Kuna mambo kwenye haya Maisha naona kama watu wanafanya masihara na mambo ya watu mtu unamuheshimu vizuri tu na hujawahi kumkosea anakuja kwenye Video zake Anaitaja IFAKARA...!
Bonge la interview, nili enjoy sana Jana kuangalia kupitia channel yenu katika kisimbuzi Cha Azam👊, Ngoja Nagwa kumbe ni mtu flani hivi akiwa kihome boy ni mstaarabu sana
Hapa naona km nyumba ya shemeji kile chumba alichosema nagwa cha kwake ni uongo kile ni chumba cha dadaake na mumewe na mtoto wao maana pembeni kuna kikabati cha mtoto
Tanzania njaa tupu unafanyia star interview na ule bure kwake inatakikana uwalipe hamuna hata haya shenzi type hakuna interview ya bure ulaya waa Africa njaa tupu
Nampenda saana uyu jamaa anajua saana mashaa allah tabarakallah feek 🎉
Hiki ki nyimbo cha nusu saa huwa inakosha 🎉😊
Nani kama mama katika dunia hiii🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo nimekuwa wa 8😂😂😂haya sasa Saleh kwa mwamba muhuni huyu jamaniii 😂😂😂😂 MWAMBA NAGWA😂😂😂KAMA UNAMKUBALI NAGWA LIKE 10 ✌️🪑
Hakunaga sehemuu nakukosag ww😂😂
Na number yake Ni hiyo 8 yahani mzunguko 😂 mchezaji wa Kati kiungo Muimu
@jaybajay9973 tushamjua🤣🤣
Huyuu jama angekuwa south africa leo hiyii ni boss mkubwa
Team Nagwa tunakuhitaji Tunduma border 💪💪💪💪💪
Kila mtu anapenda maisha mazuri chumba kinaonyesha sio chake yaani chenyewe kinajieleza, vijana tufanye kazi kwa bidii ili tutimize tunavyovipenda
CHA NAN
Acha ushamba mpaka unamjua inamaana anafanya kazi
Wivu ni kama huu na Wivu Mwisho wake n kuwa Uchawi😊
Wivuuuu wivuuu mama wivuuu
Sicheki na wowote naulinda wangu mooyo😂😂@@kibsafrica3604
Ukimuangalia kama BornaBoy
Kumbe kazi imefika kwenyewe 😂😂du ila hadi leo najua madadi yakikupanda unakaba tena
Mie mzazi cwezi kusema sana,zaidi namuomba M'Mungu atuongoze vizazi vyetu hakika mtihani,hadi hujui mwaka wa kuhitimu kidato cha nne,ni sheeeedah !
Acha ushamba kusahau kawaida
We umetokea wap kheee...em tupishe sie
We unae jua hadi vdudu mwanao umetoboa nn!!? Maana elimu ya bongo sio mchezo
Mungu amefikaje apo bibi naona kama hujaelewa kinacho ongelewa kusahau sio shida mana watu vichwa vinamambo mengi mama
Saleh hongera mzee unajua kazi yako
Mbona kama mondi huyu 😂😂😂,nagwa
Mungu wetu ni mwenye huruma lazima akupe hutaji la moyo wako
Oya baga sawa ww legend sema nn hyu muhuni kakuacha bro but respect baga
Etiih iih baba kweli jibwa aah aah😂😂
mi navoionaga sura 2 nlkua nadhani zamani alikuaga mkabaji kumbe kweeli ila ata saiv mashetani yakipanda anakumbushia enzi kiidogo😂😂😂😂😂
Leo wa 10 😂😂😂😂
Ukimwangalia nagwa kuna Mondi na Burna boy ndaani yake Lakini Mondi na Burnaboy Hawafanani 😂😂😂😂
The life I went through and I'm proud of it🎉🎉🎉
Hivi hizi like Zina kazi Gani jamani Sasa kama Kuna anae jiamini humu alike aone nitakavyo mfanya kudadeki.
😂😂😂😂mwehu
Tunaijua hiyo unajua wbongo wabishi wata like kukubishia upate like nying
Kwani kitambaa huna unafuta jasho kwa mkono😊😊😊
Jamaa anakaa sehem nzur mhuni mwishon anatengemew na wazaz
😂😂
sure
Nimempenda sana mama yupo vzr mau yake
Dunga mawe ni uhalisia wake 😂🙌🏾
Nagwa❤❤❤❤❤❤❤
Mm leo 3❤❤❤😂
Alaf ulishawahi niibiaaa kakaaa naomba begi langu boss 😂😂😂
😂
😂
Huyu bro yupo vizur sana ila anavituko😅
Jmn mama mzuri hata hazeeki
Apa umetisha sio wale waliopita kama unataka ushauri upate wa wenye mvuto kweny pind nichek ii kal kuna watu wanataka wawaone
AKUNA MASTAR WETU BONGO STORY YAKE AKATOA YA KINYONGE KILA MTU SHAP 🤣🤣🤣
Jamaa kusema hajui form iv kamaliza mbona km anatupanga aiseeee yani hujui umemaliza lini come on
Hawezi kusema kamaliza lini mtamkadiria miaka yake
SAlehe ulishindwa vipi kuhusu kuuliza kama anampenzii😂
mbn anamke kabisa
elewa anaposema MWANANGU SANA
Ngoma nagwaaah😂😂
Mcheshi sanaaaa😂❤
Axha manga mpenzi wa kobixiiiii😂😂😂
Ula ula msamba mwelenyi miaka mingi hatujafirimba urembe😂nagwa 😅
😂😂😂 Hatuj firimb ulembe
😂😂😂😂😂haipingwi@@tifashadrack7135
Mbona story kama mov anaiandaa😂😂
😅😅😅😅😅😅nampenda wewe kinega wewe nishida uwanacheka sana nikimwangali kitimtim
Katka interview niliipenda hii
Kuna mambo kwenye haya Maisha naona kama watu wanafanya masihara na mambo ya watu mtu unamuheshimu vizuri tu na hujawahi kumkosea anakuja kwenye Video zake Anaitaja IFAKARA...!
Inaonesha jamaa suala la shule kwake changamoto but he is good guy.
Kafanana na mama ake sana
Bonge la interview, nili enjoy sana Jana kuangalia kupitia channel yenu katika kisimbuzi Cha Azam👊, Ngoja Nagwa kumbe ni mtu flani hivi akiwa kihome boy ni mstaarabu sana
Salehe maswala yakula km mm ivi like zenu km nimeongea ukwelii
Usimzarau mtu kajipanga nyumba nzr sijui yake
Pipa na mfuniko interview mpaka chooni kweli watazamaji kaeni tayari kuonyeshwa hadi nguo za ndani
Napenda movie za uyu mwamba sana
Saleh kanaogopa ka ubwakoko flani hivii😂😂😂😂
Ududu flan iv
Kwani hiyo car hina air c
Loook alike ya burnerboy.❤🇰🇪
Wanafeki maisha utakuta ata nyumba sio yake
Hahahaha nagwa muongo amezengua hicho CHUMBA sio chake ni nchumba Cha watoto
Kujifanyisha kazi huko unadowea kula t😂
Watoto 20😂😂😂😂😂
Anasautu nzuli sanaaa
Lakini angetuakaribisha kwake ingekua bomba zaidi😁apo kwa binamu sijui shemeji 😄😄 naona watoto wa familia wanaingia na kutoka🤣🤣
😂
Wanaume wa dar wanaogopa ubhwa😂
Wamjua vizuri german shefard wewe😂😂😂😂
sio mbwa wa huko chaka hao...............
Swalehe tena apo kwenye msosi
Me ndowakwanz ama nipeni likes bsi
Sii kwake😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Anaishi vizuri kweli
❤❤❤
Saleh huwa unaogopa mbwa sasa si ungeuliza huko hakuna 🐕
We nagwa sari zikowapi
Leo 10 😂😂
Wa 8
Allah atuongoze umasikin usitufanye tufany mamb yalokuw hayamridhish mtu
Munafanyaaaa useraaa mama zenuuu vijanaaaa wanasukaaa mpakaaa rastaa shauriii yenuuu
Wamasai wanaume wanasuka....wanawake wanyoa....kila kabila na utamaduni wake
Na iyo Pini vipi
ELENI ZA KAKA NAGWA MMEZIONA?
😂😂😂😂😂😂😂Salehe unaogopa mbwa hatari hata kwa mwakinyo uliogopa hivo hivo
Hapa naona km nyumba ya shemeji kile chumba alichosema nagwa cha kwake ni uongo kile ni chumba cha dadaake na mumewe na mtoto wao maana pembeni kuna kikabati cha mtoto
wototo wa dah.. wanaogomba mbwa hatari..wasijokiogopa ni shipsi tu
Hajuwi anaejuwa Ni Baga tu
Unaojiwa mambo ya maisha unaleta mzaa et Nina watoto 20 kuweni makini kumbuka reo ndio tunakjua ww kama ww.sio yule wa movie
Gadueshen!😅😅... Nagwa eeeh ni Graduation 🎓😊
Hii ni nyumba ya family au ya nagwaa
Familia
Mbona Mnafeki. Nagwa Alikua Ndani ila katoka kavaa Maiki. 🤣🤣 Afu salehe unavunga ujui kama ndan Kuna Mbwa maiki Nan kampelekea nagwa Ndani.
NI SET UP YA KAZI
@jeremiaaugustino7187 . Ee sasa Haina ualisia. Kaz ya salehe nikusanua Maisha ya Wasanii au watu Maalufu. Sasa Wasifeki stor
Mashallh
Kwani cku hzi kuna mashindano ya kuwahi ku comment, kama mazuzu vile 😂
Nipo apa shee uliyenikaba asubuh nacoment
Kwaiyo saleh gari haina AC au?
Mmhhh apana
Atuoneshe geto bana
Nunua kitambaa cha jasho. Mtangazaji huna kitambaa cha jasho?
😂
jamaa balaam sana
Wa4
Ngoma nagwa
Salehee jembee
Umeme amna
Wewe kumbe chizi
❤❤❤❤❤❤🎉
Melvin huyo
Et muilize hvi unampenzi nagwa😂
😂😂😂
Umaraya tuu😂
Swalee tunaomba umtafute na Chado
Watoto 20
Tanzania njaa tupu unafanyia star interview na ule bure kwake inatakikana uwalipe hamuna hata haya shenzi type hakuna interview ya bure ulaya waa Africa njaa tupu
Nagwaaaa
Tumepigwa sio kwake
Get zito mazoezi tosha litafutie remote