BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.11
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#baharia #safari #maisha
Oy baaria nakubali mzee Pande za us apa Sema broh anapasuka true Sana
Mnachelewesha sana.kabunyau kupata inayofata
Is business
Mnachelewesha sana Hii story I have very interesting 😊
Am waiting for it
Dah hapo mtaani kabisa natotea mabatini mkunguni sensela casino balozi malima bro
Dupa naona umekuja kivingine Leo kwenye intro 😅
Salute Dupa,,,,namuelewa sna Baloz
TOKA MAGETONI sio unacomment tu
Hii nibonge la Move saafi sana👍
Maisha ya mtu hayo co movie
sema nn iih nifurusa katika bongo movie iih story tamu kwer kama movie vile waandaaji wa movie au watayashaji wa movie ichukuwei iih story na muigeuze iwe pesa mtanishukuru badaye
LEO MWAMBA KACHANGE NGUO..STOR YAKE QAL
great content🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Dupa weka kipindi kwa time yako na dakika zako wasizingue wabongo 👍🙏🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷🇬🇷⚓⚓⚓
Story ya mwaka 👋👋
Imenyooka Sema mnavutasanaaa af dkika chache
swaga za kihuniiii 😆😁😁😁
Naomba number yake kiukwel bro anavitu vingi sana
Vol (number 10(hatuion
Dupa kaka ongeza dakika Banaa,, au ongeza siku ziwe 4 kwa wiki
kabisa ata iwe dakika 50
Sahihi
weka mara 3 kwa week mzee
Kama umeamua kutubania vipande unaeka vifupi, FULESHI sisi tunabonya hivohivo
Ndio nini sasa vidakika vichache hivyo ???
Mnazingua ujuee
Aishaaaaaaaaaa😂😂
Aisha Ramadhan
weka mara tatu kwa wiki boss