KISA CHA YUSUFU KUUZWA NA NDUGUZE | MKE WA P0TIFA ATAKA KUZINI NAE | YUSUFU GEREZANI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 99

  • @irenejecinta6104
    @irenejecinta6104 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusaidie sisi wanawake,,,,,, wa!

  • @stanleychamhene5876
    @stanleychamhene5876 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa

  • @khadabbashiir5818
    @khadabbashiir5818 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah

  • @exuperkamili1789
    @exuperkamili1789 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwa neno la uzima

  • @salomengussa5897
    @salomengussa5897 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kisa Kama kitabu kitakatifu Biblia kinavyoeleza hata wiki hii nimesoma story hii,uko vizuri hongera sana kaka

  • @stanleychamhene5876
    @stanleychamhene5876 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie tuwe wenye afya njema 2

  • @sebastiansimonkabelwa8212
    @sebastiansimonkabelwa8212 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa story

  • @dorothydali3460
    @dorothydali3460 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna bibilia n kuna Qur'an xx kila kitabu kinasema kivyake acheni kumlaumu m2 wa wa2

  • @bungemwinuka8528
    @bungemwinuka8528 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hamuachi mwanakondoo wake

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 4 ปีที่แล้ว +3

    Haya masomo ni mazuri sana hasa kwa kujifunza watoto

  • @ebenezerykimendo115
    @ebenezerykimendo115 4 ปีที่แล้ว +6

    Je naweza pata kisa cha kaini na Abeli

  • @uusseafajagfduka6155
    @uusseafajagfduka6155 ปีที่แล้ว

    Which chapter

  • @husseinrajabu705
    @husseinrajabu705 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan ww ndio hujui kabisa naelimu juu ya hilo jambo huna

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 4 ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mema na yenye imeabatana na mandiko mpunzi ya mungu

  • @surahyaraphn8026
    @surahyaraphn8026 4 ปีที่แล้ว +1

    Yan wanawake sisi eee MWENYEZI MUNGU tusamehe bure maana hasira yako ni kali sana hatutoweza izuiya pind ishukapo

  • @giftsalum6913
    @giftsalum6913 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante

    • @johnsonjuma112
      @johnsonjuma112 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/QE9Dt4oLM0I/w-d-xo.html asante, pata somo LA Leo tena kaka, ni subscribe ukipenda kwa support

  • @kakuzekakuze7564
    @kakuzekakuze7564 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwendelezo

    • @johnsonjuma112
      @johnsonjuma112 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/QE9Dt4oLM0I/w-d-xo.html asante, pata somo LA Leo tena kaka, ni subscribe ukipenda kwa support

  • @mudyxhumedmudy5888
    @mudyxhumedmudy5888 4 ปีที่แล้ว +7

    Hiyo story soma sana qur an utaiyelezea vizuri.

    • @tolumnyama3935
      @tolumnyama3935 4 ปีที่แล้ว

      It means kwmb Quran inaelzea kisa hiki tofaut zaid ya alvyo simulia bro hapo.

    • @amanducmatupa708
      @amanducmatupa708 4 ปีที่แล้ว

      @@tolumnyama3935 uyu jamaa anataka kuleta udini tu hana lolote.....

    • @asmamsagati1546
      @asmamsagati1546 4 ปีที่แล้ว

      mambo

  • @ebenezerykimendo115
    @ebenezerykimendo115 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sna na ninajifunza mengi sana

    • @johnsonjuma112
      @johnsonjuma112 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/QE9Dt4oLM0I/w-d-xo.html asante, pata somo LA Leo tena kaka, ni subscribe ukipenda kwa support

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว

      Amen Mungu akubariki

  • @chegalii6464
    @chegalii6464 4 ปีที่แล้ว +3

    Enyi mlio amin embu achan kubisha na watu wacokua na dini wala nabii hata kitabu hawana wanadandia tu hao

  • @aisheaishe8114
    @aisheaishe8114 4 ปีที่แล้ว +2

    Ume tafisili.sivyo

  • @salomengussa5897
    @salomengussa5897 2 ปีที่แล้ว

    usiposoma Biblia huwezi jua chochote wapendwa someni neno la Mungu

  • @calvincemcokoth6493
    @calvincemcokoth6493 4 ปีที่แล้ว

    How do I download this??

    • @kabest4475
      @kabest4475 4 ปีที่แล้ว

      download vidmate.. such it google then download it. it will help to download any video through youtube

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 ปีที่แล้ว

    Hivi ni kwanini picha zenu zinakuwa za watu weupe? Hamjui kwamba wetu weusi ndio walifanyiwa ya utumwa?

  • @stanleystanleyclemence2918
    @stanleystanleyclemence2918 3 ปีที่แล้ว

    Bible

  • @mackmillan9040
    @mackmillan9040 3 ปีที่แล้ว

    Eeh mung uwe nami siku zote

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 ปีที่แล้ว

    Hio tafsiri mbaya jisalmishe dini ya haki ni uislam

  • @jeremiahmashaka8621
    @jeremiahmashaka8621 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaan me nawachukiaga sana binadamu wanaohamini dini zao ndoo bora kuliko Zingne mna huakika gani wakati umezaliwa na dini umezikuta na Istoshe wengi wetu tumelithishwa dini ebu acheni tabia hzo za Ajabu mbingu mtaisikia 2

    • @friziafanila2916
      @friziafanila2916 4 ปีที่แล้ว

      Nikwekikabisa alakini kilamtu anateteyaga diniyake

    • @jenniferpastory8239
      @jenniferpastory8239 3 ปีที่แล้ว

      Huwa wanajiona wao ndo miungu watu kuhukumu dini za wenzao huwa nawachukia sana

  • @hashimbitagera3555
    @hashimbitagera3555 4 ปีที่แล้ว

    Kiongo hiki km hujui cbora ukae kimya make unaongea usichokijua

  • @mudichiki2603
    @mudichiki2603 3 ปีที่แล้ว

    mawaidha

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 4 ปีที่แล้ว

    Huwa nashindwa kuelewa historia zako tafahdali simulia taratibu basi kaka pia uwe unaanza hata na utambulisho mkuu...huu ni ushauri wangu tu!.

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa maoni yako,tunaomba radhi kwa hilo,tutarekebisha hivi karibuni.

    • @ltlmedia8480
      @ltlmedia8480 4 ปีที่แล้ว

      @@SIMULIZIBIBLIA wala hupaswi kuniomba radhi nimetoa maoni tu kaka pia nashukuru sana kwa uelewa wangu japo ni mdogo ila umenielewa vizuri na kunijibu vizuri asante na jina la bwana libarikiwe

    • @lucysamsonmoza3964
      @lucysamsonmoza3964 4 ปีที่แล้ว +1

      Andrew hii anatueleza kwa wale ambao hatusomi biblia ila kama tunasoma hii inaeleweka kwa marudio anayotipatia mazur

    • @ltlmedia8480
      @ltlmedia8480 4 ปีที่แล้ว

      @@lucysamsonmoza3964 nimeelewa ila pia elewa nilicho shauri

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 4 ปีที่แล้ว

    Nzrr ila bado kuielezea vyemaa badoo rudia

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว

      Tutaboresha hilo,asante kwa maoni yako.

  • @marwajuma6478
    @marwajuma6478 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @sadaramadhani787
    @sadaramadhani787 4 ปีที่แล้ว +2

    Uongo mtupu 😂😂😂😂😂

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +4

      Ukweli utageuzwa uongo siku za mwisho.

    • @tolumnyama3935
      @tolumnyama3935 4 ปีที่แล้ว

      Embu tuletee ukweli baba, kama huu ww umeona ni uongo.!

  • @mwajumamohamedi3534
    @mwajumamohamedi3534 4 ปีที่แล้ว +2

    Muongo ww unaadisia tofati na kisa chenyewe jaribu kufatilia vizuli kisha ndo uje kutuadisia ss pumbavu zako

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว

      Sawa asante kwa maoni yako.

    • @sixteenonline9811
      @sixteenonline9811 4 ปีที่แล้ว

      uongo upi sasa wakati anasom biblia

    • @dicksondavid9919
      @dicksondavid9919 4 ปีที่แล้ว

      Angalia na pa kutukana sawa Neno la Mungu s la kudhiakiwa wew bnt

    • @honorathakamba2554
      @honorathakamba2554 4 ปีที่แล้ว

      Msamehen bure siyo kosa lake
      nkosa la mwarabu anaanzia kusoma kulia anaenda kushoto na ndomaana wao bado wapo miaka yanyuma uko bdo hawajagka 2020 so msbshane naye

    • @sigfridaslumpa3176
      @sigfridaslumpa3176 4 ปีที่แล้ว

      Wew Nina unatoa wapi huo ujasiri wakumtukana MTU anaye tagaz neno lamgu we ushaw kutaga lipi

  • @mwajumamohamedi3534
    @mwajumamohamedi3534 4 ปีที่แล้ว +5

    Bibilia muna geuza maneno khaaa nendeni katk kitabu kitukufu cha Quani ukweli mzm upo mule unaadisia mbele nyuma nyuma mbele

    • @SIMULIZIBIBLIA
      @SIMULIZIBIBLIA  4 ปีที่แล้ว +5

      Hapa hatuongelei kama ilivyoandikwa katika QURAN TUKUFU hapa ni maalumu kwa hadithi kama zilivyoandikwa katika BIBLIA TAKATIFU.Asante kwa maoni yao.

    • @mwajumamohamedi3534
      @mwajumamohamedi3534 4 ปีที่แล้ว

      @@SIMULIZIBIBLIA atakama hadidhi ila jalibu kuongea ukweli ss mana hiyo adisi haina ata ukweli mmoja umo ndani unavyo simulia

    • @neemapemmanuel2681
      @neemapemmanuel2681 4 ปีที่แล้ว +1

      @mwajuma Mohamedi soma biblia sio Quran,historia ni ya kweli Mungu akuokoe tu

    • @kundiluhende9013
      @kundiluhende9013 4 ปีที่แล้ว

      Hujakimalizia hichi kisa kwann maana kingali kinaendelea mpaka yusuph kumiliki maghala ya vyakula

    • @adamsinga7137
      @adamsinga7137 4 ปีที่แล้ว

      Mmh......kwa kisa hiki umechemka kaka

  • @adrophstephano4416
    @adrophstephano4416 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo historia ikaishia hapo?

  • @ntabantumbaye8502
    @ntabantumbaye8502 4 ปีที่แล้ว +1

    Hcho nikitabu chakale kwasasa nimwendo wa Qur'an nakama yupo ambae hajawa muislam bas asilim haraka kabla hajafa hatakua nakhofu wala hatahuzunika ile siku nzito

    • @eliashibundabalinze670
      @eliashibundabalinze670 4 ปีที่แล้ว +2

      Mathayo 11:28
      Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kuelemewa na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha..
      Yesu ndiye njia ya kwenda mbinguni Yohana 14:1---
      Mpe Yesu maisha acha kukumbatia mafundisho ya Dini isiyojua pa kwenda

    • @ntabantumbaye8502
      @ntabantumbaye8502 4 ปีที่แล้ว

      Hayo nimaneno yasiyo nahoja wala dalili acha ushabiki wadini fuata haki uislam ndio dini yahaki ifuateni kabla hamjatiwa mkononi adhabu nikali mno

    • @ntabantumbaye8502
      @ntabantumbaye8502 4 ปีที่แล้ว

      Pia hata usipotaka kusilim haumdhuru chochote Muumbaji nihasara yako mwenyewe

    • @manenoagrey1090
      @manenoagrey1090 4 ปีที่แล้ว

      Iliupone mfuate yesu tu

    • @moteswafwalu1655
      @moteswafwalu1655 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ntabantumbaye8502 Naww acha ushabiki toa reference ya kitabu chako unachodai ni cha haki

  • @jasminswedi1573
    @jasminswedi1573 4 ปีที่แล้ว

    Umetafsir civoooooo

  • @boxingluqman1624
    @boxingluqman1624 4 ปีที่แล้ว

    Yakoub uyo izraili unamjuwa ww