BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.10
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2023
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#safari #baharia #maisha
KIPINDI HIKI KINARUKA KILA SIKU YA JUMAMOSI NA JUMATANO SAA NNE KAMILI ASUBUHI, KAMA UNA SIMULIZI/MKASA WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA..#0653127761
Mpe hi nyingi mzee wakudonyoa from Dammam
MTAFUTE July tax wa Saladin .akupe story kuusu yeye na 2pac Kaka pesa
Namkubali sana huyo mjomba ni muhuni msafi sio kama mibaharia mingine hata ukiiangalia haina nuru ya usoni.
Dupa dupanga nakukubali baba na mwanao balozi safi sana
From Mayotte la France apa dumpe nafulai sana kupata vitu vizuri kama ivyo merci beaucoup mbanga tv
Know understand my frend big up my baharia
Dah nimeisubilia Sana mwambie jamaaa ANAUTAJILI MKUBWA AANDAE WAZO ATAFUTE MWANDISHI AKAUZE STOR KWA MADILECTER WA MOVE NAIYONA MILION ZAKUZIDI
Madilecter ndiyo nini
Dah kwel ulaya raha isee unataftiwa maisha
Watu wengi wanaokuja hizi nchi huwaga wanajisahau jambo moja wanapokuweka mahali si kama wamekuacha wanakuchunguza mienendo yako kila uamkapo na ulalapo haswa kama umeenda kwa ukimbizi ndo kabisa so jamaa alianza kukosea tangu mwanzoni alipoachwa mwenyewe zile style za maisha ndo zilimuharibia na kufikia hatua ya kwenda kuchukua vitu supermarket badala ya pesa mara nyingi hiyo hali wanafanyiwa sana ma drugs so waliona hizo dalili kwake. But story nzuri na inafundisha sana
Sure hata USA wana fanya hivyo
Ulijibu vzr mwamba et aliotia mchele unamjua aah ukamkataa ncy sana
Yess
Mzee was kukandamizaaa tunakupenda Kenya
Hiyo ndo bongonyoso babake
Achia achia achia achia..
Respect
Achiaa
Iendelee story yake naomba kwa kweli ❤❤
Story nzuri Sanaa
Mwanangu mngeweka ata lisaa limoja yaani inakuwa fupi mnoo
Achieni hiyo kitu aise
Story tamu Sana hii, cc dupa mdupange, baharia balozi
Mzee wa kubonyeaa😀
Oya siyo poa Dupa muachie likipindi tusikie madini ya baharia.
Napenda jamaa anavyoelezea majambo
Mwanangu baharia ulipigwa na vocher 😂
Saf
PUNGUZA MAMBAGAAAAA HAYAAA MATANGAZO MENGI KULIKO STORY UNATUKAAA
Huyu bro namkubali sana 😊
Msalimie kansela😂😂
Daaa kipindi kizuri ila kinachukua mda mrefu kuruka
Dupa tunasuburia huo mzigo mwachie baharia atupe vitu
shida nn
Jamaa kanyooka
Achieni mzigo huo bwan
Dupa vp mbona kama ivo mwachie mchizi atupe za mtoni.
Mpk saa 10 asubh kusom hamjuiii au mlikimbia umande😂😂😂😂
10 ni saa nne kizungu we ndio umewachwa
Huyu mwamba kbla sjasikiliza vzr mwanzo niliona mapicha ila navyozidi kusonga mbele nimekubal story kwanamna yake hapo kwenye kupita na cim alaf wakamuona mwanao kumbe master kama naona vibka bigurun na ubungo enzi hizo
Jamaa ni mwamba
Mzimbabwe amekuaribia dah 😢
Mzee wa kokoriko sana,mi toothpick kama zote
Umenifulasha sana apo kiliponuka🤣🇹🇿🇬🇷
Tottenham ni north London Mzee baharia balozi
Kasema mashariki mwa Tottenham Ila Tottenham ni north london
Wangekua wanarusha hata vipindi viwili asee
Jamaa anaiba jumamos tu ametisha
Everything tuh tuh tuh 😂😂😂bila kuchoka tuh tuh tuh
Hai ww tuh tuh tuh kibaharia tu tuh tuh
Wamanisha Nini tuh tuh tuh
Safi afazali mzingo uko hewani
mchizi andike kitabu bonge la story