MREMBO Aliyeamua kuwa BAHARIA, Asimulia maajabu na Hatari za Bahari, Aitaja NUNGWI, Afungua NGO - 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 76

  • @halimaabdallah6760
    @halimaabdallah6760 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah,,hili umefa ya vizuri sana naallah atakuongoza zaidi,wallah ulikuwa uko vizuri toka zamani,,kitu msimamo nikitu siraha katika maisha yako wadada wasomii igeni tabia yahuyu dada namfauamu toka shule yamsingi,,yuko vizuri sana mashallah

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah kwetu huko mwanike wane 💪💪💪💪💪

  • @danneismail5442
    @danneismail5442 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow beautiful with brains, mashallah Allah kharim #huko vizuri dada

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ❤️ am proud of you 👏 ❤

  • @saidikaskasimkusa2787
    @saidikaskasimkusa2787 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kaza buti

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Dilshad nadhani nakujua.💪🏾💪🏾💪🏾 Congrats baby girl

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว +1

    Dilshad Uko vizuri dadaangu keep it up

  • @shamsakambi8017
    @shamsakambi8017 3 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaallah

  • @ashafatuma3167
    @ashafatuma3167 3 ปีที่แล้ว +8

    Wanawake Sasa awachezi tunafanya kila kazi!!!

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 3 ปีที่แล้ว +2

    *1. JE unachangamoto ya nguvu za kiume?*
    *2. Unateseka na Vidonda vya tumbo (Ulcers) ?*
    3. Una U.T.I sugu ?
    4. Umepungukiwa na Damu mwilini ?
    5. Una Kisukari (Diabetes) ?
    6. Umepungukiwa na Kinga ya mwili ?
    7. Una tatizo la Homoni (Hormonal Imbalance) ?
    8. Unashida ya kupata maziwa ya mtoto kwa mama anaenyonyesha ?
    9. Una shida ya mifupa ?
    10. Una aleji (Allergy) ?
    11. Una matatizo ya macho ?
    12. Una mafuta mengi mwilini / lehemu (Cholestrol) ?
    13. Una shida kwenye mmeng'enyo wa chakula tumboni (constipation) ?*14.Je unasumbuliwa na presha B.P*
    15. Je, mayai ya uzazi hayapevuki kwa wanawake?
    16. Huwezi kupata mtoto kwa shahawa kutoka ikiwa nyepesi mno kwa wanaume (low sperm count) ?
    Wasiliana nasi kwa:-
    Piga/WhatsApp+255629395655/0629280027

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah 🙏

  • @batondyboe1866
    @batondyboe1866 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana dada angu💪👍unazidi kuni inspire

  • @batuliwanjallah5482
    @batuliwanjallah5482 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah 💞

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 ปีที่แล้ว

    Nimrembo sana mashaAllah tabarakaAllah

  • @hidayaking3383
    @hidayaking3383 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashalla 🙏 🙏

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 3 ปีที่แล้ว +1

    Esco 💪💪 good job bro 👏 👍

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 3 ปีที่แล้ว +8

    Huyo dada anaongea sana duu mengne hata sijamuelewa 😂😁😁😁

    • @salisali3738
      @salisali3738 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂👍

    • @florarose1626
      @florarose1626 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😁😁😁

    • @mauamohamedy3796
      @mauamohamedy3796 3 ปีที่แล้ว

      acha wivu mbwaaa ww

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 3 ปีที่แล้ว

      @@mauamohamedy3796 Ww ndio mbwa tena jibwa koko usiebweka mpk upigwe mikwaju halafu shika adabu yako huwez kunipangia chaku comment bando langu simu yangu naongea na kukoment chochote ninachojisikia shetan wee tena nikome kuniita mbwa nyokoo zako manina wewe mxxxxxxscch shenz mwekundu wewe fyoko😏😏😏😏😏 kisura fii kimevunda km uvungu wa pumbu shika adabu yako kwa mara nyngne shetan ww

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว

      @@mauamohamedy3796 Hakukua na haja ya kumuita mbwa kwani lipi baya alilosema

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 3 ปีที่แล้ว +2

    mtoto kasimama maashaallah

  • @aboudal-nabahany5338
    @aboudal-nabahany5338 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @shakylahamad8326
    @shakylahamad8326 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana SEAFARER mwenzangu......!.....kanyaga twende’ KIDAKA kifike salama ufukweni...!

  • @tynercolin5060
    @tynercolin5060 3 ปีที่แล้ว +4

    Uko vzur sana aise na hongera kwa kufika hapo, ila unaongea sana mpaka unaboa

    • @agnesmartin193
      @agnesmartin193 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 duh umenivunja mbavu

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@agnesmartin193 acheni gere hiyo huyo ni mwanamke wa shoka msipime

    • @saramussa1345
      @saramussa1345 11 หลายเดือนก่อน

      😅😅

  • @halimaabdallah6760
    @halimaabdallah6760 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tusilaumu uzungumzaji wake,tuangalie uthubutu wake nahicho ndicho kitu kikubwa,wabongo mbona mnalawama bila kuangalia uthubutu, Allah akutilie wepesi mamy inshallah

    • @agneskighenda3795
      @agneskighenda3795 3 ปีที่แล้ว

      She is just excited... and her brain is fast ... mwanamke jasiri sana kwa kweli.

    • @chidreahmedgele2326
      @chidreahmedgele2326 3 ปีที่แล้ว

      Cha ajabu wanaosema anazungumza sana wao wako wanauza k tu

    • @mariamgambo6907
      @mariamgambo6907 3 ปีที่แล้ว

      @@chidreahmedgele2326 shida yetu Sisi wanawake hatupendani wivu ndo umetuzidi Yani

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 10 หลายเดือนก่อน

    Dada ni mpambanaji

  • @mariamramadan6154
    @mariamramadan6154 3 ปีที่แล้ว +3

    Kma umesikia mchepuko😍

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 3 ปีที่แล้ว +4

    safi sana dada

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah, nice

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashlah

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 ปีที่แล้ว

    Uyu dada nmesoma nae alikuwa mchoyo wa kutoa majibu dalasani ila freshi tu

  • @salamagat4784
    @salamagat4784 3 ปีที่แล้ว +2

    Nipewe like ya sns

    • @halimaabdallah6760
      @halimaabdallah6760 3 ปีที่แล้ว

      Yani huyu dada dirshad nimeishi nae nyumba moja nianamsimamo hatari, mashallah huwa namkubari sana

    • @salamagat4784
      @salamagat4784 3 ปีที่แล้ว

      @@halimaabdallah6760 😍😍

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    Wanawake amkeni tumieni fursa ya Mh Rais Kuwa Mama.Wakati ni huu

  • @firdausiabdulkarim2424
    @firdausiabdulkarim2424 3 ปีที่แล้ว

    Kama umeskia mchepuko gonga like

  • @allekhan7182
    @allekhan7182 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi dada

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikajua ni mwarabu wa pemba

  • @jonathanfrancis2385
    @jonathanfrancis2385 3 ปีที่แล้ว

    Beautiful Story wasiokuwa na Elimu ndio wanaleta maneno neno , ukiandika kitabu nitanunua

  • @milomohamed7201
    @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

    Wewe unaehoji upo vibaya kwanza ungemuuliza huyo kama melini kuna driver.
    Sio unarukia kitu ambacho hukijui.

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu msichana wa kiarabu shinya ga kahana nzenga wengi warabu

  • @lupasaintertainment6166
    @lupasaintertainment6166 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada mimi nataka nilete mahari , bila shaka n'gombe 1000 wanatosha kukuopoa mtoto wa kisukumaaaa

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashalla mtoto wa kiharati mmaga wa kisukuma kabra langu😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕😋😋😋

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 3 ปีที่แล้ว

      Sio mwarabu huyu

    • @nasramohammed6716
      @nasramohammed6716 3 ปีที่แล้ว

      Kwanza rekebisha luga ya kiswahili uongeaji gani huo

  • @florameza3491
    @florameza3491 3 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi bwana unatakiwa uulize open ended question yeye ajieleze zaidi baada ya wewe kumtafunia

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 3 ปีที่แล้ว +1

    Na wewe tuwache kihalati huko kwio🤣

  • @trizlameck3494
    @trizlameck3494 3 ปีที่แล้ว +2

    Wasukuma mpoo

  • @happynessmarki2780
    @happynessmarki2780 3 ปีที่แล้ว +3

    Unaongea sana mdada elezea kdg inatosha mengine hata huulizw unasema kama n mtihan ushafel jitahid Kuwa kwenye point

    • @halimaabdallah6760
      @halimaabdallah6760 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani tusimlaumu sister dirshad Murtaza,kwapawa yakuzungumza,,yani hii ninamna yakuongea kwake toka mdogo uongeaji wake huwanikama kapaniki vile,,lakin ninamna ya uzungumzaji wakee,,kwahiyo tumzooee natuendelee kumuombea dua Allah awafanyie wepesi kila wenye kuthubutu, inshallah,

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 ปีที่แล้ว

      @@halimaabdallah6760 huyo Happines ana gere tu

  • @ancovena
    @ancovena 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kama interview haikufika mwisho?

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 ปีที่แล้ว +1

    Sija ona la msingi hapo ana ulizwa swali hajuii kulijibu basi punguza mwili

    • @shedracktweve9789
      @shedracktweve9789 3 ปีที่แล้ว +2

      Una wivu Sana aisee wabongo hamjawah kubali

    • @SalmaSalma-ee4nx
      @SalmaSalma-ee4nx 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa mwili umehusiana na nn kma si wivu huwo 😏😏😏

    • @SalmaSalma-ee4nx
      @SalmaSalma-ee4nx 3 ปีที่แล้ว

      Sasa mwili umehusiana na nn kma si wivu huwo 😏😏😏

  • @jamilaathumani9004
    @jamilaathumani9004 3 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kwa kelele uyo