Kusema ukweli huyu kijana solorist kwakweli Mungu ambariki nakosa maneno yakusema kwaajili yake ila kanifanya nijue kuwa walio okoka na wanaoimba kweli wapo kijana tumika sana kwa Mungu nae hatakuacha kabisa mamajusi mtunzeni huyu kijana from Uganda🇺🇬🇺🇬
Kwangu wimbo huu unastahili tuzo ya wimbo bora wa mwaka, Kwaya hii imefanya vizuri sana, pia ni kwaya inayoendelea kulinda utukufu wa Mungu 1)Tuzo ya wimbo bora wa mwaka 2)Tuzo ya tungo bora ya mwaka 3)Mtunzi bora wa mwaka 4)Vidio bora ya mwaka 5)Tuzo ya mavazi bora ya mwaka
Nakosa neno lililojema kuhusu hawa watumishi wke eeemungu uliembingun walinde nakuwatunza wasifarakane kazi yako waifanye kama unavyowatumia sasa aaaamen
Bwana u sehemu yangu rafiki yangu.....Congrats mamajuzi choir,you are such a blessing to me ..The Lord help you, as you continue ministering Him through singing
❤❤❤mungu wajaliye neema wa endelee mbele pamoja n'a mungu! Wa ta weza kutu wekeya ma parole Ya mabi yaho mu disponibilité vingine atubishikiye vinzuru tunawalomba uruma mahana tunapenda mimbo yahoo kabisa
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri lakini hapo mlipo imba mnajitukuza sionsawa wakutukuzwa ni mungu peke yake na utukufu ni wake peke yake binadamu huwezi kujitukuza hata maramoja
Naeda viwango vingine ,, Nimepewa Heshima n Mungu Wangu,, Amen.God bless you I love the song it uplifts me.More Grace as you serve God.Adui umechelewa Mimi c yule yule omba omba wooow
Kusema ukweli huyu kijana solorist kwakweli Mungu ambariki nakosa maneno yakusema kwaajili yake ila kanifanya nijue kuwa walio okoka na wanaoimba kweli wapo kijana tumika sana kwa Mungu nae hatakuacha kabisa mamajusi mtunzeni huyu kijana from Uganda🇺🇬🇺🇬
Amenibariki sana narudia kusikiliza Wimbo Kwa sababu ya kipande chake
Kila nikisikiza huu wimbo najihisi niko kiwango cha juu, sololist Mungu azidi kukutunza nimebarikiwa sana na jinsi ulivyoimba
Hakika
Upo uganda sehemu gani mkuu
Mama jusi mpojuu
Kwangu wimbo huu unastahili tuzo ya wimbo bora wa mwaka,
Kwaya hii imefanya vizuri sana, pia ni kwaya inayoendelea kulinda utukufu wa Mungu
1)Tuzo ya wimbo bora wa mwaka
2)Tuzo ya tungo bora ya mwaka
3)Mtunzi bora wa mwaka
4)Vidio bora ya mwaka
5)Tuzo ya mavazi bora ya mwaka
Nawaombea baraka za Mungu ziwe nanyi 2025
Nakosa neno lililojema kuhusu hawa watumishi wke eeemungu uliembingun walinde nakuwatunza wasifarakane kazi yako waifanye kama unavyowatumia sasa aaaamen
Mungu azidi kuwapa nguvu..choir hii tangu nisikie.nizaidi ya miaka 40🎉🎉
Asante Mungu.. kuniokoa kwa ile ajali ilinipata kwa.. uliniikoa nasikuumua hata kindogo 🙏
Hiindio kwaya ya kusikiliza kama unataka kusogea mbele ya kiti cha Jehova.
Nawapenda sn kwaya hii I wish one dy nikaonane nao nikawape maua yao
Wimbo umenibariki sana nkikumbuka majanga mungu ameniepusha kwa kweli asante mungu...umenifanya nisikilize nyimbo zote za mamajuzi
Tunawashukuru woote Kwa unyenyekevu wakimbingu mbarikiwe sn.nyinyi niwatu muhimu kwetu.
Bwana u sehemu yangu rafiki yangu.....Congrats mamajuzi choir,you are such a blessing to me ..The Lord help you, as you continue ministering Him through singing
Wapiga vyombo bless you all aisee
❤❤❤mungu wajaliye neema wa endelee mbele pamoja n'a mungu! Wa ta weza kutu wekeya ma parole Ya mabi yaho mu disponibilité vingine atubishikiye vinzuru tunawalomba uruma mahana tunapenda mimbo yahoo kabisa
Amen bwana usehemu yangu rafiki yangu utembee nani nikiwa pekee yangu nitapotea kabisa. Mungu awabariki sana nawapenda
Hakika mnanijenga sana ktk Imani.Mungu wa mbinguni awakumbuke.
Mamajusi mnanibariki Kwa nyimbo zenu zenye ujumbe tena tamu zilizopangika sawa. Siwezi maliza siku bila kuwasikiza. Mungu azidi 11:10 kuwabariki.
Mungu mwema awabarik muingiapo na mtokapo
Mamajusi hamjawah niangusha hata kidogo
Hamjawah kuniangusha watu wa Mungu barikiweni sanaaa Mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu zaidi muendelee kulisifu na kulitukuza jina la Bwana
Ameen. Tunashukuru sana Mpendwa. Atukuzwe Mungu alie juu.
Nampenda Sana huyu kaka mungu amuonekanie ananifanya nizidi kuona thamani ndani ya Yesu
Nguvu ya msalaba imefuta kabisa aibu yangu na kuniheshimisha
Hongereni sana ujumbe muzuli
Bwana Yesu asifiwe sana,🙏
Hundo mwibo Bora kuliko nyimbo zote za mama jus
Amen watumishi wa mungu aki nabarikiwa na hii nyimbo mzidi kubarikiwa sana
I am tremendously blessedby this song. WaKristo wa TZ endeleeni kuwatubariki na nyimbo za injili.
Karibu Tanzania
Hii ni kiwango ya juu sana. Bwana apewe sifa na utukufu.
Mungu aendeleye kuwabariki munatubariki sana hapa Bukavu Congo
I like your songs so much, it's a blessing to me....be blessed more mama juzi choirs family 🙏
Ujumbe mtraaaam, nyimbo katraaaaam saaaana
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri lakini hapo mlipo imba mnajitukuza sionsawa wakutukuzwa ni mungu peke yake na utukufu ni wake peke yake binadamu huwezi kujitukuza hata maramoja
Sentesinsahihi ni hivi'HAKIKA NINAKUTUKUZA NINAE MUNGU'
Mebarikiwa saana Mungu azidi kuwainua Zaid MamaJusi choir ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe sana
Naenda viwango vingne utukufu hadi utukufu aaaaaaahhhhh nice song 💥💥💥💥💥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ barikiweni saana
Tunaendeleya kuwasaliya katika Christo yesu mubarikiwe sana
Mamajuzi kazi nzuri Mungu awabariki sana
Bwana usehemu yangu katika safar yangu nitembee nawe
Hapa nikubarikiwa kila wakati Mungu awalinde kila wakati. Kweli Bwana u sehemu yangu
Mbarikiwe
Amen ..,Mungu awakuzeee ktk viwango vya juu zaidiii.., Hakika mmenibarikiii🙏
Now is 7/10/2023 listening from KIBAHA , blessing verses
Nyiye watu huwa mwanibariki sanaaaa 😢 et ila mungu awazidishiye tooooo
Nimependa sanaaa uimbaji huu Mungu awabariki, ilula anglican twawapenda
Mna nibarik xn mungu wa mbinguni awatangulie shamban mwake
Mungu azidi kuwatumia kwa viwango hadi viwango,🙏🙏🙏🙏
Nyimbo traaaaam saaana respect kwenu wataaram wa injiri,najikuta happy eventhough niko empty sack💪💪
Hizo ni dharau, hivi unajuwa maana ya ka mtu, lione, kanyimbo!
Mbarikiwe Sana wimbo ni Mzuri Sana tumebarikiww
Jaman kwaya hii naipenda sn mbarikiw watumish
Nawapend sn jmn
Your song are spiritual, your are one of the choirs who sings songs with substance, may keep uplifting you. From Kenya am listening your songs
Naenda viwango Vingine Nimepewa heshima na BABA YANGU 🙌🙌🙌🙏
Kazi nzuri, Mungu wa mbinguni awabariki ❤
MUNGU ni yeye pekee tu🙏🙏🙏
Hakika
Hongerani mamajusi wimbo unasisimua hadi nywele.
Kaka unanibariki jaman we
Naeda viwango vingine ,, Nimepewa Heshima n Mungu Wangu,, Amen.God bless you I love the song it uplifts me.More Grace as you serve God.Adui umechelewa Mimi c yule yule omba omba wooow
Wimbo mzuri sana
Hakika hata mimi huyu jamaa ananibariki sana kiukweli nimempenda sana natamani niwe kama yeye kwenye kusolo lakini sidhani ila nakaza siwezi kushindwa
This song has all quality of being the 1st in the YOU-TUBE LIST OF THE YEAR God bless the singers
Hongereni i
Mungu awabariki
Amen 🙏 amen may you live long to continue preaching the gospel
Mungu awapandishe viwango vingine
MUNGU simama nahuduma hii kwakaz walio nao
Mko vizuri mamajusi hongereni sana
Mbarikiwe sana kwa kulitukuza jina la Mungu alie hai
Mama ESTA Mungu akubariki Mimi mudisho
Amen mbarikiwe zaidi
This is more than a song but a testimony God bless you choir
Kazi yenu ni njema
Tunashukuru sana. Sifa kwake Mungu.
Naenda viwango vingine maana mimi siwa chini niwa juu sanaa
Amen watumishi wa Mungu mmekuwa baraka sana kwa wengine, nanyi mzidi kubarikiwa❤
Kazi inabariki sana watumishi
Ameen. Sifa na utukufu kwake alie juu
Mubarikiwe wana wa Mungu ❤
Amen mungu azidi kuwatumikisha
Jamaa anatisha mungu ambariki sana
Amen ila hilo jina mama jusi choir mlibadilishe
You have been my favorite choir ever since I was a youth till now.barikiweni sana Wana mamajusi
Kwangu mimi
Asante Mungu🙏🙏
Mubalikiwe sana wimbo huu unanibaliki sana
Ameen mbalikiwe watumishi wa Mungu
Tunaitaji mawasiliano na nyinyi
My favorite kwaya in Tanzania ❤
this piece ni fireee🔥🔥🔥may God continue to shower his blessings on you people.
Mbarikiwe sn Watumishi wa Mungu
Mamajusi Choir is a true blassing. Now this is a songs that is a powerful confession and praise to God!
Marekani tuna barikiwa na nyimbo hizi
Hata Saudi Arabia twabarikiwa vile vile🙏
Mungu azidi kuwainua
This team is always on frontline.may God bless you guys
Ameen. Glory be to God.
This team is always on frontline.. may God bless you guys 🙏🙏🙏🙏🙏
Avery good soloist God bless you
Nzuri sana. Baraka nyingi
I remain blessed by your songs keep up mmajusi choir 'kabochi Nakuru kenya.
Ni kweli wananigusa sana,natiwa nguvu ya kuendelea kumtegemea MUNGU,yaani utukufu had...........................
Welcome to all the singers of the whole team Amen
Aminaa mbarikiwe mno waimbaji
Wawoooo ewaaaaaaa
Hongera, mnapiga na kuimba melody zilezile, hebu walimu muwe wabunifu,sasa,uimbaji went ni uleule wa tumaini uvuke .
Tupige aina Gani mtumishi 😊
Ever blessing Voices ..... lifting our souls
AM BLESSED MNOOO
Ameen🙏🙏🙏🙏