BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
    DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
    INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
    KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #mbanga #baharia #dar24

ความคิดเห็น • 19

  • @dar24media
    @dar24media  7 หลายเดือนก่อน +3

    Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761.
    kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante

  • @Ally-f3h
    @Ally-f3h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ndugu kutoka qerimane mpaka nampula alafu unaenda Maputo mbona hiyonili broo 😂😂😂 yaani ulienda Miele ukaludi nyuma alafu shimoyo du! Mbona unazidi kutu choma broo.😮😮😮

  • @jumasumailassomane2439
    @jumasumailassomane2439 7 หลายเดือนก่อน

    Kama unaenda Maputo,
    Kwakutokea njia ya Quelimane ufiki chimoio
    Chimoio ipo mpakani na Zimbábue

  • @mutijimacedrick1622
    @mutijimacedrick1622 4 หลายเดือนก่อน

    Mafalala mpaka Leo wabongo wengi kbs..shadibo bodo ipo hapa Maputo ni boss kbs

  • @adamkipenga6512
    @adamkipenga6512 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sema watanzania makuma sana maisha ya mbele

  • @JustinSteven-be4cs
    @JustinSteven-be4cs 7 หลายเดือนก่อน +1

    Katka story zote za Mabaharia .. kikifika kipengele cha Mozambique.. daah kinasisimua mno... jins wanavyopitia misukosuko.. ila wakifanikiwa kuvuka Mozambique zinapoa...

  • @jumasumailassomane2439
    @jumasumailassomane2439 7 หลายเดือนก่อน

    Kabla ujafika Quelimane unahanza Nampula

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mbanga kwa hewa🔥🔥🔥🔥

  • @FredChaki-jb8zj
    @FredChaki-jb8zj 7 หลายเดือนก่อน

    Sea boy

  • @BarakaJames-nu2be
    @BarakaJames-nu2be 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hope

  • @mohammedmussa6740
    @mohammedmussa6740 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hope

  • @awesomeaugustine
    @awesomeaugustine 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kl

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 7 หลายเดือนก่อน

    Twende baharia😊

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 หลายเดือนก่อน

    👊✌👍.

  • @schingatanzania6051
    @schingatanzania6051 7 หลายเดือนก่อน

    Msimbati ni Tanzania bana

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 7 หลายเดือนก่อน

    GOD is ONE

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 7 หลายเดือนก่อน

    Big time

  • @alhajitawakal6063
    @alhajitawakal6063 7 หลายเดือนก่อน +1

    Seaman Chad

  • @ellynkyalu6423
    @ellynkyalu6423 7 หลายเดือนก่อน

    Nakubari mzee wa mbanga twende hapo