Muhtasari: Kumbukumbu la Torati

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Kumbukumbu la Torati, Musa anatoa maneno ya mwisho ya hekima na onyo kabla Waisraeli hawajaingia katika nchi ya ahadi, akiwapa changamoto wawe waaminifu kwa Mungu.
    #BibleProject #Biblia #KumbukumbulaTorati
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 4