MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 614

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akawape hekima viongozi wetu wa Tanzania namna yakuongoza sawasawa na Mfalme suleiman

  • @LucyWillson-xo1ly
    @LucyWillson-xo1ly 9 หลายเดือนก่อน

    Japo baba mungu akupe miaka mingi uishi sanaaa🥰🥰🥰

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 3 ปีที่แล้ว +3

    Nawapongeza sana Viongozi wa Tanzania,,, Kwanza kwa kuwapa Watanzania contracts izi...
    Serikalii nyingi Africa wanagawa contacts hizi kwa Wachina na wageni... Namshukuru waziri uyu kwa kuwa tough.... Apa kazi tu ♥️

  • @magnusbugingo7471
    @magnusbugingo7471 4 ปีที่แล้ว +3

    Jafo hiz kaz zipo uhai ukiondoka haurud tena na usiombe kuondoa uhai wa mtu kwa maneno musikilize vzr kwanza kuna maisha baada ya barabara hiyo

  • @michealndirie4687
    @michealndirie4687 5 ปีที่แล้ว +5

    Watching fr Kenya Tanzania so funny 😅😅😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @bashirkambale4573
    @bashirkambale4573 5 ปีที่แล้ว +27

    Magufuli amewafunza kazi 😂😂😂😂😂👏👏

  • @shabankiwesi6727
    @shabankiwesi6727 5 ปีที่แล้ว +19

    Hawa ndo mawaziri siyo wakuchekacheka hapa kaz tuu big up mh,jafo.

  • @malakigerald8586
    @malakigerald8586 5 ปีที่แล้ว

    Jinga sana eti kazi nzuri,huko ni kijificha kwenye kichaka cha karanga.
    Ana mradi alioupata kwa mlango wa nyuma Songosongo unamtafuna.

  • @tausimwaluvalile6450
    @tausimwaluvalile6450 5 ปีที่แล้ว +67

    Aliecheka kama Mimi agonge like baada ya jafo kusema eeebwanaee simama bwana afu mkurugenzi kaanguka kazuia mkono mfuko wenye hela hahahaaa jamani hiz presha !!!!!!!nimecheka sana

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 5 ปีที่แล้ว +109

    😰😰😰😰hali hiyo kagombezwa na binaadamu mwenzake tu anazimia,sijui Siku tutasimama mbele ya mungu kuhukumiwa hali itakuwaje kwa madudu tunayoyafanya😱😱😱😱😱

    • @abdulkarimothmanabdalla1850
      @abdulkarimothmanabdalla1850 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @70SIXER7
      @70SIXER7 5 ปีที่แล้ว

      ahaaaaaaa!

    • @fatimamamlo8041
      @fatimamamlo8041 5 ปีที่แล้ว +3

      Neema fatu usichezee mkono kuingia kinywan kufukuzwa paha ulipokawa unalisha watoto mtihan

    • @neemafatu7885
      @neemafatu7885 5 ปีที่แล้ว +7

      @@fatimamamlo8041 kilal jambo mtangulize alokuumba hasa unapokabiliwa na msukosuko kama huo.ukiwa na tawwaqul ktk moyo huwezi kupata pressure ktk maisha kwa kuwa si yeyote anaeruzuku bali ALLAH Pekee.tunatakiwa kutafuta sababu ya kuipatia hiyo rizqi,kisha unatawwaqal kwa Allah.atakupa tu biidhinih, tena huwenda zaidi ya hiyo.tuache kuziabudu kazi mwisho unakuwa dhalili kama hivyo.Allah atupe moyo wa kumtegemea yeye pekee!aamiin

    • @fatimamamlo8041
      @fatimamamlo8041 5 ปีที่แล้ว

      @@neemafatu7885 nalijua hilo lakin kumbuka kaur ya Allah alipotuambia jisaidie nami nitawasaidia sasa hapo lazima ajisaidie kwamfano akinyimwa kazi kwenye kampun yake umr huosaiz atasimamia mngwegan hijambo weye itabeba gunia lambatata kuliko huyo

  • @masalujosephu430
    @masalujosephu430 5 ปีที่แล้ว +15

    Aliye ona kiatu cha mkandalasi gong like twend sw.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 5 ปีที่แล้ว +73

    Enyi viongozi wa awamu ya tano tafadhali sana mnapokwenda kukagua miradi au kutoa maagizo nendeni na gari ya ambulance.

    • @bintysaid7177
      @bintysaid7177 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaa aki wewe

    • @thelivingwordchannel9027
      @thelivingwordchannel9027 5 ปีที่แล้ว

      @@bintysaid7177 hili wimbi la watu kuzimia limeshika kasi hii awamu.

    • @bintysaid7177
      @bintysaid7177 5 ปีที่แล้ว

      @@thelivingwordchannel9027 hahahaa mafuta hayo yamejazana kwenye viungo

    • @thelivingwordchannel9027
      @thelivingwordchannel9027 5 ปีที่แล้ว

      @@bintysaid7177 unajua hawa watu waliishi watakavyo awamu zilizopita sasa hii inawapa tabu.Imagine kama angekuwa magufuli si jamaa angezindukia mochwali.

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 ปีที่แล้ว

      Hawa Watawala wa viburi wana mwisho wao kwa huu uhuni wao mkumbuke kuna MMungu na nyie atawapindua hadharani mbele za watu hamna imani ni ustaarabu gani huo ujinga mloukuja nao hamumpendezseshi MMungu hivyo mnavyo wafanya waja wake viburi na ukali kwenda mbele ndio utawala wa kijunga na kishenzi kama nyie wenyewe

  • @thadeusbernard8656
    @thadeusbernard8656 3 ปีที่แล้ว +10

    Rais mtarajiwa gonga like kam a unamwaminia

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 ปีที่แล้ว +15

    Kweli msingi mzuri huleta Nyumba nzuri.Mawaziri mnafanya kazi kulinda ajira zenu msije kutumbuliwa na mh Rais magufuli

  • @KIREDIOO
    @KIREDIOO 5 ปีที่แล้ว +37

    Kama umemsikia mkurugenzi akiambiwa "Simama kwanza" gonga like😂😂

  • @suleimanhusseinmlinde4863
    @suleimanhusseinmlinde4863 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah nakupongeza sana waziri wetu piga kazi makufuli mdogo

  • @esaumahundi5076
    @esaumahundi5076 4 ปีที่แล้ว

    Achakujiangusha mnafanya kazi kwa kujuana mtu hufanya kazi atakavyo mtu cc tz tunajuana ukicheka utavuna mabua uko vizuri waziri

  • @shamsahabibu837
    @shamsahabibu837 3 ปีที่แล้ว +24

    Tunaoangalia baada ya kifo Cha laic wetu tujuane

  • @sporamazua8942
    @sporamazua8942 4 ปีที่แล้ว

    Duuh kwelii huu ndio uongoz sasa kazi iende speed safi sana wazur wataelewa

  • @rasheedshaban2233
    @rasheedshaban2233 5 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna asie Fanya makosa tuangalieni utu kwanza dah inaumiza sana. Mambo mangapi hamiwatimizii wananchi lakini tupo kimya. Jueni kwamba sisi sote ni sawa mkubwa ni Allah tuu.

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 tunaongalia 2024 gonga like hapa👇👇

  • @godwindishon7033
    @godwindishon7033 5 ปีที่แล้ว

    Duh pole sana mkurugenz ayo n maisha tyu

  • @LucyWillson-xo1ly
    @LucyWillson-xo1ly 9 หลายเดือนก่อน

    Jafo mungu akupe miaka mingi uishi ukweli umeuongea 🥰🥰

  • @mohamediyusuph4290
    @mohamediyusuph4290 3 ปีที่แล้ว

    maisha haya bhana,huyu ni boss kabisa pole sana mzee vicent.

  • @jawadena2294
    @jawadena2294 4 ปีที่แล้ว +1

    Barabara mbovu sana ya kwenda maramba raisi

  • @godfreygood4748
    @godfreygood4748 5 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂ama kweli mzaramo anaweza akakusuta mpk ukafa 😂😂😂😂😂😂hyu kazimia

  • @mwitajohaness8816
    @mwitajohaness8816 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah kweli Mzee Wa watu hana hmu ikiwaza ana mkopo bank du anaona bora amwabgukie jafo

  • @fidelndege1317
    @fidelndege1317 3 ปีที่แล้ว

    Rafiki yangu S. Jafo umeona mambo ya mkurugenzi hayo! ni full pressure

  • @nehaan5054
    @nehaan5054 4 ปีที่แล้ว

    Hakunaa loves hpaaa uwongooo kurukaaaa😜😜😜😛😛😛👋🤣🤣

  • @jubethraphael9909
    @jubethraphael9909 5 ปีที่แล้ว +9

    Waziri Jafo ni kiongozi bora namkubari Sana

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +1

    😥😥😥inatia huruma lakn kama vile baba yangu .....

  • @glumia920
    @glumia920 5 ปีที่แล้ว +18

    Its Insane.. Mtu anapata Heart Attack halafu unamwambia Asimame badala ya kuita Awaishwe Hospitalin..

  • @shabaazbikorwa2580
    @shabaazbikorwa2580 5 ปีที่แล้ว +5

    Kama maigizo mana na presha imeshuka kweli hapa kazi tu mzee chali 😁😁😁😁😁😁

  • @yaqoubsalim99
    @yaqoubsalim99 4 ปีที่แล้ว +5

    Oyaa WAZIRI Nazimia kidogo

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 5 ปีที่แล้ว

    Mbona wakati mnakula hela hamzimii mh jafo piga kazi nakukubali sana

  • @zenobiakapere585
    @zenobiakapere585 5 ปีที่แล้ว +18

    Haha kazi kweli kweli ! Hapa kazi tu hakuna ubabaishaji now days!!

  • @kasendelukadi2047
    @kasendelukadi2047 3 ปีที่แล้ว

    Africa tuna shida kwa kweli

  • @jacklinemoshi8487
    @jacklinemoshi8487 5 ปีที่แล้ว +2

    Ee bwana ee simama kwanza,kama umesikia hiyo gonga like

  • @doreenmnyite2343
    @doreenmnyite2343 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakufanya vizuri😏😏😏😏

  • @nyavas41
    @nyavas41 5 ปีที่แล้ว +5

    Maisha ya mtu nibora kuliko kitu chochote pamoja na huo uwaziri wako ulipaswa kuwa na ubinadamu mwenzako anaanguka haujuwi nini kimemsibu wewe kwa kibri chako unamwambiya nyanyuka? na hata haukujali kabisa ameanguka chini ya miguu yako wewe unaendeleya na porojo zako kama vile kanguka mdudu siyo binadamu mwenzako wacheni kujifanya waungu watu cheyo ulicho nacho ni zamana tuu leyo unacho kesho hauna kibri ni sifa ya mwenyezi mungu pekeyake siyo wewe.

  • @jonasshija6542
    @jonasshija6542 5 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃😃😃daaah mkurugenzi comedy

  • @lonnie546
    @lonnie546 5 ปีที่แล้ว +15

    Duh Nina wakati wangu mguumu ila jamaaa kazidiwa pole sana

  • @jaham4481
    @jaham4481 5 ปีที่แล้ว +8

    😄😄😄 Tunazimia kidigitali kwa step

  • @bakarimohamedi1
    @bakarimohamedi1 5 ปีที่แล้ว

    Mnaithamini sana Dodoma kwa miundombinu sawa ila njooni na huku chanika Dar es salaam mtusaidie barabara na sisi pia tunapata tabu

  • @jacobmsiganga4121
    @jacobmsiganga4121 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mkurugenzi...

  • @sitellamatni6878
    @sitellamatni6878 3 ปีที่แล้ว +1

    Chapeni kazi tumkumbuke baba zaidi💪

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 5 ปีที่แล้ว

    TANZANIA AWAMU YA TANO HOYEEEEEE WALIZOEA KIPIGA....MH.JAFO HOYEEEE

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtauwa watu Sasa, mnajifanya Kama ndio mwatoa riziki zawatu, Mwenyezi Mungu ndiye aruzukuye

  • @mpesmail1834
    @mpesmail1834 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mpiga video mbona anamkata mkandarasi kwenye frem ya picha.?
    Tunamona waziri tu..

  • @sostensanga1833
    @sostensanga1833 3 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi mwenyewe inaonekana life ngumu sana

  • @joevang4685
    @joevang4685 5 ปีที่แล้ว +5

    duuu pole sana sana , japo aliyoyasema jafo yupo sawa

    • @antonyedward7295
      @antonyedward7295 5 ปีที่แล้ว

      Umemwuonya vya kutosha mheshimiwa naamini atajifunza na umsamehe maana hata mungu huwa anamwuonya mtu aspobadirika ndo anachukua hatua ya kumwadhibu

  • @rajabmsinzia7921
    @rajabmsinzia7921 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂duh noma yaani hii serikali ya mzee Magu ni balaa 😂😂😂nimecheka hadi nimehisiwa ni kichaa wallahi duh

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 ปีที่แล้ว

    From 🇧🇮 Saudia 🤣 🤣 nimesheka san kama mazim🤣🤣🤣kazi Kaz

  • @ayubumwakamisa1979
    @ayubumwakamisa1979 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana waziri endelea kuwanyosha

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 5 ปีที่แล้ว +9

    Jafo bwana😆😆😆😆 eti WE BWANA SIMAMA😆😆😆😆 mtu kazima huyo boss!

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว +20

    😂😂😂😂hii kali ya kufunga mwaka hahahah

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa January inanukia hiyoo😀😀😀

  • @leonardchazy2070
    @leonardchazy2070 5 ปีที่แล้ว

    Jamani inauma sana sana mtu ana kusema mpaka unaanguka..daa Mungu shuka walimwengu tunakuliliaa pole sana mkurugenzi.

    • @mamajoel4522
      @mamajoel4522 ปีที่แล้ว

      Mungu alisikia maombi akashuka

  • @allyahmed4014
    @allyahmed4014 5 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi kazimia lakini mkono upo kwenye mfuko wa nyuma anaogopa wazee wa kuchomoa betri wasije jiongeza 😂😂😂

  • @rogersraymond2809
    @rogersraymond2809 5 ปีที่แล้ว +1

    hahahahaha mchaga nomaa sanaa jamaa kazimaa uku mkono upo kwenye mfuko wa nyuma analinda wallet 🤣🤣😆😆🙌🏽🙌🏽🙌🏽Nani mwinginee kaona iyo?

  • @barakaalmas3399
    @barakaalmas3399 5 ปีที่แล้ว

    Bora ukalime kuliko kuomba kaz kwa utawala huu🙆🙆🙆🙆🙆

  • @zaharahabibu7929
    @zaharahabibu7929 5 ปีที่แล้ว

    Ana presha duu anaeza afe afanye kazi tuu

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 ปีที่แล้ว

    Jamani msicheke hali ni ngumu watu wana madeni uwiiii sipati picha ila mkurugenzi staafu waachie vijana kazi MOYO wako hauna uwezo wa speed hii ya 2020 walioona mkurugenzi kaishiwa NGUVU wanipe like

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka waziliiii...umenifurahisha hapo mzeeeeeee swafeeee

  • @ignaspius
    @ignaspius 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana kufa kabisa.

  • @januaryyotham8652
    @januaryyotham8652 4 ปีที่แล้ว

    Hongera waziri

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 5 ปีที่แล้ว +23

    Hahahahaha eti we bwana simama hapa kazi 2😂😂😂😂

    • @hamidayusuph249
      @hamidayusuph249 5 ปีที่แล้ว

      Jomon duuuh TZ SIHAMI😃😃😃😃😃😃😃Kuna Raha balaaaaa

  • @worldtechnology492
    @worldtechnology492 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania tumeshaozea uzembe maengineer awana msimamo hawana passion ya kazi yaaan bora mueke wakorea au wachina tyuu wabongo wavivu mno

  • @dianarosemassawe4824
    @dianarosemassawe4824 5 ปีที่แล้ว +2

    Kinacho wafanya wengi wanaumwa wanazimia wana jifungia ndani wana kosa amani mbele za watu hofu hakuna adui mkubwa kama hofu ni kuishiwa nguvu pole baba

  • @devidydevidy2301
    @devidydevidy2301 4 ปีที่แล้ว

    Dadeq nimecheka kisukuma kwan kumbe wanazimiaga kizembeivo🤔🤔

  • @nehaan5054
    @nehaan5054 4 ปีที่แล้ว

    Exppartt kuvutaa lucky ya mtuuu nlikufaaa miakaa 5 toshaa 4xxxxxxxxx🤪🤪🤪🤪🤪😜😜😜👋🙏🙏🙏🙏

  • @BontamLee
    @BontamLee 5 ปีที่แล้ว

    Hatari kweli kweli,,mjomba KIKWETE,tunakufa huku wapiga dili.

  • @edrickniwamanya9968
    @edrickniwamanya9968 5 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂😂et mchaga na hela kazimia mkono upo kwa mfuko

    • @bintysaid7177
      @bintysaid7177 5 ปีที่แล้ว

      Hataki mfuko uguswe amezimia zimia au amezimia

    • @husseinhassan4241
      @husseinhassan4241 4 ปีที่แล้ว

      Edrick Niwamanya ahahaahaba imenifanya nicheeeke mchaga bhana

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kwa sifaaa..

  • @babamildatmkdsm5234
    @babamildatmkdsm5234 5 ปีที่แล้ว +3

    Imeniuma utasema ndugu yangu... Toka muda nilikuwa namuona moyo unamuenda mbio.. ana presha ya kushuka jamaa

  • @selemanimaneno9496
    @selemanimaneno9496 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu hawajala tangu asubuhi mheshimiwa unaingia mda wa lunch wanaahirisha kula wanasikiliza unavowagombeza basal metabolic rate inarud kwenye 0 wanazimia kwa kudata kweli hii hawamu usipojipanga utapangwa kama mkurugenzi alivopangwa

  • @corneliashawa335
    @corneliashawa335 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmh hapana hizi kazi siziwezi👐

    • @josephatkichanilo3802
      @josephatkichanilo3802 5 ปีที่แล้ว

      msichukuwe kz awamu hii kama amziwez mtaishia jela jaman hii awam hatar

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana wazir Wangu walishazoea vya mteremko hahahaha awamu ya tano hapa kazi tu

  • @clementgerald2988
    @clementgerald2988 4 ปีที่แล้ว

    Daaah noma Sana hapa ndo kaz Tu kweli

  • @poshney1204
    @poshney1204 5 ปีที่แล้ว +15

    😂😂😂😂😂jamani baba mkwe wangu amkaaaaaa uwiiii

  • @bongemenene2043
    @bongemenene2043 5 ปีที่แล้ว

    ET Hebwana sima bwana

  • @abasiwaiva7812
    @abasiwaiva7812 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahahha binadamu mwenzako2 wazimia cjajua cku hiyo mbele ya Allah itakuaje asee Jafo usiwe hivo asee

  • @jonassume7514
    @jonassume7514 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaa jamani sijaona mtu kuua kwa sauti...hiyo ya mwisho "simama kwanza" sijaisikia vizuri hebu mniongezee vol.

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 5 ปีที่แล้ว +11

    Hehee🤣......*Eeeee bwana eeeh simama bwana*wakat mwenzio kaanguka 🤣🤣🤣.. halafu comedians ni wengi Tz,huyu mkurugenzi jinsi alivojidondosha ni km aliangalia kulia na kushoto halafu anajilaza pembeni ya miguu ya Mh.Jaffo🤣🤣

  • @victorleopard1340
    @victorleopard1340 5 ปีที่แล้ว +3

    Kasutwa hadi kazimia😀😀😀
    Usicheze na wazaramu.
    Ila Masawe kwa kuzuga😀😀😀
    Eti kazimia hapo

    • @bintysaid7177
      @bintysaid7177 5 ปีที่แล้ว

      Bila kasutwa bila maturumbeta yuazimia je akufuatwa na maturumbeta utakuaje hahaaa

  • @gitu4me
    @gitu4me 5 ปีที่แล้ว

    Mkurugenzi Kazimia huku kashika pochi 😂😂😂😂

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 5 ปีที่แล้ว

    Mzaramo anaweza akamsuta mtu mpaka akazimia. Jafo amedhihirisha hilo. Engineer kazimia! Hahahahaha!

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 ปีที่แล้ว

    Mtauwa watu mtoage taarifa mkienda🤣🤣🤣🤣🤣

  • @barromapenziking3967
    @barromapenziking3967 5 ปีที่แล้ว

    Jaman Mungu kosa moja unaweza kusamehe wala hutupelek kibabe dah

  • @nehaan5054
    @nehaan5054 4 ปีที่แล้ว

    Kmaa munguuu kaa mumbaa maumbile yaleyale ya munguu mtu ainaa hyo Hua hakujaaliwaa changanmkaaa yy mwenywee time hamnaa musidhani kmaa nataka wenzake laaah badaaa asharikiwaaa ki uchumii atakaa gorse no away road close ckufichii ckuttakii bakii uchoreee story maqtooob molaaa kkamjalia

  • @isaacchalamila
    @isaacchalamila 2 หลายเดือนก่อน

    Busara kwa kiongoz ni ndogo kuna maisha baada ya barabara jaman hadi huruma

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 ปีที่แล้ว +11

    5:55 ndo kaanguka usimalize mb wapendwa

  • @ramadhansagutangu5145
    @ramadhansagutangu5145 5 ปีที่แล้ว

    Mutakoma tu hapa kazi tu

  • @allymwanga5662
    @allymwanga5662 5 ปีที่แล้ว +20

    Ukisikia mzaramo ndio huyu anakusema mpaka unazimia😂

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 5 ปีที่แล้ว +6

    Pumabaavuu walizoea kupiga sana pesa za serikali lkn sasahivi ukipiga ujue unapiga roho yako 😂😂😂

    • @aminaomary908
      @aminaomary908 5 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @johnlaoz1416
      @johnlaoz1416 5 ปีที่แล้ว

      Mi naona siyo mpigaji mana hajasema upungufu wake uko wapi

  • @najmarushda4390
    @najmarushda4390 5 ปีที่แล้ว

    Da huyu mzee kanichekesha duuu maana hiyo anguka yake tu miee hoi hahahaha duu hii awamu nomaa

  • @pastorbonnyphillip8945
    @pastorbonnyphillip8945 5 ปีที่แล้ว +17

    Wewe AMKA bwana......😂🤣😂🤣😂

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 5 ปีที่แล้ว +4

    Ni uzembe tu wa wafanya kazi, jafo upo vzr sana

  • @fredyjack6323
    @fredyjack6323 5 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tu

  • @juliasdiyagu6585
    @juliasdiyagu6585 3 ปีที่แล้ว

    Dah unapewa kazi alafuwakiona nyingi wnakata daaaaah inatosha sasa

  • @elementmidundo5386
    @elementmidundo5386 5 ปีที่แล้ว

    Hakikisha unakubali kufanya kazi kwa malipo sahihi ukiendekeza njaa unaweza kujikuta unafungwa ...Kama project umepiga hesabu ni mil 8 usikubali kufanya kwa sita ....