YESU YUPI ALIKUFA SAA 3 NA SAA 6? MAJIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 54

  • @johnmnonjela651
    @johnmnonjela651 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi majibu waliyapata mazuri sana katika ule mdaalo...

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki ndugu,much love from Kenya....nakufuatilia kwa ukaribu

  • @faresfaustin4328
    @faresfaustin4328 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikwe Mtumishi wa Mungu Daniel mwankemwa umefanya jambo jema kutetea ukweli wa injili ya Yesu kristo

  • @januarysoka9418
    @januarysoka9418 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana. umefanya vyema. Tumekuelewa sana

  • @isaacsimiyu3935
    @isaacsimiyu3935 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mtumishi YESU CHRISTO tuu ndiye njia uzima wanakataa lakini wanaujua ukweli

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Yesu akuongoze 🇺🇸🇨🇩🙏

  • @bensononyango1426
    @bensononyango1426 2 ปีที่แล้ว

    May the Lord God bless you abundantly, Amen

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 7 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Amina

  • @peterntandu1919
    @peterntandu1919 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @obadiayusuph7096
    @obadiayusuph7096 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooo pr Mwankemwa

  • @abelialsen5383
    @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mwankemwa japo nilisikitika kwa wewe kutokuwepo ktk dibate hiyo!! Tunajifunza mambo mengi sana kutoka kwako
    Barikiwa sana

  • @kullumbakaduka5068
    @kullumbakaduka5068 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni mungu na alikua anamuomba nani! .... yaani mungu auliwe na mwanadamu aliemuumba....

    • @PeterJonathan-c8k
      @PeterJonathan-c8k 9 หลายเดือนก่อน

      YESU ni MUNGU, yohana 1:1-3, wewe huwezi jua upo mwilini wafuasi wa MUNGU YESU tunaelewa

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa kujadili

  • @venancemwakibete8149
    @venancemwakibete8149 3 ปีที่แล้ว +1

    Roho ya kiislamu ndiyo ya mpinga kristo

  • @gizzoforshizzo
    @gizzoforshizzo 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki uendelee kupost more video maana ni muda mrefu hujapost mafundisho yako

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว +1

    Good work

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว

    Wavivu WA kufikiri hawakuelewa, andiko lingesema alianza Kusulubiwa saa 3 lingine alianza liseme saa6 hapo wangejenga hoja lakini Kuxema alisulubiwa saa 3 na saa6 injuri zote ziko sawa sababu maandiko yanaonesha kakamatwa Usiku WA kuamkia ijumaa na hapo ndio mwanzo wa mateso kwa hiyo brother Asante Sana, Sema wenzetu kwa kujiproud hawajambo. wao maswali yote hawakujibu hata moja fikri andiko kinaxema jadilianeni na watu wa dini zilizotangulia harafu anaxema Adam alikuwa mwisiram, hili jibu tungetoa wakristo wangepost miaka 10

  • @kayitarevincent586
    @kayitarevincent586 3 ปีที่แล้ว

    Wandugu zetu wa dini ya kislam, tafadhali sana msiwalaumu kwa mana wanaongozwa na pepo mchafu wa sheitani. Na imani yao si tafauti na imani ya wayahudi waliomua Bwana Yesu.

    • @khamisirashidi201
      @khamisirashidi201 3 ปีที่แล้ว

      Ufunuo 2:12_13

    • @kayitarevincent586
      @kayitarevincent586 3 ปีที่แล้ว

      @@khamisirashidi201 Asante sana Ndugu yangu Khamisi kwa andiko lile la ufunuo 2 : 12 - 13 leo ni sahihi, kuringana na milioni ya mahudjaji wakihanya kila mwaka kwenye ikuru ya SHEITANI kumtupia mawe. Ya kuskitisha badhi yao huuwawa wenyewe hapo hapo😭😭😭

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 3 ปีที่แล้ว

    Tunakupata vizuri huku kenya. Ningewauliza katika hizo vitabu vyote ni gani unakataa yesu hakufa

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 ปีที่แล้ว +1

    Vizri kbsa wape elimu hawo

  • @kullumbakaduka5068
    @kullumbakaduka5068 3 ปีที่แล้ว

    Enda kwa hao wahubiri wenzako ww usidanganye watu... yesu hakuandika bibilia..... ulushindwa na mada... wajitete ukiwa pekeo

  • @lukmanally4871
    @lukmanally4871 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani ww unachekesha kenye dibeti huonekani kisha unajifungia ndani nakuongea peke yko. Na anaeongea peke yake anakua mshindi

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว

      Angekuwa anaongea peke yake usingemsikia

  • @bonniebaraka
    @bonniebaraka 3 ปีที่แล้ว

    Basi nimeamua ku bofya "dislike" ili kuwafurahisha kidogo ndg zangu waliokosa hoja ili mioyo yao iwe miepesi kidogo.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 ปีที่แล้ว

    Umefanya vyema. Jamaa wametala kwenye TH-cam kila Post kuonyesha tulishindwa

  • @AmmarIssa-d8s
    @AmmarIssa-d8s 9 หลายเดือนก่อน

    Na itwa ammari, wewe danieli nimuongo kama shetani , waislamu wako sa hii, kwann marco 15:25 nae ilikua saa 3 wakamsulubisha, yohana 19 : 14: 15:16: Ilikua sherehe yapasaka yapata saa 6 pwenti kwenye hili andiko waka mchukua wakaenda wakamsulubu, ( sulubu ) ndio lina leta utata tuje neno sulubu hili neno sulubu maanaake nikumsulubu au kumgongelea mtu kwenye mbao ambae imekaa kamajumlisha, ushahidi angalia biblia ya Eprimato tafta neno sulubu, ss ikiwa neno sulubu nikumgongelea mtu msalabani, sasa marco anasema ilikua saa 3 kagongelewa 15:25, yohana anasema saa 6 kagongelewa sasa nani mkweli simnasema wanaroho mtakatifu, au roho mtakavitu hajui hesabu, hunalolote danieli, na para lako,

  • @chrithicksambo5296
    @chrithicksambo5296 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwankemwa usihangaike na hao makafiri wa kiarabu hawajuhi Nini maana ya ukristo sababu kweri haipo ndani yao..maana hata pepo yao ipo kwenye unyayo wa mama zao ..endelea kuinjilisha injili ya Bwana isonge mbele malafyale kwa Jesu khununu fijo

    • @dismasvalentine9633
      @dismasvalentine9633 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa wenzetu hawa wanataka nn kuhusu kristo Yesu?mbona sisi hatujadili habari ya Muhammad? Kama sisi tumepotea njia, basi watuache tuendelee kupotea .Lakini Muda utakujazungumza .na huu ni ukorofi .kwani lisilokuhusu lakuwashia nini? Wakristo simameni Imara msiyumbishwe na Wapinga Kristo.

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 3 ปีที่แล้ว

    kweli mwalimu waislam hoi kabisa ni ajabu watu wazima kama mazibge hawaelewi alafu wanajiita wahadhiri.
    mie sioni dalili kama waashiri ndio hao waislam wameisha.

  • @khamisirashidi201
    @khamisirashidi201 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji hujielewi.
    MADA haikusema kufa kwa YESU.
    MADA ilisema kasulubiwa saa ngapi?
    Wewe unajibu kufa.
    Wewe vp?

    • @muebraniamuebrania145
      @muebraniamuebrania145 3 ปีที่แล้ว

      Aneyafafanuwa tote,we mwana wa upotevu,kizazi cha wasiohaki.MKIRI YESU KWA KINYWA CHAKO YAKUWA NI BWANA NA KWAMBA ALIKUFA NA KUFUFUKA NAKWAMBA NI MWANA WA MUNGU UTAOKOKA.HABARI MBAYA NIKWAMBA USIPOUKUBALI WOKOVU ,JEHANAM IMEWEKWA TAYAR KUWALA WAPINGAO.

  • @caravanadedawah472
    @caravanadedawah472 3 ปีที่แล้ว

    Usitudanganhe wewe,nhamaza tu.

  • @maspro6294
    @maspro6294 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi na swali kwako
    KamaYesu ndio mungu alikufa nani alichukua Roho yake na yeye ndio mungu?
    Kama yesu mtoto wa mungu kwanini asiwe Adamu ndio awe mtoto wa mungu kwa sababu yeye hakuzaliwa kama kama yesu ?
    Kama yesu ndio mungu na alikufa siku 3 nani alikua mungu kuiongoza dunia ?
    Kama yesu ndio mungu na alikaa ndani ya Tumbo la mama yake Mariam miezi 9 nani alimumba mama yake na nani alikua anaendesha Dunia?
    Na kama yesu ni mungu ilikuaje hakua na nguvu za kuwazui binaadamu alie waumba yeye wakamua mungu ?
    Naomba Majibu

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  3 ปีที่แล้ว +2

      Maspro umeelewa kwanza hoja inayofafanuliwa hapo? Kama hiyo umeielewa nitakuwa tayari kujibu maswali yako. Siwezi nikawa ninarukaruka mada kama mtoto. Umeelewa?

    • @maspro6294
      @maspro6294 3 ปีที่แล้ว

      Mchungaji
      Mimi nimeelewa mada zako ila nimekuliza maswali yangu ili nipate Majibu sahihi ili niunganishe na Majibu yako kama yako sawa au sio sawa

    • @essaumpuma2981
      @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ni roho bro,soma yohana 4:24 unaposema yesu yuko tumbo au kafa kinachozaliwaau kufa ni mwili, Soma wafilipi2:5 unapomwita yesu mtume au nabii au mwanawa Mungu unamwita akiwa kama mfano WA mwanadam wakristo wote ni wana wa Mungu lakini andiko linasema hapo mwanzo alikuwa yu namna ya Mungu, siku zote Mungu hujidhirisha kwa wingi Soma quran 18:50

    • @maspro6294
      @maspro6294 3 ปีที่แล้ว

      @@essaumpuma2981 kwahiyo yesu alipo Kua tumboni mwa mama yake Miezi 9 alikua hana Roho ? Kazaliwa bila ya Roho ?

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว +1

      Mi naomba kuongezea jambo moja hapo ktk utafiti nilioufanya inaonyesha mungu wanaemuabudu waislam ana mipaka kunavitu anaweza kufanya na kunavitu hawezi kufanya!
      Mfano wezetu wanadai kama mungu alikua kaburini nani alikua katika kuiongoza dunia???
      Wanashindwa kuelewa kwamba mungu anaweza kua mahali popote pale duniani na mbinguni kwa wakati mmoja!! kwa mfano mdogo tu angalia kiumbe chake kinachoitwa JUA NA MWEZI kwa wakati mmoja tunaviona hapa Tanzania na bado vinaonekana Kenya Uganda n.k