Muhtasari: Yoshua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yoshua, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Baada ya kifo cha Musa, Yoshua anaongoza taifa la Israeli na wanakaa katika nchi ya ahadi inayomilikiwa na Wakanaani kwa sasa.
    #BibleProject #Biblia #Yoshua
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 5

  • @beproductive839
    @beproductive839 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana Mungu awabariki sana

  • @josephboon5024
    @josephboon5024 ปีที่แล้ว

    Napenda sana Mchanganuo hui, asanteni watt wa bible project

  • @kemmymartine4884
    @kemmymartine4884 หลายเดือนก่อน

    Napendaa saana Bible jamanii
    Umeelezea vizuri mnooo)Mungu akubariki ❤

  • @phmshilokigamboni1643
    @phmshilokigamboni1643 หลายเดือนก่อน

    Hakika inapendeza, sasa tunaipata kwa kiswahili

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 2 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTENI SANA NIKISOMA BIBLIA NA NIKIJA KUSIKILIZA HUKU HUWA NAELEWA ZAIDI