Tangu jadi nikiwa nasoma shule ya msingi nilipoanza kuwaskiza,nimekuwa nabarikiwa tu,namwomba Mungu awazidishie 🎉. Sitachoka kuziskiza nyimbo zenu.Upendo mkubwa kutoka Naivasha Kenya.
Hii wimbo ata kama umekosa kasi utabata kuna siku nilisafiri nikeanda Saudi Arabia na kufika huko nilikosa kasi lakini vile nilisikisa hii wimbo kesho yake nilibata kasi musuri sana kupitia hii wimbo mungu awabariki wana kwaya ya mama Jusi God bless you ❤❤❤ 🎉🎉
Kiukweli nabarikiwa sana sana kwa uimbaji wenu nyimbo zenu zimekuwa baraka sana kwangu hadi NATAMANI kujiunga nanyi katika kumtumikia Mungu kwa Njia ya uimbaji sema tu umbali ndio tatizo. Mungu na awabariki sana sana na awape maisha marefu hadi mwisho wa Dahari ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani Jamani Jamani Nyie Mama Jusi kwaya. Nimekuwa na albums zenu kadhaa. Nabarikiwa sanaa. Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi ya hapo na mdumu ktk huduma hiyo. Nautafuta wimbo wenu wa Ezra. Sikumbuki jina kwa usahihi wake lakini Sololist anamtaja Ezra alia mbele za uso wa Bwana......
Asanten nyoote Kwa unyenyekevu wakimbingu Mbarikiwe sn Kwa kutuunga mkono mamajusi kwaya Moshi Anglican tunatamani kuwa Karibu nawewe Rafiki yetu.ukituma ujumbe basi mawasiliano yetu yapo hapoooo chini namba hz zitumie iwa ushauri na nk
Asante Sana mamajuzi kwaya kwa uodhari wa uimbaji supavu kwa kuliinua Neno la mungu kupitia Nyimbo zenyu mzuri. Awabariki Amen. Mmie Alphayo omwega mogunde nikiwa Nairobi.
Nimebarikiwa sana na Wimbo huu. Ninawafuatilia vyema toka pande hizi za Dubai. Hakika huduma yenu ni Baraka kubwa kwangu na wimbo huu nautumia kama maombi yangu kwa MUNGU na nimemuona MUNGU akinijibu maombi yangu.
Mungu azdi kuwapa kibali na mweze kutoa albam mpya by godlove ayo nipo burundi
Tangu jadi nikiwa nasoma shule ya msingi nilipoanza kuwaskiza,nimekuwa nabarikiwa tu,namwomba Mungu awazidishie 🎉. Sitachoka kuziskiza nyimbo zenu.Upendo mkubwa kutoka Naivasha Kenya.
Ameen. Tunashukuru sana
Mnyimbo zenu zinanibariki sana.
Jamani kuna wimbo unaimba, yesu anaita kwa upole, jina unaitwaje nautaka
Mkono wa Bwana uzidi kuwabeba....nyinyi ni wa baraka kwa vizazi.....nilianza kuwasikiza Tangu "Homa ya dunia imepanda.
Hakika MUNGU asikie vilio vyetu, jamani MUNGU ifute,aibu yangu,nikomboe kabisa, AMEN
Wimbo unanipa faraja sana Mungu azidi kuwapa sauti nzuri zaidi na zaidi ya kumwimbia.,,nipo moshi soweto 🙏
Hii wimbo ata kama umekosa kasi utabata kuna siku nilisafiri nikeanda Saudi Arabia na kufika huko nilikosa kasi lakini vile nilisikisa hii wimbo kesho yake nilibata kasi musuri sana kupitia hii wimbo mungu awabariki wana kwaya ya mama Jusi God bless you ❤❤❤ 🎉🎉
Kiukweli nabarikiwa sana sana kwa uimbaji wenu nyimbo zenu zimekuwa baraka sana kwangu hadi NATAMANI kujiunga nanyi katika kumtumikia Mungu kwa Njia ya uimbaji sema tu umbali ndio tatizo. Mungu na awabariki sana sana na awape maisha marefu hadi mwisho wa Dahari ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu awatunze na kiwainua zaidi mmekuwa Baraka kwa wengi kwa nyimbo nzuri zenye upako
Mungu wetu tupo kazini kujibu maombi yetu
Jamani Jamani Jamani Nyie Mama Jusi kwaya. Nimekuwa na albums zenu kadhaa. Nabarikiwa sanaa. Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi ya hapo na mdumu ktk huduma hiyo.
Nautafuta wimbo wenu wa Ezra. Sikumbuki jina kwa usahihi wake lakini Sololist anamtaja Ezra alia mbele za uso wa Bwana......
Toka nipo Moravian Moshi mmekuwa baraka kwangu.Mbarikiwe
Mwalimu keep on with good work. God bless mmajusi choir. Kabochi Nakuru kenya.
Nami hilo ndilo ni ombi langu kwake, be blessed so such powereful ministering brethren
Kwaya yangu pendw toka ktambo mbarikiwe watumish
Nawapenda sana pia Mungu azidi kuwatunzaa❤❤
Moyo❤❤ wangu umejaa sifa tele
Wimbo huu ni faraja kwangu. Be blessed kwaya yangu pendwa kabisa.
Nawaombea sana Mama Jusi Kwaya Mungu aendelee kuwapa unyenyekevu zaidi. Hakika nasubiri majibu toka kwako Mungu
Hongereni sana wapendwa Watumishi wa Mungu Mama Jusi kwa huduma hii ya Uimbaji. Mungu aendelee kuwatumia kwa viwango zaidi
Wako vizuri muda wote hawa watu, wako imara sana hawa watu
Mungu wa bariki wa imba aya nafuata Sana wino uyu n'a inenifaridi kabisa
Shuti safi,Bwana awabariki wapendwa
Mungu azdi kuwainua viwango vingne
MUNGU azidi kuwabariki choir yangu pendwa ❤❤❤❤
Mmmekuwa wa baraka sana kwa mwili wa kristo ni naamini hakuna husikia nyimbo zenyu akabakia vile alikuwa, nawapenda tangia mdogo ❤❤❤❤
Mbarikiwe sana wana wa Mungu kwa utumishi wenu mwema
Afu izo bangles mmevalia kwa mikono mnajua maanake😢
Nabarikiwa saana na uimbaji wenu
Mungu yupo kazini ili kutujibu maombi yetu
Mamajusi Kwaya wapendwa mmeamua moja na Mungu awatangulie
....mnaifanya kazi ya Mungu kikamilifu. Hongere sana wana wa Mungu.
The perfect leader, sololist uwezo wako ni mkubwa sana, mungu akutunze. AMEN
Futa aibu yangu Mungu,nasubir majibu yangu.what a blessing song! Mungu awabariki mamajus choir
Mungu awabariki nawapenda mno
Nawapenda nabarikiwa sn jamaniii toka mwl jese anakuja kutufundisha kwaya ya hosiana mahoma mungu aendelee kuwatunza jamani 🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Mbarikiweni sana ❤
Amina! mbarikiwe saaana.
Amen ila jina Mama jusi kibiblia walikuwa wasoma nyota kwahiyo halileti maana nzuri mlibadilishe
Vipenzi vyangu ❤️❤️❤️🙏💕💕♥️
Baraka tele, Mungu yu mwema
Very nice choir naomba contacts yenu I have been following you for more than 10years now. Baringo Kenya
Asanten nyoote Kwa unyenyekevu wakimbingu Mbarikiwe sn Kwa kutuunga mkono mamajusi kwaya Moshi Anglican tunatamani kuwa Karibu nawewe Rafiki yetu.ukituma ujumbe basi mawasiliano yetu yapo hapoooo chini namba hz zitumie iwa ushauri na nk
Nabarikiwa Sanaa💯💯🙏
Mungu aibariki chor ya mamajusi sana huwa mnanipendeza sana
Mungu awajaliye neema kudumu mpaka mwisho il Kika mmoja alipwe n'a apolkeye taji kwa huduma hiyo ya nyimbo.
Munanibariki Sana n'a ku nitiya moyo
From Kenya much love to whole choir. I love the well composed song.❤
From iringa mnazidi kupaa juu zaidi mungu awatie nguvu
Nawapenda sana watumishi wa mungu maana nabarikiwa sana kwa nyimbo zenu nzuuri, mungu azidi kuwapa baraka zote za rohoni na mwilini
Muziki wenu una mafunzo, maneno yanayofariji. Barikiweni waimbaji. Kutoka Kenya.
Asante sn
From Kenya, like the song MUNGU wangu,kweli MUNGU wetu ni mwaminifu,mimi ni shabiki mkubwa wa mamajusi choir, keep it up guys,❤
Ubarikiwe
Wimbo unafariji Sana, mbarikiwe
Mbarikiwe sana kwaya hii ya mama juzi, imekuwa msahada kwangu na' familia yangu.
Viwango vilevile vya juu, wimbo wa GANGA MOYO WANGU😊
🎉🎉🎉nabarikiwa sanaa nikisikiliza nyimbo zenu ivi huyu dada na rosse wapoje nae? maana kweli Mungu amembariki kwa sauti amtumikie hivo hadi mwisho,
I'm so blessed to see the old faces still growing in Christ while maintaining the standards..Pongezi kwa kwaya yote na walimu.
nilidhani ni sauti ya Rose Muhando wow❤ i love this choir since childhood ❤❤❤ keep the fire burning
Hata mie nilidhani rose sauti nyororo mama amebarikiwana sauti
Asante Sana mamajuzi kwaya kwa uodhari wa uimbaji supavu kwa kuliinua Neno la mungu kupitia Nyimbo zenyu mzuri. Awabariki Amen. Mmie Alphayo omwega mogunde nikiwa Nairobi.
Bwana azidi kuwatia na afia mimi napenda uimbaji wenu wamda mrefu waleniliwaona wakiwa vijana..Sasa naamin wamowa nakuoleka Mubarikiwe
lots of love from kenya..Mungu azidi kuwainua Mamajusi choir...
Always, blessing us with nyimbo mzuriii tamu.
Baraka Tele kwenyu!
Mungu asimame pamoja nanyi katika kumtumikia.
Mungu awe pamoja nanyi🇹🇿🇹🇿
It's a live choir,,sauti kwanxa❤❤❤❤
Love you guys do bless me though you are far God bless your families.
Ama kweli rose mhando ameacha mbegu uimbaji kweny kwaya hii
Rose Muhando akujie dadake hapa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wow wow... Naskia kutiwa moyo kupitia wimbo huu.Wan mamajusi Mungu awainue zaidi
Ubarikiwe sn
Am from Kenya 🇰🇪 and you are My favorite choir, keep it up, wish to get your contacts
Rose muhando alipita katika kwayahii miaka yanyuma mbeguzake Bado zipo
Alipita na kufundishwa chini ya mwalimu Titus Sambay
Nasikia roho yangu imejengwa upya.....
Woooow.....much love from kenya❤
Talented soloist,just like Sema nami.Titus Sambay,this is lit.Hongera Wana Mamajusi.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Twawapenda.
Nyimbo hizi zafurahisha moyo kweli
Ma chorale préféré soyez bénis au nom de Jésus Christ
Mbarikiwe
Solo kabarikiwa kuwa na sauti nzuri saaaaaa
Nimebarikiwa sana na Wimbo huu. Ninawafuatilia vyema toka pande hizi za Dubai. Hakika huduma yenu ni Baraka kubwa kwangu na wimbo huu nautumia kama maombi yangu kwa MUNGU na nimemuona MUNGU akinijibu maombi yangu.
Ubarikiwe sn
@@titussambay7356Amen and Amen 🙏🏻
the voices,,,,the instrumentalist....all well compressed....salimika mwalimu tito...producer faraja .the soloist...and the overall team atlarge
Eemungu nifungue namm niweze kukuimbia sifa zako mungu wangu
Hamjawah kuniangusha wapendwa wangu
Najipata nikilia while am listening to this song
God bless you and continue building God's people, am a Kenyan and love you so much
Another hit 🔥, God bless you people
Ameen. God bless you.
Najivunia Mama Jusi Moshi
Solo ❤km rose mhando vle
Wimbo mzuri
Asante sana. Ubarikiwe
Soloist I love you ❤
Mbona natafuta wimbo wenu wa kando ya mito ya babeli siupati
Naipenda hii choir
Asante sana mpendwa. Tunakupenda pia.
Amen 🙏 lord hear this voices and deliver me and my family
Wow. I'll follow this till we meet.
Your songs to be honest hits differently in my heart ,kila wakati nasikiza jumbe zenu ujipata tu nalia,Mungu azidi kuwatumia wapendwa,
Tangu enzi za "sitokuacha Yesu wangu ata nisononeshwe ata nihuzunishwe Mimi"
Nimejazwa sanaa......wapendwa ....Mbarikiwe kabisaa🎉🎉🎉
Naweza pata wapi hii CD
Very touching song be bless mamajusi choir.
Thank you so much.
Hear our cry Lord!
Ameni
The lead singer has a superb voice. Pure takent. Good song from Mamajusi. 🙏🙏🙏
Ameen.
@@mamajusichoirmoshi5620l
@@mamajusichoirmoshi5620
Ll
Nyimbo zenu zabariki kimwili na kirohoo🖖🖖❤️
This choir is the best,I truly love them
I Love You Mama Jusi
You're blessed to bless us with the songs🙏