MZEE MTATA MBELE YA RC SENDIGA, ASHUSHA NONDO RC AKUBALI MZIKI WAKE, ATOA MAELEKEZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera mkuu wa mkoa kwa kumsikiliza mzee bila kumkatisha mzee

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 2 หลายเดือนก่อน +4

    Inalilah wainailaih pole Sana Babu ila umeongea vzr Sana
    Mwenyezi Mungu atulinde2🙏🏼

  • @samhendawallaa9984
    @samhendawallaa9984 2 หลายเดือนก่อน +7

    Tatizo watu wanacheka iwapo mzee anaongea ukweli

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah babu kaongea vizuri Allah akutunze

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 2 หลายเดือนก่อน +4

    Point tupu..mpeni like zake mzee wanguu🎉🎉🎉

  • @TumainiMbbise
    @TumainiMbbise 2 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa Mkoa Mungu akubariki sana.Tunakuombea Mungu akulinde na kukufanikisha.Asante kwa kuwaheshimu wakubwa Watakubariki uzidi kuwa kiongozi Bora🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Patriotism-x3v
    @Patriotism-x3v 2 หลายเดือนก่อน

    Well said babu❤

  • @NchamaLude
    @NchamaLude 2 หลายเดือนก่อน

    Safi mkuu wa mkoa mungu akubariki, Asante kwa kutoka elimu nami nimekuelewa.

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤ vle inafaaa wanaume wa enzi izo bila kupepesa maneno

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallaah ❤️ masikini mzee wetu
    M.mungu ambariki anatetea haki yake na wenzie.

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wangu yuko vzuri sana aisee
    Ni point sana kaongea mwenye macho anaona na mwenye masikio na asikie

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama nampenda sana❤❤❤

  • @salmanmagwe222
    @salmanmagwe222 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee ameongea vizuri sana, ila asituambie wakati wa mwl nyerere maisha yalikuwa mazuri,bali yalikuwa ni mabaya sana sana,tumetaabika mno,hakuna maji,umeme,sabuni,barax2,usafiri,shule n.k

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee unajua sana

  • @LucyMichael-s4u
    @LucyMichael-s4u 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee amefunguka,wengi wakifunguka kama babu wanyonge tusingewekwa kando kwenye haki.Hongera pia mamaa!safiii

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekapenda bure❤❤anasema kweli

  • @ISACKKILEO-e7z
    @ISACKKILEO-e7z 2 หลายเดือนก่อน +2

    huyo Mzee hatariii alikuwa mjeshi au?????? dah uko vizuri laigwanani.

  • @mariamhassan5247
    @mariamhassan5247 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee mda si mrefu ataenda mbali na mahojiano ya media

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah pole babu jino linatolewa kienyeji 😢😢

  • @AhamedyKibarati
    @AhamedyKibarati 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yuko sawa mzee

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mzee n noma sana

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 2 หลายเดือนก่อน

    Mkiambiwa serikali ya ccm imeoza mnakataa

  • @Mbewevunjabei
    @Mbewevunjabei 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wacha kuniquestion utaniharibu kisaikolojia.. vip hii pancha hiii😅😅😅😅😅
    Huyu babu yake nani wanangu

    • @buberwajohn1312
      @buberwajohn1312 15 วันที่ผ่านมา

      Panchi mujwarabu kabisa.

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kucheka tu alicho kisema nikweli kabisa Watendaji Wanamuangusha sana Mheshmiwa Rais Kwa Raia Wake Wananchi Wanapoteza Imani Na Mheshmiwa Rais Kwasababu ya Watendaji Wachini Ambao Hawaangalij Thamani yautandaji wao Kiukweli inaumiza sana Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Mungu Mbariki Raisi wetu Amin

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤wabie babu sasa hivi ufisadi

  • @robertnyantile4291
    @robertnyantile4291 2 หลายเดือนก่อน +2

    Anajielewa Wala siyo mtata

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sawa mzee

  • @GervasLyimo-f7p
    @GervasLyimo-f7p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. RC hayo matamko tumeyasikia sasa TUMECHOKA kwakweli. Hilo la Afya kwa wazee ni BURE sasa linataapisha. Ungemfuta kazi huyo dakihatari aliyemnyanyasa mzee tungeamini mko serious.

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee kasema ona hii pancha😂😂

  • @HarunaKitiku-sv1fe
    @HarunaKitiku-sv1fe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee ameamua kutoa ukweli wake

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee yupo sahihi sana

  • @mariamramadhani8012
    @mariamramadhani8012 2 หลายเดือนก่อน

    Sio mtata kaongea ukweli

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 2 หลายเดือนก่อน

    Amenena....

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 2 หลายเดือนก่อน

    Elimu anatoaa

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 2 หลายเดือนก่อน

    Fanya mchezo na mabomu nini!mzee alipigana vita ya Nduli iddi amini wewe😂😂😂😂😂😂😂😂👍👍😆😆😆💥💥💥💥🔥🔥🔥

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 หลายเดือนก่อน

    Apo watu watacheka ,itabak istoria kwamba mzee aliwachekeshaga lakin utekelezaj wa hizo kero ng'o ,, ndo upumbavu wa viongoz WaTanazania yetu😢

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee yuko vizur

  • @NasiHama
    @NasiHama 2 หลายเดือนก่อน

    Tutasikia kesho kapotea

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 2 หลายเดือนก่อน

    Wacha kuni....... 😅

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 2 หลายเดือนก่อน

    Kikao kimekuwa chake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hafsasaif8004
    @hafsasaif8004 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Mnacheka Nn wakati mtu Anawaongelea matatizo yenu yan watanganyika akili zao kama Mav

  • @sawegasper9670
    @sawegasper9670 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee apewe ukuu wa mkoa😂

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee anataka apokelewe kama fidimasho

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 2 หลายเดือนก่อน +1

    WajinA

    • @emmanuelnkuni7475
      @emmanuelnkuni7475 2 หลายเดือนก่อน

      Ukishaitwa Ima basi ujue ni kiongozi Ila akivurugwa shetani cha mtoto. Hili Jina so mchezo😂

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa bisi

  • @humphreyroberty8982
    @humphreyroberty8982 2 หลายเดือนก่อน

    Eti vp hii pancha hii 😂😂

  • @gwadandimeshack6615
    @gwadandimeshack6615 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉😢😢😢🎉🎉

  • @giztony2009
    @giztony2009 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wahuni tukizeeka ndo vile tunakuwa

    • @AmaniManase-x1i
      @AmaniManase-x1i 2 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo mkiwa ivyo mnakuwa wazuri au wahovyo?

  • @DavidChengula-g5v
    @DavidChengula-g5v 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂