO wa Nazareti Alie hai mruhusu ROHO MTAKATIFU awe Mwalimu WAKO kisha utawaelimisha wakristo

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 7 หลายเดือนก่อน

    Ndacha husije fanya mdahalo na Sulle sisi haelewi na mbishi , anakupotezea mda tu

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 7 หลายเดือนก่อน +2

    mwl daniel upo nimefurahia kukuona

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 7 หลายเดือนก่อน

      Mzee wa upako anasikia hayaa?

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Mzee waupako nikweli anaijua yesu siomungu

  • @GethsemaneKwaya8èmeCEPACRutang
    @GethsemaneKwaya8èmeCEPACRutang 18 วันที่ผ่านมา +1

    Salamu kwenu.
    Na tena kwanini mariamu alikuja mutafutiya yesu kwa makaburi ikiwa anajuwa yesu hakufa? Waislam muokoke tu

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu shule anasoma bilia kimusikiti Soma hio Mariko 15;16_20 wakamuvua mavazi Tena anasoma madiko nusu

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli waonyeshe palipoandikwa au kusikika Mungu mwenyewe akisema namleta mwanangu aje asulubiwe ili zambi za watu zisamehewe. Halafu inasemwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe ukitubu mwenyewe ndio utasamehewa

    • @thomasbjr2
      @thomasbjr2 7 หลายเดือนก่อน

      Yohana 3:16-20

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ufunuo wa Yohana 2:8 (KJV) Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai...
    kwan kuna ufunuo upi tena jaman hapa sijaelewa

  • @pascalkalama
    @pascalkalama 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kutetea uislamu ni kama kubeba gunia la misumari ukiwa kipara

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon หลายเดือนก่อน

    Ndomasalia ya makua ni hao mtaumiza vichwa tu mwenye kuelewa ameelewa

  • @RapaFata
    @RapaFata 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yani kweli ukiangalia wakristo walimu ni wasomi. Ukiangalia mashekh kama watoto wachekechea kupiga kelele mpaka wanakera. Hawajiamini kama mazuzu. Ingawa wanashauriana bado hoja ni jiwe hawavunji.

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Tujibu wewe unaejua wapi yesu kajiita mungu? Anzia biblia yanyerere Hadi zamashoga

    • @RapaFata
      @RapaFata 7 หลายเดือนก่อน

      @@AliNgurudu-i4r Mungu anajulikana kwa matendo yake makuu shekh. Mungu hajiiti tu kama mnavyodhani. Ndio maana allah wenu wayahudi walimkataa mana hakuwa na uwezo wakufanya cjichote.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@RapaFataHumu kuna mbumbumbu wengi tu Yesu ndio alitumwa kuwakomboa Wayahudi au wana wa Israel lakini walimkataa na kumuua msalabani na hawamtambui kwani wana dini yao Judaism na Mungu wao Jehovah. Nyinyi kazi yenu ni kudanganyana tu kama Shakahola

    • @RapaFata
      @RapaFata 7 หลายเดือนก่อน

      @@hashimchaoga9566 najua akili yako imeishia hapo. Sasa nipewe maan ya dini. Kwanza umepingana na uislam kusemsa yesu aliuawa. Hi ni kwa kuwa hujui usimame wapi. Naomba maana ya neno dini. Tuanzie hapo.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Kifupi dini ni Imani. Waislam wanaamini kama wasemavyo wale wahubiri wabobezi toka Kenya kwamba Yesu hakuuawa wala kufa kama baadhi ya mitume. Kufa msalabani baada ya kusalitiwa na Yuda kukamwatwa Pilato kuamua kubebeshwa msalaba kupigiliwa misumari kuchomwa mkuki ubavuni kufa kufufuka kama ilivyo Pasaka yote yamo vitabuni na senema zipo. Hicho kifo msalabani kama wanavyoamini ni kuuawa. Sijui swali lako nimelijibu?

  • @kisosekatere6282
    @kisosekatere6282 5 หลายเดือนก่อน

    Waislam mbona hamueleweki andiko liko wazi watu hawakumuuwa Ila! Mungu mwenyewe ndie ame muuwa

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 5 หลายเดือนก่อน

    Sule kichwa kigumu au ni ushetani ulionao kupoteza watu. Waislam uelewa mdogo kwa tunaosikiliza tunajua wewe ubongo mchache. Unageuza maneno duuh! Hata wakristo hujui ni nani daah! Pole.

  • @pascalkalama
    @pascalkalama 7 หลายเดือนก่อน

    Waislamu ni mbumbumbu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna dini ambayo ina mambumbu wengi hadi wajanja kujiita manabii kuanzisha makanisa kula sadaka eti kutoa mapepo na kujitajirisha wengine kufika mbali kama ilivyokua Shakahola. Katika Uislam huoni mbumbumbu wa kumdanganya hadi ujiue kwa kufunga na kuliwa sadaka kiholela.Manabii wa uongo wanazuka kila kukicha watu wanawafuata na kuwatajirisha. Inajulikana wazi Mungu alikasirika kwa yale ya Sodoma na Gomora ajabu kuna dini haikemei inabariki na hata viongozi wapo mashoga wakivaa misalaba. Wapi sasa kuna mbumbumbu wengi na waovu wa kudanganywa kirahisi na mengineyo

    • @peacemwesiga
      @peacemwesiga 20 วันที่ผ่านมา

      Waislam wako kimwili sana soma hata amri zao kaziiii kulia kwenda kushoto

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 7 หลายเดือนก่อน

    ingelikuwa ni mpango wamungu kumtoa yesu kafara kwaajili ya kukomboa ulimwengu iwejetena akaombe mungu amuepushe na kifo? inaonekana mmoja akuwatayari kati ya mungu na yesu

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 7 หลายเดือนก่อน

      Kujibu. YESU arivaa mwili wakibinadamu. Alikufa binadamu 100asilimia. Naaripata maumivu. Kama meanadamu.kwahyo. Hatasisi. Tunapokosea tunapotenda dhambi yeye ndye muombexi wetu. Kwamaana. Anaujua udhaifu wa mwanadamu. Kwamaana. Anaujua. Naaripo paa kwenda mbinguni arutuambia. Atakaye nipenda Mimi naye atakinywea kikombe arichokinywea. Ndyo maana. Wakirsto hata Sasa. Tupo katika vita kari Ila hatutajari kuuwawa. Maana yeye arishinda kifo naakuja. Kumliapa kilamtu kwa kadri ya matendo yake. Mpndwa tafakari. Nibora ufekatika. Imani yakweli

    • @mwinyijuma2686
      @mwinyijuma2686 7 หลายเดือนก่อน

      Swaqta Hawa ndugu zetu wako na shida ya kuelewa ndio sababu utaona makanisa mingi ni biashara inayoendelea ya kutoa sadaka punde SI punde kasisi amenunuliwa gari kubwa anaishi vizuri huku wanakondoo wanazidi kutafunwa 😂😂😂.

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 7 หลายเดือนก่อน

    Danieli amemjibu kisomi. Mimi nawakubali

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sule endelea kudanganya wapumbavu wenzio msikitini bibli aujui

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Biblia ipihaijui? Maana Hadi Nyerere kaandika yakwake zipo nyingine Zina hamasisha ushoga wewe unazungumzia ipi ambayo haijui sule?

  • @AllanLyombile-r6y
    @AllanLyombile-r6y 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waislamu wakishindwa hoja wanakimbilia kusema Biblia imebadilishwa na Wakristo, hayo ni maneno ya mkosaji.

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Nikweli Kuna biblia nyingi Hadi Nyerere katengeneza hakwake namashoga wamepewa kipaumbele ni bibliazenu

  • @SaideFaque-u7u
    @SaideFaque-u7u 4 วันที่ผ่านมา

    Ushaidi katoaa mungo utake usitake yeso akufa nsalabani

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 7 หลายเดือนก่อน

    Soma hio mathayo 27:27_31 alivua tena

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Wachungaji wanakupeni maandiko baadhitu mengine hawakusomeeni maana mtawakimbia watakoma sadakazenu

  • @Mainguz
    @Mainguz 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kama Allah alifanya udanganyifu ili sisi tuamini kuwa ni Yesu. Hapo anaweza kutueleza Allah kwanini alifanya huo urongo? na kwanini amweke mtu mwengine kwenye nafasi ya Yesu?

  • @Nicholaskibewaithaka-qj4uj
    @Nicholaskibewaithaka-qj4uj หลายเดือนก่อน +1

    Waislamu kwa kweri hawatumii akili. Kwamusema Allah alifanya mtu mwingine kufa badala ya yesu wanamfanya Allah mwongo na mdanganyani

  • @SamweliMaganigani
    @SamweliMaganigani 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa jibu zuri mwalimu mwankemwa

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 7 หลายเดือนก่อน

    Leo sule lazima apatiswe

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 7 หลายเดือนก่อน

    Alikua anamuomba mungu yupi?

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 7 หลายเดือนก่อน

    Hujajibu hoja hapo ,,,unalalamika kwenye mdahalo unaleta stori tu

  • @AbedibinRamazanisalum
    @AbedibinRamazanisalum 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni bwana na mokozi wa islam wa bishishi na hawajibu mahada inavo ulizwa wa na ruka ruka tu
    Professor ndasha ka shinda wa Islamu wote wa Kenya Tanzania adi congo ndasha ndiye kiboko waooooooooo😂😂😂😂

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Hebu wasikilize wale wakenya waliobobea kina Salim Daawah na wenzie sio huyo unaemtaja. Ukristo mambo yao ni kama ya Shakahola tu wanaosomea wenzao hawaekewi wanadanganya na wanaosoma wenyewe maandiko hawaelewi wanakariri na kupotoka au kupotosha hawatumii akili yao na kujichanganya tu tofauti na maandiko

  • @Mainguz
    @Mainguz 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa Sulle mbona hueleweki. kufa kwa Yesu kulikuja akiwa usinginzini ama alikufa baada ya kupata mateso(kusulubiwa)?

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Mnatuchekesha jamani mungugani anapata mateso uyoatakua mungu au?

  • @allatha
    @allatha 7 หลายเดือนก่อน

    Sule amani dhana tu bila hoja,bora angewaachia waislam wanaojjua zaidi yake

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 7 หลายเดือนก่อน

    Leo sule hana sauti amelemewa

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 7 หลายเดือนก่อน

    Je, Yesu alifufuliwa au alijifufua baada ya kifo. Mfu ana uwezo wa kujifufua?

    • @jannffer
      @jannffer 7 หลายเดือนก่อน

      Ukimujua ni Nani huwezi uliza kajifufua ama akafufuliwa

    • @jannffer
      @jannffer 7 หลายเดือนก่อน

      Vile Baba atakavyo mapenzi ya mungu yatimilike

    • @masindemusa3328
      @masindemusa3328 7 หลายเดือนก่อน

      Hoja jepesi

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@jannfferKwa hivi Yesu si Mungu Baba ndio Mungu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@jannfferBaba ni nani tena wakati nyinyi mnajidanganya Yesu ni Mungu kwa maana hiyo yeye ndio baba na kumbe sio .Mnajichanganya sana

  • @MengiMatias
    @MengiMatias 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona mnatuchanganya ipi dini yakweli kila upande naona unahoja kulingana na kitabuchake tu Sasa kipi nichakweli

  • @Estherm309
    @Estherm309 7 หลายเดือนก่อน

    Sule auwezi kueleza kuusu YESU KRISTO wa Nazareti Alie hai kama auna ROHO MTAKATIFU Wacha kutudanganya subiri utashuudia mwenyewe

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Kuhusu dhambi kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe Kuhusu dhambi ya asili Mungu alishatoa Adhabu kwa nyoka Hawa na Adam na wote tunaitumikia. Sasa Yesu auawe ili iweje? Mbona wakristo mnajichanganya sana?

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Mnakumbuka Mungu alitoa adhabu kwa nyoka kwamba atakua adui milele na atatembea kwa tumbo lake Hawa aliambiwa atazaa kwa uchungu na atakua chini ya mme wake na mengineyo na Adam aliambowa atatafuta chakula kwa jasho waondoke bustanini na mengineyo. Hiyo ilikua tayari adhabu ya zambi ya Asili na si Yesu n dhambi zingine wanaimba na kusema kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe na si Yesu. Someni muelewe na mtumie bongo zenu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Tatizo nyinyi mnakariri tu na wengi kusomewa na kutafsiriwa isivyo

  • @stevennambunga9093
    @stevennambunga9093 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wakina sule wabishi sana,na kama ndio hivyo kila mtu abaki kuhubiri imani yake,asitokee mtu amekaa mbele ya kamera anazungumzia imani mwenzie!!!

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 6 หลายเดือนก่อน

    😢Dini ya uislamu inauongo sana mbona kwenye hio hio Quran 3:55 inasema
    Hakika ewe isa nitakufisha
    Kisha nitakunyenyua juu
    Hapa mnaongea tena hakufa mbona mnaungo kwenye kitabu chenu?
    Quran 3:55 Kitabu chenu nichauongo manatetea uongo

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hata kama Yesu hakufa waislam inawahusu nini?? Acheni kutuaminisha na dini ya Muhadi. Msitulazimishe na uislamu wenu.

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 7 หลายเดือนก่อน

    Sule toa maandiko sio kwa maneno ya mdomo wako

  • @richardmjema8321
    @richardmjema8321 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona sule kajibu mwenyewe

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 7 หลายเดือนก่อน

    Nawasikitikia waislam quran ndiyo inasema YESU alikuwa na akanyanyuliwa tena ndo inasema YESU hakuuwawa tutaiamini vp tena kama BIBLIA inatuambia shetani ni Baba WA uongo na quran 2:97-98 ililetwa na maadui WA MUNGU inawezaje kusema ukweli,sule anajua ukweli ila anaupindisha hadharani ni MUNGU Tu amsaidie kama wengine vile walisaidiwa wanajua ukweli na sasa wanatangaza injili,ndacha na Daniel hongera

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Mara mseme Yesu Mungu mara kaomba kwa baba yake mbona mnajichanganya tu

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Kuran huijui unadanganya kama mnavyodanganyana kule Shakahola au anavyodanganya Mzee wa Upako anaesema biblia imeandikwa maskini wasio sadaka hawatakiwi kanisani na Mungu hataki maskini

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 6 หลายเดือนก่อน

      Wacha unafiki 2:97-98 aliyemfanyia ushinde jibrilu kuwa ndie aliyempelekea utume nabii Muhammad asiwapelekee mayahudi ni Bure munamuonea Hana kosa jibrilu hakika yeye ameteremsha Quran moyoni mwako kwa idhini ya Allah
      Quran sio biblia Wala gazeti

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 7 หลายเดือนก่อน +1

    Haya ni mawazo ya Muhammad na Allah wake waliyosilimisha majini.hivyo ni wapingaji.

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 7 หลายเดือนก่อน

      Biblia iliandikwa na Watu hata walikua sio wanafunzi wa YESU wala hawakua wayahudi mfano, YOHANA na MARKO biblia nikitabu fake sana YOHANA ndiye huyo huyo MARKO lkn kwenye Biblia nikama waandishi wawili tofauti je huu sio upimbi na ujinga kwa ufupi anaitwa YOHANA MARKO lkn biblia yawafanya kama ni waandishi wawili tofauti 😢Huyu hakumuona YESU wala hwakua myahudi bali MTU wa Roma yaani murumi swali aliandika Vipi injili wakati wakati wa YESU hakuapo wala hajamuona YESU kama ww umsomi wa Biblia njoo unijibu Biblia ni story book wenye waliandika wengine walifanya tu research kama vile LUKA,LUKA 1:1...alitafuta tafuta ukweli wa mambo hayo ili naye aandike...hakuna roho mtakatifu hapo.... eti Biblia ni neno la Mungu Uwongo ni story za Warumi tu.

  • @HAPPYSULE
    @HAPPYSULE 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pasta ndacha usimwite tena huyu sule nihewa kabisa ni lipinga krsito na laana ya kukufuru roho mtakatifu ipo juu yake.

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mauti ya Kristo inawalaza tongo macho waislamu. Kuikana mauti hiyo ni motoni 100%.
    Sule anapapasa. Moyo wake unamhukumu. Majini yake yatamwacha pabaya. Mbele ya Yesu majini hutetemeka.
    Sule hamaliziii andiko.....anasema eti ishia hapo😅😅. Sule atajuta kuikana mauti ya Kristo.

  • @hellen9056
    @hellen9056 6 หลายเดือนก่อน

    Quluani nayo imeshepiwa maana kungine inakubali Yesu ameinuliwa na kungine inasema Yesu hakufa na hiyo nayo imechakachuliwa kwa nini ipingane kama nikitabu cha kweli?

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna Aya katika Quran inayokubali yesu alikufa....munawasikiliza awo makafiri wanaopindisha maandiko na hawayamalizi....wewe kama iyo Aya unaijua katika Quran yesu alikufa itoe

    • @saadihamadi99
      @saadihamadi99 6 หลายเดือนก่อน

      Kwn kuinuliwa ndo kule kufa msalaban kw uelewa wko ama vp?
      Maan kuinuliw ni kutukuzw na kufa msalaban ni kulaaniw, sasa unadhan wap Quran inapingana?

    • @frankmwakalinga7455
      @frankmwakalinga7455 6 หลายเดือนก่อน

      Soma Quran Almran 3:55 inasema Ewe Issa Hakika nitakufisha kisha nitakunyenyua juu kisha nitakutakasa na wale walio kufuru
      Waislamu ni waongo na Dini yao tena ni wapotoshaji na Dini yao hii ya Majini Malaika waasi waliowekewa hukumu ya moto😢😢

    • @frankmwakalinga7455
      @frankmwakalinga7455 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@SalmaAbdul-zz7dy Soma Quran Almran 3:55 inasema ewe isa nitakufisha kisha nitakunyanyua juu nitakutakasa na wale waliokufuru acheni upotoshaji na Dini yenu ya Majini😂

  • @brighton3693
    @brighton3693 3 หลายเดือนก่อน

    yani sure hawezi kuongea mpk aanze kuwapanga waisilam kwa maneno ya mitazamo yake sasa utangulizi wake umeandikwa wapi

  • @jafarimsigwa277
    @jafarimsigwa277 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi upande wa waisilam hakuna mwanazuoni mwingine zaidi ya Dr sule Kama walivyo waKristo?

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Hata ashuke yesumwenyewe aseme wakristo hamtomuelewa maana mushapotezwa

    • @nasrahgdjuma930
      @nasrahgdjuma930 7 หลายเดือนก่อน

      @@AliNgurudu-i4rwalio potezwa😂 ninyinyi na uyo mtume wauongo asiejulikana. Mitume wapo wazee 24 tu na wote ni Jews waarabu lini walibarikiwa?😂😂😂 Ndomana Yesu alikuja kutokomboa❤because mitume case was closed so nyie ndo mmpotea

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahahah! Wakristo poleni sana maana waliolala katika Cristo wamepotea ikanushe naio imo katika biblia napia yesu mwanyewe anasema Mimi sikuletwa ila kwa Wana wa Israelitu muliobakia mnajipendekezatu hamjulikani

    • @nasrahgdjuma930
      @nasrahgdjuma930 7 หลายเดือนก่อน

      @@AliNgurudu-i4r pole wewe ulifata Mtu ambaye kaoa mtoto wamiaka sita nakuwaibia Mali wayahudi uko Saudi. Yesu ni mwana wa Mungu and he’s the messiah bila Yesu mbunguni Huendi Yesu ndio njia ya Kweli na uzima. Hizo dini zenu mlipewa na shetani May Jesus open your eyes before it’s too late.

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahaha! Dini yawapakwa mafuta mnachekesha yaani nilijua nilichokuandikia mwazo utapinga kumbe ulikubali kwamba waliolala katika Cristo wamepotea

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona yeye kajibu hoja zakoo.

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli sure wewe maneno mengi auna lolote keleletu zimekujaa

  • @emmanuelmatiko7307
    @emmanuelmatiko7307 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sure tengua kauri yako, huyo mtume wa watu wote wewe na akina nani ? Don't include us please, huyo ni wa kwenu tu pekee yenu usiseme ni wa watu wote hakuna nabii yeyote aliwahi hata mtabiri ujio wake tofauti na kuwa miongoni mwa manabii wa uongo waliotajwa kuwepo siku za mwisho.

    • @kimsi682
      @kimsi682 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa mambwana na kanzu zao, ndio mafharizayo wa leo. Wamepotosha wengi, wengi sana na hii helimu ya uislamu ya upofu na upotofu. Wanaugana mkona na majini kuwandanganya na kuwapotosha wengi, wengi sana! Uzuni kumbwa!!

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 6 หลายเดือนก่อน

      @kimsi682huzuni kwenu nyie mulokua na dini Mungu asoitambua ....dini muloletewa na wazungu...biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna andiko ukristo ni dini ya Mungu Wala biblia ni kitabu Cha Mungu....

    • @saadihamadi99
      @saadihamadi99 6 หลายเดือนก่อน

      ​@kimsi682 jiangalie vzur usjekua miongon mw hao waliopotezw na shetan, kwn unapsema Muhammad haktabriw na manabii ni manabii gn unaksdia?
      Chunguza vzur sana bila ya kung'ang'ania iman uliyonayo huu ukristo ambao ni dini ya huyo Yesu km mnavosema imeanzia kw nan?, lini? Wap?. Na km kwl Yesu amekja na dini hii ametumw na nani?

  • @DafudaDotto
    @DafudaDotto 7 หลายเดือนก่อน

    Kama huna hoja sure bora kukaa kimya nalo ni jibu kuliko vituko vya mahindi kusemea mahindi ni mchele boa kabisa😅😅😅😅😅

  • @Mainguz
    @Mainguz 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa Huu mjadala au mtu aliyefeli anajitahidi kutunga uongo ili aonekane anajua!! unakujaje kusema hukuja kujibu hoja bali kufundisha, siungekaa studio kwako ukaongea yoooote kisha ukapost ikaisha. Hii ndo inaonyesha ni namna gani Sulle alivyo kilaza kwenye mambo ya Imani ya Kristo n ahata huo uislam wake.

  • @Mainguz
    @Mainguz 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa Sulle Mada ni nguo aliyovalishwa Yesu ama ni KUFA ama HAKUFA?
    Ikiwa ndo usomi wake uko hivi abaki kufuga majini tu huko Msikitini.

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 7 หลายเดือนก่อน

      Mtaelewatu iposiku hatamzee wa upako anayajua hayo nandomaana hamumpendi

  • @Mainguz
    @Mainguz 7 หลายเดือนก่อน

    Huku kwenye Laana ndo anazidi kujichimbia shimo kabisaaa

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 20 วันที่ผ่านมา

    Huyu shehe mbona yuko nje ya mada kupotosha waislam????

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 7 หลายเดือนก่อน +1

    ivi huyo shehe amepewa Nini Kwa ubishi usipo na akili ,,,tena , waislam ndio walio pindisha ukweri wote wa bible

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 5 หลายเดือนก่อน

    Uislamu ndo uelewa kidogo. Acha kukwepa hoja. Usipende kuponda ukristo wewe amini unachotaka wewe. Unateteaje uislam kwa kuusema ukristo. Hakuna hoja dogo

  • @Mainguz
    @Mainguz 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanini amekimbia kumalizia hiyo Yohana 19: 16-17 na kuendelea. ili atuambie huyom aliyebadilishwa na Allah aliingia wapi kuchukua nafasi ya Yesu, Je anamini aliyejichukulia Msalaba wake alikuwa Yesu ama ndo yule fake?

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aaah sule wewee 😅...upendo wa Mungu unaufqhamu au unajiongelea too kwamba Mungu haezi uonyesha upendo wake kwa kumuua mwanawe ili tukapate nafasi kwa Mungu...😅😅😅aaah yaan waislam mmepotea na mmekataa kusikia kwamɓa yesu ndo njia

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 7 หลายเดือนก่อน +1

    wewe kafunge majini tu sure

  • @pascalkalama
    @pascalkalama 7 หลายเดือนก่อน

    Kule tunaelekea waislam watakua wakisikia wakristo wanawaita kwa mahojiano wanakimbia

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 7 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza wale wahubiri wa kenya akina Salim Daawah halfu uone nani atakimbia. Hawa leo wamekutana na watu wasiobobea lakini midahalo mingi wakristo hua wanashindwa kwa hoja zilizomo vitabuni. Huyu muislam wa leo hana uwezo mkubwa sana.

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 6 หลายเดือนก่อน

      Swala la kua wapi yesu anasema biblia ni kitabu Cha Mungu limewashinda kazi kungangania mwana wa Mungu mara karithi....maandiko hamuna