HOSANNA - Mamajusi Choir Moshi - Official video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • "Nao watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti, Hosana; ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana" Marko 11:9
    "And they that went before, and they that followed, cried, saying, Hosanna; Blessed is he that cometh in the name of the Lord" Mark 11:9
    Account hii ya TH-cam ni rasmi kwa ajili nyimbo zote za Mamajusi Choir iliyoko chini ya kanisa la Anglikana (The Anglican Church of Tanzania (ACT) lilipo Majengo Moshi kwa Mialiko na
    Mawasiliano ya Viongozi mbalimbali
    Namba ya mwalimu wa Kwaya +255756412279
    Mwenyekiti wa Kwaya +255754267151

ความคิดเห็น • 175

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri Waimbaji safiii hakika nabarikiwa sana na hii nyimbo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @catherinekimondiu9788
    @catherinekimondiu9788 ปีที่แล้ว +14

    Who agrees the soloist is talented? GREAT SONG.

  • @DanielSafari-wm8ur
    @DanielSafari-wm8ur 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awa bariki mno Kwaya kongwe ya Mama jusi,hakika mna ubariki mno moyo wangu chin ya mwalimu Tito, Leo naitwa Boss weeee

  • @carolynkim3186
    @carolynkim3186 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mwema,wimbo niupendao .naeza ichezesha siku nzima.hakika inanibariki

  • @BarakaIssah
    @BarakaIssah ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndo Ezekiel kimoi ,
    Mdogo wangu una kipawa kikubwa ,kitunze, hiyo ndo silaha yako ya kumpigia Shetani , itumie sawasawa mpaka shetani aachie watu aliowaiba katika kundi la Ufalme wa BABA.

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kwaya imejaliwa kuwa na' waimbaji hodari na' wapiga vyiombo pia." Mungu wetu awalinde hadi twende zetu mbinguni makaoni kwetu milele na milele Amina . kutoka Nairobi Kenya.

  • @tinamwasekaga9571
    @tinamwasekaga9571 ปีที่แล้ว +2

    Ezekiel Kimoi hongera sana kijana Kwa kupata kibari

  • @MonicaJulius-y6b
    @MonicaJulius-y6b 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni sana

  • @kimombokikoti346
    @kimombokikoti346 ปีที่แล้ว +3

    Asante Sana mamajus hamjawahi niangusha kwa kazi nzur mungu wambinguni awabariki..

  • @DanyHadreck
    @DanyHadreck 5 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri ila kwasasa mshikeni sana uyu kijana ata watoa sehem

  • @nsajigwamwasalemba1823
    @nsajigwamwasalemba1823 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana watumishi🙏

  • @onesmuswambua4263
    @onesmuswambua4263 ปีที่แล้ว +2

    kazi jema mnanibariki sana karibuni hapa Kenya mtuletee injili

  • @monicahkavwele3292
    @monicahkavwele3292 ปีที่แล้ว +5

    Wow my favourite Choir..A Blessing song indeed,much love from Kenya....Mungu azidi kuwainua

  • @wilsonkassita7946
    @wilsonkassita7946 11 หลายเดือนก่อน

    Amen nimebarikiwa sana

  • @carolinemumo6993
    @carolinemumo6993 ปีที่แล้ว +2

    mbingu zimefunguka kwangu....anga limeachia baraka...These keeps me encouraged

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 ปีที่แล้ว +2

    Hakika kazi zenu zapendeza sana,mpo nadhifu, MUNGU awafurikie

  • @monikamadahamasanja2868
    @monikamadahamasanja2868 ปีที่แล้ว

    Mungu Awabariki Sana

  • @PonejaRukiko
    @PonejaRukiko 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zamani nilizarauliwa sasa mimi ni boss

  • @godwitnessezekieli9290
    @godwitnessezekieli9290 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana wimbo mzuri unagusa mioyo ya watu

  • @Oliverwilliam-um7vx
    @Oliverwilliam-um7vx ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa San na huu wimbo 🙏🙏 MUNGU azidi kuwainua katika kumsifu na kumtukuza

  • @JosueKambale-bd1fr
    @JosueKambale-bd1fr ปีที่แล้ว +16

    Aksante Niko pamoja nanyi kanisa samahani munitumiye namba kwa mawasiliano mema mimi ni mmjoja wa matunda yenu katika alfajiri kwaya huko Congo butembo

  • @RahelMsuya-t7n
    @RahelMsuya-t7n ปีที่แล้ว

    Bwana apewe sifa

  • @RehemaMpillu
    @RehemaMpillu 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki

  • @helenmamuya7668
    @helenmamuya7668 ปีที่แล้ว +1

    Hamjawahi kutoka katika utukufu wa Mungu tangu nilipowafaham kweli mnaimba ktk roho na kweli pia mavazi yenu ni ya heshima Mungu azidi kuwabariki sanaa

  • @qbeidanieljohn408
    @qbeidanieljohn408 ปีที่แล้ว +5

    What a great song. I can't stop watching and listening. Much blessings to you Mamajusi choir

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki 🙏 Zaid MamaJusi choir nawapenda saana Hosanna ndiye mbarikiwa ajae kwa jina la Bwana

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana. Tunakupenda pia.

    • @francesmpangwa8801
      @francesmpangwa8801 ปีที่แล้ว

      @@mamajusichoirmoshi5620 AMEN 🙏💖 ila swali langu Moja tu naomba mnijibu yule sister alie solo wimbo wa SEMA NAMI NIMEJITOOA KWAKO KUKUTUMIKIIIA SIKU ZAAAMAISHA YANGU NIWE NAAWE SEMA NAMI BABA Yuko wapi mbona simwoni kwenye hizi nyimbo za saiv 😥😥😥😥😥😥😥

  • @benjakiwelu8910
    @benjakiwelu8910 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa mbinguni awabariki

  • @jacobmathew475
    @jacobmathew475 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo huu unanibariki sana mungu awabariki sana.❤

  • @kiondojuma5798
    @kiondojuma5798 ปีที่แล้ว +1

    Mama Jusi nawapata viziri mnooooooo aminaaaa halelujaaaa🙏🙏🙏

  • @Regnard999
    @Regnard999 ปีที่แล้ว +2

    This is my every morning prayer! Thank you LORD for this revelation. Wimbo huu ni tiba ya roho iliyougua na tumaini kwa Mungu. Mbarikiwe MAMAJUSI🎉

  • @PendaelyMasanja
    @PendaelyMasanja ปีที่แล้ว +1

    Saf sana wana wa mungu mmarikiwe

  • @dastankalinga442
    @dastankalinga442 ปีที่แล้ว +1

    Tuna imani nawe Mungu levo nyingune mamajusi nyie mmenibariki sana sana mimi mdau wenu chapeni Injili ya Kristo

  • @carolinemumo6993
    @carolinemumo6993 ปีที่แล้ว +1

    Mbingu zimefunguka ..napokea baraka kwako Baba

  • @suzanymushi9805
    @suzanymushi9805 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe Sana Kwa kutangaza injili ya kirsto

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial ปีที่แล้ว +2

    Mama jusi mbarikiwe sana na Mungu

  • @CarolineKakai
    @CarolineKakai ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki kwaya ya mama jusi napenda hii nyumbo mungu aendelea kufunguwa vibawa zenu mimi ni mukenya God bless you kwaya 🎉❤

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 9 หลายเดือนก่อน

    Kutoka Nairobi Kenya,hizi Nyimbo zenyu zinanibariki sana. Barikiweni sana mwaka mpya upunifu.Amen.

  • @mariaabinayo9647
    @mariaabinayo9647 ปีที่แล้ว +3

    Such a good song

  • @titussambay7356
    @titussambay7356 ปีที่แล้ว

    Asanten nyoote Kwa unyenyekevu wakimbingu mbarikiwe sn Kwa kutuunga mkono mamajusi kwaya Moshi.Tunatambua umuhimu wa Kila mtu na Taifa lake.ukituma sms tuambie unapatikana wap tuendelee kukuombea na kujenga urafiki Bora.

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwatunza watumishi wa Mungu ❤️🔥❤️♥️❤️❤️🙏

  • @brakxidiessikolia1326
    @brakxidiessikolia1326 8 หลายเดือนก่อน

    Wonderful song's

  • @nakimitihellen6422
    @nakimitihellen6422 ปีที่แล้ว +3

    Waoooo, it's just waoooo❤❤

  • @kabochijohn8112
    @kabochijohn8112 ปีที่แล้ว +1

    wewe ni mungu na baba. wimbo wangu kila siku Asante mmajusi choir.

  • @happynyoni2421
    @happynyoni2421 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeen nyimbo zenu zinagusa,mbarikiwe

  • @adamchambo12
    @adamchambo12 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema sana,Mungu awabariki nyote

  • @jenahando2747
    @jenahando2747 ปีที่แล้ว +1

    Good job Mamajusi! Mbarikiwe

  • @keziahkabindu2360
    @keziahkabindu2360 ปีที่แล้ว +1

    Amina mbingi zimefunguka kwetu

  • @franciswere928
    @franciswere928 ปีที่แล้ว +1

    Mamajusi mungu azidi kuwalinda nyimbo zenu nzuri

  • @soitafelix8761
    @soitafelix8761 ปีที่แล้ว +1

    Amen Huu wimbo Ni wa Amani moyoni ,barikiwa

  • @bornyborny445
    @bornyborny445 ปีที่แล้ว +1

    Representing Kenya Nairobi Kenya nyimbo Iko sawa kabisa

  • @StevenpalanjaPalanja-en8zn
    @StevenpalanjaPalanja-en8zn ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana❤

  • @carolinemumo6993
    @carolinemumo6993 ปีที่แล้ว +1

    I TRUST YOU LORD...HAVE YOUR WAY..anga limechalia baraka

  • @pastorrichardsanga2162
    @pastorrichardsanga2162 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema sana🙌🙌🙌🙌

  • @jacobmathew475
    @jacobmathew475 10 หลายเดือนก่อน

    Mbingu zimefunguka....

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial ปีที่แล้ว +2

    Amen👏🙏🙌🔥

  • @kevinjuma1036
    @kevinjuma1036 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo uko na upako,❤❤❤
    Kenya tunawapenda sana,,Mingu azidikuwaongezea zaidi hapa

  • @All_The_BestGospleMedia
    @All_The_BestGospleMedia ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lumosinewton9333
    @lumosinewton9333 ปีที่แล้ว +3

    A song from heaven...,..blessing 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @titussambay7356
    @titussambay7356 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sn Watumishi wa Mungu endeleni kutuombea

  • @boazkitela6960
    @boazkitela6960 ปีที่แล้ว +2

    Amina from Kenya

  • @silviakipingi3778
    @silviakipingi3778 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤mubalikiwe sana watumishi wa mungu

  • @kipkoechwilly974
    @kipkoechwilly974 11 หลายเดือนก่อน

    Blessings

  • @Seraphinesarah
    @Seraphinesarah 5 หลายเดือนก่อน

    one of my favorites song ❤❤❤❤wow kila siku lazima niusikize huu wimbo wa baraka.❤

  • @MagrethSenyagwa
    @MagrethSenyagwa 7 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana mweny mungu awabarik san kalbn Dodoma

  • @irenenangare1108
    @irenenangare1108 4 หลายเดือนก่อน

    Amen glory to God

  • @lopezmulwa5303
    @lopezmulwa5303 ปีที่แล้ว +1

    Wow! Tuna imani nawe yesu.....wimbo wenye kiwango nyengine.

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪GOD bless you More💪💪💪

  • @ObamaGabriel-nf1cy
    @ObamaGabriel-nf1cy ปีที่แล้ว

    Duh hakika MUNGU ni mwema,, solo nimemwelew sana kiukwel

  • @wilsonmkumbo
    @wilsonmkumbo ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda ma jusi,mpo na mapenzi ya mungu

  • @PonejaRukiko
    @PonejaRukiko 7 หลายเดือนก่อน

    Tunaimani na wew eeh Mungu uko tukinyenyekea kwako Bwana

  • @georginahsituma7516
    @georginahsituma7516 ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @BensonLuseno
    @BensonLuseno ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kwa mtunzi

  • @sudidorcas1859
    @sudidorcas1859 ปีที่แล้ว +2

    Blessed 🙏🙏

  • @shadrackayuago3028
    @shadrackayuago3028 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song mamajusi 💪💪💪

  • @tanzania_celebs
    @tanzania_celebs ปีที่แล้ว

    Mungu wa Majeshi azidi kuwatunza na tuseme AMEN

  • @bensonkimani5080
    @bensonkimani5080 ปีที่แล้ว +2

    Waoh very spiritual composition may God bless you all.

  • @QuintaAnyango-w6k
    @QuintaAnyango-w6k ปีที่แล้ว

    MUNGU wabinguni awatie nguvu zaidi

  • @SeleyianRachael
    @SeleyianRachael ปีที่แล้ว +1

    I love mama jusi❤...blessings

  • @nshimirimanablaise2763
    @nshimirimanablaise2763 ปีที่แล้ว +1

    Dogo ❤noma xana

  • @mumleonce9880
    @mumleonce9880 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwabariki kwa kazi njema✨ Halleeelujaaah 🙏

  • @lauthandondile
    @lauthandondile ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa huduma ni njema

  • @kelvingodsonnangwa6162
    @kelvingodsonnangwa6162 6 หลายเดือนก่อน

    Mzidi kuinuliwa watumishi wa mungu

  • @EliahzelMichael-dj9qf
    @EliahzelMichael-dj9qf 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 ปีที่แล้ว +1

    Tunaimani nawewe ee Mungu wetu🙏

  • @fabianomatawa8824
    @fabianomatawa8824 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful song

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 ปีที่แล้ว +1

    Duh huyu kijana amenogesha wimbo ile mbaya!!!,naona kakunoa vyema mzee anaye anza siku zote.good job

  • @jackisonkimombo4537
    @jackisonkimombo4537 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mamajus. Na arikiwa mno. Ameeen

  • @eliyavurugu2213
    @eliyavurugu2213 8 หลายเดือนก่อน

    Yes yes wimbo una utukufu sana

  • @johnmassinga6754
    @johnmassinga6754 ปีที่แล้ว +1

    Much love from Cape town Guys 🎉🎉🎉

  • @justinetuti4810
    @justinetuti4810 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nini nyuso mingi inaonekana wageni from wale niliwajua from my teenagehood

    • @mumleonce9880
      @mumleonce9880 ปีที่แล้ว +3

      Watu wanazidi kukombolewa na kuzidi kufanya kazi ya mungu.... Mungu ni mwema.Wengi wa zamani wapo kwa ule wimbo wao mpya.

    • @titussambay7356
      @titussambay7356 ปีที่แล้ว +1

      Oky kama yupi humuoni nikupe maelekezo mtumishi

    • @danielkimilu3875
      @danielkimilu3875 ปีที่แล้ว

      this a good one

    • @justinetuti4810
      @justinetuti4810 ปีที่แล้ว

      There's a lady mwenye aliongoza wimbo ya "Sema nami."

  • @karimiveronicagodblessyoup1032
    @karimiveronicagodblessyoup1032 8 หลายเดือนก่อน

    From meru Kenya you really bless me with your songs deep from my heart love you 🙏😔

  • @marionkamu6085
    @marionkamu6085 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤it's a testimony to some of us ...... Blessings to the producer and the singers not forgetting the listeners

  • @mosesmwendwa3423
    @mosesmwendwa3423 ปีที่แล้ว

    Neema iwatunukie Wana wa mungu

  • @clementinemueni3034
    @clementinemueni3034 ปีที่แล้ว +1

    Autafuta wimbo wenu'Mwenzenu nahangaika' nimeukosa.
    Tafadhali mrudishe huo wimbo hiwa unanibariki sana.
    Shukrani.

  • @raphaeljohnrobert7476
    @raphaeljohnrobert7476 ปีที่แล้ว

    smile face naziona............ my best choir forever years comes years goes

  • @kipkiyienyjoel2475
    @kipkiyienyjoel2475 ปีที่แล้ว

    Indeed God is using you guys to give hope to those who have lost hope in life.Mungu awape nyimbo zaidi zizidi kutubariki hapa Kenya

  • @efraziashauri5717
    @efraziashauri5717 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙌🙌🙌🙌🙏👏👏

  • @carolwanga2426
    @carolwanga2426 11 หลายเดือนก่อน

    Wow. Sons and Daughters of the most high God. Be blessed. You are ablessing to many. continue serving our saviour. For sure He loves and deserves to be worshiped.

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @evarlynkavaya6583
    @evarlynkavaya6583 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah 🙌 powerful song 🎵