Muhtasari: Waamuzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2021
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Waamuzi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Waamuzi, Waisraeli wanamuasi Mungu na wanakabiliwa na matokeo ya uasi wao. Mungu anateua waamuzi katika vipindi vya uasi, toba, na marejesho.
    #BibleProject #Biblia #Waamuzi
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @neemamwanjawike3268
    @neemamwanjawike3268 ปีที่แล้ว

    amen am blessed

  • @user-dx4dq2sp1f
    @user-dx4dq2sp1f 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki mno. Naangalia video hii na nasoma biblia pamoja na wemzangu wa Tanzania