BAHARIA AFUNGUKA UKWELI KUWEPO KWA MAUZAUZA BAHARINI KAWE | MSWAHILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- BAHARIA AFUNGUKA UKWELI KUWEPO KWA MAUZAUZA BAHARINI KAWE | MSWAHILI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Elimu nzuri sana.Bigup Zembwela
Sound track sio nzuri weka ile ile ya lavalava wanga
Am loving it
Congratulations 👏👏
I like this man zembwela
Camera man zoom vizuri hatuoni Apo kwenye samaki wanaouzwa
**eti mzima lakini keshakufa**. Bongo Uhuru wa kujieleza umezid!!!!.
Wana kawe ndio sisi
DADA UMENIKOSHA
SANA NG'O NDE -MBAWALA
MBUTUKA
Dada Hali vingine kwa sababu kachilimua nchilamu😇😇
🤣🤣🤣🤣
Confidence kubwa Dada yangu, safi sana
Broh Nkbr sanakazi zako pamoja
kwa hiyo 19:27 kasema ni mzima lakini keshakufwa🤣
Safi sana zembwela
Kazi kazi anko Zembwela chuma cha pua
Jamani mswele mtamu Uwo nimekumbuka tanga... 👌
Angalia baharia wazawa wakiokoa watu baada ya meli ya kigeni kuzama
Gusa link hii apa chini kuangalia.
👇🏾. 👇🏾. 👇🏾.
th-cam.com/video/m8X5qFrmA9g/w-d-xo.html
Nyinyi mnazingua......
Sasa hapo nani presenter jameni
He is very funny man
33:35😅😅😅
mswahili umekutana na mkwere
Upo vizuri babu
😂😂😂😂 kwaiyo ivi adi zanziba
Kutoka mwaka 82 mpaka saii bado hujajenga umepangisha🙄🙄🙄🙄
Uvuvi ni kazi ya laana hiyo
Mr presenter, wewe ndo ushikilie hiyo microphone kuu ambayo ina logo ya kampuni yako.unajikia je kumkabizi mgeni wako ahikilie kabisa mic ya ofisi. Hapo yeye ndo anaonekana kama presenter.
Maisha halisi🇹🇿
Nlmuona mama amewapikA hao konokono na ugali wa muhogo nmetamn lkn nitayarshiwe ndo ntakula😂
Zembwela chizi kweli kuvua una vua sio nguo wewe😂😂😂😂😂😂
Hatal
Alichokosea daimondi kwenye video ya mtasubiri
Eti kasolo jiwe
Picha na story haviendani
Zembwela: wewe umewah kuvua
Muvi sio kuvua tuu hata kuongela
Mvuvi: hata wewe unaweza kuvua
Zembwela: sio ngua acha uchizi
😂😂😂😂😂
Eti kwako ww hii imetulia🤣🤣
Hao wote ni wachuuzi sio wavuvi. Watega madema tu
AT 11:50-11:59
MADE ME LAUGH,
Hawa Wasafi wanae Mpka zembwela du....!!!!
😀 We ulikuwa hujui kwani??
Mtu poa sana kwenye media namkubali
Fake camera man, aonyese kile unaguza tujue unaongea kuhusu nini.
miaka 30
Babu soundtrack miyeyusho acha Ile Ile ya mwanzo
I like this sister
Mi mjanja wa mjini,Mjinga wa kutumia😂😂😂 huyo mzee mwenye Orange aliupiga mwingi sana😂🙌
J
Zembwela🤣🤣 mtu mmoja mjanja sana Hana shobo pia Hana ma pepe kuuliza mtu maswali halafu mcheshi kisomi na kiakili San
Zembwela hata wewe vua
Apo vibwengo vimekutana😂😂😂
Huyu jamaa hana kitu cha kisisimua
mdada kachangamsha wa lindi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂👌👍
Dah kwel mwanangu nimewah kuskia wamakonde wanakula ata binaadam kaa mbali na mmakonde
Unatisha zimbwela
Zembwera. Muoga wa maji.
Huyo konde😂😂😂
Usitizame filamu iyi ukiwa na watoto wadogo 🤭🤭th-cam.com/video/ZG7Z0naQf2Q/w-d-xo.html