Katika hii dunia kumekuwa na wimbi kubwa la waimbaji wa nyimbo za injili lakini ukiwatazama wengi wapo kibiashara zaidi kuliko kueneza injili ila kwaya hii kuanzia mavazi hadi UJUMBE wa nyimbo zao WAPO kumtangaza na kumhubiri Yesu Kristo zaidi. Mbarikiwe sana sana waimbaji wetu ktk Kristo Yesu.❤❤❤
Wow,, im waiting for long tyme,, this song, kila ninapopita kwenye shida na majaribu nausikiliza huu wimbo pale ambapo ulikuwa ujakamilika unanitia moyo mahali ninapopita ,,, hapo nakumbuka alisema nimtwike fedhaha zangu atasimama nami Yesu leo niko hapa naleta shida zangu wewe ni mwaminifu ,utaacha niabike😢 Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu za kututia moyo
Kweli mnabariki sana moyo wangu, ukizingatia Mimi ni mwalimu wa kwaya katika vionjoo hivi, Utamu wenu ni uleule Uimbaji uleule Mafuta yaleyale. Msibadilike.
Mungu wa mbinguni na azidi kuwapigania milele zote nawakubari sana sana Mamajusi kwaya mmekuwa BARAKA sana ktk maisha yangu pale ninaposikiliza nyimbo zenu na kuziimba ( ushuhuda nilionao kupitia wimbo usemao " ee bwana uyasikilize Maneno yangu uisikie sauti yangu eee bwana ninapolia " wimbo huu nilikuwa nikiuimba kwa hisia KALI sana na kwa imani kubwa mno KIPINDI napitia changomoto ya kutafuta mtoto na sasa namshukuru sana Mungu amenibariki nina baby girl.
Mungu awabariki sana sana nyimbo zenu zimekuwa baraka sana katika maisha yangu na kupitia nyimbo zenu nimekuwa nikibarikiwa sanaaa na zimeleta hata majibu ya maombi yangu kwa Mungu wangu. Oooh! Kuna mahali ninapita Yesu we wajua....
Namwamini alie ndani yangu usiniache yesu katika mapito yangu nitetee yesu wangu hakika ujumbe uliopo ndani ya wimbo huu umenigusa sana Mungu awabariki sana mamajusi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Namna ya kucheza na sauti zimekubali....hila kuna dadangu mmoja namna yake imenifurahisha....wale wa nyuma,Mwenye ni mrefu na ana rinda la njano....moves zake ziko 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌
Mungu abariki wote wanaounga mkono kwaya hii, watanzania na wasio watanzania. Injili iendelee kuhubiriwa kupitia kwaya yetu pendwa ya Mamajusi. Mbarikiwe sana Mamajusi kwa nyimbo nzuri sana na za kutia moyo. Hakika tunatiwa nguvu na ujasiri katika safari yetu ya kiroho kupitia huduma yenu.🎉🎉❤❤
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo zenu tangu mwaka 1998 nikiwa nasoma Moshi High School, Hamjawahi kutuangusha, kazi nzuri sana. Wimbo unagusa sana, Mungu azidi kuwainua juu zaidi.
Kwa Hakika Watumishi wa Mungu Tunapokea Kwa unyenyekevu wakimbingu woote mnaotuombea nakurutia moyo.hakika Wimbo ni ushuhuda kamili wa maisha ya mtu, naamini MUNGU hatamuacha hata ukamilifu wa dahari.endeleeni kutuombea tuzidi kuwapa baraka hizi.
Amina stand stand Jesus even with me my redeemer. Thank mwalimu tito and all mmajusi choir you are truly a blessing to us. kabochi following from Nakuru.
This song is great. It gives me hope and strength. i listen to this song several times every day. It is just new every time I listen to it. Be blessed. See you in heaven.
Jamani wapi lak za kwaya yetu ❤❤❤❤❤ mungu awabariki hakiki kwa uwimbo hii itaponya wangu mimi kama paulo siria nimesha pona
Ubarikiwe sn mdogo wangu poul siria
Powerful message,uliniahidi utasimama Na Mimi Hadi mwisho Wa dhahari
Thanks you❤
Mamajusi mkiamia hakuna mwimbani wa kuwacikia nyie ni Tanzania top singers. Mbarikiwe Sana Sana.
Ameen, kubwa jamani nyie watumishi nyimbo hii inauponyaji, nimepona Mimi mpaka nashangaaa, oooo. Machozi ya furaha yananitoka, uimbaji wenu niwamungu hakika. Mamajusi mko juuuuuuuuu, huyo mwimbishaji jamani abarikiwe pia,,. Tito barikiwa
Katika hii dunia kumekuwa na wimbi kubwa la waimbaji wa nyimbo za injili lakini ukiwatazama wengi wapo kibiashara zaidi kuliko kueneza injili ila kwaya hii kuanzia mavazi hadi UJUMBE wa nyimbo zao WAPO kumtangaza na kumhubiri Yesu Kristo zaidi. Mbarikiwe sana sana waimbaji wetu ktk Kristo Yesu.❤❤❤
Mungu wa mbinguni awabariki sana nyimbo zenu zinanibariki sana,
Daaa Bwana Yesu Awatuze sana ,Nikweli kabisa Yesu anajuwa atusaidie Asimame na mi
@@HelenaJuma-pd4el🎉
MUNGU AWABARIKI SANA KWAYA YETU YA MAMAJUSI HONGERA TEACHER WA MATICHA TITUS SAMBAY.
YESU NITUNZE NIMEKIMBILIA HEMANI MWAKO KUNA MAHALI NAPITIA YESU WAJUA😢😢😢 ASANTE WATUMISHI WIMBO WA FARAJA YA KUMALIZIA 2023🙏🙏🙏
ujumbe unagusa moyo sana.Mamajusi choir Mungu awatunze
From TikTok to TH-cam. I really love the song may our good Lord bless you all. 🙏🙏
Simama simama eee yesu wewe ni kipenzi changu unitetee😭🙏
Mungu awabariki waimbaji wimbo mzuri sana unabariki
Wow,, im waiting for long tyme,, this song, kila ninapopita kwenye shida na majaribu nausikiliza huu wimbo pale ambapo ulikuwa ujakamilika unanitia moyo mahali ninapopita ,,, hapo nakumbuka alisema nimtwike fedhaha zangu atasimama nami Yesu leo niko hapa naleta shida zangu wewe ni mwaminifu ,utaacha niabike😢 Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu za kututia moyo
Mungu nimwema awatangulie mbele ya KAZI ya Mungu awabariki
MUNGU Awainue na wimbo wenu Kwa kiwango Cha juu sana Nawapenda wote Waimbaji wezangu.❤
I love you mamajusi choir
Hakika mungu awatunze nyie mna nibarik xn hua namuona mungu kupitia uimbaj wenu
Mungu tumia huu wimbo kuuponya moyo wangu... nipe tulizo na unisimamishe tena
I truely love this spiritual choir. May God show you more grace
Kwa huu wimbo naogoka mara tena😭😭😭, I surrender to Jesus all that matters my life, ministry, relationship, education, leadership and finance
Kwaya Hii Inaimba Katika Roho na Kweli. Mungu Wa Mbinguni Awabariki Sana!
Ni maombi yangu mungu awafanyie kila mnalolihitaji dah Kweli kuna mahali ninapitia Yesu wajua, nimewakwaza na rafiki angu😭😭😭😭😭
Kweli mnabariki sana moyo wangu, ukizingatia Mimi ni mwalimu wa kwaya katika vionjoo hivi,
Utamu wenu ni uleule
Uimbaji uleule
Mafuta yaleyale. Msibadilike.
Simama yesu, wew ni rafiki yangu unitetee, good song.
Well presented be blessed. Mwanamawe Dickson from Witu Lamu kenya
Mungu wa mbinguni na azidi kuwapigania milele zote nawakubari sana sana Mamajusi kwaya mmekuwa BARAKA sana ktk maisha yangu pale ninaposikiliza nyimbo zenu na kuziimba ( ushuhuda nilionao kupitia wimbo usemao " ee bwana uyasikilize Maneno yangu uisikie sauti yangu eee bwana ninapolia " wimbo huu nilikuwa nikiuimba kwa hisia KALI sana na kwa imani kubwa mno KIPINDI napitia changomoto ya kutafuta mtoto na sasa namshukuru sana Mungu amenibariki nina baby girl.
Mamajusi my best choir.
Wow! Good song! Nyimbo zenu unibariki kweli! Listening from Kenya- Machakos town
Always inspiring
Very touching especially when our brother starts shading 😭 tears be blessed
Hakika mnanibariki sana na uimbaji wenu
Wauu I feel blessed & have peace when I listen to this wonderful inspiring song .God bless you all.
Shaloom,huuwimbo siowimbo,bali nimaombi yenyenguvu ya mungu sana,barikiwa mbeba maono.
Ooh hallelujah mbingu zizidi kunena mema juu yenu kwaya ya mamajusi be blessed 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jina la yesu litukuzwee
Mungu awabariki sana sana nyimbo zenu zimekuwa baraka sana katika maisha yangu na kupitia nyimbo zenu nimekuwa nikibarikiwa sanaaa na zimeleta hata majibu ya maombi yangu kwa Mungu wangu. Oooh! Kuna mahali ninapita Yesu we wajua....
From tiktok oh my God the song is amazing simama nami Bwana Yesu from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🙏
Namwamini alie ndani yangu usiniache yesu katika mapito yangu nitetee yesu wangu hakika ujumbe uliopo ndani ya wimbo huu umenigusa sana Mungu awabariki sana mamajusi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Whenever I listen to this song I bore down and worship hakika yy nirafik mwema ooo yesu🙏🙏✌️✌️
Sijawahi sikiliza nyimbo ya mamajusi bila kububujika machozi
Huu ujumbe ni mzito sana,bonge la meseji...(kuna mahali napita wewe Yesu wajua)
Wakongwe wa Injili. Masterpiece hii kabisa. Mbarikiwe ninyi na Familia zenu.
Nabarikiwa sana kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya. Naomba kiwatembelea kanisani mwenu huko Tanzania?
Mko vizuri mno mbarikiwe mnooo 🎉
Mungu awabariki sana Kwa nyimbo hii aki mnabarki moyo wangu, mungu awatie nguvu za kuendelea
Naomba wimbo wa kiu yangu na eeh bwana nimesikia habari zako
I ❤ this song kweli bwana amesimama NAMI kutoka January hadi December apewe sifa n utukufu milele na milele amen
Hemani pako ndipo penye usalama. No matter what I pass through, but only Jesus is my refuge.
Asanteni sana mama jusi kwaya
Jamani nafarijika jumbe zito kwakweli mulikua wapi ndungu zangu nipo Kenya sending my love to you brethren
Nabarikiwa sana na nyimbo hii. Mungu wetu Awainue ktk huduma hii ya uimbaji
Nitashiiinda kwako Yesu mponya wangu
Wangapi wanatoka tiktok kama mimi weka like
Mungu azidi kuwainua watumishinyimbo zenu huwa zinanibariki sana
Stand with me jesus, you know what I'm going through. What a nice song 🙏🏿. Mungu wa neema awabariki sana Mamajusi.
Wapendwa wimbohuu umebebaujumbemzito hongerasana kwaya
MUNGU awainue kwa uimbaji wenu na awapeleke katka viwango vya juu zaid
Hakika tunapona, Mungu awalinde na kuwafikisha upeo wa juu.. Nashukuru..
Namna ya kucheza na sauti zimekubali....hila kuna dadangu mmoja namna yake imenifurahisha....wale wa nyuma,Mwenye ni mrefu na ana rinda la njano....moves zake ziko 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌
Ameeeeeeeeen barikiwa sana,Nawapenda sana,nitakuja kusali siku moja Moshi,niwaone Live
Uliniahid utakuwa na mi Bwana😢😢😢 uko wapi Bwana wangu🙏🙏🙏nitakuja siku mpka niabudu nanyi jmni
Mungu asimame na wanao simama na kazi yake may the angels not rest while protecting them
Mungu abariki wote wanaounga mkono kwaya hii, watanzania na wasio watanzania. Injili iendelee kuhubiriwa kupitia kwaya yetu pendwa ya Mamajusi. Mbarikiwe sana Mamajusi kwa nyimbo nzuri sana na za kutia moyo. Hakika tunatiwa nguvu na ujasiri katika safari yetu ya kiroho kupitia huduma yenu.🎉🎉❤❤
Eeish!!! Nimebarikiwa na wimbo huu nikiwa Kitale, Kenya
Mbarikiwe sana mamajusi
Jaman hii kwaya mmenibarki mnavaa Nguo ndefu za heshima na mnaimba nyimbo za rohoni jaman Mungu azidi kuwafunika na utukufu wake
I am the greatest fun of this choir I'm E.Africa.
God bless you
Mungu awabariki nawapenda sana mamajusi choir.mimi naishi kigali namupenda Titus
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo zenu tangu mwaka 1998 nikiwa nasoma Moshi High School, Hamjawahi kutuangusha, kazi nzuri sana. Wimbo unagusa sana, Mungu azidi kuwainua juu zaidi.
Keep it up,
Ooooh very good Glory to God 🙏🙏🙏 Emmanuel Jefwa kutka Lamu Kenya
Mungu awabariki sana
Mungu awabariiki sna
Amina mwasele mwimbaji mkubwa sana wa nyimbo za injili MUNGU akuinue
Hakika Mungu pekee ndiye mtetezi WETU.
Jina la MUNGU linaendelea kutanganzwa kwa viwango vya juu vya umbaji
Uliniahidi utasimama namimi ...wimbo mmoja hivi uliobeba ukombozi wetu hongera mama jusi Kwa wimbo huu mzuri💯💯
Amina mtumishi wa Mungu
@@titussambay7356 AMEN 🙏
Mbarikiwe aana
Munguawabarikisana
balikiwa sana wana wa mungu hakika ujumbe mzuri
Amani sana sana
Kuna mahali napatia yesu wajua, pameumiza moyo wangu wajua simama NAMI yesu hata katika pito langu.Nyimbo imebeba ujumbe mzur na wakufarji
MUNGU MKUBWA HASHINDWI NAJAMBO
mm ukiona nyimbo yamamajusi haipo kwangu ujue hio haijafika mtandaoni
Kwa Hakika Watumishi wa Mungu Tunapokea Kwa unyenyekevu wakimbingu woote mnaotuombea nakurutia moyo.hakika Wimbo ni ushuhuda kamili wa maisha ya mtu, naamini MUNGU hatamuacha hata ukamilifu wa dahari.endeleeni kutuombea tuzidi kuwapa baraka hizi.
Amen
I'm really blessed by this song.
Amina stand stand Jesus even with me my redeemer. Thank mwalimu tito and all mmajusi choir you are truly a blessing to us. kabochi following from Nakuru.
Simamaa eeyesu usehemu yangu unitetee👏👏👏👏🙏
Mungu awainue kwa viwango vingine vya juu zaidi Nawapenda sawa kwaya yetu Mungu wa mbinguni awabariki!!!❤❤❤
Am from Kenya 🇰🇪 you really bless my soul 🙏
From kenya a pastor in the sda church but Mamajusi you remain my favorite.God bless you.
Hakika nyie ni kwaya kuu Tanzania. Mungu awabariki sana
I can't get enough of this choir since I was a kid
Radio sauti ya injili iliongoza Sana kupiga nyimbo hizi za mama jusi ni nyimbo NZURI zenye faraja
Always blessed with your songs mamajusi choir
May the Lord.elevate you more and keep you 🙏
Ameniiiiiiiiiii
I have always searched for this song in TH-cam...but I thank God sai its available.....God bless you God's Servant's for this song
Barikiweni sana wimbo huu mzito sana
Seeing mature parents here in a choir is a source of inspiration. Baraka tele.
Mamajuzi you are blessings to my life
Mungu asimame nanyi muendele kutuhudumia
Jaman Nataman nije huko Nawapenda sana mama jus mungu awabaliki sana
Simama simama eh Yesu u sehemu yangu unitetee
Listening to the soul touching song in Bomet Kenya be blessed Mamajusi choir
Hakika uimbaji wa kwaya hii nabarikiwa sana
Simama, simama uu sehemu yangu unitetee🙏🙏🙏
This song is great. It gives me hope and strength. i listen to this song several times every day. It is just new every time I listen to it. Be blessed. See you in heaven.
Bravo,sauti zote zinasikika vizuri sana, utukufu sifa tumpe Mungu