NJOZI - Official Video - Tumaini Shangilieni Choir
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Yako mengi sana tunayo tazamia na kuyategemea.
Njia ya kuyafikia inaweza isiwe nyepesi.
Usichoke kumngonja YESU, njia si nyepesi, jitie nguvu, Umngoje yeye pekee, hakika atakushindia.
There are so many things we aspire and look forward to.
The way to attain your aspirations isn't easy and smooth.
Do not tire; wait unto the Lord, the way isn't smooth, be steadfast, brace yourself, wait unto him and alone him, he will not fail you for he is your stronghold.
Tumaini Shangilieni Choir,
/ tumainishangilieni.choir ; / tumainishangilienichoir - เพลง
Huu wimbo umebadili maisha yangu
Wimbo mzuri saana
Mungu awabariki katika huduma ya kumtumikia...Njozi inahitaji uvumilivu....Bado ninakungoja Yesu..
Amen...
Nawakubari Sana mnanibariki
me naitwa maiko kutoka dodom tanzania nimeaza kuwafatilia mda sana napenda sana nyimbo zenu na pia nawapenda na nyie pia MUNGU awabariki sana tumain kwaya ya arusha MUNGU awajaze ubunifu mwingine tena
Tunashukuru sana kwa maombi yako Maiko; Nasi tunakuombea Mungu aendelee kukubariki sana.
Kwaya Bora, endeleeni kufanya kazi ya MUNGU, malipo yenu ni makubwa kuliko mnavyofikiri,
Endeleeni kuvaa kwa stara ndipo heshima itabaki milele
Mungu awabariki sn kwa kazi nzuri msirudi nyuma Mungu azidi kuwainua utukufu hadi utukufu
Nawpenda tumain shangilieni mungu qwabariki kwa nyimbo zenu 🕊️🕊️ hakika bado tunakungoja yesu♥️♥️♥️
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya kristo
Hiyo nyimbo mumenifanya niisikilize muda wote ofisini. Kwaya bado iko vizuri sana, mwenyezi Mungu awabariki sana.
Mungu. awabaariki wimbo mzuri sana
Tumaini kwaya...sijui kama mnaelewa upako mliobeba... Mungu afungue macho yenu..
The song is so glorious...full upako..
Hamna mbwembwe za kurukaruka mpaka jasho lakini upako unatoa machozi wasikilizaji
Amina Mungu awape unyenyekevu sana na kuzidi pia...
Hii nayo...🙆🙆 M barikiwe tu.. maono yangu hata yakikawia yatatimia tu.... Mwapatikana wapi?
Naupenda sana huu wimbo, karibuni tena KKKT Kimara
Yaani nimewamiss kama waje tena Kimara
Sauti zinasikika vzr yaani best live recording ever nasikia ya 1 mpka ya4 vyomba maridhawa sio kama madebe endeleeni kumtumikia Jehova me shabiki yenu toka nikiwa mdg naomba mrudie zile nyimbo kwa vyombo hvi zitabamba mnooooooooooo🔥🔥🔥
@@TumainiShangilieniChoir Jesus is Lord
Annet
@@TumainiShangilieniChoir annet
@@TumainiShangilieniChoir rehema
N Cs
Management ya kwaya bado ipo vizuri
sasa naona amani kuendelea kumngoja YESU KRISTO kwa kutokuchoka kuomba, mmenipa haja ya moyo wapendwa wana wa JEHOVA. Nawapenda bureeeeeee, mbarikiwe na familia zenu
Mungu nimwema unatiya faraja sana akika niujumbe mzur sana
@@TumainiShangilieniChoir amen
big up.
Ninyi ni kwaya bora katika kumwabudu Mungu na kupeleka injili kwa njia ya uimbaji. Siku zote nimeona mkidhabiti ubora wa uimbaji wenu tangu album ya Duniani shangilieni 94 jama sijakosea.
Mnastaajabisha kuona wanawake wote mnasolo,wanaume wengi wanasolo, wacheza vyombo wengi mno yaani mmeondokana na kiburi cha utegemezi kwa mtu mmoja. Hakika mmebarikiwa na Kwaya hii itafikisha hata karne kadhaa
Dunia shangilieni ilikuwa kabla ya mwaka 1994
Me Ata muimbee kilugha sisahau nyimbonza Hii kwaya
Nawapenda Mungu awatunze 🙏🏽❤️🙌🏽
Amen Amen
Wale wa 2023 listening to this Powerful Song Hands Up🙌🇹🇿
Wimbo mzuri sanaaaa, mavazi ya stara. Hii ndio kuilinda Imani.
Nimekuwa mateka wa Tumaini shangilieni, nawapenda sana Mungu mwenyewe anajua. Muendelee kubarikiwa maana moyo wangu unabarikiwa sana na nyimbo zenu
Mungu akutunze na kukuonekania sana ndugu na rafiki yetu.
M'BARIKIWE SANA WANA TUMAINI KWAYA.
2022 bado tunaendelea kubarikiwa
This is one of the best spiritual songs composed and sung by my favorite Shangilieni choir. I love it so much!
Asante sana baba Askofu. endelea kutuombea
Nawapenda sana
SHabiki wenu namba MOJA love you guys❤️❤️❤️
Mungu awabariki huwa nabarikiwa na tungo za nyimbo zenu maaana nimekuwa mdau nyimbo zenu tangu nilipo wafahamu mwaka 1999 nilipo kuwa Moshi na nilipokuwa chuoni Arusha nilikuwa sikosi kila mlipokuwa mkiimba kanisani hata matamsha ya ukwata Mungu awabariki,Mtumishi Samwel kusamba na familia ya akina John wapigaji vyombo kinanda,bass gita 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
My song for the week. Nimeona mama soloist kwa row ya pili. I love this timely song basi tuisukumee na kuisikiza hii nyimbo kabisa wapendwa.....Mungu awazidishie marudufu. Bado nakungoja Yesu...Huchelewi wala hubahatishi...Nakungoja Yesu wangu
who is still listening to this on 11th May 2020? Bado nikungoja Yesu... wala sita choka
Toka nikiwa Mdogo sana nawasikia mnaimba katika utukufu uliotukuka sana mbarikiwe
nidhamu, unyenyekevu, upendo, kiu na hamu ya kumtumikia Mungu kwa hakika naione kwenu tumaini kwaya ( Mungu aendelee kuwainua zaidi na zaidi na kuwafungulia milango iliyo mbele ) nawapenda sana.
Watumishi ikimpendeza mungu nitakuja kusali nanyi Apo kanisani kwenu mwezi wa 9 Mara ya mwisho kuona kazi yenu mwaka 1999 Niko mwanza
Mbarikiwe. Kwawimbo. Huu.mzuri
Jina lenu linasadifu mnayoimba hakika...since end of 90's.....TUMAINI SHANGILIENI... Nyimbo zenu zinatukumbusha Tumaini letu ni Kristo Yesu kila wakati hata tupitiapo magumu. Mungu aendelea kuwainulia vipawa na karama utunzi wenu uwe bora zaidi.
MMMM wana Tumaini Shinyanga Mungu awabariki kwa wimbo huu mtamu ulio pangwa ukapangika.
Mbarikiwe sana Tumaini Choir.... Nimekuwa nikikua na kuishi Kiimani tangu Enzi za Shangilieni. MUNGU awabariki...
Mbarikiwe Wapendwa Mungu Awatie Nguvu,uwa nanunua bando Kwa ajir ya huu wimbo
Baaadooooo ninakungoja Yesu
Nipe uvumilivu moyoniiiii
Ijapokawia itatimiaaaa tuuuu
Ninajambolangu kwa Mungu bado nangaoja asanteni watumish kunitia moyo
Moja ya Kwaya bora Afrika Mashariki na kati... hamjawahi kuniangusha ktk nyimbo zenu toka album ya Mwana Mpotevu, Unishike,
Mungu awabariki sana uimbaji wenu ni mzuri na msg mnayoitoa inasikika vizuri
Mungu wa mbingu na nchi azidi kuwakweza hatua kwa hatua
Utukufu hadi utukufu
Nawapenda namuona na mwalimu wa chadulu dodoma
Hakika Mungu awabariki sana na ninabarikiwa sana na nyimbo zenu
Ninawapenda sana,Tumaini choir nyimbo zenu ni baraka kwangu,mbarikiwe
Nmefarijika kuwaona tena wote nami nasema bado nakungoja yesu nawapenda Sana tumaini kwaya
Nyimbo nzuri sana,vyombo vimetulia na mmpendeza sana..Mungu awabariki sana.
Mmependeza Sana Na muziki uko vizuri pia sauti zimetulia vizuri mbarikiwe sana
Upako juu ya Upako, ❤️❤️❤️
Ni raha sana kuwa na njozi na hasa Bwana Mungu anapoifanya real katika ulimwengu wa Nyama na damu. No words that can qualify the beauty of this song. Habakuki 2:2-3
Narudia tena kuomba, Mutueekee album, ya kwanza, njoninjoni, audio, full album, nabarikiwa sana,
Hongerani sana,mmetubariki mno KKKT Kimara, asantee sana kwa ujio wenu,baraka za Mungu ziwe juu ya maisha yenu,mwimbo mzuri sana.
Nawapenda sana wapendwa wa mungu nitakuja kuwasabahi hapo Arusha mungu akkipenda
Nipe uvumilivu moyoni, Hakika bado ninakungoja Yesu, wimbo mzuri sana mbarikiwe watu wa Mungu nawapenda sana
Tumaini shangilieni the proud of Anglican church Mungu awabariki sana
Leo nmeanza na huu wimbo ase since morning nmeusikiliza kama mara 4 hiv asubuhi hiii tu ..Mungu awabariki sana kwa kuimba nyimbo zenye nguvu. BADO NINAKUNGOJA BWANA njozi yangu lazima itimie..Mungu si mwanadamu aseme uongo ahadi zake ni za kweli ...
Mungu aemdelee kukugusa na kukusogeza zaidi rafiki na moendwa wetu. Blessings
This is my prayer especially now that I'm going through a difficult season of transition. Eternal Father, give me patience, and teach me how to wait on you! 🙌
May our Good Lord shine Light upon You and guide you through
Hata sisi kwaya ya Maranatha- Korogwe TTC- TANGA(Anglikana), tunamngoja bwana, Pokeeni salamu zetu za upendo kutoka kwa Marafiki zenu, Tunawapenda sana
Asanteni sana
@@samilandoo Amen, karibu utembele ukurasa wetu usisahau kusubscribe
huu wimbo unanihudumia sana
Nimesikiliza album ya nyimbo za zamani nanimebarikwa sana.
Powerful powerful, Mungu azidi kuwainua Tumaini shangilieni choir, hakika mumeubariki moyo wangu 💖
Aisee mnajuwa kuimba ,mpo wengi mmependeza ,mnaonyesha ushirikiano wa kiuimbaji ,mnanibariki sanaa Tumaini nina miaka 55sijaona kwaya kama hiii.tupeni siri ya mafanikio
Habakuki 2, nami nitaendelea kukungoja Yesu, na njozi hii itakuja kwa wakati wake. Asanteni Tumaini kwa ujumbe na melody nzuri, mbarikiwe sana
Bado Mungu ninakuamini katika Kila hali naninakungoja Yesu, Mungu awabariki Tumaini kwaya
Wapendwa, mmekua mkinibariki toka enzi za part 1 ya Duniani Shangilieni. Mungu azidi kuwainua juu zaidi. Nimebarikiwa na wimbo huu kutoka Kenya 🇰🇪🙏
Mungu atuonekanie kwa wakati huu mgumu. Amina! 🙏
Mbarikiwe sana watumishi..kazi njema Jehova azidi kutukuzwa..
Amen..Asifiwe Yesu
Tumaini kwaya, wimbo wenu huu toka kitabu cha nabii Habakuki 2:3 huwa unanipa tumaini kila mara niusikilizapo. Mbarikiwe sana na atukuzwe Mungu kwa ajili ya utume huo aliouweka ndani yenu.
Hakikaaa nabarikiwa Sana na pia ninainuliwa Sana kiimani kila ninapousikiliza huu wimbo
Barikiweni mnooo waimbaji, Mungu wa mbinguni asiwaache
Amina
Ahadi zake ni kweli na amini kwa kweli neno lake halirudi bure mpaka litimizwe
Nipe uvumilivu moyoni Mungu awabariki sana
My favorite choir hamjawai kukosea . Mzidi kubarikiwa . This one is lit 🔥
Amen 🙏🏽 watu wa Mungu
AMEN!!! Haleluya bado ninakungoja YESU
Naisubiri kwa hamu USB flash yangu!!!!!!
Mbarikiwe sana Shangilieni Tumaini Choir.
Mimi na familia yangu tunawaombea Tumaini Shangilieni Choir safari njema.
Mwenyezi Mungu awatangulie na awe ndiye Kiongozi wa safari.
I love you guys. I live in Scotland and I listen to your songs everyday...I'm so jealous of you sisters and brothers. I wish I could join you one day and sing together with you. If we don't in this earth we shall meet in glory....you touch my heart in a special way. God bless you
@@TumainiShangilieniChoir oooh that's great....yeah you can have a tour in Scotland or you can come shoot some of your videos here....nothing is impossible with our God. I welcome you here with my both hands. I will surely visit you na nisimame pale pembeni niimbe na nyinyi....you have been a blessing
Aaaah!
Sio mchezo songi hili linakonga moyo. Ninaenda Church huku naamini BWANA ANA AHADI ZA KWELI NA AMIN.
ATANISAIDIA.
YEYE SI MWANADAMU.
HONGERENI WAIMBAJI
My best choir of all time you are the best
Endeleeni kumtumikia Kristo Yesu kwa huduma yenu mnawavuta wengi kwa mwokozi wetu Yesu Kristo
Mungu awabariki nyimbo zenu muimbe kutukuza mungu tumaini shagilieni choir
Ninabarikiwa ninaposikiliza nyimbo za Tumani-Shangilieni Choir. Mungu azidi kuwabariki mnapoendelea kubariki watu wake na kuokoa wengine kwa nyimbo.
Hakika imetoka vizuri!Mungu ibariki sana kwaya yetu
Hatari wimbo mzuri saaana,bado nakungoja Yesu,Mungu awabariki
Kwaya festival hhaha kumbe mliunga safi
Mungu awabariki Sana
Njozi nimaono ktk maisha yangu Kuna siku nitawashuhudia hapa
Mbarikiwe sana
L0
Wonderful song Nawependa sana sana nabarikiwa sana na Nyimbo zenu Mungu awainue viwango vingine
Mungu azidi kuwainua napenda sana nyimbo zenu na barikiwa nafunguliwa Asante mungu kwajili yenu
Ndugu zangu kweli mnajua kuimba nawafuatilia toka mwaka 1992 album ya shangilieni kazeni buti Yesu Yu karibu
Glory to God, nabarikiwa sana na nyimbo zenu. Ni msikilizaji wenu tangu enzi za redio cassete auto reverse inapigwa usiku kucha 1980's. Bado nakungoja Yesuuuuu!!!!! Mbarikiwe sana na Mungu.
Wazeee wakutokupoa ahahahaaà ongereni Sana miamba ya uimbaji mko vzr Sana ongggereni
Amen. Ninafurahi sana ninapowaona mkisonga mbele katika kuifanya kazi ya Injili ya YESU kupitia nyimbo zenu na ninafurahi zaidi kwani viwango vinazidi kuongezeka. Hakika hata mimi badooo ninamngoja YESU. Mzidi kuinuliwa🙏🏼😘
Hongereni sana wana wa Mungu,mnanikosha kwelikweli,uimbaji uliopevuka huu,vyombo kwa ustadi mkubwa sana,waimbaji wanasikika vyema hawatafuni maneno,ujumbe umetulia,nawaona wakongwe wote hapo.mgosi luka,Mungu awabariki sana.
Nyimbo zenu ni nzuri sana, Mungu awasaidie ili mfike mbali zaidi
Mbarikiwe.watumishi.wa.Bwana.yesu.kazi.ni.nzuri♥️
Amen Amen, Mungu akubariki pia.
Baraka za Mungu ziwe pamoja nanyi katika huduma ya Bwana popote mliko mbarikiwe.
Amina. Nawaombea Mungu azidi kuwaweka pamoja na kuwainua kwenye huduma hii njema sana.
Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi
Mungu awabariki sana...wimbo huu ni baraka kweli. Mmpendeza sana na vyombo hakika vimetulia. Nawapenda Tumaini Choir❤
Amen
Wimbo mzuri sana. Vyombo vimepangiliwa vizuri vinapeana nafasi na waimbaji wamejaa vilivyo. uchezaji wa kistaarabu na sare zimewakaa vizuri.
Hongereni sana kwa kazi hii kubwa.
Nimekuwa nikisubir hii song sana
Wimbo mzuri sana Mungu aendelee kuwabariki watumishi wa Mungu.
Nipe uvumilivu ninapoingojea njozi hii!!sichoki kurudia nyimbo hii
Mbarikiwe watumishi
Mzee wangu anaishi Mufindi alipokuja Arusha alitafuta kanisa mpk akaabu awaone tu
Mbarikiwe
Gari yake audio n za Tumaini tu🔥🔥🔥
Nawezaje kuzipata nyimbo zenu za kale kama zile za kwenye albam ya silaha ya ushindi.? Hakika nazipenda sana nyimbo zenu.hususani album ya silaha ya ushindi
Tafadhali wasiliana na dukani kwa 0762862225
❤❤❤❤❤mungu abariki sana leleleeeeeeee
Mungu awe pamoja nanyi. Mbarikiwe kwa kututia nguvu na uvumilivu
tangu mtoto hadi kesho hii kwaya imesimama imara mnoo..Tumaini Choir Mungu amewapa karama ya pekee sana..barikiweni mnoo
Hivi - Katika kwaya yenu - ni nani ambaye haimbi akimaanisha? Nyuso zenu zote - ZOTE - ZOTE - zinamaanisha kile mnachokisema(kukiimba) - You guys are not fake - What a choir - Siku nikija arusha - lazima nije kanisani kwenu niimbe na nyie japo siku moja. Shangilieni kwaya yangu - Mungu awabariki - ni vile tu hamuwezi kujua ni jinsi gani mmnavyobariki maisha ya watu huku nje. When i see you all singing - najihisi nyumbani. Never Stop - Always in my prayers. Love you guys
Karibu sana
Kazi nzuri watumishi.nimebarikiwa na huu wimbo
Bado ninakungoja Yesu !!!!!
Bado nakungoja Yesu nice song
Amen, nimebarikiwa sana na huu wimbo ,Mungu awabariki
Tumaini Shangilieni St James Best Choir! Glory to God.
Jana tulikukosa
Sikuwepo, najifikia Fahari kuwa sehemu ya Tumaini Shangilieni Choir. Mungu awabariki na kuwashindia