MWENDO - Mamajusi Choir Moshi - Official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • "Taarifa mbaya kwangu sitaki, nataka taarifa zilizo njema, naenda mbinguni" Ni moja ya maneno yanayopatikana katika wimbo huu.
    Ni kweli tunapitia mambo mengi na pengine wengie tuko milimani na hatujui namna ya kutoka. Kupitia wimbo huu wenye ujumbe mzuri Bwana akatuponye.
    Wimbo huu umebeba jina la album "MWENDO" iliyozinduliwa rasmi leo tarehe 25/06/2023. Karibu usikilize na uzidi kubarikiwa. Tunashukuru kwa kuendelea kuwa sehemu ya mafanikio ya huduma yetu.
    Channel hii ni rasmi kwa ajili nyimbo zote za Mamajusi Choir iliyoko chini ya kanisa la Anglikana (The Anglican Church of Tanzania (ACT) lilipo Majengo Moshi.
    Mawasiliano ya Viongozi mbalimbali:
    Mwalimu wa Kwaya +255756412279
    Mwenyekiti wa Kwaya +255754267151

ความคิดเห็น • 130

  • @js5abooki855
    @js5abooki855 3 หลายเดือนก่อน

    December 2025 nani yuko hapa ❤

  • @Stanley-fm8ng
    @Stanley-fm8ng หลายเดือนก่อน

    Huyu soloist anaenda mbali. Mungu azidi kuwabariki Mamajusi Choir. Kutoka Mombasa, Kenya.

  • @alphamaginyo7461
    @alphamaginyo7461 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa yesu kuna raha jamani njooni wote maana sitaki kupunguziwa mwendo mie👌🏽🤏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @EmanuelMmasa
    @EmanuelMmasa 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ mungu awatanguliee mvuke viwango na viwangoo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @CathbethMpuza
    @CathbethMpuza 3 หลายเดือนก่อน

    Natokea Dodoma ujumbe wenu katika wimbo huu umenisaidia sana Mungu awabariki sana.

  • @sicha3307
    @sicha3307 7 หลายเดือนก่อน

    Mmejipanga sana, nimewakubali.
    Hongereni sana sana

  • @HappinessBakuju
    @HappinessBakuju 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nabariwa Sana na mahubiri yenu nikiwa kahama Mungu awatunze

  • @MagrethLyoka-ri7vh
    @MagrethLyoka-ri7vh ปีที่แล้ว +1

    Mbalikiwe sana

  • @joshuamumo2292
    @joshuamumo2292 ปีที่แล้ว

    Naomba siku moja mtembeavyo Nairobi mje tuabudu nanyi GNCA PUMWANI GIKOMBA.

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 11 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Mungu wetu kwa kuwafanya ninyi chombo muimu cha kuubili injiri hii kupitia hizi nyimbo zenyu mzuri kweli kweli.!" Mbarikiwe sana mamajuzi. Amen 🙏🙏🙏🙏.

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  11 หลายเดือนก่อน

      Amen! Tunamshukuru Mungu kwa fursa ya kuwa chombo cha kueneza injili kupitia nyimbo zetu. Asante kwa maombi yako na baraka zako. Ubarikiwe sana.

  • @DottoMalima
    @DottoMalima ปีที่แล้ว +7

    Wa kwanza kutoka iringa nimefarijika saaaana

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +1

    Chama langu congr yesu azidi kuwainua

    • @alphayomogunde7828
      @alphayomogunde7828 7 หลายเดือนก่อน

      Dada Rose muhando nakuona,hapa Nairobi Kenya. Kazi mzuri kweli kweli.

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa miaka mingi mimi nikiwafutilia sana, Mungu wetu awape upunifu zaidi hadi mbinguni makaoni kwetu.

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  11 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa ufuatiliaji wako wa miaka mingi na maombi yako yenye upendo! Tunathamini sana uungwaji mkono wako na maombi yako kwa ubunifu na kazi yetu ya uimbaji. Tunaomba Mungu atuongoze na kutubariki ili tuendelee kuwa chombo cha kuleta ujumbe wa imani na faraja kwa watu. Ubarikiwe sana! 🎶🙏❤️

  • @DaudiKanyepa
    @DaudiKanyepa ปีที่แล้ว +2

    Baraka kaka umeupiga mwingi sana congolee

  • @JudithNelson-m1x
    @JudithNelson-m1x 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman hii kwanya itakaa uchuje kweli nawaombea Kwa mungu mzindi kumtumikia yeye alie wapa vipaji

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 7 หลายเดือนก่อน

    Karibuni hapa Kenya, Kisii county,kule mpakani mwa wamaasai na wakisii,Magena market.

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +1

    Jamani da Rukia,khaaaa

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda Sana mnaimba vizuri

  • @christinangowi9593
    @christinangowi9593 7 หลายเดือนก่อน

    Brother Tunuka and my young sister pendo keep on praise the Lord

  • @SoupirLwabahizimalumba
    @SoupirLwabahizimalumba ปีที่แล้ว

    Mungu awa bariki sana wa pendwa

  • @SamwelKulwa-j5q
    @SamwelKulwa-j5q 16 วันที่ผ่านมา

    wimbo mzur sana mungu awabariki

  • @derrickazenze820
    @derrickazenze820 7 หลายเดือนก่อน

    Very true 👍 what a mighty song. May the Lord elevate you more

  • @paulsabatia2637
    @paulsabatia2637 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ Nice and good lerics.

  • @richardmativo205
    @richardmativo205 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kwa wimbo mzuri mungu awabariki ndungu na dada zangu Kwa kazi nzuri

  • @MaryJoseph-u8s
    @MaryJoseph-u8s 11 หลายเดือนก่อน

    Mnanibariki mno jamani uwiii kila wimbo unaugua moyo

  • @lucydavie718
    @lucydavie718 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mimi ninaulinda moyo kuliko chochote maana ndiko zitokako chemichemi za uzima......God bless you Mama Jusi Yesu azidi kuwainua na kuwapa unyenyekevu

  • @numbersquard9010
    @numbersquard9010 ปีที่แล้ว +1

    Moja kati ya nyimbo bora sana

  • @amosyMpole
    @amosyMpole ปีที่แล้ว +2

    Nafrahi kuwa wa Kwanza ❤ nikiwa Mombasa

  • @janemusyoka6125
    @janemusyoka6125 ปีที่แล้ว +2

    Yote yalikwisha kalvary🙏🙏🙏

  • @FloraStephen-e3t
    @FloraStephen-e3t 10 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏🙏🙏🙏

  • @nakimitihellen6422
    @nakimitihellen6422 ปีที่แล้ว +6

    😅 Cuteness overload 😅,I love the way Jesus Christ is refreshing this Choir day n night,Ur looking nice n fantastic just as the massage in the song.
    Love you always from UG
    🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much.

    • @ChanyaAbihudi
      @ChanyaAbihudi ปีที่แล้ว

      Kutoka lushoto ninabalikiwa Sana ninapo sikiliza ujumbe wanyimbo zenu hakika zinanijenga kiroho mungu na azidi kuwatia nguvu kwahuduma hii.

    • @SamwelKulwa-j5q
      @SamwelKulwa-j5q 16 วันที่ผ่านมา

      wimbo mzur kweli

    • @SamwelKulwa-j5q
      @SamwelKulwa-j5q 16 วันที่ผ่านมา

      wimbo mzur kweli

  • @yoshuamwakibunda5192
    @yoshuamwakibunda5192 หลายเดือนก่อน

    Hakika sitaki maumivu ya moyo wangu

  • @evansmainagitau
    @evansmainagitau ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo za kutuliza moyo.

  • @chilandochichy9640
    @chilandochichy9640 9 หลายเดือนก่อน +1

    I really like the way you sing 😊heavenly father add more years to your lives for you to continue glorifying Him

  • @joshuamumo2292
    @joshuamumo2292 ปีที่แล้ว +1

    You the first amongst my favourite choirs,,,,niwasikizavyo kila mara nabarikiwa tu,,,mungu azidi kuwaneemesha.

  • @christinangowi9593
    @christinangowi9593 7 หลายเดือนก่อน

    God bless you everybody

  • @marcelinekilongo5765
    @marcelinekilongo5765 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you guys ❤

  • @JacksonMalongo-i3v
    @JacksonMalongo-i3v ปีที่แล้ว +1

    Hapo sawa mung'u ako nasi

  • @samuelnjaumuiruri9525
    @samuelnjaumuiruri9525 ปีที่แล้ว +2

    Am here 🇺🇲🇰🇪

  • @enosmwangondaofficial8589
    @enosmwangondaofficial8589 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeeen❤

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es ปีที่แล้ว

    Amen

  • @annahprez1961
    @annahprez1961 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nina ulinda moyo kuliko chochote maana ndiko zitokako chemchemi,,,,mbarikiwe mno nimebarikiwa sana

  • @glorykimaro2548
    @glorykimaro2548 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana taarifa mbaya kwangu sitaki, nataka taarifa zilizo njema naaenda mbinguni na ninalinda moyo wangu ndiko zitokako chemchem

  • @frankfrancis6965
    @frankfrancis6965 ปีที่แล้ว +1

    Nalinda moyowangu,,,,,natakanafasi ya Moyowangu nimwachie Yesu

  • @abelkinyondo9027
    @abelkinyondo9027 2 หลายเดือนก่อน

    Great rumba

  • @noriahmuthusi4659
    @noriahmuthusi4659 ปีที่แล้ว +1

    Amen... Wimbo mzuri wenye Mawaidha mazuri.

  • @babra-daniels
    @babra-daniels ปีที่แล้ว +1

    Amina amina Amina ,,nabarikiwa na Kwaya yangu kipenzi,mamajusi,,,Amina injili imefika kwangu Kenya be blessed saaaana🙌

  • @mubukuropceachurchchoir1617
    @mubukuropceachurchchoir1617 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina sitaki taarifa mbaya

  • @YohanaYokobo
    @YohanaYokobo ปีที่แล้ว

    hapo mmeugusa moyowangu

  • @davidwilsonringo7413
    @davidwilsonringo7413 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vivianezekiel-ef3iy
    @vivianezekiel-ef3iy ปีที่แล้ว +2

    From Zanzibar I really like it

    • @zulfazulfa1146
      @zulfazulfa1146 ปีที่แล้ว +1

      We are together my Dr love xo much this choir

  • @maotolalumbe2411
    @maotolalumbe2411 ปีที่แล้ว +2

    Tito tito tito nakuombea

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm ปีที่แล้ว +1

    Mamajusi nasema hivi: MBARIKIWE TU !!!!!!!!!!!!

  • @hellennjeri1046
    @hellennjeri1046 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mtupu kutoka kwenye kitabu kitakatifu mnaimba. Chunga mtu awaye yeyote asihitilafiane na dira yako ambayo ni neno la Mungu kwa habari mbaya . Yote yasiofaa yaweke nyuma na utazame mbele.👍

  • @sicha3307
    @sicha3307 7 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli mnaimba sana, Mwenyezi MUNGU aendelee kuwasimamia.
    Nimekubali mahubiri kwa njia ya nyimbo yananigusa sana.
    Hongereni sana

  • @EmmanuelSimon-wj2wt
    @EmmanuelSimon-wj2wt ปีที่แล้ว +1

    waoooh mbarikiwe Sana

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana mbarikiwe

  • @BekamSalvation
    @BekamSalvation ปีที่แล้ว +1

    Hongeraa mwalimu Tito' pamojaa na kwaya yako nzimaaa hakika tunafarijika

  • @MarthaEssau
    @MarthaEssau 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @merryndelwa7584
    @merryndelwa7584 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe sana

  • @DennisAgenya
    @DennisAgenya ปีที่แล้ว +1

    Nimetulia ❤

  • @godyjuma6311
    @godyjuma6311 ปีที่แล้ว +1

    Wapenzi naburudika Kwa nyimbo zenu sir God bless you all mamajuzi choir God awatende mema.

  • @miltonstephano3246
    @miltonstephano3246 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana

  • @Herbeth-semkiwa
    @Herbeth-semkiwa ปีที่แล้ว

    Linda moyo wako maan ndioo zitakapo chemchemu zauzima💯💯💯💯

  • @titussambay7356
    @titussambay7356 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sn wooote Mungu wambinguni Asiwaache

  • @edwinndeto6530
    @edwinndeto6530 ปีที่แล้ว +1

    Hakika yawezekana hatuko safari moja. Wimbo mzuri

  • @jonass1246
    @jonass1246 ปีที่แล้ว

    nampendaga huyo Mama mfupi Chibonge anatabasamu vizurii saanaa

  • @CarolineKakai
    @CarolineKakai ปีที่แล้ว +1

    God bless you kwaya 🎉mama jusi❤

  • @elphasomumia3274
    @elphasomumia3274 ปีที่แล้ว +1

    Thanx alot my people from Kenya, this is a very nice encouraging song,mumenijenga

  • @flozziewacharo314
    @flozziewacharo314 ปีที่แล้ว +1

    Napenda nyimbo zenu sana

  • @MagrethLyoka-ri7vh
    @MagrethLyoka-ri7vh ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana jamani♥️🙏

  • @frankfrancis6965
    @frankfrancis6965 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwabariki

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @steveodipo4636
    @steveodipo4636 ปีที่แล้ว +1

    Good work

  • @benjakiwelu8910
    @benjakiwelu8910 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe mamajusi

  • @davidkadenge1902
    @davidkadenge1902 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @suzanakicheenge3310
    @suzanakicheenge3310 ปีที่แล้ว +1

    Waoooo hakika

  • @amosmkare5746
    @amosmkare5746 ปีที่แล้ว +1

    This choir blesses me every time I listen to. God is really with you and am more blessed. May God bless this choir to give us more blessing songs

  • @sammrdrama6191
    @sammrdrama6191 ปีที่แล้ว +1

    My fav jam😋

  • @mumleonce9880
    @mumleonce9880 ปีที่แล้ว +1

    Hakika! "Linda moyo wako maana hapo ndipo kuna chemichemi za uzima"💯 Mbarikiwe Sana✨

  • @eurryoloo2408
    @eurryoloo2408 ปีที่แล้ว +1

    Blessings 🙏❤

  • @beatricemusungu1235
    @beatricemusungu1235 ปีที่แล้ว +1

    U are so talented waaa

  • @Sanga254
    @Sanga254 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations servants of God 🙏

  • @atamboann9910
    @atamboann9910 ปีที่แล้ว +1

    mbarikiwe

  • @stevektn
    @stevektn ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mtamu

    • @laswayjohn7290
      @laswayjohn7290 ปีที่แล้ว +1

      Mwlimu hongera Sana kwa wimbo mzuri unaponya nafsi mungu akupehaja ya moyo wako

    • @stevektn
      @stevektn ปีที่แล้ว

      @@laswayjohn7290 amen

  • @solomonkimanzi6304
    @solomonkimanzi6304 ปีที่แล้ว

    Tunasonga mbele na Yesu.Amen

  • @titussambay7356
    @titussambay7356 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sn woote

  • @jackisonkimombo4537
    @jackisonkimombo4537 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen watumishi. Nabarikiwa sana

  • @GraceRubeni
    @GraceRubeni ปีที่แล้ว +1

    jamani nimefarijika mno mbarikiwe watumishi wamungu

  • @lucydavie718
    @lucydavie718 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mimi ninaulinda moyo kuliko chochote maana ndiko zitokako chemichemi za uzima......God bless you Mama Jusi Yesu azidi kuwainua na kuwapa unyenyekevu

  • @lucydavie718
    @lucydavie718 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mimi ninaulinda moyo kuliko chochote maana ndiko zitokako chemichemi za uzima......God bless you Mama Jusi Yesu azidi kuwainua na kuwapa unyenyekevu

  • @lucydavie718
    @lucydavie718 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mimi ninaulinda moyo kuliko chochote maana ndiko zitokako chemichemi za uzima......God bless you Mama Jusi Yesu azidi kuwainua na kuwapa unyenyekevu