Safi sana waziri Yani mwendo wa kuwapatia watu haki zao ndugu zangu tuepukana na dhuruma iwe ya ardhi na vingine haki ya mtu haipoteo hata ukifa utailipa tu
Wazili silaa sijui nikupe mauwa yapi nyekundu au ya bluu kwa kazi unayoifanya unanifuraisha na unawafurahisha jamii kwenye njia ya haki unatowa jibu hapo kwa hapo kaka nakupa mauwa nyekundu ya upendo mungu akupe maisha mema na marefu na pia kazi njema pika kazi kaka kutenda sisi wanting a tusiojuwa nani statuettes ❤❤❤
HAKUNA HAKI KWA WANYONGE TANZANIA. HUYU MAMA HAJAPEWA KIWANJA CHAKE PAMOJA NA WAZIRI KUSEMA NI HAKI YAKE. HUYU MAMA ANALIPA KODI YA ARIDHI KWA M8AKA 30 + KWELI MNAMZUNGUSHA KUMPA HATI.
Waziri Jeri huyu mama nazidi kufatilia hii kesi ya huyu mama mbona wizard ya aridhi tanga wanamnyima hati ya kiwanja chake. Huyu mama anateseka kyfatilia haki na angali yeye ndie anaelipa kodi ya ardhi jina lake tu ndio liko krk system huyu hadija Rashida hajawahi kulipa kodi ya serekali hata siku moja. Aridhi tanga wanakuja na historia ya mita 60 hizo mita 60 mumpe haki ya mumewe hata ikiwa hatua mbili apewe. Tanga aridhi mama kizimkazi anahitaji kufukuza uongozi wote na kuajiri uongozi mpya hata huyu kamishina mpya aliekuja nae amekua akimzungusha huyu mama. Ila haki ya mtu haipotei hii kesi tutaifatilia natutajua haki iko wapi ya huyu mama kabla huu mwaka haujakwisha
Mungu akulinde waziri Jerry Slaa,Rais Wetu Mama Samia,tunakuombea Sana,Mungu akulinde na akupe macho ya Rohoni kuwateuwa viongozi Kama Slaa na Makonda,
WAZIRI SILAHA ANAFANYA KAZI SANA. MUNGU AMZIDISHIE MAMA SAMIA NA AMZIDISHIE WAZIRI SILAHA KTK UTENDAJI WAKE. ILA HUYU MAMA HAJAPEWA HATI YAKE NI MWEZI WA2 YUKO TANGA ANAKANYAGA TANGA ARIDHI KUFATILIA HATI YAKE
Mh;waziri kwanza Hongera sana Kwa kazi nzuri ila naomba uwasaidie na hawa ambao wameuziwa kimakosa wakamatwe wote wanaohusika na utapeli weka ndani walipane CHINI ya vyombo vya Dola ikiwezekana wafilisiwe hata nyumba zao ili kuwanusuru hawa waliodhulumiwa bila kujua🙏🙏🙏
Hakuna nyaraka iliyotolewa hapo na ndio maana ilikuwa rahisi kumaliza huo mgogoro, mama mwenye juba toka mwanzo niliona tu hajielewi amekulupuka kununua kiwanja labda sababu ya sehemu yenyewe Sahare ni hot cake kwa mkoa wa tanga ameuziwa kwa bei rahisi kwa vyovyote vile na yeye hakuangalia yafuatayo baada ya kununua, yeye sio tapeli ila ametapeliwa baada ya hapo anavutia upande wake bila kuangalia haki, nishauri tu watu wanunuapo sehemu za watu walifariki wahakikishe kubadilishiwa majina kabla ya kununua walipe tu pesa ya awali majina yakibadilishwa ndio wamalizie pesa.
Huyo mama nilijua tu lazima atanyang'anywa tu hicho kiwanja! Kwanza hajui kuongea, hata kama mwongo anajifunza kudanganya! Unapoona kiongozi mkubwa kakutingia! Unapaswa kunyoosha maelezo! Ukipinda pinda tu, huna chako!
Hivi tusaidiane elimu hapa nawaona hawa ambao wanaenda Kwa mh jerry silaa Wana makaratasi mengi Sana sasa huku Kando Kando ya miji kulikuwa na utararibu wa kuuziwa na wajumbe na wenyeviti wa serikali za mitaa wapo watu Wana karatasi hyo moja tu sasa ili apate hayo mnayoyasema hapo mambo yanayohusiana na umiliki afanye Nini na jee Hizi karatasi za wajumbe na wenyeviti zinaweza kutumika kama kielelezo cha umiliki?
Waziri Slaa kasema mara nyingi sana kuwa Wenyeviti wa mitaa/vijiji hawana mamlaka ya uuzaji wa ardhi... sasa ndugu yangu una hilo tatizo nenda wizarani au tafuta umuone Waziri.
Hawa matapelii munatakiwa muwe na profile ya FAME AND SHAME picha zaoo ziwekwe on public waonekanwe kwani watu kama hao hawaishii hapo...muweke picha zao hadharani wajulikanwe kuwa matapeli wasbulikiwe popote walipo....huu ni muarabaini...matapeli wanasumbua sana...
Mahakama aiwezi badilisha hati ya mtu ata siku moja mgogoro hapo chanzo chake watu wote wawil wana offer ila mmoja offer yake akapata hati uyo mwenye hati ndo anakuwa mwenye nguvu kisheria mjane ana nguv hapo ndo mana maamuz ya wazir yakawa mepesi sana kwenye ilo
Silaa wananchi wa kawaida hawafahamu mambo mengi na naona kama ukikosa kuwaelezea haraka wananchi unapoteza muda mwiiingi. Explain and finish the matter
Hatimaye dada yangu amepata haki yake! Ahsante mh rais kwa waziri huyu!😊
Mawaziri wengine waige mfano huu wa utendaji uliotukuka! MUNGU AMEKUBARIKI SANA SLAA❤❤❤❤❤
Safi sana waziri Yani mwendo wa kuwapatia watu haki zao ndugu zangu tuepukana na dhuruma iwe ya ardhi na vingine haki ya mtu haipoteo hata ukifa utailipa tu
Wazili silaa sijui nikupe mauwa yapi nyekundu au ya bluu kwa kazi unayoifanya unanifuraisha na unawafurahisha jamii kwenye njia ya haki unatowa jibu hapo kwa hapo kaka nakupa mauwa nyekundu ya upendo mungu akupe maisha mema na marefu na pia kazi njema pika kazi kaka kutenda sisi wanting a tusiojuwa nani statuettes ❤❤❤
Tunaomba Mawaziri wote Watatue migogolo ya Wananchi kulingana na Wizara husika. Big up sana Mheshimiwa Silaa.
HAKUNA HAKI KWA WANYONGE TANZANIA. HUYU MAMA HAJAPEWA KIWANJA CHAKE PAMOJA NA WAZIRI KUSEMA NI HAKI YAKE. HUYU MAMA ANALIPA KODI YA ARIDHI KWA M8AKA 30 + KWELI MNAMZUNGUSHA KUMPA HATI.
Waziri Jeri huyu mama nazidi kufatilia hii kesi ya huyu mama mbona wizard ya aridhi tanga wanamnyima hati ya kiwanja chake. Huyu mama anateseka kyfatilia haki na angali yeye ndie anaelipa kodi ya ardhi jina lake tu ndio liko krk system huyu hadija Rashida hajawahi kulipa kodi ya serekali hata siku moja. Aridhi tanga wanakuja na historia ya mita 60 hizo mita 60 mumpe haki ya mumewe hata ikiwa hatua mbili apewe. Tanga aridhi mama kizimkazi anahitaji kufukuza uongozi wote na kuajiri uongozi mpya hata huyu kamishina mpya aliekuja nae amekua akimzungusha huyu mama. Ila haki ya mtu haipotei hii kesi tutaifatilia natutajua haki iko wapi ya huyu mama kabla huu mwaka haujakwisha
Mungu akulinde waziri Jerry Slaa,Rais Wetu Mama Samia,tunakuombea Sana,Mungu akulinde na akupe macho ya Rohoni kuwateuwa viongozi Kama Slaa na Makonda,
Nimelia mimi jamani hongera sana waziri silaa umempa haki yake mama wawatu jamani 😭😭😭😭
WAZIRI SILAHA ANAFANYA KAZI SANA. MUNGU AMZIDISHIE MAMA SAMIA NA AMZIDISHIE WAZIRI SILAHA KTK UTENDAJI WAKE. ILA HUYU MAMA HAJAPEWA HATI YAKE NI MWEZI WA2 YUKO TANGA ANAKANYAGA TANGA ARIDHI KUFATILIA HATI YAKE
Boraaa niliona kbsaaa huyu mwenye jiba mbaba ifu wallah I love you silaaaaaaaa miaka mingi kwako
Mheshimiwa Slaa Mungu akulinde🙏🙏❣️
Hongera mkuu mungu anaendelea kukurinda
Katika kitu ambacho mama ametufurahisha ni huyu waziri 🙏🙏
Akatukane police atapata sehemu ya kukaa 😅😅😅😅Nimecheka mno
jamani mh. waziri atakuwepo tabora lini jamani atusaidie na sisi tunamatatizo kama hayo
Hatimaye dada yangu amepata haki yake baada ya mahangaiko! Ahsante Mh. Rais kwa waziri huyu na utaratibu huu.
Kumbe mahakama wanaweza endesha kesi na kumalizika kwa siku Moja tena masaa tu
Ndio maana mahakama wanampiga vita waziri wa ardhi kwa sababu hawapati pesa tena
Kbc yn
Hii ni hatari kweli kweli
Aisee mahakama zetu milolongo mirefu na kama huna hela za kulipa mawakili haki yako inaishia njiani unabaki unalia na mungu wako tu...
Mh. Waziri hongera kwa kutenda haki Mungu akubariki sana siku moja utafika mbali sana
Eti mpiga debe😂😂😂😂😂😂
Mungu akulinde waziri wetu
AMINA 🙏🏽
Mh;waziri kwanza Hongera sana Kwa kazi nzuri ila naomba uwasaidie na hawa ambao wameuziwa kimakosa wakamatwe wote wanaohusika na utapeli weka ndani walipane CHINI ya vyombo vya Dola ikiwezekana wafilisiwe hata nyumba zao ili kuwanusuru hawa waliodhulumiwa bila kujua🙏🙏🙏
Hiyo kazi ya polisi sio waziri
Asante waziri anafanya kazi nzuri sana hongera
yani viongozi wote mngekuwa kama huyu nchi ingenyooka
Jamani waziri silaa fanya kazi maombi ya nakusundikiza mungu akusimamie sana sana sana 🙏🙏
Waziri pambana na watumishi wako.ndo wanaotoa hzo nyaraka.
Hakuna nyaraka iliyotolewa hapo na ndio maana ilikuwa rahisi kumaliza huo mgogoro, mama mwenye juba toka mwanzo niliona tu hajielewi amekulupuka kununua kiwanja labda sababu ya sehemu yenyewe Sahare ni hot cake kwa mkoa wa tanga ameuziwa kwa bei rahisi kwa vyovyote vile na yeye hakuangalia yafuatayo baada ya kununua, yeye sio tapeli ila ametapeliwa baada ya hapo anavutia upande wake bila kuangalia haki, nishauri tu watu wanunuapo sehemu za watu walifariki wahakikishe kubadilishiwa majina kabla ya kununua walipe tu pesa ya awali majina yakibadilishwa ndio wamalizie pesa.
Hongera kwa Mheshimiwa Waziri, aendelee kutetea wanyonge
Ukitaka kukaa nenda police Tena watukane slaa bwana😂
Mungu akupe maisha marefu waziri
Polisi, nenda kawatukane watakupa sehemu ya kukaa bure na chakula hahaha
Mama mzee mungu kasimama nawe
Toto waka nimesoma nae msimbazi mseto
😂Nasikia nenda kakae police shikamoo waziri
Mungu akutunze afya njema na kila la heri waziri wngu pedwa slaa
Poleni kununua viwanja nendeni ARDHI KUOMBA KIWANJA
Daaaa mpaka naria
Shukran kwa mrejesho
Waleykum salaam 🤝
Akafu wadhulumati wanakumbiliya kujitandiya ALLAH atuongoze
Nenda katukane police watakupa sehem ya kukaa
Kwakweli silaaa makonda chalmila viboko
Usiombe aya mambo ya kudhulumiwa yakukute au yatukute mpka uje ukipata haki yako sio leo mungu mkubwa kila kitu subra
Sasa kwa Nini mahakani huwa wanachelewesha,kama siyo kutengeneza rushwa ni Nini?
Dhurumati wanaondoka Kwa aibu
Niwatendahaki kwakweli
Et we mjomba aake nani
HII HAPA ITAONGEZA MATATIZO WATU WANATAPELIANA MIAKA MINGI MNO MAHAKAMA INACHELEWESHA HAKI ZA WAHITAJI.
Huyo mama nilijua tu lazima atanyang'anywa tu hicho kiwanja! Kwanza hajui kuongea, hata kama mwongo anajifunza kudanganya! Unapoona kiongozi mkubwa kakutingia! Unapaswa kunyoosha maelezo! Ukipinda pinda tu, huna chako!
Maskini.allah mkubwa.usilie.nenda kasali.rakaa.mbili.zakumshukuru.allah
Watukane utapata pakukaa for free
Matatizo ni mengi sana kwenye swala la ardhi.. lkn wizara ya ardhi nayo imechangia migogoro mingi
Tafadhali Raisi mpendwa mpendwa huku waziri ulinzi
Pongezi sn kwa wazili ila pia tuwe makini sn na ununuzi wa maeneo hakika maana utapeli nimkubwa mno
Waziri Slaa anajua kazi yake na hufuatalia kila document yeye mwenyewe.
Hivi tusaidiane elimu hapa nawaona hawa ambao wanaenda Kwa mh jerry silaa Wana makaratasi mengi Sana sasa huku Kando Kando ya miji kulikuwa na utararibu wa kuuziwa na wajumbe na wenyeviti wa serikali za mitaa wapo watu Wana karatasi hyo moja tu sasa ili apate hayo mnayoyasema hapo mambo yanayohusiana na umiliki afanye Nini na jee Hizi karatasi za wajumbe na wenyeviti zinaweza kutumika kama kielelezo cha umiliki?
Waziri Slaa kasema mara nyingi sana kuwa Wenyeviti wa mitaa/vijiji hawana mamlaka ya uuzaji wa ardhi... sasa ndugu yangu una hilo tatizo nenda wizarani au tafuta umuone Waziri.
MAHAKAMA YA NYUMBA NA ARDHI IVUNJWE
Rais wng ajae namuelewa sn
Nawafatilia Sana Msiongee nyuma ya Camera Mnakuwa kama Sio Ma Pro Bhana Au kateni ivo Vipande Msiweke Huku 💔💔
Daso !!
Yani mara ua pili hii lkn mambo ninyaleyale
Ule usemi wa haki haipotei bali huchelewa
Hawa matapelii munatakiwa muwe na profile ya FAME AND SHAME picha zaoo ziwekwe on public waonekanwe kwani watu kama hao hawaishii hapo...muweke picha zao hadharani wajulikanwe kuwa matapeli wasbulikiwe popote walipo....huu ni muarabaini...matapeli wanasumbua sana...
Kuna mijitu.haina hata soni kujifanya mijuaji wewe unaingilia kiwanja au mali zina wenyewe it is a matter of time
Silaa Za droni Zinapiga kwa Majambazi Tanzania 🇹🇿 ♥️ 😂😂
Mataperi nikishaona wanatunga .walitaka kumdhurumu
Bwanake huyo
Hahaha
Wewe ni tp nini kwenye sekta hi nini mbona unaumia watu kutendewa haki
Nachomshangaa huyu waziri keshambiwa kesi iko kahamkani ye anatoaje mamuzi huku mtaani? Kwanini asisubiri mamuzi ya mahakama? Au anadahrau mahkama?
Nyie ndio matapeli mnaokimbilia mahakama kudhurumu watu
Nyie ndio matapeli mnaokimbilia mahakama kudhurumu watu
Mahakama aiwezi badilisha hati ya mtu ata siku moja mgogoro hapo chanzo chake watu wote wawil wana offer ila mmoja offer yake akapata hati uyo mwenye hati ndo anakuwa mwenye nguvu kisheria mjane ana nguv hapo ndo mana maamuz ya wazir yakawa mepesi sana kwenye ilo
Silaa wananchi wa kawaida hawafahamu mambo mengi na naona kama ukikosa kuwaelezea haraka wananchi unapoteza muda mwiiingi. Explain and finish the matter
Kamaliza sasa we ushawahi ona kazi yake inaishia hewani
@@AllyMaya-yj3xd 🤨kweli kamaliza ki haki na kuwapa wahusika msururu wa hatua huyu mfate huyu na huyu mfate huyu na huyu achukue haki yake
Hawana hatabaibunwanamsumhua bubinwa watu wametoa.macho.wanajiumauma hawana majibu
Yani Hawa kina.mama.wanatuangusha tanga Yani Hadi nakereka huku
Kwani sllaa jamani mahakama?
Ulikuwa haujui?
Jambo liko wazi kabisa unataka mahakama ifanye nini?
Kwenda aaah zako hata kuandika hujui jinga ww