Safi kabisa. Mua maisha ya kukuamini kwenye Ukweli safi sana polisi hayo ni mavazi tu IPO cku utavaa nguo ya kawaida maisha yanabadilika mwache MUNGU aitwe MUNGU
Hongera Sana Muha umeongea vizuri bila kuficha chochote uliyokuwa nayo moyoni yote umeyatapika ili yaweze kufanyiwa kazi na waziri mkuu.Mungu akulinde akukinge na watu wote walio kinyume na kile ulichokiongea .
Rest in peace Peace Mjomba ulisema mtanikumbuka wamekuita majina Mengi lakini Mungu Yupo Leo ulijaribu kuirudisha nchi kwenye misingi Leo walijaribu kuku sabotage today Nchi imeoza imeoza Rest in peace the true son of Africa a True muchwezi Rest in peace Magufuri.
Kati watu wapumbavu ktk hii Dunia basi watanzania ni wapumbavu wakati Magufuli yupo hai si mlikuwa munamtukana mpk ikafika sehem Magufuli anasema malaika ikatokea anashuka basi atamuambia kitu ambacho anatk ktk hiii Dunia kifutwe basi ni mitandao na kasem mitandao kwa sababu mlikuwa mkitukn na leo hii hyp leo hii mwasem mnamkumbuka
Kiongozi wetu Majaliwa hakika umejaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde baba yetu mpz. Yaani ni kweli kufanya kazi na Uganda ni simple kuliko hapa kwetu. Yaani corruption imezidi jamani
Mijizi ndo inatawala, wenye pesa nyingi wanaachwa na wenye kipato kidogo ndo wanaumizwa. Tumbua wote hao, fukiza kazi ndo wengine wapate fundisho. Alisema tutamkumbuka Kwa mazuri ndo haya yanafanya tumkumbuke. RIP Magufuli
Hilo Ndo tatizo la Watanzania na aliwajulia kweli kweli, mtu mmoja hawezi beba nchi, mtu mmoja hawezi tatua matatizo ya nchi nzima, kiongozi wa kweli ni anayehakikisha taasisi za serikali ziko imara, sheria ni za haki, na hakuna mianya ya rushwa! Kiongozi wa kweli haongozi kwa yeye kusimama akatoa tamko tatizo likaisha, siku huyo kiongozi akitoka hali itakua mbaya kuliko mwanzo , alitaka asifiwe yeye kwamba anadhibiti kila kitu na mkafurahi lakini mkasahau hiyo ni njia ya mkato na hailisaidii taifa!! Taifa lenye taasisi imara hata likipata raisi mbovu nchi itaenda tu! Yeye alihakikisha bunge linajaa wabunge wa hov**** wanatunga na kupitisha vitu vya hovyo ili yeye aje asimame atoe suluhu mpige makofi
Nakuomba sana mh.waziri mkuu upitie na maliasili kule Kuna huozo mkubwa sana.. km kweli unasali na unapenda haki pita maliahasili uone yanayowakuta watu wa mkaa.. na kma serikali hamtaki watu wakate mkaa pls kuweni wakweli tangazeni tuu hakuna kukata mkaa. Kuliko mnachukua ushuru wa watanzani alaf bado vikwazo kibaooo yaaan.. yaan Hao Vijana mnaowapa madaraka hawajui maisha ni nn,wamesomeshwa na Ada zetu hawajapitia msoto wowote wanakuja kutunyanyasa,watu wanateseka porin wanakuja kushusha mkaa wanabaki nao kwa kweli ipo Mungu atawalipa ianuma sana
Mama upo vzr Sana unaangaika kuleta wawekezaji lakini watendaji wall wanakuangusha fukuza mfano wafanya biashara wa kigoma ,mwanza wanaeda Uganda tunakosa Kodi
Hii nchi inapoteza mapato mingi sana kwa sbb ya watumishi wa TRA na polisi tanzani pia wanachangia wao hawaangalii kazi yao wao wanashirikiana na TRA kutesa watu na kuwachukulia pesa kwa sbb ya dhamana ya kazi zao ni tatizo sugu hili katila hii nchi
Fanyeni mpango ile nidhamu ya woga irudi tu, iliondoa kwa kiwango kikubwa haya mazingira ya rushwa na rushwa maofini. Sasa hivi kuna mahali tumerudi na watu hawakubali sababu walishaanza kusahau shida kama hizo.
Onaona eeeeh! Watu waliomchukia Magu na kuna wanaomchukia hadi Leo, lakini Mimi nasema Tanzania tunahitaji kiongozi kama yeye, yaani sasa hivi mambo ya hovyoo kabisa. Badala ya kuwakaba koo wenye vipato vikubwa wanawaonea watu wenye vipato vya chini na rushwa imeshamili bila aibu. Mama awe mkali. Bora wawe na nidhamu ya woga lakini haki itendeke kuliko kukaa kuoneana kama huku.
Askar Wa Tz wanyonyaji sana Kiukwel wanachosha yani atakudai risit ukimpa analeta lingine ilimradi tu apate Ela dhambi yenu inaandikwa mbinguni mtailipia tu
Waziri mkuu anatamani kutoa maamuzi maguma kama ya JPM lakini anakumbuka ambaye yupo juu yake kwa sasa siyo kama Magu,anaamua kuumia na kulia rohoni harafu anayaacha yapite hivohivo.,😭😭😭
Aya mambo nilyamiss sana jamani,Yani kama vile namuona Jpm kasimama apo anawasikikiza,,ila najiuliza kwanini uyu mama na yeye asingekuja apo asikilize ili tuone ujasiri wake jamani
Pale DIT kwenye mataa kuna askari wapumbavu sana, baada ya kuwapa risiti wakaomba kitambulisho cha taifa nilivowapa wakaleta sababu hazieleweki, ilimradi kutengeneza mazingira ya rushwa...baada yakuona namchelewesha niliyekodi usafiri kwake ikabidi niwape hela niondoke, pia wakasema hela haitoshi ukilinganisha na mzigo niliyonao baadae wakakubali ila wanatesa Sana wafanya biashara na hakuna pakusemea
TRA ni hatari. Hata taasisi ya Uwekezaji pale EPZA ni shida sana hawatoi vibali vya wawekezaji wanaomba rushwa tu. Wawekezaji wanakuja na kuondoka tu sababu ya usumbufu
Ewe Mungu tusaidiye utupe Mwingine kama Magufuri 😭😭😭 RIP baba
Likes kwa muha 🔥🔥🔥
Asante baba kwa kutuongerea wanyonge mimi nilifunga biashara kisa tra
Huyu muha ameongea ukweli na ndio yanayofanyika na ana uchungu sana daaa 😢
Poleni sana nimependa sana mzee wetu alivyojilipua❤😂😂😂😂
❤❤waha wakipewa nchi tutakuwa salama sana😂
😁😁😁🤣🤣kabisaaa
Poleni wananchi wenzangu. Ni MUNGU tuu aingilie Kati. insha'Allah 🙏
Daah uyu Muha apewe ulinzi, Kisha apewe 🍀🌼🏵️🌺🌷💐yake
Safi kabisa. Mua maisha ya kukuamini kwenye Ukweli safi sana polisi hayo ni mavazi tu IPO cku utavaa nguo ya kawaida maisha yanabadilika mwache MUNGU aitwe MUNGU
Muha Amechoka, kaamua Mwamba yuko vizuri kwa kujieleza
Muha original amechomoa battery 😂😂😂😂😂
Hatari sana 😂😂😂 anaongea kama brother k,,,watu wamechafukwa
Hahahahaa
Waha hatuna dogo😄
Huyu kweli kigoma
Hongera Sana Muha umeongea vizuri bila kuficha chochote uliyokuwa nayo moyoni yote umeyatapika ili yaweze kufanyiwa kazi na waziri mkuu.Mungu akulinde akukinge na watu wote walio kinyume na kile ulichokiongea .
From the bottom of his heart fazaaa kaongea kwa uchungu sana
Dah!,umeongea kwa uchungu kaka inauma sana Aisee
Huyu mwamba apewe 💐🌹💐 yake mapema
Muha kavurugwa😂
Huyu jamaa apewe pia ulinzi na serikali kagusa sehemu nyeti sana
Rest in peace Peace Mjomba ulisema mtanikumbuka wamekuita majina Mengi lakini Mungu Yupo Leo ulijaribu kuirudisha nchi kwenye misingi Leo walijaribu kuku sabotage today Nchi imeoza imeoza Rest in peace the true son of Africa a True muchwezi Rest in peace Magufuri.
Mfuate. Kwani hii mifumo ya kufilisi wafanyabiashara ilianza Kwa nani?
@@magembekisabo9632
Kimekuumaeeee
@@zaharahassan-et7ui tena kimemuuma sana
Kati watu wapumbavu ktk hii Dunia basi watanzania ni wapumbavu wakati Magufuli yupo hai si mlikuwa munamtukana mpk ikafika sehem Magufuli anasema malaika ikatokea anashuka basi atamuambia kitu ambacho anatk ktk hiii Dunia kifutwe basi ni mitandao na kasem mitandao kwa sababu mlikuwa mkitukn na leo hii hyp leo hii mwasem mnamkumbuka
Kiongozi wetu Majaliwa hakika umejaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde baba yetu mpz. Yaani ni kweli kufanya kazi na Uganda ni simple kuliko hapa kwetu. Yaani corruption imezidi jamani
R.I.P JPM Mungu akufanyie wepesi huko uliko Mkuu wetu
Great speech.... Ila watu wa Kigoma wanafanana kuongea nikimsikiliza huyu namsikia Baba Levo kwa mbaaaaaali 😂
😁😁sure 😃
🤣🤣🤣
Awa Tra wanapenda rushwa sana, yaani washenzi, wasumbufu kote Airport Bandarini Boder,
Uwanja wa ndege ni balaaa😭😭😭😭😭😭😭😭 jamani hata vi toy vya kuchezea watoto vikija kama zawadi wanatoza kod 🥹🥹🥹
MAGUFURI angemaliza toka juzi RIP MAGUFURI
Maliza wewe bwegest
Mijizi ndo inatawala, wenye pesa nyingi wanaachwa na wenye kipato kidogo ndo wanaumizwa. Tumbua wote hao, fukiza kazi ndo wengine wapate fundisho. Alisema tutamkumbuka Kwa mazuri ndo haya yanafanya tumkumbuke. RIP Magufuli
@@marcokaroje8980 wewe ni mpumbavu mbwa koko kwani amesema vibaya magufuli alikuwa fast kutatua changamoto
Hilo Ndo tatizo la Watanzania na aliwajulia kweli kweli, mtu mmoja hawezi beba nchi, mtu mmoja hawezi tatua matatizo ya nchi nzima, kiongozi wa kweli ni anayehakikisha taasisi za serikali ziko imara, sheria ni za haki, na hakuna mianya ya rushwa! Kiongozi wa kweli haongozi kwa yeye kusimama akatoa tamko tatizo likaisha, siku huyo kiongozi akitoka hali itakua mbaya kuliko mwanzo , alitaka asifiwe yeye kwamba anadhibiti kila kitu na mkafurahi lakini mkasahau hiyo ni njia ya mkato na hailisaidii taifa!! Taifa lenye taasisi imara hata likipata raisi mbovu nchi itaenda tu! Yeye alihakikisha bunge linajaa wabunge wa hov**** wanatunga na kupitisha vitu vya hovyo ili yeye aje asimame atoe suluhu mpige makofi
@@achsahcharles6728 wewe ni bwege hujielewi
Mama Akimaliza Kasim Aongoze, Father PM Yupo na Usikivu sana.
Huyu kaeleza ukweli sana na huo ndiyo mwanzo wa nchi yetu kuyumba kiuchumi.
Tunakukumbuka J,PM, na mwenyezi mungu mwenye kurehemu tunaomba urehemu Tanzania.😢😢
Mzee umeongea ukweli Sana.. Mungu Akulinde na hili swala lichukuliwe hatua
Huyu brother k au 👏👏👏👏
Muhaaaaaaa saf sanaaaaa waseme bn wamezd hawatoshek
Hawana adabu hataaaa chembeeee
Nasemajeeh muhaaa kuvurugwa leo
😂😂😂😂 muha oyeee
Oyeeeeeee
Muha kafunguka duh
Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie
Nakuomba sana mh.waziri mkuu upitie na maliasili kule Kuna huozo mkubwa sana.. km kweli unasali na unapenda haki pita maliahasili uone yanayowakuta watu wa mkaa.. na kma serikali hamtaki watu wakate mkaa pls kuweni wakweli tangazeni tuu hakuna kukata mkaa. Kuliko mnachukua ushuru wa watanzani alaf bado vikwazo kibaooo yaaan.. yaan Hao Vijana mnaowapa madaraka hawajui maisha ni nn,wamesomeshwa na Ada zetu hawajapitia msoto wowote wanakuja kutunyanyasa,watu wanateseka porin wanakuja kushusha mkaa wanabaki nao kwa kweli ipo Mungu atawalipa ianuma sana
Inasikitisha sana
Mama upo vzr Sana unaangaika kuleta wawekezaji lakini watendaji wall wanakuangusha fukuza mfano wafanya biashara wa kigoma ,mwanza wanaeda Uganda tunakosa Kodi
Apo angekuepo magu angetumbua Leo Leo 😭😭😭😭
Kweli kabisa
Inaumiza Sana! Wizi mtupu kwa watu wanyonge!
Hii nchi inapoteza mapato mingi sana kwa sbb ya watumishi wa TRA na polisi tanzani pia wanachangia wao hawaangalii kazi yao wao wanashirikiana na TRA kutesa watu na kuwachukulia pesa kwa sbb ya dhamana ya kazi zao ni tatizo sugu hili katila hii nchi
Heeh Sina hata la kusema naona hatari hiyoo!!.
Muhakikishien usalama wake huyu baba jamani anaongea point sana TRA ndo habar zao
Fanyeni mpango ile nidhamu ya woga irudi tu, iliondoa kwa kiwango kikubwa haya mazingira ya rushwa na rushwa maofini. Sasa hivi kuna mahali tumerudi na watu hawakubali sababu walishaanza kusahau shida kama hizo.
Onaona eeeeh! Watu waliomchukia Magu na kuna wanaomchukia hadi Leo, lakini Mimi nasema Tanzania tunahitaji kiongozi kama yeye, yaani sasa hivi mambo ya hovyoo kabisa. Badala ya kuwakaba koo wenye vipato vikubwa wanawaonea watu wenye vipato vya chini na rushwa imeshamili bila aibu. Mama awe mkali. Bora wawe na nidhamu ya woga lakini haki itendeke kuliko kukaa kuoneana kama huku.
Kuna wapuuzi eti hawaoni kazi aliyofanya Magufuli. Nidhamu ilikuwepo nchini hivi sasa rushwa kuliko kokote.
Wasafi bwana eti Muha 🤣🤣kwa hiyo kulikuwa na wafanyabiashara na Muha
Polisi wa tanzania ni wanadiasa wa ccm sio walizi wa raia wa tanzania hawaijui kazi yao masikini mungu awasamehe
Uganda ni tambararee kweli
Aiseeee inauma sanaaa
Magufuli angekwepo
simu inapigwa chap simamisha takukuru kamata waziri chini weka mwingine 🇹🇿 twende mbele
Kweli kabisa
Huyu Muha aliongea kwa uchungu sanaaa
Wezi sana hawa TRA! Kiboko yao alikuwa Magufuli.
Brother k noma sana😅😅
Mm naitwa Salimu nipo Tanga tulikamatiwa mizigo ikapelekwa KIPATA rushwa MILIONI 1 na laki nane na RISITI ninazo za MZIGO
Uganda ni Tambarare kbsa unapata POSHO in muha's voice
Police na mambo ya TRA wapi na wapi😂😂😂😂
Ahsante sana mdogo wake brother K.
watu watakuja kuipindua hii nchi kama matani
😂😂😂😂
Askar Wa Tz wanyonyaji sana Kiukwel wanachosha yani atakudai risit ukimpa analeta lingine ilimradi tu apate Ela dhambi yenu inaandikwa mbinguni mtailipia tu
Magufuli alikuwa dawa ya haya mambo
Roho Imeniuma kwakwel 😙
Apew ulinz 💪💪💪👍👍
Hapa ndio tunamkumbuka magufuli kwakwel R.I.P Joseph.P.Magufuli
Hata mza tunasumbuliwa na asikari
Ukosawa nduguyetuu Lipukaaa kabisa wapumbavu hawooo 😭😭😭😭😭😭🤣
Hongera baba umeongea point kabixa maana mikoani tunalipa tra na tuna tni lakini ukienda dar kweli ni xumu
Nani amempa Muha 🎤
Kama angelikuwa Maguu hapo tumbua hapo hapo huyo mzee alikuwa kiboko from *254
Muha ameupiga mwing😂
Hapa ndo namkumbuka Magufuli aisee
Safi sana kaka umenisemea hadi pa kwangu👍👍
Kweli sumu taifa inabudi warekebishwe uganda itapanda juu kweli mbaya
Mpemba kaz imeishaa😂😂😂😂😂muha kachomoa betri
Rushwa ni jipu kwa taifa!!
Waziri mkuu anatamani kutoa maamuzi maguma kama ya JPM lakini anakumbuka ambaye yupo juu yake kwa sasa siyo kama Magu,anaamua kuumia na kulia rohoni harafu anayaacha yapite hivohivo.,😭😭😭
Kimewaka💯💯💯💯💯💯💪💪💪💪💪💪
Proudly to be a man from KIGOMA capital 🔥🔥🔥🌟
Mm huwa nashangaa sana kwann kwetu kodi ziwe kubwa Sana kuliko nchi nyingine wakat bandar asilimia kubwa wanatumia bandari yetu??
😅😅 na mie Askari mweupe ananisumbuaaaa
Wengi wapo vizuri lakini walio wengi wao ni wezi hahhaha 😂
Muha nimekupenda❤❤
Mpeni mauwa yake muha og
Tanzania ni nchi ya ovyo sana sio hata ya kukaa sasa huku ulaya ovyo Tanzania ovyo tunaenda wapi jamani kha
Kibanda kimeugua😂😂😂😂
Huyu muha kweli
Inabidi itokee sikumoja anapigwa risasi hata wawilii wafe kaa wezi ndio watajielewaa
Nacheka tu yani Enzo ya magu sasaiv wote hao hawanakazi
Mmhh!!! Ya kaisali,,,ya mungu mpe mungu,,hii nchi ngumu,,watawala wanapitiliza kutawala,,hadi wanajiona wao ndiyo watu wengine siyo watu,,,
sema port polis tra ndiyo chanzo cha kuzolotesha mapato ya nch wanafaidika wao tu na familiya zao
Ni kweli kabisa polisi .na tra... Wapi kwa wapi
Nchi Ishakuwaa Shamba La Bibi Saiv
R.I.P NGOSHA MAGUFURI
Watumwa wa magufuli mnakera kwa mini hammfuati huko aliko mkashitaki?
@@marcokaroje8980 wivu mpka kwa marehemu duh😅😅😅 ndo washamsifia ka hupendi Kanye boga Fala wewe
Aya mambo nilyamiss sana jamani,Yani kama vile namuona Jpm kasimama apo anawasikikiza,,ila najiuliza kwanini uyu mama na yeye asingekuja apo asikilize ili tuone ujasiri wake jamani
Baba jpm uko wapi jamanii????yan hakika tunakukumbuka pumzika kwa aman ule muozo uliokuwa una piga vita ndo huu baba
Jamaniiiii muhaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Pale DIT kwenye mataa kuna askari wapumbavu sana, baada ya kuwapa risiti wakaomba kitambulisho cha taifa nilivowapa wakaleta sababu hazieleweki, ilimradi kutengeneza mazingira ya rushwa...baada yakuona namchelewesha niliyekodi usafiri kwake ikabidi niwape hela niondoke, pia wakasema hela haitoshi ukilinganisha na mzigo niliyonao baadae wakakubali ila wanatesa Sana wafanya biashara na hakuna pakusemea
P
Pp
P
Force number
eti ikabidi niwape hela kidogo yaani mnatoa rushwa badae mnalalamika kwa nini utoe pesa wakati kila kitu unacho
@@ikouwasi7644 unaongea tu kwakua hayajakukuta, we kaa kimya tu
TRA wamezidi sana, iko siku tutawatoa baruti kama wezi, kunyanyasana kumezidi sana yaani..
Mungu awasaidie watz kweli kuna uonevu sana
Kweli watu wamechoka hii serikali hapana angekuwepo mwamba hao viongozi wangeisoma
Shida inakuja kila mtu anae enda kufanya kazi TRA anataka kua na maisha ya juu na hii dhana imeharibu wanao ajiriwa
MUHA kachachamaaa anakwambia Hilo ni Hiloo
😂😂😂 yn unacheka kama mazuri vile daaaahhh
Greatness isn't about protecting yourself from people. It's about being accepted by people that's the best leader.
TRA ni hatari.
Hata taasisi ya Uwekezaji pale EPZA ni shida sana hawatoi vibali vya wawekezaji wanaomba rushwa tu. Wawekezaji wanakuja na kuondoka tu sababu ya usumbufu
Japokuwa sifanyii biashara dar Ila imenikela vibaya
Ongea poti ndugu yangu hakia'mungu