Nitaulinda msalaba, ndilo pumziko langu. Ee Mungu nitakase dhambi zangu maana mimi ni mkosefu mbele zako. Unirehemu sawasawa na fadhili zako😢,, wimbo huu umenipeleka viwango vingine juu ya toba na kunisogeza karibu zaidi na Mungu. Mbarikiwe sana, mtunzi aendelee kunyenyekea chini ya mkono wa BWANA. Amebeba kusudi la Mungu.
Tunashukuru sana kwa ujumbe wako wa kutia moyo! Tunafurahi kusikia kwamba wimbo wetu umekuletea baraka na kukusogeza karibu na Mungu. Tunaendelea kumtegemea BWANA katika kila hatua ya safari yetu, na tunamshukuru Mtunzi wetu kwa kujitoa kwa kazi hii. Amebarikiwa kwa kuwa na wewe katika safari hii ya imani. Asante kwa kuwa sehemu yetu.
Asante sana kwa maombi yako! Tunamshukuru Mungu kwa baraka zake. Karibu sana Tanzania, na tunatumai utaendelea kutuunga mkono kwa upendo wako. Ubarikiwe.
Another great inspiring song. Jesus Christ in deed is our rock, our refuge, our strength, our shield, the horn of our salvation. On Him alone I rely. May God bless and increase you. Thanks for the translation.
You are absolutely right; Jesus Christ is our rock, refuge, strength, and shield. We rely on Him for our salvation and strength. Thank you for your kind words, and we're grateful that the translation was helpful. May God bless you. Your support means a lot to us.
We're thrilled to hear that the song has a special impact on your heart. Thank you so much. May this song continue to inspire and uplift you in your spiritual journey.
Amen! We're humbled to be part of your spiritual journey. May God continue to guide and bless you in Jesus' name. Thank you for your support, and we're here to spread His message through our music. Wasalimie Nakuru.
Nyimbo zenu mamajusi simebariki wengi nikiwa mumoja wao nimewafatilia kwa muta murafe nyimbo sinabariki tena zafariji mioyo yetu tunapo pitia maisha magumu
Those are truly powerful and touching lyrics. It's beautiful how they resonate with your heart every morning. The message of finding rest and strength in Jesus and the cross is a source of comfort and inspiration. May your connection with this song continue to bring you peace and solace each day.
Nitaulinda msalaba,ona moyo wangu unakutegemea yesu,ona maisha yangu yanakutegemea yesu, Beau song and so emotional,mungu awabariki na kuwainua kwa viwango vingine zaidi.
Thank you for your heartwarming words. We're deeply touched to have been a blessing to your soul through our songs. May God bless you abundantly. Your support means the world to us!
Amina! Tunamshukuru Mungu kwa baraka zake, na tunakutakia wewe pia baraka nyingi zaidi katika maisha yako. Asante kwa kuwa mshirika wa kiroho katika safari yetu.
Thank you so much for your kind words! We're glad to hear that the song touched your heart. Indeed, our lives and hearts depend on Jesus. His love and grace are boundless. May His blessings continue to be with you.
Thank you for your heartfelt blessing and kind words. We're truly grateful for your support and that our music has been a source of encouragement and blessing to you. May the Lord continue to bless you abundantly as well.
Nyimbo kama hizi Huwa zinaniburudisha sana..hakika naomba MUNGU azidi kuwapa karama kubwa ya uimbaji wazidi kutupa kilichobora🙏
Tunashukuru sana kwa upendo na maombi yako. Ubarikiwe sana.
Nabarikiwa sana na wimbo huu, MUNGU awainue sana wapendwa
Nitaulinda msalaba, ndilo pumziko langu. Ee Mungu nitakase dhambi zangu maana mimi ni mkosefu mbele zako. Unirehemu sawasawa na fadhili zako😢,, wimbo huu umenipeleka viwango vingine juu ya toba na kunisogeza karibu zaidi na Mungu. Mbarikiwe sana, mtunzi aendelee kunyenyekea chini ya mkono wa BWANA. Amebeba kusudi la Mungu.
Tunashukuru sana kwa ujumbe wako wa kutia moyo! Tunafurahi kusikia kwamba wimbo wetu umekuletea baraka na kukusogeza karibu na Mungu. Tunaendelea kumtegemea BWANA katika kila hatua ya safari yetu, na tunamshukuru Mtunzi wetu kwa kujitoa kwa kazi hii. Amebarikiwa kwa kuwa na wewe katika safari hii ya imani. Asante kwa kuwa sehemu yetu.
@Mamajusi,, amina! Amina!
Mungu aendelee kuwainua muishi katika umoja wa Roho
Amen
Nimeguswa mpaka kilindi cha moyo wangu. Asanteni Mamajusi kwa moyo huu wa ibada❤❤
Tunafurahi sana. Uzidi kubarikiwa kwa kuwa sehemu ya familia yetu.
Mungu aendelee kuwainua. Endelea kuwepo Kaka Tito.
Amina mungu azidi kuwainua viwango vya juu zaidi kutoka kenya
Asante sana kwa maombi yako! Tunamshukuru Mungu kwa baraka zake. Karibu sana Tanzania, na tunatumai utaendelea kutuunga mkono kwa upendo wako. Ubarikiwe.
❤🎉❤❤nyimbo sa mama Jusi sinanibariki sana naifwatilia nikiwa Saudi Arabia mungu awabariki wana kwaya ya mama jusi
Another great inspiring song. Jesus Christ in deed is our rock, our refuge, our strength, our shield, the horn of our salvation. On Him alone I rely. May God bless and increase you. Thanks for the translation.
Asante sana ngugu
You are absolutely right; Jesus Christ is our rock, refuge, strength, and shield. We rely on Him for our salvation and strength. Thank you for your kind words, and we're grateful that the translation was helpful. May God bless you. Your support means a lot to us.
It's a blessed song I thank God for you
What a beautiful song! "I will keep the cross for it is my rest" waaauuuu
This song is ministering my hrt in a special way
We're thrilled to hear that the song has a special impact on your heart. Thank you so much. May this song continue to inspire and uplift you in your spiritual journey.
Wimbo mzuri sana hongereni mamajus kwaya
True you are my God and you will remain same in Jesus name. Thank you mmajusi choir. In Nakuru.
Amen! We're humbled to be part of your spiritual journey. May God continue to guide and bless you in Jesus' name. Thank you for your support, and we're here to spread His message through our music. Wasalimie Nakuru.
Hakika hapa kuna yesu...nitaulinda msalaba
❤❤❤❤ Mungu azidi kuwapa neema ya huduma mnapoguza roho za watu wa Mungu kupitia nyimbo zenu.
Mbarikiwe Sana Asante huduma nzuri kupitia kwa wimbo mungu azidi kuwarinda
Amen mtumishi. Ubarikiwe zaidi
Hakika kwaya hii nyimbo zao huwa zinakonga nyoyo zangu
Asante sana. Kwa kuwa sehemu ya safari yetu. Ubarikiwe.
Nitaulinda msalaba ndilo pumziko langu
Hakika nitaulinda Msalaba
MUNGU unirehemu sawasawa na fadhila zako kiasi cha wingi WA Rehema zako uyafute makosa yangu🙏🙏🎶🎶
Ameen
Mamajusi will lead praise and worship in heaven
Nyimbo zenu mamajusi simebariki wengi nikiwa mumoja wao nimewafatilia kwa muta murafe nyimbo sinabariki tena zafariji mioyo yetu tunapo pitia maisha magumu
Ona moyo wangu unakutegemea Yesu,,,, na nitaulindaa msalaba ndilo pumziko langu. My heartcry every morning
Those are truly powerful and touching lyrics. It's beautiful how they resonate with your heart every morning. The message of finding rest and strength in Jesus and the cross is a source of comfort and inspiration. May your connection with this song continue to bring you peace and solace each day.
@@mamajusichoirmoshi5620 amen and amen
Kweli utabaki kuwa Mungu kwangu baba,Wewe ni Mungu tu
Nabarikiwa nikiwa Nairobi Kenya,MOLA awabariki mno kwa kazi njema kupitia uimbaji❤❤❤.
Asante kwa baraka zako kutoka Nairobi, Kenya! Tunashukuru kwa upendo na maombi yako. Ubarikiwe sana.
Asante
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki sana
Alleluja Yesu, mbarikiwe sana mamajuzi kwaya. Niwazikuliza nikiwa hapa jamuhuri international show ground Nairobi Kenya.
Kazi nzuri tunabarikiwa sana
Wimbo huu unanibariki sana maana maisha yangu namtegemea yesu ndio amani yangu❤
Hakika mmeimba vizuri sana. Mungu azidi kuwabariki katika unjilishaji kwa njia ya nyimbo.
Tunashukuru sana. Sifa zote ni kwa Bwana. Tunamtumaini Mungu kwa kila hatua ya uinjilishaji wetu kupitia nyimbo. Barikiwa sana.
Nimebarikiwa sana kwa huduma hii ya nyimbo zenu. Mungu aikumbuke sadaka na karamu hii. Barikiweni sana jamani
Mzidi barikiwa kwa kiwango cha juuuu team!
Asante sana kwa baraka zako na maombi. Tunathamini sana upendo wako. Ubarikiwe sana.
Utukufu una Mungu.
Hakika, Utukufu ni wa Mungu pekee.
All glory be to Almighty God. Asante Baba Mungu.
Nitaulinda msalaba,ona moyo wangu unakutegemea yesu,ona maisha yangu yanakutegemea yesu, Beau song and so emotional,mungu awabariki na kuwainua kwa viwango vingine zaidi.
Amen, you remain to be God irrespective of the challenges we do encounter.you always give us the strength to carry on.
Mungu awape hekima mamajusi nawapenda Bure
Mungu wetu awape upunifu zaidi Amina,. mmie Alphayo omwega ninesshukuru sana wapendwa niko kenya.
You've always been a blessing to my soul with your songs . God bless you all and church.
Thank you for your heartwarming words. We're deeply touched to have been a blessing to your soul through our songs. May God bless you abundantly. Your support means the world to us!
Nawapenda sana Mungu azidi kuwainua
Sitajali maumivu nilioumizwa hapo kale,Nitaulinda msalaba ndilo pumziko langu.God bless you.
This is fantastic job Mamajusi you have made my day so relaxing and enjoying watching you refreshing my soul God bless you all
Mungu azidi kuwabariki
Amina! Tunamshukuru Mungu kwa baraka zake, na tunakutakia wewe pia baraka nyingi zaidi katika maisha yako. Asante kwa kuwa mshirika wa kiroho katika safari yetu.
Mamajusi wananivutia sana, wanatumia vyombo vinasikika vizuri lakini maneno yanasikika vizuri sana, mbarikiwe sana!
Amina mbarikiwe sana mamajusi choirs moshi majengo Kilimanjaro Tanzania 🙏🙏🙏🙏
Mbarikiwe sn Watumishi wa Mungu
Moja ya Kwaya bora kabisa katika Kanisa. Mungu aendelee kuwatunza
Hii ndio maana ya kwaya ,Mbarikiwe sana.
Here we are again. Mbarikiwe Mamajusi
Amina utabaki kuwa Mungu
Glory be to the most higher. Hakika wewe ni Mungu tuu.
Amina! Nitaulinda Msalaba.
I love this choir the most. I would like to see the video for the song, " maagano"
beauttahtsuma, Kenya: powerful!
This is pure worship,much love from Kenya hi to mwalimu Tito na team
🙌🙌🙌🙌
Nice song, soo emotional. My life and my heart depends on You Jesus
Thank you so much for your kind words! We're glad to hear that the song touched your heart. Indeed, our lives and hearts depend on Jesus. His love and grace are boundless. May His blessings continue to be with you.
God bless you kwaya ya jusi❤
Amina
🙏🙏
This song is an inspiration to my heart.
May the Lord bless
Mama jusi choir .a very encouraging song I'm so blessed
Thank you for your heartfelt blessing and kind words. We're truly grateful for your support and that our music has been a source of encouragement and blessing to you. May the Lord continue to bless you abundantly as well.
Mamajusi you're blessed
Thank you so much for the blessing. Your support and encouragement mean a lot to Mamajusi Choir. We are truly grateful!
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Golden voices..God bless you...
We appreciate your support and blessings. May God continue to bless you as well.
Amen
Pop pop ok pop pm
Pop
Nice
My favorite choir cheers 🥂
Thank you so much for your kind words and support! We're delighted to be your favorite choir. Cheers to you as well.
Amen 🙏 be blessed
Amen! May you also be blessed abundantly. Thank you for your positive and kind message.
Amen
🙏🙏🙏🙏