"WEE..!!! ACHA KUNIJIBU JEURI, NITAKUVURUGA" RC SENDIGA AMCHARUKIA MFUGAJI KWENYE HILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 165

  • @shaban6644
    @shaban6644 ปีที่แล้ว +29

    MashaAllah, Bi mkubwa anaelalamikia wafugaji kapendeza kajistiri vizuri. Allah amjaze kheri zaidi ❤❤❤

  • @leonardgervas7515
    @leonardgervas7515 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akubariki muheshimiwa unapiga kazi sana👍🏻👍🏻

  • @abdulwaheedmzury351
    @abdulwaheedmzury351 ปีที่แล้ว +6

    Mh queen nampenda saaan jaman , mm msanii Dully star kwakwely natoa ushuhuda huyu sister ana moyo msafi mnooooo😍😍🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @estherdalleiy1461
    @estherdalleiy1461 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana nimependa kiongozi mzuri san huyo dada

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 ปีที่แล้ว +12

    Huyu mama ni bonge la kiongozi nafahamu vizuri sio kwa kumsikia tu bali kwa kufanya naye kazi karibu tena mkoa wa Rukwa Queen🔥🔥🔥 .

    • @leonardmwayeya13
      @leonardmwayeya13 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kitu ngoja water tembo waharibi mazao wore kimya

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว +6

    Nacheka sana kiongozi akiwa na hasira mbele ya wananchi na kunyoosha kidole Nouma viongoz wetu wa michongo

    • @ngaiwafamily6564
      @ngaiwafamily6564 ปีที่แล้ว +2

      Viongozi hawajui hata maadili ya kazi zao

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 ปีที่แล้ว +1

      Kweli wa mchongo hawa hawana lolote hawa wachumia matumbo tu

    • @jafetykaberege4948
      @jafetykaberege4948 ปีที่แล้ว +1

      Kiongozi nae ni binadamu, unawezaje kutopaniki kwa zarau kama hizi za hao wamasai?

  • @leebronkasianh5296
    @leebronkasianh5296 24 วันที่ผ่านมา +1

    Yuko vizuri sana,tatizo wamasai wanatabia ya kudharau wanawake na kuwanyanyasa sasa wanazani nikila mwanamke.

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 ปีที่แล้ว +11

    Yani wafugaji ni tatizo Sana wanaweza kuziachia ng'ombe makusudi na zikala

  • @melkizedeckmathew5908
    @melkizedeckmathew5908 ปีที่แล้ว +1

    RC Hawezi vuruga mwananchi do your job kutatua matatizo kisheria sio kutishab watu

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l ปีที่แล้ว +8

    Nitakuvuruga sasa hivi!🤣🤣🤣😂😂😂😂😅 This is the kind of leadership. It called Commanding leadership

  • @Mnengatv
    @Mnengatv ปีที่แล้ว +6

    Safi sana❤ RC

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +7

    Viongozi wa vijiji na kata wanakula rushwa kutoka kwa wafugaji, ndiyo wanawapa wafugaji jeuri

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +6

    Masikini wanamunea huyo mama.kwakuwa ni mtu mima na ni mwanamke?mpeni haki yke na musimdhuru😢

  • @ntendindaaasab7405
    @ntendindaaasab7405 ปีที่แล้ว +7

    Wafugaji baadh ni tatizo kweny hii nchi

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb ปีที่แล้ว +3

    Safi sana RC rais WA badae uyu

  • @Worldunite
    @Worldunite 19 วันที่ผ่านมา

    Ushauri tuu kwa huyu binti, ni kwamba ukishaamua kuwa kiongozi inabidi kufuata kanuni na sheria za uongozi, mi sidhani ukali huo unasaidia ila busara zinatakiwa zaidi kuliko jazba 3:49

  • @michaelpetershoo1885
    @michaelpetershoo1885 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mh RC wavuruge sana wasio tii sheria bila shuruti.Wafugaji hawako juu ya sheria.😂😂😂

  • @masweto
    @masweto ปีที่แล้ว

    tatizo ka ngombe kuzurula na kiharibu vitu vya watu ni kubwa sana nchini RC saidia sana kweli wafugaji wanaudhi sana hasa wanaotembeza mifugo yao

  • @KamotaabdiKamau
    @KamotaabdiKamau ปีที่แล้ว +2

    Safi sanah mama unauchapa mwing sisi wenyej wahuko kilimo kwetu kinakua changamoto kwajil ya mifugo

  • @buffchinksmziray9681
    @buffchinksmziray9681 ปีที่แล้ว +3

    Kachukua umafia wa Baba Mzee Sendiga. R.I.P Babu. Tumemzika juzi nyumbani kwake MZUNDU HANDENI. Mama anachapa kazi kikamanda... Nimeiependa hiii. "WEEEEHHH ACHA KUNIJIBU JEUR. NITAKUVURUGA"

    • @salomejames9639
      @salomejames9639 ปีที่แล้ว +1

      Yaan hapo nimeangalia zaidi ya mara mbili😂

  • @mako331
    @mako331 ปีที่แล้ว +5

    Hivi kuna mikoa sijawahi kusikia Mkuu wa mkoa akitembea wilayani kufanya mikutano kama hii! Kwa mfano Kilimanjaro hivi ni kwamba wananchi huko hawana kero au?

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 16 วันที่ผ่านมา

    MiFUGAJI YOTE MIPUMBAVU SANA

  • @onesphorymgedzi995
    @onesphorymgedzi995 ปีที่แล้ว

    Hongera Mhesbimiwa lakini wanaonufaika nahaowachunga mifugo watasema umewatukana wapigakura lakini ukweli utasimama hii nnchi bilakua wakali hatutofika

  • @angelabanzi8253
    @angelabanzi8253 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema akutunze

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว

    Hahaha my queen angalia usiitwe Paulina😂😂😂

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 หลายเดือนก่อน

    Sikujua kumbe nawe umelewa Madaraka. ACHA JEURI NA KIBURI. CHEO NI DHAMANA YA MUDA TUU

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini anamuonea huyo mama na lilivyo jeusi kama mpira linamuonea mama yetu kwasababu linajuwa mama hana chakufanya sheria ipo mama apewe haki yake

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว

    Mh❤️❤️❤️❤️

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 ปีที่แล้ว +3

    Yani kama hapa mwanza mjini ng'ombe kila

  • @saruni5673
    @saruni5673 28 วันที่ผ่านมา

    Ccm wanakujag dakik za 90

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 ปีที่แล้ว

    Huyu Sendiga anajitahidi kufanya kazi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 ปีที่แล้ว +3

    Daaah aisee Raia wengine wanadharau sana kwakweli

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 ปีที่แล้ว

    Mkuu anaonekana ana stresi sana.Pole mama utakaa mwenyewe tu.

  • @lucasmassawe4992
    @lucasmassawe4992 ปีที่แล้ว +1

    Hatupoi kazi iendelee

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว

      Hupoi wewe na RC mi ndugu au ...Ila vijana waa hi shama ni vyawaaa promax

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka ปีที่แล้ว +3

    Nyie mnaomsema vibaya Rc wale mliozoea kulisha mazao ya wakulima nawengine ni waliozoea kuonea na dhuluma mkuu yupo sahihi kabisa kumunyoshea kidolle kwasababu sahiz watu wanafanya wanavojisikia

  • @BongeBrandtz
    @BongeBrandtz ปีที่แล้ว

    Huyo manz nae anajifany kama sharia kaishik yey nch nayake au

  • @djpassovertz..tunaishimaramoja
    @djpassovertz..tunaishimaramoja ปีที่แล้ว

    Serikali inaajiri majambaz 😂😂😂😂😂Baba wa watu unamnyooshea kidole kisa cheo cha kuteuliwa mtakufa vibaya mbwa nyie

  • @hemedisalim5522
    @hemedisalim5522 ปีที่แล้ว

    Bwege tu uyo RC

  • @aud548
    @aud548 ปีที่แล้ว +1

    Sasa libendera la nini jamani😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      Uzalendo jmn😂😂

  • @wozanawewoz979
    @wozanawewoz979 ปีที่แล้ว

    Yaani sasa hakuna hata documents huyo waziri ameenda tuu kwa kiki sasa kila mtu akisema amenunua shamba miaka semanini hati zikwapii

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 7 หลายเดือนก่อน

    Safi Rc

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 ปีที่แล้ว

    Mbona anajijaza hasira mwenyewe sasa,

  • @nestorymsacky6838
    @nestorymsacky6838 ปีที่แล้ว

    Masai si wanajifanyaga wehu 😅😅😅😅😅 wajichanganye

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 ปีที่แล้ว

    Ufugaji uko mahututi nchi tanzania

  • @geofreylusungu8253
    @geofreylusungu8253 ปีที่แล้ว

    Hii nguvu ya madaraka, viongozi tumieni mamla yenu vizuri

  • @JJTV2023
    @JJTV2023 ปีที่แล้ว

    Mwanamama Mchapa kazi

  • @tinajoe5487
    @tinajoe5487 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana

  • @heriethsande4310
    @heriethsande4310 ปีที่แล้ว +5

    Mama mkuu wa mkoa tatizo la wamasai ni kubwa sana wakulima tunateseka sana na hao wanawalisha ng'ombe kwenye mazao.

  • @SwalehMgumia-zz4pe
    @SwalehMgumia-zz4pe ปีที่แล้ว

    Dah...!!! Acha masihara na sendiga

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli wafugaji wengi ni washari Sana hawana utu hata kidogo

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 ปีที่แล้ว

    Awa mademu washaanza kujiona kichwa 😊😊😅😅

  • @justinefelis2071
    @justinefelis2071 ปีที่แล้ว +2

    Wengine wanalisha mchana na wengine wanalisha usiku usiku usiku wa manane

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 ปีที่แล้ว

    Kwani huyu mama anafuta bagi au Nasema na kiongozi

  • @petermabula4492
    @petermabula4492 ปีที่แล้ว

    Tunaonew sana wamasai

  • @flova7022
    @flova7022 ปีที่แล้ว +2

    Masaiii na mang'ati wote wanaolishiaa mazao wauwawee

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 ปีที่แล้ว

    Wafugaji watu jeur kukuua awaoni shida,

  • @mereyamhomesmariamhomes3464
    @mereyamhomesmariamhomes3464 ปีที่แล้ว

    Hawa wafugaji nishida sana hasa wasukuma waliopo Rufiji shida tupu

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 ปีที่แล้ว

    Sasa ukiona viongozi wanavaa bendera za taifa ujue ni dhahiri Fazi la la taifa Bado halijapatikana na ndio kwanza KAZI NDIO zinaanza

  • @jumberichardkilopa6465
    @jumberichardkilopa6465 ปีที่แล้ว

    Sijui Tanzania kwanini wanachuki na ngo'mbe

  • @LightnessCharlseKimaro
    @LightnessCharlseKimaro ปีที่แล้ว

    Wamasai wasenge sana hawa

  • @cvicentryoba9988
    @cvicentryoba9988 ปีที่แล้ว

    Viruga uyo mama sendiga

  • @killianpaulmahembe970
    @killianpaulmahembe970 ปีที่แล้ว

    Sendiga Safi huo ndo uongozi lazima uwe na sauti ya mamlaka

  • @chacha-255
    @chacha-255 ปีที่แล้ว

    sio muda ataanza kuwaambia "tuliza matako"
    Wahehe kina Chalamila, Yule aliesema tuliza matako na huyu mnawaharibia wahehe huko mbele wasiaminiwe kwenye nafasi hizi, muwe mnajaribu kuwa viongozi mnaojibu kwa hekima na busara,

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂wamsamehe bure yan huwa tunataman hata kung'ata

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว

    Mmmhhh huyu afai hata kulumagia.

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt ปีที่แล้ว +1

    Tatizo rushwa ndio chanzo cha yote hayo maana wafugaji wana jivunia kutoa rushwa ndio maana wana jikuta ni miungu mtu 😃🙌

  • @handnewstv156
    @handnewstv156 ปีที่แล้ว +2

    Yani nikisikiga mfugaji ameuliwa nafurahi

  • @paulinapius3184
    @paulinapius3184 ปีที่แล้ว

    We kwini we haujui😂😂😂huyo baba wa pembeni sasa

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja mkuu tuliwskosa SS wanyonge watapona Samia oyeer

  • @FatumaMohamedi-t6t
    @FatumaMohamedi-t6t ปีที่แล้ว

    Nyie hamjakutana na wafugaji ni wakorofi wakilisha ukiwaambia wanakujib kwan si nimajani tu mm nimeacha shamba mpaka leo nataman hat niluze kabisa.

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 ปีที่แล้ว

    Vipi

  • @MauaHaji-ur4ln
    @MauaHaji-ur4ln ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @officialmkerewe
    @officialmkerewe ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂weee qn kacharuka

  • @salcle9702
    @salcle9702 ปีที่แล้ว

    Sema baadhi ya wamasai wakorofi afu wapumbafu tu!sasa hapo wanaulizwa swali afu wanacheka cheka kama mazuzuu.pumbafu sana

  • @abednego3876
    @abednego3876 ปีที่แล้ว +1

    I wish huyo RC angkekua ni Sabaya 😵😵😵

  • @ndennkya9554
    @ndennkya9554 ปีที่แล้ว +1

    Mhh aya kanyaga twende 😂😂

  • @ZainaRashid-t3m
    @ZainaRashid-t3m ปีที่แล้ว

    Nimekusoma muheshimiwa hivyo hivyo Kaza buti

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว

    Nchi ina watu waovu sana aisiee 😢😢

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 ปีที่แล้ว

      Wamasainijeuri saaan ndo mana wanaabiwa wahamie adeni

  • @Worldunite
    @Worldunite 19 วันที่ผ่านมา

    Uongozi hautaki hasira

  • @likimaro6
    @likimaro6 ปีที่แล้ว

    Yaan kiongozi anafokea watu kama watoto wake?

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Uyu mkuu ni zaidi ya mwanaume

  • @DanOlais-j8o
    @DanOlais-j8o หลายเดือนก่อน

    Enjomu injopiriki poooki

  • @sairismapunda8300
    @sairismapunda8300 ปีที่แล้ว

    Wachungaji wanajeuri sana

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 ปีที่แล้ว

    Hilo naunga mkono, wafugaji heshimuni mashamba ya mama zetu wanao lisha family zao

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Wafugaji ni wachokoxi sana.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 ปีที่แล้ว +1

    Hakamatwi😂

  • @kayangismaili9946
    @kayangismaili9946 ปีที่แล้ว

    Tumia busara mama hiyo sio lugha nzuri kwa kiongozi, sasa mfugaji anasema hilo ni eneo lake, na ndio Kwanza watu wameanza kupanda mahindi sasa huyo bibi amepanda lini mbaka anasema wamelisha ng'ombe kwenye shamba lake? Mm naomba serikali muwatengee hawa watu maeneo maana ufugaji na kilimo kukaa sehemu moja ni nguvu sana

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb ปีที่แล้ว

    Wanawaonga madiwani vingo,mbe

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 ปีที่แล้ว +1

    Tena wamlipe mama mazao yake ya nyuma

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de ปีที่แล้ว

    Zikamatwe😂😂

  • @emanuelnyab9872
    @emanuelnyab9872 ปีที่แล้ว +1

    Amevua ofisini akavaa kofia ya ulezi kama mama ili kuonyesha mkazo

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 ปีที่แล้ว

    Kichefuchefu

  • @AmanMrema-mk1mm
    @AmanMrema-mk1mm ปีที่แล้ว

    Mbona ubabe

  • @mrope348
    @mrope348 ปีที่แล้ว

    mang'ati wana dharau sana

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 ปีที่แล้ว

    CCM na comedy zao!!!

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 ปีที่แล้ว

      Comedy kwahio wewe unaona sawa hio migogoro ya wakulima na wafugaji iachiwe?
      Tumia akili kwabla ya kusema.

    • @abasmwika3432
      @abasmwika3432 ปีที่แล้ว

      @@salmahalfani6307 huna unalolijua pole sana

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 ปีที่แล้ว

    Wakome kama walivyokoma kunyonya ziwa la mama yao! Unapelekaje mifugo kwenye shamba la bibi nyau wewe!

  • @HENRYMATHIAS-h7e
    @HENRYMATHIAS-h7e ปีที่แล้ว

    Kwa mikakati hii mama hongera🎉

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 ปีที่แล้ว +1

    😅

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l ปีที่แล้ว

    Wamasai! 😂🤣🤣 Wana majibu ya shit

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 ปีที่แล้ว +2

    Huyo bibi analalamika kwamba mazao yake huwa yanalishwa na jilani na hana usibitisho wa moja kwa moja, kwani mtu akijenga boma karibu ndo mlishaji wa shamba? huyo RC hajawahi kuchunga analeta ukali wa bure tu.

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 ปีที่แล้ว +1

    huyo mpumbavu sindiga aache ujinga huo kwaiyo ng'ombe wafe

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc ปีที่แล้ว +3

      Kwa hiyo ndyo apeleke kwenye shamba lamtu uko sawa kweli 🤐🤔

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 ปีที่แล้ว +3

      Kwa hiyo na mama afe na njaa Kwa kulisha mazao yake?

    • @erickmajengo1861
      @erickmajengo1861 ปีที่แล้ว +1

      Akili Ni kitu muhimu sana

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +1

      Mpumbavu Ni wewe!

    • @jessalmas2122
      @jessalmas2122 ปีที่แล้ว

      mbona povu linawatoka nyie wapumbavu wa ccm na chama,chenu,cha mwenda zake,hoja ziro maendereo kwa wananchi ziro maji ziro