Ndoa ya kiislamu hashirutishwi lazima uwe na cheti cha ndoa. Ndoa inasihi ikiwa aliyeolewa aliposwa, akakubaliwa, walii akatoa idhini ndoa ikafungwa, akaachwa mbele ya shahidi mwanamme ama kadhi.
Inaliza. Tamaa mbaya..Tuwajali wazee wetu. Mali zao wazee walizoacha zisiwe msingi wa fitna. Thawabu zao zimo katika sadaqa. Dr Slaa Allah akubarik.mtenda haki. Mja wa Mmungu
Allah ametuahid tusiposhikamana na Quroan basi tutapotea sasa hayo ndio matokeo yake watoto wakiislamu munadhalilika.Mirath yote ipo ktk Quroan nini shida waungwanaaaa
Ila dr slaa dini yetu ina kitu katika mambo yotee iloo jambo waachiee wenyewe kma mtu hakuolewa na kazaa watoto wa njee hairuhusiwi kurithi isipokuwa mpk mzee kabla ya kufariki aandike km kuwasaidia awo watoto
Huyu ma mama anaonekana ana ttzo. Mke anapoachwa kwa sheria ya dini anakpeteza haki ya kumrithi mume. Yeye anaweza kudai haki ya wanawe lakin sio haki yake.
Wewe ndio unatatizo Dini Kwa maandiko yap eti akiachika anakua ana Haki ya urithi ? Ata ukienda bakwata ukiachwa anatakiwa akupe Haki yako kwenye Mali mwanamke anapewa asilimia chache Labda kama yy ndio kadai talaka ndio anakua apewi na yy anatakiwa ampe mwanaume Mahali ya kuolea mwanamke mwingine
Dr Silaa uwe makini sana nafsi za binaadamu zimebadilika usije ukaamini sana Binaadamu tumebadilika si mzee si kijana si mtoto.Nakushauri umchunguze bibi kwanza vizuri kabla hujachukuwa uamuzi.Huyu Bibi kama aliolewa mume wa pili na yule wa kwanza alikuwa hai maanakr alikuwa keshamuacha kwa hio hapo hana mali
Wajinga sana yanapenda kujificha kwenye kichaka cha dini ya kiislamu , sheria yenyewe imejaa dhuluma na ukatili tu Bi mkubwa kavumilia kazalishwa watoto 8 unataka adhulumiwe eti dini hovyo kabisa. Thanks waziri.
Uko vizur mkuu lakin mama?kama hawa wana tamaa ya mali waliwaona wanaume hawafai wakajitoa kwenye ndoa pengine kwa kudanganuwa na mwanaume mwingine ama ndagu zake na akifika huko akapauka yule mume akachuma mali na wanwake wengine eti kwakua kazaa na yule mwanaume akifa t anajifanya nae mwanafamilia haiwezekani watoto wote hapo wamkandamize huyo mama atakua anashida huyo mama
Safi sana wazili unacho kifanya ndio sahihi watoto hawajui mapenzi yao yalikuaje good
Mwenyezi mungu akupe Maisha marefu sana mheshimiwa Jerry Slaa
Bwana Yesu ambariki sana Waziri Jerry Slaa kwa msaada huu wanaoufanya.
Wallah watu kama ingekua tunafuata sheria za Allah basi tusingehangaika,.
excellent Sir Silaa keep up the good work
Mama Samia umechagua mtu safi sana J.Slaa
Very good minister , he deserve even more
Jerry Slaa, Makonda, na Bashe...Muishi Milele
Asante sana waziri. Huyo mama kuzaa watoto 8 ana haki kabisa
Mhes Silaa fanyeni kazi ya kusaidia sana wajane Mwenyezi Mungu atawabariki.
Huyo mama ana haki watoto kumi mchezo.
Jerry Slaa ni mtu sana, Mungu akubarki sana
Katika mawaziri wang ninaowapenda na kumalza bando lang ni ww muheshimiwa silaa napenda utendaj wako
Mungu akulinde dk silah
Shikamoo kaka Jerry,pole kwa kazi kaka
Nawaza tu mawazo ya usiku,hivi Kabla Yako waziri wa ardhii alikuwa nani?!?? Mungu akubariimki broo❤
Shukrani kiongozi Jerry silaha,mi pia nilihitaji mawasiliano Yako waziri
Km upo dar mkisikia yupo mjini nenda
Mambo sio kabisa
Dr slaa nakuombea mungu akupe umri mrefu zaidi ,hawa watoto ni mbwa kweli
Ila we baba mungu akulinde
Muheshimiwa silaha nakukubali sana uko vizuri.
Ndoa ya kiislamu hashirutishwi lazima uwe na cheti cha ndoa. Ndoa inasihi ikiwa aliyeolewa aliposwa, akakubaliwa, walii akatoa idhini ndoa ikafungwa, akaachwa mbele ya shahidi mwanamme ama kadhi.
Mm naomb ulinzi kwa Mungu akulinde jaka yngu akulinde akilindee ulinzi ndio ombi langu kwa Mungu
Mh. Jerry Mungu abariki kizazi chako Cha kwanza Hadi Cha nne
Inaliza. Tamaa mbaya..Tuwajali wazee wetu. Mali zao wazee walizoacha zisiwe msingi wa fitna. Thawabu zao zimo katika sadaqa. Dr Slaa Allah akubarik.mtenda haki. Mja wa Mmungu
Mweshimiwa kigamboni nako karibu huku utusaidie
Hapo itendeke tuu haki jamani na mungu atawabariki
Daaah😢😢 watoto hivi mnajua machozi ya mama
Machozi ya mama hapa sio tatizo kwani hana haki kwa misingi ya uislam
Jamani allsh msikie kilio chake yarabi
Yaani natamani hata sijui nifanyejee. Waziri jinsi unavoidable nifurahishs
Mola amewalaani wanao chukia wazazi yarabi razing za watoto zipo kwenye miguuu ya wazazi
Yani watoto wakuwazaa au inakuaje sijaelewa a xe daah
Mungu mkubwa akupe ulinzi waziri wetu
Jamani mimi huwa natamani nimalize ela zangu nisiwekeze kwenye ardhi ukiona mambo kama haya , watoto wa siku hizi wanataka mali tu.
Yaan ni shida
Huyu wzir genius
Huyu wazir ni simba wa tanzania ana hekma na busara zote
Hapa tatizo yani mama kaachika mda mrefu miaka 20 na mze yupo hai kwanini asidai mzee akiwa hai haki yake mama ata pata lakini kisumni tu
Waziri Jerry Silaa asema ukweli kwamba Mama mwenye Cheti cha Ndoa anayo haki ya kupewa Uridhi kutoka kwa Bwana yake kama amefariki
Bibi hana haki akakojoe akalale.
TUNAJIFUNZA SANA MKUU KUPITIA WW....
Allah ametuahid tusiposhikamana na Quroan basi tutapotea sasa hayo ndio matokeo yake watoto wakiislamu munadhalilika.Mirath yote ipo ktk Quroan nini shida waungwanaaaa
Ana deserve kuwa waziri mkuu !!!
FIDDA HUSSEIN NI TAPELI MKUBWA WA ARDHI
Kwawatu wenye akili hii migogoro anayotatua mh silaa iwe funzo kwenye familia zenu,ukiwa hai waandalie watoto mirath
Huwa najifunza mengixana kupitia ww muheshiwa.
Watoto wengine bana😢
Good work silaa
Watu wanaonewa kwenye arthi
Mbinguni una kiti chako meshimiwa
😢😢duh
Kama hyu mama anaijua misingi ya kiislam na ni muislam anaelewa Kila kitu kuhusu mirathinna anaelewa kama aliachwa ama vipi
Ila dr slaa dini yetu ina kitu katika mambo yotee iloo jambo waachiee wenyewe kma mtu hakuolewa na kazaa watoto wa njee hairuhusiwi kurithi isipokuwa mpk mzee kabla ya kufariki aandike km kuwasaidia awo watoto
We bana tutokee hapa ,uzinzi mnautaka matokeo yakija mnaanza dini dini ,acheni kuwazalisha nje ya ndoa alaaaa
@@emmadora7848na lengo la dini ni kukomesha uzinzi
0:10 😊
Waziri anatatua migogoro na kutoa elimu kabisa
Huyu ma mama anaonekana ana ttzo. Mke anapoachwa kwa sheria ya dini anakpeteza haki ya kumrithi mume. Yeye anaweza kudai haki ya wanawe lakin sio haki yake.
Ndiyo hujakosea kbx kaka kuna watu umu ndan hawaelewi as if wanajua full story
Wewe ndio unatatizo Dini Kwa maandiko yap eti akiachika anakua ana Haki ya urithi ? Ata ukienda bakwata ukiachwa anatakiwa akupe Haki yako kwenye Mali mwanamke anapewa asilimia chache Labda kama yy ndio kadai talaka ndio anakua apewi na yy anatakiwa ampe mwanaume Mahali ya kuolea mwanamke mwingine
Sheria ya dini ya kijinga kabis
Dr Silaa uwe makini sana nafsi za binaadamu zimebadilika usije ukaamini sana Binaadamu tumebadilika si mzee si kijana si mtoto.Nakushauri umchunguze bibi kwanza vizuri kabla hujachukuwa uamuzi.Huyu Bibi kama aliolewa mume wa pili na yule wa kwanza alikuwa hai maanakr alikuwa keshamuacha kwa hio hapo hana mali
Issue ni ntaraka, kama hakupewa anashinda kesi.
Ndo alichosema waziri km Hana talaka ana haki
Waziri wangu tutapataje namba yako hayo mambo ni mengi sana na wanyonge wanaonewa
Ninayo
Naweza kukupatia vipi
Sasa mheshimiwa inabidi atoe elimu kwanza jaman kazi ni ngumu hii
Wajinga sana yanapenda kujificha kwenye kichaka cha dini ya kiislamu , sheria yenyewe imejaa dhuluma na ukatili tu
Bi mkubwa kavumilia kazalishwa watoto 8 unataka adhulumiwe eti dini hovyo kabisa.
Thanks waziri.
Ww usitukane dini usio ijuwa kaisome kwanza dini hamna dhuma
Alisema dini yaruhusu dhulma nani
We koma usiiseme dini vibaya tena koma usitake najibizano ya kidini hapa
Acha ujinga kenge ww,yaan umeanza vzr una maliza vby mbwa ww
Mh comments zote humu zinakuinua wewe. Uko sawa na SSH alikupa sehemu inayoimudu. For sure wengi wamechemka wizara hii
Jamani huyu kijana mali hizi
Uko vizur mkuu lakin mama?kama hawa wana tamaa ya mali waliwaona wanaume hawafai wakajitoa kwenye ndoa pengine kwa kudanganuwa na mwanaume mwingine ama ndagu zake na akifika huko akapauka yule mume akachuma mali na wanwake wengine eti kwakua kazaa na yule mwanaume akifa t anajifanya nae mwanafamilia haiwezekani watoto wote hapo wamkandamize huyo mama atakua anashida huyo mama
Huyu mama anataka kuwa dhulumu wtt
Huyu sio Mjane,
Huyu mama ni muongo!
Kama aliachika katika kipindi cha miaka 20 si halali kwake kurithi mali za marehemu
Ndiyo hana haki iyo
Mmh
Mtoto shetani mbona awamwonyeshi tumuone
😂😂
Wanaume wajinga unaoa oa bila kuweka mazingira vzr ona ss
Sheria ya wenzetu upuuzi bora za kikristo
Sheria za serikali ndo zifuatwe
wewe pumbavu mkubwa unatutukania dini yetu ya uislaam!!kuwa na adabu na heshima!
heshimuni dini za wangine!!
Ameongea ukweli
Kwenye hela ndo ooh sijui dini
Ila nje ya hapo hutasikia hiyo
Anasma anataka haki yake kwa mume aliyeishi naye kama aliachwa hanaa haki. Na kama alichwa basi huyu ni tapeli.
tapeli bibiako
Mbora nile mali zangu kila mtu atafute mali yake
Kuna time mtu unawaza hivyo aisee....
kweli kabisa
Kuna muda unafikiri utumie ela zako
Mmmmhhh watoto wapo tayari wakupoteze ili wapate malii
Brother Jerry anajua kueleza had unamuelewa sio Kwa ukali