MIKONONI - Mamajusi Choir Moshi - Official Video (English subtitle)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 ปีที่แล้ว +2

    Tito,Pendo nawaona kwa uongozi wenyu supafu, Mungu wetu awazidishie na kwaya hii mzima ya' mamajuzi kutoka Moshi Tanzania. Kutoka Nairobi Kenya tuawafuta kwa Karibu sana.

  • @virginiamwende7281
    @virginiamwende7281 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli.ni.neema na upendo wa Mungu, jinsi nilivyo na mahali nilipo ni Mungu tu. To Him be the glory forever

  • @Herbeth-semkiwa
    @Herbeth-semkiwa ปีที่แล้ว +3

    Hawa mama jusi wamekuwa wakitoa nyimbo ambazo Huwa Zinabeba uhalisia wetu kila nyimbo inabeba ujumbe wetu hakika huchoki kuisikiliza 🔥🔥

    • @titussambay7356
      @titussambay7356 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sn

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      Asante sana. Tutajitahidi kuendelea kuleta ujumbe mzuri na uhalisia kupitia nyimbo zetu. Asante kwa kutuunga mkono.

    • @Paulo-dr8oq
      @Paulo-dr8oq 8 หลายเดือนก่อน

      Nyimbo nzuri san Mungu awainue zaid❤❤❤

  • @Richesfam
    @Richesfam ปีที่แล้ว +1

    Napenda iyo wimbo saaaana ❤

  • @leahtunuka5135
    @leahtunuka5135 ปีที่แล้ว +1

    mbarikiwe sana watumishi🙏🙏🙏

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      Asante sana. Tunamwomba Mungu atubariki sote katika huduma. Ubarikiwe sana.

  • @irankundarogers6698
    @irankundarogers6698 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa wimbo nzuri mamajusi

  • @OvadiaLuhwago-q1c
    @OvadiaLuhwago-q1c 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki kwa kazi nzur

  • @stanleykiio5399
    @stanleykiio5399 ปีที่แล้ว +1

    napenda sana huduma yenu. God bless you.

  • @hebronrichard
    @hebronrichard 8 หลายเดือนก่อน

    Congratulations father titus,nazid jifunza toka kwenu na kwako pia

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +1

    Niko hapa nikiwafatilia kwa makini na unyenyekevu, Mamajusi ni kwaya inayo nibariki siku zote

  • @Regnard999
    @Regnard999 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kubariki huduma yenu. Hakika tunabarikiwa. NI HURUMA ZA MUNGU NA UPENDO WA MUNGU KUWA HIVI TULIVYO❤❤🔥🔥

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      Amen. Tunamshukuru Mungu kwa baraka zake, na tunashukuru kwa kubarikiwa.

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 ปีที่แล้ว

    My choir nawapenda saana Mungu azidi kuwabariki saana na awainue zaidi
    Nawapenda saana kutoka ZANZIBAR ❤❤❤❤❤

  • @nicksonkiyeyeu383
    @nicksonkiyeyeu383 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awabariki sana kwa kazi iliyo njema.. kiufupi tunajivunia sana uwepo wenu.

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว +1

      asante kwa maneno yako ya upendo na baraka. Tunathamini sana uwepo wako na tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Ubarikiwe sana.

    • @nicksonkiyeyeu383
      @nicksonkiyeyeu383 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @BeatriceGeorge-os6ur
    @BeatriceGeorge-os6ur ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana Mungu awabariki wapendwa

  • @anastasiamakaranga5578
    @anastasiamakaranga5578 ปีที่แล้ว

    Ni upendo haikuwa rahisi baba ni MUNGU tu Mbarikiwe

  • @bonifacesamwel4365
    @bonifacesamwel4365 ปีที่แล้ว

    Smart sana

  • @papaamarsha1659
    @papaamarsha1659 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      Tunashukuru kusikia wimbo umekupendeza. Sifa na utukufu ni kwake Mungu. Barikiwa sana.

  • @eng.godwinjsamboho973
    @eng.godwinjsamboho973 ปีที่แล้ว

    nawapenda sana mamajusi kwaya majengo moshi, nimekuwa nikiwasikiliza tangu enzi za HEI HALELUYA, mnaimba vizuri sana ila kidogo mnaondoka kwenye staili yenu ya kuimba vifungu vya kwenye BIBLIA ninabarikiwa sana nikiskia nyimbo zenye vifungu vya biblia kama kina TOBIA na SANiBALATI

  • @beatricemusungu1235
    @beatricemusungu1235 ปีที่แล้ว

    Hello people of God my name is Betty from ACK st .Barnabas soon we are visiting u . And I really like your songs

  • @sarafinakioko7907
    @sarafinakioko7907 ปีที่แล้ว

    Twangojea hii album kwa ghamu sana...God bless you guys...watching from Kenya ❤

  • @mosesmanyiga1021
    @mosesmanyiga1021 ปีที่แล้ว

    Ameeen!,,wimbo mzuri sana, Mungu awabariki sana

  • @eddenbillz6126
    @eddenbillz6126 ปีที่แล้ว

    Upendo wa Mungu 👍

  • @elkanaemmanuel2002
    @elkanaemmanuel2002 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna wimbo mliimba bwana ndiye mchungaji wangu sitaogopa kitu chochote, jina la huu wimbo unaitwaje maana nautafuta

  • @mbithijames2962
    @mbithijames2962 ปีที่แล้ว

    bwana ametutendea

  • @naamanibasso63
    @naamanibasso63 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉

  • @estherojendo3764
    @estherojendo3764 11 หลายเดือนก่อน

    Of its kind....wonderful

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 ปีที่แล้ว

    Mmie Alphayo omwega mogunde from Nairobi Kenya,iam very much Blessed too from your songs sincerely the time of cassettes. Update I am still aplouding you. Bleeding the choir of mamajuzi.

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      Thank you so much for your long-time support and kind words! It's wonderful to hear that you've been blessed by our songs since the cassette days. We appreciate your continued applause and support. Mamajusi Choir is grateful to have dedicated listeners like you. May God bless you abundantly! 🎶🙏❤️

  • @euniceobiny3871
    @euniceobiny3871 ปีที่แล้ว +1

    Amen and Amen

  • @chadrackkayumba476
    @chadrackkayumba476 ปีที่แล้ว +1

    Que Dieu continue de vous bénir que la gloire lui soit rendu

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      Merci beaucoup pour vos paroles aimables! Nous sommes reconnaissants pour votre benediction et votre soutien continu. Que la gloire revienne a Dieu, toujours

  • @BensonUrasa-zs8fk
    @BensonUrasa-zs8fk ปีที่แล้ว

    You have done the unexpected my Lord❤

  • @joelfoya
    @joelfoya ปีที่แล้ว

    Amen

  • @musogamuhindi3800
    @musogamuhindi3800 ปีที่แล้ว +1

    Nice song my people.following from Nairobi

    • @mamajusichoirmoshi5620
      @mamajusichoirmoshi5620  ปีที่แล้ว

      We're delighted to have your support all the way from Nairobi. Your encouragement means a lot to us. God bless you.

    • @musogamuhindi3800
      @musogamuhindi3800 ปีที่แล้ว

      @@mamajusichoirmoshi5620 Amen,one day I'll visit your church in mosh.

    • @musogamuhindi3800
      @musogamuhindi3800 ปีที่แล้ว

      @@mamajusichoirmoshi5620 mamajusi I really wanted to be one of you by marring from your church but all in vein

  • @muchunguzijoshua1284
    @muchunguzijoshua1284 ปีที่แล้ว

    I like it when you interpretations in your videos continue please and thank you for your work.

  • @akolonamo5602
    @akolonamo5602 ปีที่แล้ว

    It's very true, God has done so much for us . We have nothing to give or pay back but from our hearts, we say thank you LORD. Thanks for this inspiring number. I'm blessed. The Lord will increase you.

  • @irankundarogers6698
    @irankundarogers6698 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @boazkitela6960
    @boazkitela6960 ปีที่แล้ว

    Wow blessed ❤

  • @BensonUrasa-zs8fk
    @BensonUrasa-zs8fk ปีที่แล้ว

    Greatful song❤

  • @BROWNKIRUJA
    @BROWNKIRUJA 11 หลายเดือนก่อน

    Thats song is very nice i need u to invite me i have power of singing god bless u ameni

  • @JofreySimfukwe-dz8ew
    @JofreySimfukwe-dz8ew ปีที่แล้ว

    balikiw san saluti kwen nikiwa mbozi

  • @Herbeth-semkiwa
    @Herbeth-semkiwa 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur sanaa

  • @mercylinemwaniga4951
    @mercylinemwaniga4951 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @officialpetermsisilhq2653
    @officialpetermsisilhq2653 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @Herbeth-semkiwa
    @Herbeth-semkiwa 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤