Nilifanikiwa kuweza kuacha kuskiliza secular music na interest ya secular music kukoma kabisa ndani yangu baada ya kuskiliza huu wimbo pamoja na zingine alizoimba Boaz Danken
hizi ndio nyimbo unaona kabisa hazikutungwa kwa akili ya mwanadamu tu Bali Roho wa Bwana alihusika! na mhusika anasoma neno LA Mungu! ubarikiwe mtumishi!
Yesu ni mzuri jamani!! Nani anaweza kuwa na huo muda wa kujishughulisha na moyo wako(kibinaadamu)? Embu tujifikirie, ila Yesu ana UPENDO mkuu.....anaoffer kukufinyanga kwa upya, kukufanya upya tena kukupa heavenly access after that! WHAT AN INCREDIBLE GOD!
Wangap tumekuja hapa baada ya status ya "ndivyo ulivyo mfinyanzi". Mr. Boaz this Song UFINYANZI SHOULD BE THE GREATEST GOSPEL OF THE DECATE's. GOD IS SO GREAT .....JESUS POWER IS UNMESSURABLE. WEKEA NGUVU NI HIT SONG HII UFUNYANZI. MUCH LOVE FROM TANGA TANZANIA 🔥🔥🔥🔥
nipo katika wakati ambao namuhitaj Mungu kunitengeneza na leo ndo nimekutan na iih nyimb imenipa moyo sana. Na nguvu ya kuendelea kutafuta nafsi yangu kwa Mungu ubarikiwe sana nahisi iih nyimbo nilikuwa nahitaj san kwa siku ya leo na milele🙏🏻.Mungu ni mwema sana wakati unamuhitaji anakuweke nuru ili uwez kutembea tenah Asante Yesu
Yesu anaweza sana! Nyakati zinaweza kukufanya uone haiwezekani kabisa ila Yesu mfinyanzi akifinyanga kila kitu kinapata maana ya kweli na nguvu ya kuendelea. Mfinyanzi tufinyange!
Nashukuru Mungu. Juzi tarehe 24. 11. 2024 dereva wa Uber aliweka hii nyimbo (Nami nikajifanya naimba kama nainua 😂😂😂). Ndipo nilipoanza kubarikiwa nayo na hata leo nikaitafuta huku. Kweli Mungu anatumia mtu kumfikisha mtu mwingine habari njema. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. ❤❤❤❤
Trusting God for my dad's health, he has prostate cancer, I know that God is on the throne,there's nothing God cannot do,nothing is too hard for Him,after listening to this song I am encouraged, God bless you
This is an amazing reminder of God being the potter and we are the clay, He is still in the business of moulding us Ndivyo ulivyo Bwana, wewe ni mfinyanzi Vilivyo haribika unavifinyanga tena 🙌🙌🙌🙌
Ndivyo ulivyo BWANA, wewe ni mfunyanzi Vilivyo haribika, unavifinyanga tena , ooooooh BWANA nko hapa na mm unifinyange tena 😭😭😭🧎🏻♀️🧎🏻♀️🧎🏻♀️🙏🏻🤲🏽🤲🏽🙌🏾🙌🏾
Nabarikiwa kila ninapousikiliza huu wimbo Na nyimbo nyingi Mungu awabariki sana vile mnaitumia Bible kufikisha ujumbe ambao ni ahadi kamilifu ya Mungu Wakati nimeanza kusikiliza huu wimbo ndio nilipoujua huu mstari Mungu akubariki Kaka yangu
Nilikua kwenye maombi na Bwana akaniletea huu wimbo oooh Bwana ni mfinyanzi wa kweli jinsu apendavyo. Umekua baraka sana Huu wimbo. Mungu akuinue Danken na kujupa mafuta mapya kula siku
wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana,......... so poweful song in human spirit as well as soul. Ameni Ameni............... Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ooooh! Jesus Christ, Mimi Ni Nani nisifinyangwe na wewe! Nifinyange tena Bwana. Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu kwa kukubali kutumiwa na Bwana Yesu Kristo aliye hai.
Oooh!!halleluyah!!🙏🏻🙏🏻ndivyo ulivyo Bwana wewe ni mfinyanzi.kilichoharibika unakifinyanga tena.jinsi upendavyo wewe..🙇♂️🙇♀️🙇♀️🙏🏻🙏🏻🙏🏻 God lift you more Boaz.🙏🏻🙏🏻may you birth many more deep n powerful songs like this..
the ending is soo heavenly🔥🔥🔥😭😭😭😭😭 ndivyo ulivyo bwana wewe ni mfinyazi vilivyo haribika unavifinyanga tena jinsi upendavyo wewe....... Nifinyange Bwana jinsi upendavyo🙏😭
Wimbo unanikumbusha kongamano la morogolo na Mungu Kwanza , wapi kaka Victor siku Ile imekuwa kuiimba iyii Hadi nikafinyangika , muimbaji Mungu akutunze
I really felt blessed by your ministration yesterday at Worship experience with Sarah K. I pray God to expand you I know one day I will be a blessing to you too...
aisee hu wimbo brother una viwango vikubwa vya utakatifu na ulifunikwa na wingu la uwepo wa roho mtakatifu ndani yako uki imba hu wimbo ukiwa rohoni unajikuta machozi yanakutoka tu😢😢😢
sitted in my office @9:20am and I can't help it but dance on my seat..wacha supervisor anione kwa camera😂 but the Joy of the Lord is so real and this song is my testimony this 2024🎉🎉
Bwana akamwambia Yeremia Nenda nyumbani kwa mfinyanzi Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo Kilichoharibika anakifinyanga tena Anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye Ndivyo ulivyo Wewe ni mfinyanzi Kilichoharibika unakifinyanga tena Unakifinyanga tena, unakifinyanga tena Jinsi upendavyo Wewe
Nani anasikiliza 20 dec 2024❤❤❤
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
Mtumishi ubarikiwe sana 🥰❤️
Who is still listening April 7 2024
Jull 7, 2024
August 2024
Nilifanikiwa kuweza kuacha kuskiliza secular music na interest ya secular music kukoma kabisa ndani yangu baada ya kuskiliza huu wimbo pamoja na zingine alizoimba Boaz Danken
😊😊😊
Q
😊😊
Ko saiv una skiliza au umeacha kabisa
😊
Ndivyo ulivyo bwana.. you are the potter and I am the clay... redeem us Savior
Unaweza kila kitu eeh Yesu wangu Sina Mwingine Mungu wangu
hizi ndio nyimbo unaona kabisa hazikutungwa kwa akili ya mwanadamu tu Bali Roho wa Bwana alihusika!
na mhusika anasoma neno LA Mungu!
ubarikiwe mtumishi!
Fact
Kweli kabisaa
Yesu ni mzuri jamani!! Nani anaweza kuwa na huo muda wa kujishughulisha na moyo wako(kibinaadamu)? Embu tujifikirie, ila Yesu ana UPENDO mkuu.....anaoffer kukufinyanga kwa upya, kukufanya upya tena kukupa heavenly access after that! WHAT AN INCREDIBLE GOD!
Wangap tumekuja hapa baada ya status ya "ndivyo ulivyo mfinyanzi".
Mr. Boaz this Song UFINYANZI SHOULD BE THE GREATEST GOSPEL OF THE DECATE's.
GOD IS SO GREAT .....JESUS POWER IS UNMESSURABLE.
WEKEA NGUVU NI HIT SONG HII UFUNYANZI. MUCH LOVE FROM TANGA TANZANIA 🔥🔥🔥🔥
Yaani achatu 😃😃😃
Llpllpllp
Mungu ndie anaweka nguvu sio yy kazi ya Mungu imejikamilisha
You should also listen to unaweza by Neema gospel choir
Hakika Yesu anaweza,19 years ago sikuwa hivi nilivyo leo,mi ndio wale ukitoa YESU sina chochote,
August 2024
Huu wimbo hata nisikilize siku nzima wala siukinai ❤😊
Amen
Even me
Kama Kuna kitu natamani Kwa huduma yangu ya uimbaji ni kufika hichi kiwango. Help me oh Lord
Ndivyo ulivyo bwana wewe Ni mfinyanzi kilichoharibika unakifinyanga tena 🙏😭😭💔
Mamangu huimbaa hhuu wimbo nadhanii amejitungiaa 😹😅😅😅aaah now I get that she is far in ministry than I am,,,
😂😂😂😂
😂😂😂 Hujui wale waonekanao hawafai ndio watatutangulia enzini
😂😂😂😂😂 pthooo big up to your mum😂
😂😂😂😂
Hakuna jambo gumu kwake Mungu,tunayoyaona mazito huyafanya mepesi, Glory to God
nipo katika wakati ambao namuhitaj Mungu kunitengeneza na leo ndo nimekutan na iih nyimb imenipa moyo sana. Na nguvu ya kuendelea kutafuta nafsi yangu kwa Mungu ubarikiwe sana nahisi iih nyimbo nilikuwa nahitaj san kwa siku ya leo na milele🙏🏻.Mungu ni mwema sana wakati unamuhitaji anakuweke nuru ili uwez kutembea tenah Asante Yesu
Damu ya Yesu Imfunike huyu Mtumish wa Mungu. Roho Mtakatifu asiwapungukie
Yesu anaweza sana! Nyakati zinaweza kukufanya uone haiwezekani kabisa ila Yesu mfinyanzi akifinyanga kila kitu kinapata maana ya kweli na nguvu ya kuendelea. Mfinyanzi tufinyange!
Dear Boaz Danken, nyimbo zako uwa zinanibariki sana . Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Nyimbo za Boaz Danken hunibariki kweli ❤❤🇰🇪🇰🇪
Ndivyo ulivyo Bwana wewe ni mfinaji vilivyo aribika unavifinyanga tena niko tayari kuanza tena na weye Baba 🙏🙏🙏
Eeh Mfinyazi Mkuu nifinyange upya na mimi na familia yangu, maana mkono wako pekee watosha kubadilisha Dira na mwongozo wa maisha yetu. ❤
Nashukuru Mungu. Juzi tarehe 24. 11. 2024 dereva wa Uber aliweka hii nyimbo (Nami nikajifanya naimba kama nainua 😂😂😂). Ndipo nilipoanza kubarikiwa nayo na hata leo nikaitafuta huku. Kweli Mungu anatumia mtu kumfikisha mtu mwingine habari njema. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. ❤❤❤❤
Kenyans where are you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
We are here
@@nyagowalavender4455 Blessings 🙏
@@nyagowalavender4455 Blessings 🙏
We are here
This song 😭😭🙏11 months of God's mercies upon me
Trusting God for my dad's health, he has prostate cancer, I know that God is on the throne,there's nothing God cannot do,nothing is too hard for Him,after listening to this song I am encouraged, God bless you
This is an amazing reminder of God being the potter and we are the clay, He is still in the business of moulding us
Ndivyo ulivyo Bwana, wewe ni mfinyanzi
Vilivyo haribika unavifinyanga tena 🙌🙌🙌🙌
♥️🙏
Amen.
Amen
Ndivyo ulivyo BWANA, wewe ni mfunyanzi
Vilivyo haribika, unavifinyanga tena , ooooooh BWANA nko hapa na mm unifinyange tena 😭😭😭🧎🏻♀️🧎🏻♀️🧎🏻♀️🙏🏻🤲🏽🤲🏽🙌🏾🙌🏾
Amen
unaweza yesu, hakuna jambo lililogumu lakukushinda yesu, logically "nothing" is difficult to God. yesu unaweza 🙌🙌🙌🙌
Mungu ni fundi
Hakuna jambo gumu kwake
I appreciate you God❤❤❤❤
Nifinyange tena Mungu, unaweza kufinyanga chombo kilichoharibika jinsi upendavyo..
AMEN AMEN AMEN 🙏🙏MUNGU AJITWALIE UTUKUFU WAKE KWA AJILI YAKO MTUMISHI WA MUNGU 🙏
Tanzania artists are really doing well...this is the kind of gospel music the world needs to hear and hear more ....for sure our God so able 🙏🙏🙏
❤
We bless the Lord
Nabarikiwa kila ninapousikiliza huu wimbo
Na nyimbo nyingi
Mungu awabariki sana vile mnaitumia Bible kufikisha ujumbe ambao ni ahadi kamilifu ya Mungu
Wakati nimeanza kusikiliza huu wimbo ndio nilipoujua huu mstari
Mungu akubariki Kaka yangu
Asante kwa kazi nzuri mtumishi,tuwe na imani na mfinyazi wetu ANAWEZA yote yaliyoharibika atayafinyanga yasiharibike tena.MFINYAZI🙏🙏
Nilikua kwenye maombi na Bwana akaniletea huu wimbo oooh Bwana ni mfinyanzi wa kweli jinsu apendavyo. Umekua baraka sana Huu wimbo. Mungu akuinue Danken na kujupa mafuta mapya kula siku
wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana, wewe ni Bwana,......... so poweful song in human spirit as well as soul. Ameni Ameni............... Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Ndivyo ilivyo Bwana! Wewe ni mfinyanzi........vilivyoharibika unavifinyanga tena......unavifinyanga tena.....jinsi upendavyo wewe🙏🙏🙏🙏
Nimeona ushindi wako Mungu! Hakuna jambo lakukishinda Mungu Mfinyanzi wangu!❤❤
Wimbo mpya kila uchwao kwangu hata nashindwa kujua ni wasifa au kuabudu... Nifinyange zaidi Mfinyanziiiiiiiiiiiiiiii
Just Coming From His Concert In Meru And He sang This song And I can't Get over it😍❤
Unawaza hakuna jambo lililo gumu lakukushinda ewee YESU. Ninapo imba wimbo huwo nashinda salama pamoja na mfinyanzi anaye niwezesha yote. Bienvenu DRC
The next greatest Tanzanian worshipper after Fanuel and the others is right here
This song has been a great testimony to my life,the first time I listened to it,alot of things changed in my life,,,yesu anaweza💪💪
Mungu ni mungu anatufinyanga Tena mahali tumeharibika maana yey sio kama mwanadamu❤
his songs are so toching... It's really a gift from God .
Nakushukuru MUNGU kwa upendo wako..nashukuru MUNGU kwa maisha haya
Wewe ni mwema
Nimeona ukiweza maishani mwangu ….i bless your name Lord😭🙌
Amina Ndugu MWENYEZI MUNGU azidi kukutumia kusema nasi watu wake....hakika hii ni nafasi ya kipekee ya KUFINYANGWA upya na MFINYAZI....👏
🇹🇿🇹🇿
Ananifinyaga tena, jinsi apendavyo
Mungu aendelee kukutumia vyema ,,,be blessed unagusa mioyo wa wengi kwa nyimbo zako I solute ur,,
holy spirit has brought me back here for my portion
Glory to the most high God... Yesu anafinyanga kanisa lake tena kwa upya namna upendavyo mwenyewe. Blessed minister of the mighty King Jesus.
Still listening to this ,barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Hapa Kenya twakupenda Sana
Ooooh! Jesus Christ, Mimi Ni Nani nisifinyangwe na wewe!
Nifinyange tena Bwana. Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu kwa kukubali kutumiwa na Bwana Yesu Kristo aliye hai.
When you listen to such, you know that the LORD has released the anointing for the Great Awakening.
Oooh!!halleluyah!!🙏🏻🙏🏻ndivyo ulivyo Bwana wewe ni mfinyanzi.kilichoharibika unakifinyanga tena.jinsi upendavyo wewe..🙇♂️🙇♀️🙇♀️🙏🏻🙏🏻🙏🏻
God lift you more Boaz.🙏🏻🙏🏻may you birth many more deep n powerful songs like this..
😘my favourite part 🔥
Hallelujah Ndivyo Ulivyo Bwana Wewe ni Mfinyanzi
Back here in Kenya 🇰🇪 we thank God for this ministry.#anawezayote.
He'll be in Eldoret IVC this week ❤️🔥❤️🔥
@@bangroupe9884 let’s meet there
Yesu anaweza.
Hakuna jambo lililo ngumu is kukushinda yesu wangu.waweza yote. My hope and trust is in you lord.
Huu wimbo nina uhakika hata Mbinguni wanauiimba wakimtukuza Mungu Baba katika Ukuu na Mamlaka yake. Boaz lazima alisikia rohoni Mbinguni wakiimba.
Ee Mungu nakuomba unifinyange upya mimi na familia yangu
😢😢nifinyange Bwana .ndivyo ulivyo.huu wimbo Leo yt umekua ukiimba ndani moyo wangu. Asante mwana wa Mungu Alie hai 🙏🙏
Ooh Glory to the most high 🙌
Finyanga moyo wangu, matendo yangu, maneno yangu Bwana jinsi upendavyo wewe🙌
MFINYANZI
Bwana unawaza kweli, maisha yangu nakupa moyo wangu nakupa uifinyange upendavyo.
Kweli nyimbo hii niyakiroho zaiidi maana nimeona komento nizakiroho tu.mbalikiwe pamoja nami❤
Yesu ni Mfinyanzi, Heri kuangukia mkononi mwa Bwana, maana atanifinyanga tena na tena... hadi niwe chombo kinachofaa kwa matumizi YAKE mwenyewe.
Wimbo mzuri sana kila nikiusikili kunakitu napokea ndani yangu
Nitazidi kukuombea baba ufike viwango vya juu ....by your son here....samwel Edward
Hakuna jambo gumu kwako bwana, unaweza yote Jehova, endelea kunifinyanga bwana
Kaka yetu @Jimmy Kimutuo Mungu akuinue zaidi.
the ending is soo heavenly🔥🔥🔥😭😭😭😭😭
ndivyo ulivyo bwana wewe ni mfinyazi vilivyo haribika unavifinyanga tena jinsi upendavyo wewe.......
Nifinyange Bwana jinsi upendavyo🙏😭
Great ministration, I break down as I worship through this song, Mungu anachukuwa vyombo vilivoharibika na kuvifinyanga tena jinai apendavo.
Jamani Mungu azidi KUKUIMARISHA kwa kadri ya KUSUDIO LAKE BROTHER BOAZ..
God you're above,I thank you Jehova you have healed me from a critical accident now am walking a gain.GOD THANK YOU
Mungu ni mwema mtumishi,,kazi yako nzuri saana
Amen! ndio ulivyo Bwana..wewe ni mfinyazi unanifinyinga Tena.❤
i remember this man of God Boaz Danken from BM,CC Church mwanza Tanzania be blessed much I'm really blessed by the song
Chukua udongo tena Baana kama vile shambani Edeni, unifinyange tena Bwana kama upendavyo wewe. Naangaze tena Mwanga wa mbinguni kwa utukufu wako. 🙏🙏
Hakika hakuna la kumshinda Yesu.Endelea kuinuliwa na kubalikiwa mtumishi wa Mungu Boaz Danken
Ndivyo ulivyo Bwana wewe ni mfinyanzi kilichoharibika unakifinyanga tena, Oooh Haleluya YEHOVA finyanga Moyo wangu nikuelekee ww...
Hakika Bwana atatufinyanga tena..turudi kwake...Bwana aanze upya na sisi...Hallelujah
Wimbo unanikumbusha kongamano la morogolo na Mungu Kwanza , wapi kaka Victor siku Ile imekuwa kuiimba iyii Hadi nikafinyangika , muimbaji Mungu akutunze
This song was ministered by praise team on Sunday it gave me hope and thrive to move on ❤❤
#song of the week
I really felt blessed by your ministration yesterday at Worship experience with Sarah K. I pray God to expand you I know one day I will be a blessing to you too...
Ndivyo ulivyo Bwana ndivyo ulivyo Yesu
Mtumishi pale mwishon umetunyima aiseee ungepaongeza hata dakika 5 aiseee anointing yake ni 🔥🔥🔥🔥haleluya haleluya
Vile ulivyo Bwana Yesu wewe ni Mfinyazi Vilivyo haribika unavifinyanga tena, unavifinyanga tena jinsi upendavyo wewe
Huu wimbo hakika unahisi uwepo wa Mungu, unahisi Mungu anakufinyanga moyoni
Olllplpppp
Ppp
Hapo mwisho na hiyo saxophone...Yesu wewe nifinyange ..ubarikiwe mtumishi
aisee hu wimbo brother una viwango vikubwa vya utakatifu na ulifunikwa na wingu la uwepo wa roho mtakatifu ndani yako uki imba hu wimbo ukiwa rohoni unajikuta machozi yanakutoka tu😢😢😢
Ndivyo ulivyo Bwana wewe ni mfinyanzi vilivyo haribika unavifinyanga tena unavifinyanga tena jinsi upendavyo wewe🙏🙏🙏
Nimeamuka nikiiumba huu Mungu..eh Mungu nifinyange
sitted in my office @9:20am and I can't help it but dance on my seat..wacha supervisor anione kwa camera😂 but the Joy of the Lord is so real and this song is my testimony this 2024🎉🎉
😂😂
Glory to God
🥺🤗😭💗 Mfinyazi Wangu🙌🙌 Unaweza BWANA 😭😭🥺🤗🤗 Ndivyo ulivyo BWANA 💝💖❣🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙏
Finyanga maisha yang
Amen unaweza bwana am going through 😢alot najua bwana unaweza
Oooh, Haleluya, atukuzwe sana MUNGU atufanyangae upya kwa kadiri apendavyo na kwa matumizi yake Mwenyewe...
Bwana akamwambia Yeremia
Nenda nyumbani kwa mfinyanzi
Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo
Kilichoharibika anakifinyanga tena
Anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye
Ndivyo ulivyo Wewe ni mfinyanzi
Kilichoharibika unakifinyanga tena
Unakifinyanga tena, unakifinyanga tena
Jinsi upendavyo Wewe
So amazing yaani
Ameen Ameen 🔥🔥🔥
Ni sehemu nyingi ambazo MUNGU amenitoa Kila nikisiliza huu wimbo napatq feelings fulan kama nilie au nifurahi nashindwa Cha kufanya🥰
My fav song of all time. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai
Ndivyo ulivyo bwana!!
Wimbo mzuri sana
Please l) )l)))
Huu wimbo unasisimua hadi thambi zilizo jificha keep up man of God mob love 💘 ♥ from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kenya
909ni kreti to go inamuuma kwa nn tunafua kwenye v00000000
Barikiwa man
0rd hun
piy3x11
q00
@@jubilethmdumi2984 pppp
Yesu aongezeke zaidi kupitia mtumishi apo
Aisee this song kweli Mungu anaweza ubarikiwe Sana mtumishi wa Bwana YESU mwokozi wangu anaweza