MBANGA: NILIUA NA KUCHIMBA KABURI/ KICHAA/ NILIFUNGWA/ ARUSHA, MOSHI/ SIKUJITAMBUA/ NINAMJUWA MUNGU!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #dodoma #simulizi #gerezani

ความคิดเห็น • 31

  • @dar24media
    @dar24media  ปีที่แล้ว +3

    Sehemu ya pili ya kipindi hiki itaruka siku ya jumatano 28/06/2023, saa nne kamili asubuhi, kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kwa simu namba #0653127761

    • @lisawilliam2491
      @lisawilliam2491 ปีที่แล้ว

      Dah mbona mbali ivyo🙆🏻‍♀️🤣🤣🤣🤣

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv ปีที่แล้ว +9

    Jamaa anajua sana kuhoji namkubali sanaaa yanii

  • @mapesamsoni3014
    @mapesamsoni3014 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana hizi ni simulizi zina funza sana alooo

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 ปีที่แล้ว +5

    Saluti kwako Mtangazaji wa kipindi cha Mbanga, Dupa, you are talented, yaani 👌👌, nakupa maua yako kaka angu😂 jinsi unavyowahoji watu wa mmbanga...yaani sisi watazamaji na wasikilizaji hatuchoki kuwasikiliza, i like mbanga sana, yani nimeweka notification ON kipindi kipya hakinipiti, msalimie balozi MALIMA 😂😂, Ile ilikuwa the best Interview wallah, keep it up Bro. Salaam za upendo kutoka hapa Chicago Illinois USA.

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +2

    Safsana dunia inachangamoto sana aisee

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @mussamussa9746
    @mussamussa9746 ปีที่แล้ว

    Mzee masharubu Kikuyu kwa makuberi mzee mtata sanaa

  • @dasilvatz9808
    @dasilvatz9808 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa tafsiri ya Qur'an tukufu🙏

  • @emmanuelmambarera141
    @emmanuelmambarera141 ปีที่แล้ว

    Pole na hongera pia

  • @FlaxMan-qh6cc
    @FlaxMan-qh6cc ปีที่แล้ว +1

    Nimemkubali mgosi

  • @InnocentWillbald-du9en
    @InnocentWillbald-du9en ปีที่แล้ว +1

    Shoutout nyingi kwa dupa

  • @user-hl1di7rn7t
    @user-hl1di7rn7t ปีที่แล้ว +1

    Dupa una uhakika kapona huyu

  • @InnocentWillbald-du9en
    @InnocentWillbald-du9en ปีที่แล้ว +1

    Miaka 60 mingi saana.

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว

    Mgosi ana story Kari dini imembeba Sana swali langu alipo kaa kwa Dr wakati anaondoka alipewa chochote hela

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 หลายเดือนก่อน

    Mpeszlamu mgosi

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 ปีที่แล้ว +1

    Mgossi

  • @davidnnko9428
    @davidnnko9428 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni mkweli sana

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

    Mimi bado namkubali yule kabinyau,jamaa wa kokoliko,tuko na yeye hadi arudi unyamwezi

    • @keitatv9219
      @keitatv9219 ปีที่แล้ว

      Jamaa alitisha

    • @LeeChidi00
      @LeeChidi00 ปีที่แล้ว +2

      Nilikutana nae kariakoo kabinyau kaulamba ki ofsaa kabisaa na kijiti chake mdomoni

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 ปีที่แล้ว

      @@LeeChidi00 daah wachaa

    • @alhadkatundu2142
      @alhadkatundu2142 ปีที่แล้ว +2

      Mzee wa wali sondo

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

      @@alhadkatundu2142 aisee

  • @ismailykawambwa0028
    @ismailykawambwa0028 ปีที่แล้ว +1

    Chukua 🎉🎉🎉 yako kaka Duplin

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 ปีที่แล้ว +1

    Muongo huyu

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 ปีที่แล้ว +1

    Da naoajua hapo viti ipo malalo

  • @jesuslove2205
    @jesuslove2205 ปีที่แล้ว +1

    Maisha Safari ndefu ila ni fupi pia rudia tena