Yaani Wazazi wawe wanaacha tu watoto wao, maana kuwabana sana napenyewe ni madhara tu miye naonaga upendo kwa watoto ndo kitu cha mhim lakini uwe mkali ujifanye unajua kulea utaumbuka nimeakaaa pale utakuja kuniambia😂😂😂 nishashuudia vingi sana kwa Umri niliinao huu siyi aba😂😂😂😂, Naipenda sana hii Family kama yakwetu❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏
@@rynesawaya7043 Tanzania ni bilingual na wengine tulikua forced kuongea English from a young age unajikuta tu at times unaongea hivyo. Et watu wanasema unaringa 😂😂😂
Ukiona hivo ujue mazoea kwao / kwake kazoea kukaa hivo lakini pia hataki kuwahoji watu kwa kuogopa anawafanya kama familia ndio maana anakuwa huru sana.,.....pia anafanya nao Kazi kwa upendo ndio mkubwa sana.
Kuna family zingine ma Sha Allah ata ukiwa nje unatuma pesa wanakujengea unarud na furaha..lkn wakina ssi ukiwatumia tu pesa wanakura na unatumiwa nyumba fenki
Ukisema bado unasoma kama ye mkubwa we mdogo vile,ni kwamba wakati we umetuliza kichwa kusoma,diana alianza kuigiza akiwa mtoto kabisa sijui shule ya msingi hukoo,we sio mdogo kwake
😊salehe kuna watu wana impact uyu weng awamjui muhoji mtu kama Salam ask itakuwa bonge la pind au ushaur watu wa kuwaoiji tunawajua ao wengin sio maarufu kabisa
Wewe ndo utakuwa umjui ila wanaofatilia bongo movie wanamjuaa,, hata huyo salam sk kuna watu hawamjui kabisa coz kazi zake sio za kuonekana kwenye media kifup hata salam ajulikan maybe ungeshauri awe anawafanyia mahojian wasani wakubwa
Nampenda sana Diana kimary jaman mzuri mcheshi yani she is too much beautiful ❤❤
Ndiio nani huyu
Yaani Wazazi wawe wanaacha tu watoto wao, maana kuwabana sana napenyewe ni madhara tu miye naonaga upendo kwa watoto ndo kitu cha mhim lakini uwe mkali ujifanye unajua kulea utaumbuka nimeakaaa pale utakuja kuniambia😂😂😂 nishashuudia vingi sana kwa Umri niliinao huu siyi aba😂😂😂😂, Naipenda sana hii Family kama yakwetu❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏
The way dady is proud of his kids masha Allah❤️
Diana yupo so humble masha Allah
Mashalah mashalah mashalah diana mungu akujalie uzidi kufanikiwa na kumlea vizur mwanao.. hongera pia kwakujitambua bado mdogo sana ..safi
❤❤❤❤❤nice interview
Yan nmeangalia mpk raha 😅😅😅 nampenda bure diana❤❤❤
Mh 😂😂😂unapenda kula❤❤❤
Nmempenda Diana ajajichubua Ana rang yake 😊
Nampenda cn salehe ❤❤❤❤
Good interview.....🎉🎉🎉
daaah mzee amenogesha sana aiseee
Ila Saleh kazi yako ngum kk.. Kupitapita hovyo namna hio wakati mzee yuko seblen🙌😅.. S/O to u broo
Ma Sha Allah Diana...
Interview Kali Sana,Salehe umetisha 🔥
Her dad is very humble and funny
nime mpenda baba anaongea vizur ila ame piga vyombo 😂😂😂 diana pia love youuu
Amepiga vombo😅
Wow baba ana feel proud na binti yake❤
Mzee kalewa na anapenda Sifa😅😅
Diana hana maringo❤ pia huyu kaka nae yuko vizur kwenye utangazaji wake. Nimewapendraaaa
Binti mzuri sana mwenye akiri, haana mambo yakuongea kingereza, hafeki mayisha haana maringo na mashauzi
Kuongea kiingereza n kufake maisha?😂😂😂
We ufaham wako mby jmn dah @@hawangunge8104
@@hawangunge8104 Kuna mkato kwenye sentensi yake,nikama 1,2,3....
@@hawangunge8104very sad kuna baadh ya watu wana mentality za kizaman sana 😂😂😂😂
@@rynesawaya7043 Tanzania ni bilingual na wengine tulikua forced kuongea English from a young age unajikuta tu at times unaongea hivyo. Et watu wanasema unaringa 😂😂😂
Mashalla ❤
Mmi nimejenga nyumba yangu mwenyewe ❤️
Salehe tuletee zamarad na Mrs. Kusah🥰🥰
Why salehe wapenda kupandusha migu kwenye na sofa na viti vya nyumba za watu? Its bad manner tafadhali jirekebishe uache hio tabia pls
😂😂😂😂nimechek kwa nguvu
Mm ingekuwa kwangu wallah angetoka hapo bila hiyo miguuu 😂😂😂😂😂 fakeni kweli 😂😂😂😂
Acha awe free ndo ananogesha, yupo kwenye uhalisia wake sio kufake uclassic
Huyu ana mambo mengi ya kike kike ,na kishamba na Kura kura
Hajafinywa vizuri alivokua mdogo sisi tuliofinywa kwenye mapaja hatuwezi fanya hivo
Nampenda Diana❤❤❤
Mama b ni mm mtupu kwa tabia nampenda❤
Diana my favorite❤❤❤ nakupenda bure aiiiseeee ila Diana kajinga nyie sasa umetamani ujinga wa Salehe
Same here
Dogo ni tabia mbaya sana kupandisha miguu juu ya viti/sofa za watu. Mbona waandishi hamna simple etiquette! 🙄
Ana uchaba waviti ndomana 😂😂😂😂😂
Ukiona hivo ujue mazoea kwao / kwake kazoea kukaa hivo lakini pia hataki kuwahoji watu kwa kuogopa anawafanya kama familia ndio maana anakuwa huru sana.,.....pia anafanya nao Kazi kwa upendo ndio mkubwa sana.
@@gloryjimson9831umemaliza kbs
Binafsi sivutiwi na hii tabia
@Bintimrembo_aibu shoboo
Kanataka kufanana na Mimi Mars❤
Kafanana na mzeee wake
Mie nakupenda sana salehe sijui kwann
Mashallah mzee mchangamfu sana na watoto wake
Diana nimekupenda ww hadi na familis yako mpo real ❤❤❤
Yaani tabia ya kupandisha miguu juu kwa mtangazaji ni tabia mbaya mnooo
Nampenda huyu binti hafeki maisha yake.
Amekua sana yaan hata kuongea anaongea kikubwa❤❤
Mzee kashawaka 😂😂😂😂sema hana kona kona
Momma ake Brianna nakupenda buree from Kenya ❤
yes she's telling the true about life in USA
She is "telling the true" about life USA? What does that mean? Which school taught you this kind of grammar?😢
@ I have live in USA more than 10 years so, I know what I said.
😂😂😂😂hy mzee kiboko msanii balaaa
Baba diana Mungu akupe Maisha marefu kwa kweli nimechek 😅😅
Bora nikawe housegirl marekani Kentucky Derby😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda saleh kwenye shughuli zetu unajuwa kupendezesha
Ungesema anapenda kura, na ana mambo yakike
@khadjamhozya
Mambo yakike yamekaaje mimi sijayaona
@@FatimaAli-of4ghlabda bwana ake ndo ana mambo ya kike
@@khadjamhozyahaya njoo basi tufanye hayo mambo yetu ya kike shoga yangu
Mzee kapata kamnywesho kidogo interview ikanoga
Kweli kbs wala ahusema sema uwongo
WoW
Sawa Saleh nina birthday ya wanangu ln shaa Allah 🎉❤
Nice
Huyu kaka anajichubua 😊
Mala pupa Diana nadalee wanapenda na😂😂😂
Kupandisha miguu kwny sofa siustaarabu,jirekebisheni.
Kuna family zingine ma Sha Allah ata ukiwa nje unatuma pesa wanakujengea unarud na furaha..lkn wakina ssi ukiwatumia tu pesa wanakura na unatumiwa nyumba fenki
😂😂Najma jamani
Nimelia sana kwakweli😂😂😂😂
😂😂😂kweli
Alhamdullih mimi nashukuru wazazi wangu❤❤
Pole sana mimi nashukuru ndugu zangu wanenifanyia jambo Alhamdullah siwachi kuwashukuru
❤❤❤
😂😂😂Ila baba jamaniii 😂😂maana mtoto wa kiume hasara 😂😂Mtoto wa kike ndiyo faidaa eti kweli 😂
Nilikuwagavnajua Diana ni mtoto wa Liama Aly
Kweli wamefanana sana
❤❤🎉
Diana nimekupenda ww hadi na familia yako mpo real ❤❤❤
I like her interviews Kwakwl 💕💕💕
Natamani diana aigize tena katika kipindi hiki yupo likizo
Maana ni fundi tunamjua vizuri
Mzee ana matambo huyu😂
Baba diana❤😂
Mwanaume hereni zann
❤❤ nimependa ajui ku fake life
Ukisema bado unasoma kama ye mkubwa we mdogo vile,ni kwamba wakati we umetuliza kichwa kusoma,diana alianza kuigiza akiwa mtoto kabisa sijui shule ya msingi hukoo,we sio mdogo kwake
Mzazi anasema Diana kazaliwa 1994 ila mtoto anakanusha anasema 1996 watu wanapenda Udogo
Anajichubua saleh mpka anaanza kutisha usoni
Diana mamake mtupu 😂😂😂
Ninzuri sana uyudada salee kuojiadi kitandani😢😂🎉 1:01:07
Harusi gn
Diana nimzuri af kafanana na lulu mwanzoni nlifkiri ni twins
Hehe kweli huyu dada hazeeeki
Maisha ya bongo mazur asikwambie mtu tuulize sisi tunaoishi nje ya Tanzania
Sana kipenzi changu
Saleh kuiga kubaya helen ya nn
😢😢
😂😂😂😂😂mbavu zangu jamani
Nampenda Diana jaman
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂 menichekesha
Ila Sarehe bangi eti kwahiyo yeye mdogokwa Diana
Bongo au nchi yoyote ya afrika ni burudani,kikubwa ni pesa tu,
We kasake pesa urudi bongo
mme post show bizz ya jana jumatano ila ya the reality show ya gigi money wiki ya pili hii hajapost huo ni ubaguzi nimeisubiri mpaka nimechoka
😂😂😂😂😂
😊salehe kuna watu wana impact uyu weng awamjui muhoji mtu kama Salam ask itakuwa bonge la pind au ushaur watu wa kuwaoiji tunawajua ao wengin sio maarufu kabisa
Wewe ndo utakuwa umjui ila wanaofatilia bongo movie wanamjuaa,, hata huyo salam sk kuna watu hawamjui kabisa coz kazi zake sio za kuonekana kwenye media kifup hata salam ajulikan maybe ungeshauri awe anawafanyia mahojian wasani wakubwa
Make kwanza nicheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema wewe umjui bwanaaa😂😂😂
Yuko sawq sio lazima watu wale wale bwana
Wa kwanza
Kitu Cha Kwanza Kabisaaa Ukiingia Marekani Au Kama Unataka Kuja Nikujua Kudrive
Kwann
😂😂😂😂😂😂Saleh km Diana ulikuwa unamuona kwenye Tv enzi za movie ukiwa shule y msng, basi mm ulikuwa unaniona ukiwa tumboni🤣🤣🤣🤣 joke
I love u diana
Baba angu mzee kimary naona umepiga vyombo hahahah
Salehe 94😂😂😂😂mhmm
Dada ana nywele mbovu atar
Hongera mungu msaidizi, idiot
Ila salehe et hauzeeki nilikua nakuangalia nikiwa shule wakat huyo diana mwenyewe Alikua shule kipi hicho anaigiza
Ww swaleh tafadhali jirekebishe kwa swala la kuvaa vinyasa (short) magoti yapo nje kijana wakiislam
Jamani kwani walihama mazese unzuri? Si ndo kwao alikokulia?
Lulu na diana wangafanya kazi kwapamoja tena
Lamata angemchukua huyu dada yupo Vizuri xana
Kweli ntafutie ela bdosana kuzeeka😂😂😂
Unakaaje kwenye kitanda namna hiyo Salehe kuwa na mipaka mbona unapitiliza mno😮
😂😂kupandisha miguu kwa sofa tutafukuzwa wengi mana na mimi nimo
Ki ukweli, mimi pia nimefurahi kuwa na rais mwanamke,na huwa napenda sana kuona viongozi wanawake, kudhihirisha wanawake tunaweza.
Baba sijui kapasha kidogo 😂
😂😂😂😂😂😂
Diana ana nyama
ckunyingne nenda kwa paula