MARTHA MWAIPAJA AFUNGUKA MDOGO WAKE KUSEMA HAMSAIDII MAMA YAKE, MDOGO ADAI ALIKUWA ANATOA USHUHUDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 291

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz หลายเดือนก่อน +43

    Hapo Millard unapojaribu ku conect ngoja nikusaidie... Kuna video ina dak 40 hiyo ya Beatrice akishuhudia.. ukiisikiliza vizuri utaweza kuelewa kuanzia mwanzo aliitwa na Mkufunzi kushuhudia matendo makuu aliyotendewa na Mungu. Inshort Beatrice na Martha wamepitia maisha magumu pamoja na mama yao baada ya baba yao kufariki na wameangaika sana na kuabudu vitu wasivyovijua vilivyopelekea kufungwa katika ulimwengu wa roho,,, kimwili huwezi elewa lakini ukiwa deep utaweza elewa. Kipande kilicho trend hakijajitosheleza ila ukisikiliza story nzima waweza elewa na kupata picha kamili. ❤❤❤ Love from Bukoba Millard Frida and Vido.

    • @lilianfjmwani99
      @lilianfjmwani99 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @isayasimwinga2854
      @isayasimwinga2854 หลายเดือนก่อน

      ​@@lilianfjmwani99Kila family ina mapito yake ila hayapo mtandaoni, Yeye amekuwa na mihemuko. Ushuhuda sio kusema Kila kipande cha maisha yako..... Vingine hurukwa. Huyu Be amekosa maarifa, utulivu na uvumilivu. Ushuhuda huo unaona matokeo yake ni mabaya kuliko lengo hasa la ushuhuda! Alipaswa ajihusishe na upande wake binafsi sio kuazima udhaifu wa mwingine ili kukamilisha ushuhuda wake, maana mwingine hahusiki nao moja kwa moja. Ameibua vitu visivyosaidia watu kiroho zaidi amechanganya vitu vya kweli na uongo kwenye ushuhuda mara Martha anaongozwa na miungu, mara anaponya watu kupitia huduma yake. In short alipaswa ajishuhudie yy sio mama au dada au watoto

    • @lovenessmallya816
      @lovenessmallya816 หลายเดือนก่อน +2

      Nimependa hapo uliposema Kimwili hawezi kuelewa ,wapo wengi wanaochukulia kawaida ili swala ila watu wakumbuke pia bite si mtoto mdogo,.
      Tena Tunawaombwa Millard wafanye interview na hawa watu itasaidia sana

    • @bignunda480
      @bignunda480 29 วันที่ผ่านมา +1

      Dizain nimekuelewa

    • @berindabenson2811
      @berindabenson2811 29 วันที่ผ่านมา +2

      Hongera sana kwa kuweza kufupisha stori ikiwa imebeba UJUMBE WA STORI NZIMA👏

  • @fadhilimollel6295
    @fadhilimollel6295 หลายเดือนก่อน +41

    Ukichambua maelzo ya Beatrice utajua Mungu kambariki mama yao na uzao wake,lakini shetani anampiga Vita yeye na uzao wake wasifurahie baraka za Mwenyenzi Mungu.
    Yeye na nduguye wana karama za uimbaji na kadhalika.Wote wamefanikiwa.Tofauti Martha amewekeza kwenye ULIMWENGU dhahiri unaoneka,anapambana aishi maisha ya ndoto yake lakini sii kwamba lazima awe ana hela, yawezekana ana madeni anapambana kuyalipa.Swala la kufungulia watu biashara au kuwapa magari sioni mantiki yake maana hujui kuna makubaliano gani katika kupeana huko. Beatrice kawekeza katika ulimwengu wa Roho usioonekana, nadhani amegraduate theology ,naye amefanikiwa, nadhani ndiyo iliyomuwezesha akajua ndugu yake amefungwa Kama alivyokuwa amefungwa yeye.Beatrice alitakiwa kutumia taaluma yake hiyo na hekima ya KIMUNGU kumsaidia nduguye.Beatrica ameachia mwanya shetani kutumia taaluma aliyopata kuharibu image ya nduguye publicly.Aombe Mungu amsamehe,amuombe nduguye radhi personal afanye hivyohivyo publicly.Mawazo yangu tu.

    • @MonicaNgussa
      @MonicaNgussa หลายเดือนก่อน +8

      Unchokisema uko sahihi kabisa ila Mimi Bado Niko upande wa Beatrice simuhukumu Martha isipokuwa unaposhuhudia unamuaibisha shena na pengine inaweza ikawa faida kwa Martha kufunguka kujua kinachoendelea kwake lakini pia itasaidia watu wengine kuelewa jinsi ulimwengu WA Giza unavyofanya kazi nihayo tu

    • @JacquelineMahumbe
      @JacquelineMahumbe หลายเดือนก่อน +1

      Well said my dear brother

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 หลายเดือนก่อน +1

      Mambo ya familia ni magumu sana hapo tumesikia upande mmoja nafikiri tukisikia upande wa 2@ Martha unaweza kujua shida iko wapi kwa wao wenyewe ama shetani na nguvu za giza ndiyo sababu

  • @naomigodwin1001
    @naomigodwin1001 หลายเดือนก่อน +33

    Life is Spiritual....sikilizeni huu ushuhuda kuanzia mwanzo ....hizi familia🙌🙌🙌

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s หลายเดือนก่อน +23

    Mm sikuona mdogo wake alipokosea

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh หลายเดือนก่อน +61

    Ayo ni mambo ya Rohoni, ukitafsiri mwilini huwezi elewa. Katika yote tumhitaji sana Mungu wa kweli. Hali ni mbaya😢

    • @josephinewangwe1154
      @josephinewangwe1154 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @dianajoseph6673
      @dianajoseph6673 หลายเดือนก่อน +2

      Hawawezi kumwelewa lkn walio wa rohoni wanaelewa😂😂

    • @brownmoses9543
      @brownmoses9543 หลายเดือนก่อน +1

      Hizi shuhuda muwe mnaangalia na pa kuzitolea.

  • @marianamhepella-zy5dn
    @marianamhepella-zy5dn หลายเดือนก่อน +8

    Joani ndie anaeharibu familia martha akipata neema ya Mungu nae atalia hapa hapa mbele za Watu akimusema Joan .hata ndugu mgombane vipi ipo siku Mungu atawapatanisha tu joan atqjikuta amebaki peke yake . Wakitaka kusonga mbele matha apunguze marafiki kamma joan.

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 หลายเดือนก่อน +5

    Waandishi wa sasa wanabomoa sana badala ya kujenga amani kati ya mtu na mtu.Hovyo sana.Na hamtakaa muone aibu yoyote kati ya Martha na Beatrice ❤YESU ni mshindi

  • @dalaliwamagarimbeya
    @dalaliwamagarimbeya 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ilikuwa kutomsaidia mama yake kwa kunyamaza kwake ikapelekea mambo mengine makubwa ambayo yanatishia kazi yake ya uimbaji..

  • @GODFREYMUHANGI-cj4zu
    @GODFREYMUHANGI-cj4zu หลายเดือนก่อน +5

    Watanzaniaa, emu tu concentrate kumtafuta mungu , badala ya kudeal na mambo ambayo kimsingi hayana nafasi ya kutengeneza maisha yetu na mungu, ukienda kidunia hauwezi kuelewa nini maana ya shuhuda, sisi wote ni wadogo na sichochote kwa mungu, sasa tatizo tunachambua ushuhuda huu kidunia jaribuni kwenda kiroho.

  • @sarahmwakyoma6215
    @sarahmwakyoma6215 หลายเดือนก่อน +153

    Huo ushuhuda haujatolewa kwa nia mbaya ila ni tafsiri tu ya watu,point hapo ni kuwa Martha amefungwa kiroho kumsaidia mama yake siyo makusudi yaje

    • @zepinashatibu5149
      @zepinashatibu5149 หลายเดือนก่อน +17

      Kuelewa ni shida ndugu tulio ueĺewa ni wachache❤

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน +8

      @@sarahmwakyoma6215 ni kweli Mapokeo yetu yamekuwa ya Panic mno Sababu ya Mtajwa maana ni Maarufu...so kila mtu kapanic

    • @kamarhelo
      @kamarhelo หลายเดือนก่อน +5

      Anafungwa kiroho wakat ni mtu wa mungu afu nyie mnasema shetani hana mamlaka kwenu wakat shetani ananguvu kushinda binadam ila si kumshinda mungu ila kwa binadam anatushinda nguvu nando mana kila kitu tunamsingizia yeye

    • @SalmaSaid-r6h
      @SalmaSaid-r6h หลายเดือนก่อน +10

      Kweli kabisa hakuongea kwa ubaya na Wala hakumsema dada yake vibaya ila mapokezi ya waja wametafsiri tofauti

    • @YusterUliza
      @YusterUliza หลายเดือนก่อน +3

      Point

  • @alanenos3443
    @alanenos3443 หลายเดือนก่อน +1

    Milliard Ayo uko vizuri sana. Hili swala la Beatrice na Martha liko kiroho, ukikaa kiroho deeply, utaelewa kinacho endelea. Hao wa2 hawaoniani wivu wala kuchukiana ,Beatrice anacholilia ni kufunguliwa kiroho ndugu yako, hajalilia pesa yake .

  • @DicksonKalezi
    @DicksonKalezi หลายเดือนก่อน +3

    Familia hizi Hua zinasiri saana kwahio tuzitazame kwa nje Tu maisha yaendelee

  • @EstaKanani
    @EstaKanani หลายเดือนก่อน +30

    Wengi tunashindwa kutofautisha Mambo ya rohoni na ya mwilini , kwahyo tunajikuta tunasema tu bila kuelewa nn tunatakiwa kusema. Mungu atusaidie katika kujibu

  • @dennok3357
    @dennok3357 29 วันที่ผ่านมา +2

    I have to look for translation whenever I listen to Tz Tv/radio. I never knew 'kongosho' until today.

  • @Jux02Elihadlinus
    @Jux02Elihadlinus 27 วันที่ผ่านมา

    Martha dunia haikusubiri hata leo mungu anaweza akakupeleka wakati wako uanaowaza kumsaidia mzazi ni tofauti na wakati mungu alioupanga,kumbuka mzaziii damu yake itakuwa ngumu kuishinda jehanam

  • @hasfananono
    @hasfananono หลายเดือนก่อน +4

    Ndugu yako kaka au dada yako sio Mungu wako. Pambana na Mungu wako omba yeye atakusaidia na anaweza akatumia mtu yoyote kunisaidia either ndugu au mtu baki au akakuinua wewe mwenyewe kwa kukufungulia milango yako mwenyewe.

  • @jonasdaniel1025
    @jonasdaniel1025 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi naona,, mashoga na wasagaji,, wanatetea ushetani wao,,

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba หลายเดือนก่อน +2

    WAPO WENGI SANA WAMETEKELEZA WAZAZI WAO EE MUNGU 😊

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 หลายเดือนก่อน +13

    Nasimama na Martha

  • @SashaOscar
    @SashaOscar หลายเดือนก่อน +6

    Hio ishu iko kiroho jmn, achen mihemko

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna ushuhuda pale, ushuhuda ungesema Yale kwa kiufupi then ushuhuda ungekuja kuwa sasa amebadilika anaidaidia familia... Lakini pale alikuwa analialia

  • @shibukhmarie7080
    @shibukhmarie7080 28 วันที่ผ่านมา

    Si sawa msanii wa injili kutafuta kiki. Maana ukitajwatajwa mtandaoni, Kuna wakristo ambao wanakuskiliza wataanza kukuombea...Sasa maombi yakifika mbinguni na Mwenyezi Mungu anakuona unayoyafanya, itakaaje sasa!!!

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 หลายเดือนก่อน +4

    Alikuwa anatowa uhushuda jamani Millard , kwenye huwo ulokole tangu anaanza kumjuwa Yesu mpaka hapo alipofika

  • @blessingcharles-lc1rr
    @blessingcharles-lc1rr หลายเดือนก่อน +1

    Mara nyingi wenye makosa ndio wanakuwaga wa kwanza kulalamika sana
    Usihukumu kwa maneno au macho

  • @isayasimwinga2854
    @isayasimwinga2854 หลายเดือนก่อน +1

    Kila family ina mapito yake ila hayapo mtandaoni, Yeye amekuwa na mihemuko. Ushuhuda sio kusema Kila kipande cha maisha yako..... Vingine hurukwa. Huyu Be amekosa maarifa, utulivu na uvumilivu. Ushuhuda huo unaona matokeo yake ni mabaya kuliko lengo hasa la ushuhuda! Alipaswa ajihusishe na upande wake binafsi sio kuazima udhaifu wa mwingine ili kukamilisha ushuhuda wake, maana mwingine hahusiki nao moja kwa moja. Ameibua vitu visivyosaidia watu kiroho zaidi amechanganya vitu vya kweli na uongo kwenye ushuhuda mara Martha anaongozwa na miungu, mara anaponya watu kupitia huduma yake. In short alipaswa ajishuhudie yy sio mama au dada au watoto

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 หลายเดือนก่อน +4

    1.Hatujui martha au nan ndio alkuwa anakusomesha
    2.Ushuhuda wako martha hasaidii mama Wa Martha umetoka na Hubby wake
    3.Kifupi Hakuna jambo lisiyo la mwisho . Na ndio hayo ya kwenu.
    Halafu watu wa Gospel ukiwaangalia kwa jicho la tatu mambo yao. Utasema bora ungekuwa Batimayo.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd หลายเดือนก่อน +2

    family nzuli Niya mwenzako me Naamini hakuna family isio kua Na migogoro wote hamuwzi kua saw

  • @redemtamkemwa6067
    @redemtamkemwa6067 หลายเดือนก่อน +10

    Aache kuchafua neno la MUNGU MATHA ACHAA USAGAJI

    • @hajiratmbogo9611
      @hajiratmbogo9611 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli anasaga huyo anaogopa kumuacha huyo biti atatowa siri

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo beatrice ni mpuuz sana kama vile siyomsomi,,analia kinafiki tuu apo..yan ingekua mim ni martha sijui ningemfanyaje uyo mtoto

  • @sisterblessed-my9jd
    @sisterblessed-my9jd หลายเดือนก่อน +2

    Sioni kosa la Beatrice...amezungumza namna ambavyo Mungu amewabariki lakini shetani anapambana kuiba neema waliyo nayo na vita ni ya mama yao.Hajatangaza uadui na dada yake jamani.

  • @jamesmahundu2596
    @jamesmahundu2596 หลายเดือนก่อน +2

    Beatrice ametumia hisia zaidi na siyo fact.Tatizo ni kwamba ukipata mafanikio watu wanataka uwe mtumwa wa kuyabeba matatizo yao.
    Kusaidiwa siyo haki yako kwa nini wewe usisaidie. Tuwajibike kwa majukumu yetu ili tusiwe mizigo kwa watu.

  • @kabagechannel7109
    @kabagechannel7109 29 วันที่ผ่านมา

    Mambo Ni Mengi Sana Duuh
    Tusihukumu Mambo ya family ya Watu Kuna Siri tusiyojua 😁😁😁

  • @Denatha_50
    @Denatha_50 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kweli martha amefungwa akifunguliwa na yeye atatoa ushuhuda kila jambo huja na makusudi yake naimani MUNGU ANATUPENDA MNO.

  • @moja6907
    @moja6907 หลายเดือนก่อน +8

    Saafi sana Millard....Story ya familia ...inakujaje ktk hayo mahafali....😮...hapo sio mahala pake...

  • @redemtamkemwa6067
    @redemtamkemwa6067 หลายเดือนก่อน +13

    Huyo ni MSAGAJI AACHEE JAMANI NA UYO SIO MWANAE MBONA

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 หลายเดือนก่อน +2

      Kwahiyo ni mshilika wa mapenzi ya jinsia Moja?

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@jonasdaniel1025ndio😢😢

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli na alisema uyo dada nanukuu maneno mumewake anasema alimwambia kua siku ukinifukuza naposti uwe kama batazali😂😂😂😂

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@jonasdaniel1025 ndiyo tena na shusho na wolper na ndio mn umeona wamemtetea na nyumba ya wolper ni ya Martha

  • @jacquesmoninga9245
    @jacquesmoninga9245 29 วันที่ผ่านมา

    40 days yake imefikia Mungu afichwi lolote 😂😂😂😂😂😂

  • @sylviahslyelvo7942
    @sylviahslyelvo7942 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Joan ni mbaya sana ,,, bona Beatrice hajaongelelea uridhi ila joan aliongea? Kuna kitu Joan anajua ndani ya hii familia na hakijulikani,,,yeye sio mmoja wa ile familia Mungu amuone ,,yeye Beatrice na martha wanajua pahali wametoka na mama yao ,, hivyo ki undani kuna shida pahali ,, Joan aondoke na akimye kabisa ,,malaika wa Mungu wamnyamazishe kabisa milele ,, Mungu yupo atawashindia

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial หลายเดือนก่อน +3

    Millard ukao nao wote martha na beatrice

  • @John-vn4pp
    @John-vn4pp หลายเดือนก่อน +2

    Nimemsikiliza huyu Beatrice, 100% ana promote madhabahu na huyo baba yake wa kiroho. Aache ufinyu wa fikra, ukiwa kama Mkristo let the name of Jesus be the hero.
    Pia kumsema dada yako on public ni UJINGA mkubwa saaaana. Tubu na urejee.
    Kuhitimu chuo kusikufanye kiburi kikujae. Shame on you.

  • @angelemmanuel7143
    @angelemmanuel7143 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni mambo ya rohoni ingieni rohoni alicho zungumza Isha tokea hata kwa familia yangu dada alianza badilika ilikuwa inamtesa sana mama na tumelelewa na mama tu na tumepitia changamoto ila namshukuru Mungu alijirudi na yupo sawa na mama na Mimi pia

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hayo yapo coz nikikuonyesha maisha yangu ya nyuma tulivyokua tunaish na mama yangu na ndugu zangu halaf nikakuonyesha baba yangu alivyokua anakula bata dah inaniumizaga sana kiukwel but nowdays tumekuwa wakubwa tunajitambua n tunapambana ndyo anajifanya kuonyesha kutujali na kututambulisha kwa ndugu lkn sisi hatuyataki hayo

  • @MaryNjoka-i3t
    @MaryNjoka-i3t หลายเดือนก่อน +3

    Hio ni mambo ya family,na sio ya mitadao.,Kama wataweka mungu zaidi nehema itawabeba pamoja tena

    • @joycejohn325
      @joycejohn325 หลายเดือนก่อน

      Si ndio hapo, tena tumeagizwa kukosoana kwa upendo na kusaidiana, huko mtandaoni kuna ninj sijui

    • @godchila8013
      @godchila8013 หลายเดือนก่อน +2

      Beatrice katika hii kitu hajafanya right yeye mwenyewe kahama makanisa kibaoo aalikuwa hata hajui wapi ni sahihi afu anamsema sister Ake ivo ..afuuu etii kaokoka ani watu na izi dini sijuiii wanajionaje wanajiamini hadii wanapitiliza unamjudge vipi mwenzio hadharani ivo vitu vingine ni private damn we aren't perfect,,,na watu unawaambia ivo watu hawaajili shidaa zako koz kila mtuuu anapita vitaiyoiyo ndani kwa ndani etii anaongea kwa mass ivo ....yeye ndo kakosea sasa

    • @Registon-ed8sy
      @Registon-ed8sy 28 วันที่ผ่านมา +1

      Nehema ndo nn?

    • @MaryNjoka-i3t
      @MaryNjoka-i3t 28 วันที่ผ่านมา

      @@Registon-ed8synehema ya yesu iwabebe waweze kuelewana,bila roho mtakatifu hii jambo alitatuliki hivyo

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli หลายเดือนก่อน +2

    Hayo ni mambo ya rohoni na ni ya kifamilia pia

  • @ReginaBosco-x1b
    @ReginaBosco-x1b 28 วันที่ผ่านมา

    Achana na miladi ayo mwenyewe,kuna huyo mwenzie anaeongea maswala ya chameleon aisee Mimi co star tuu wala cna pesa ila namuelewaga mnooo,, yaan kumpnda📍

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 หลายเดือนก่อน

    Frida mi mwanamke mwenzio Ila nakupenda we ni mzr Sana na sauti yako hadi unavyo cheka hongera Sana .

  • @filberth_Mchilo
    @filberth_Mchilo หลายเดือนก่อน +1

    Ushuhuda una dakika 50 Millard umesikiliza clip ya sekunde 30 halafu upo hapo kwenye kipindi kikubwa Namna hiyo kutuhoji maswali ambayo majibu yake yapo kwenye hiyo Full Video na Ipo TH-cam kwahiyo Amplifier siku hizi unatoka tuu kulala unakuja na maelezo ya clip kweli nimesikitika sana, kiufupi hiyo ya Martha hata haikua sehem yake ni chombeza tuu na akaaachana nayo ila nyie ndio mmelifanya kua mada nenda kasikilize yaliyomfanya aongee. SIO KWA UBAYA NAKUKUBALI SANA BROTHER Millard

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu alitoa ushuhuda wa ukuu wa Mungu na kuwahimiza watu kumjua Mungu aliye sahihi kumbuka yeye kahitimu utumishi wenda mchungaji atakuwa kasomea

    • @paulsumuni3178
      @paulsumuni3178 หลายเดือนก่อน +1

      Bado kaongea Ushuhuda lakini Kaharibu kumtaja Martha bila kuweka Utimamu wa akili na kujua matokeo yatakayo tokea

  • @redydasca8846
    @redydasca8846 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo kubwa la wakristo ni kuamini kila kitu ndo maana tunadanganywa sana
    Nimesoma sana comment nyingi wanasema eti ni mambo ya rohoni
    Ni nani kati yenu anajua ni mambo ya rohoni
    Watu wenye akili hawajaji mtu kwa kusikiliza upande mmoja tu
    Martha naye angepewa nafasi ya kuongea sio kumtukana pasipo kusikiliza hakunaga mambo ya rohoni

  • @krispinkomba4606
    @krispinkomba4606 หลายเดือนก่อน

    Mm nashauri nyie watangazaji muwe makini kwenye kufuatilia mambo kabla hamjasema chochote,, hebu fuatilieni kwanza hiyo moment ya beatrice

  • @jacquilinemakundi1841
    @jacquilinemakundi1841 หลายเดือนก่อน +3

    Hapana mtu kumsahau mama yake totally inauma,Mimi naona mdogo wake alikuwa anaumia dada yake kumsahau kabisaa mama yake ni mbaya

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 หลายเดือนก่อน

      Mama zao ni tofauti, wanashare baba tu

    • @christophersimwinga6689
      @christophersimwinga6689 หลายเดือนก่อน

      Kumsahau mama lazima kuam atane na Lana ukitaka kuhakikisha rudi nyuma uone mama anavyo hangaikia mtoto

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 หลายเดือนก่อน +5

    Huo ulikuwa ushuhuda siyo kamsema au kumtangaza vibaya

    • @paulsumuni3178
      @paulsumuni3178 หลายเดือนก่อน

      Yan wabongo Mnashida sana ya Ufahamu hamjui ushuhuda ni nini?

  • @JacklinedamianMtweve
    @JacklinedamianMtweve หลายเดือนก่อน

    Kumsaidia mama ni lazma cyo ombi imagine asinge mzaa au angewatupa kipindi yupo kwenye taabu think twice

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 หลายเดือนก่อน

    Haya ni Mambo ya Rohoni sio mwilini na kuna vitu usipo viacha katika maisha yako hata kama umeokoka vitaendelea kukuandama milele hata ufanye toba vipi sio kila kitu kinahitaji Maombi vingine vinahitaji toba na kuacha ulivyo vishikilia ,

  • @jocelyngaceri6185
    @jocelyngaceri6185 หลายเดือนก่อน +1

    Life is spiritual

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 หลายเดือนก่อน

    hizi familia tunatoka Mungu tusaide, ukoo una siri sana, ukute mapepo yao ya ukoo na miungu inawatesa sasa.

  • @webaweird
    @webaweird หลายเดือนก่อน

    Sema nimefurahi pale ambapo @frida amani kasema usimnenee mtu kwa madogo, I LIKED THAT all in all kwenye issue ya Martha and family members ni kuleta umoja na kuzidi kuendelea maana utakatifu bila Amani nayo ni kazi kama anavyosema katika biblia

  • @teddytedy248
    @teddytedy248 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu anataka kuanika nguvu za adui hadharani,unaweza kumsaidia mtu kumbe ni wakala wa shetani,hadi ugundue ulishaumia sana,unawezaje kumtupa aliyekuzaa?

  • @reginas1832
    @reginas1832 29 วันที่ผ่านมา

    Wakamshinda na neno la ushuhuda. Muwe mnaelewa

  • @LaurenceAgustino-v9x
    @LaurenceAgustino-v9x 29 วันที่ผ่านมา

    Nyie jamaa mmekua wagumu kuelewa Bitris amesema amemsahau mama yake hamsaidii anasaidia wat baki hivi wewe unaweza kuacha kumsaidia mama yako alafu umsaidie mtu baki kuliko mama yako mama yake martha lazima aumie amemlea martha vizuri kwa kutumia gharama zake alafu leo aanze kusaidia wengine kuliko mama yake hata mimi naona martha anakosea kumsaidia mama hakuna kikomo labda kama huna pesa.

  • @IssaMukucha
    @IssaMukucha หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo Millard ahutaki sisi mafansi wako tujifunze kupitiya maisha watu,sisi tunajifunza kupitiya media wengine,hijapokuwa siyo yote ambapo unaweza kuchukuwa,na hao wadada ni watu wa media maisha yao inatakiwa iwe ya media.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 หลายเดือนก่อน

    MARTHA NA BITRECE NI MAHASIMU WA MUDA MREFU SASA KWANI KUNA MALALAMIKO YA MUDA MREFU BITRECE ALILALAMIKA KUWA DADA YAKE ANAMPIGA VITA KTK UIMBAJI. ILA HILI SOMO LINATUHUSU SOTE.

  • @benedictoralexander1611
    @benedictoralexander1611 หลายเดือนก่อน +1

    Kusaidia wazazi ni lazima sio jambo la hiyari. Tuache kutafuta visingizio. Tufundishe jamii vyema. Yani ufanikiwe alafu uwaache wazazi wanahangaika, nani alikuambia hilo swala ni jema mbele ya Mungu, ndio maana laana ni nyingi. Ndio maana baadhi ya Nchi wazazi lazima uwape asilimia fulani ya kipato chako hili waweze kujikimu. Shukrani gani unadhani unaweza mpa mzazi wako kwa kukuleta duniani?, kama hata kumsaidia unasema ni jambo la kujisikia kufanya. Basi kwa style hiyo hata kutoa mimba iwe swala la hiyari maana hamjui wazazi wanapia ugumu gani kipindi cha kutulea. Wakati mwingine wanatamani tusizaliwe au watoe Mimba ila wanajua ni wajibu wao kukuleta duniani na wakapamabana nasi mpaka tumekuwa. Swala la kusaidia wazazi ni lazima.

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 หลายเดือนก่อน

      Sio lazima, watoto sio watumwa wako… wewe uliwaleta kwa starehe zako.

    • @raymondmhozya8894
      @raymondmhozya8894 หลายเดือนก่อน

      Hawana watoto awa hawajui

  • @millahboo
    @millahboo หลายเดือนก่อน

    Eeeeh vidox nilikua nakutolea macho …. Ila naona umenikataaa khaaa mie muongeajii jmn😢😢😢 n

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yake marther anamapepo , akiwekewa mikono , mapepo yanalipuka na kuzungumza,
    Bite yeye analaumu kuwa watu wanapona kwa utumishi wa dada yake, ila mama yake yy anamapepo na yanamfunga mwanae martha asimsaidie mzazi

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 28 วันที่ผ่านมา

      Mimi Kwa haraka haraka hapo naona huyo bite ana shida sana Tena ni kichomi ktk familia.
      Na kwa upande wa Martha nadhani Hana shida kabisa.
      Comment yangu isomwe na ieleweke Ivo kama ambavyo nimeandika.
      (R) Bite ana shida sana anajitaji maombi zaidi bila shaka hajafunguliwa.

  • @christinamwangoc4779
    @christinamwangoc4779 หลายเดือนก่อน +1

    Yes itamuumiza lkn kama n kweli hii ndio njia pekee itamsaidia kumbadilisha dadayake, Kuna watu wakishafanikiwa kifedha huwa hawashauriki watu wengin wakimya lkn wanatabia ngumu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo Martha mwaipaja.. ni mpole na isipokuwa na saikolojia ya kumjua mtu hutamwelewe utadhani anaonewa , lakini mwangalie vizuri Martha anamatatizo Tena makubwa Sana na hashauriki.. na watu wengi kama hao Huwa hawkai na waume zao Wala hawapendi watu wa kwao.. na biblia unasema asiependa watu wa kwao au wa nyumbani make ni mbaya kuliko asieamini.. 😢😢

  • @joycechuki8258
    @joycechuki8258 หลายเดือนก่อน

    Lkn familia zinashida kwanza yangu nivile sisi wengine sio watu maarufu, kwanza mimi mamangu ana pesa zake za kutosha lkn huwezi amini napambana uwarabuni, usitegemee mali ya mtu

  • @JoyceSNdossy
    @JoyceSNdossy หลายเดือนก่อน

    Mm naona mama atafutwe aojiwe yeye ndie ana majibu sahihi zaid kuliko yeyote yule vinginevyo ni kuzid kuchafuana tu

  • @AnnaJulius-u4g
    @AnnaJulius-u4g หลายเดือนก่อน +1

    Uyu dada na hili joo ni vitu 2 tofauti. Alivue kwanza ili joo ebu

  • @TausiTausishausi
    @TausiTausishausi 29 วันที่ผ่านมา

    Wawekeeni video nzima wasikilize ndo mtaelewa nini alichokuwa anamaanisha maana stori nzima ukiisiliza utajifunza kitu

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa bite amepokea maneno ya mapepo ya mama yake ambayo yakilipuka huwa yanasema yamemfunga dada yake asitoe msaada nyumbani
    Ana usambaza ushuuda wa mashetani na amesahau kua shetani ni baba wa uongo

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga หลายเดือนก่อน

      Nililiona hili huwezi Sikiliza maneno ya mapepo, lengo la maneno ya majini nikukutoa kwenye mstari.

  • @HappySumia
    @HappySumia หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya Rohoni hutambulika kwa jinsi ya Rohoni ,sio kwa ushabiki wa watu

    • @paulsumuni3178
      @paulsumuni3178 หลายเดือนก่อน

      Kafanya Ujinga acha kumsifia Beatrice kaongea upuuzi na inabidi achapwe viboko

  • @joshuangoto
    @joshuangoto 29 วันที่ผ่านมา

    Martha na Joan ni lesbians , all the way from kenya 😂😂 watu wanapeleka usagaji kwenye nyumba ya mungu na mungu awalaani !

  • @LeonG511
    @LeonG511 29 วันที่ผ่านมา

    hata kama masikio yetu ni mabovu lakini tunaona kabisa busara ndani ya sauti ya martha, huenda hatujui sababu lakini acha tuone Mungu atatuonesha nini

  • @GraceKija
    @GraceKija หลายเดือนก่อน

    Mnadandia vitu kwa mbele nenden mkatazame full kwa bit

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v หลายเดือนก่อน

    Mimi nafahamu kila jambo likukujia lina sababu.ok kama anavyosema mtoto kuwa mama mdogo alitaka kumtilia sumu mama yake.sasa ndio sababu yakumtekeleza mama yake mzazi?kwanini asimchukie mdogo waki minadhani hii familia imeingiliwa na pepo mchafu japo wamempokea roho mtakatifu.inabidi viongoz wakuu wadini ya kikristo wakiislam waisaidie hii familia kuwaweka sawa.binafsi simpend mtoto yeyote asiye jali wazazi kwani kidini hata mungu harpenden.niombe hii familia Stoke mtandaoni wakakutane na viongozi wa dini zote watatue hili tatizo washirikiane kumlea mama yao Allah awapatanishe insha Allah.

  • @doricemwakasengo1167
    @doricemwakasengo1167 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo betreace hajasema kua yy hasaidiwi kasema matha hamsaidii mama ake kafungwa na mapepo na huyo joani atakua yy ndio pepo kaleta mvurugiko kwenye familia hawez kujiamin kias hicho na pili ushuhuda hautolewi chumban ni hadharani

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 29 วันที่ผ่านมา

    Ninyi msijitoe ufahamu. Huyu alikuwa anashuhudia maisha yake yalivyotawaliwa na kuteswa na shetani lakini sasa Mungu kamuokoa na hapo ni Kanisa ambalo limemsaidia. Kwahiyo lazima aseme kila kitu kinachoendeea kwenye famiia yake. Ninyi mumemsikia juu juu na kumhukumu. Acheni hizo.

  • @OlivaMbawi
    @OlivaMbawi หลายเดือนก่อน

    Jamani kunawatu wanafungwa mm nina kaka yangu askar ukiona mama yake anapolala unalia sisi tunajitaidi mama ale tu uwezo wakujenga atuna familia zinambo mengi sana asa kwa watu walio fanikiwa ukubwani

  • @GeorgeFundi-k1q
    @GeorgeFundi-k1q หลายเดือนก่อน

    😢tuachie famiria mana nimamb yao 0:00

  • @DoriceFrenk-x9t
    @DoriceFrenk-x9t หลายเดือนก่อน

    Rohoni ni tofautii na mwilini

  • @gloriaatupele9090
    @gloriaatupele9090 หลายเดือนก่อน

    Beatrice umekosea kusema hadharan hvyo my dia Martha Mungu amekufundisha kunyamaza endelea kunyamaza

  • @josephshitindi9072
    @josephshitindi9072 หลายเดือนก่อน

    hii story ina pande tatu, mtafuteni na mama mwenyewe

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono หลายเดือนก่อน

    Kwan nyie watangazaji mnaumia nn hao nindugu halafu mambo yao yamefikia pabaya huyo joan si mtoto wa martha mama yao pia kaongea mambo yako wazi

  • @EricMdute
    @EricMdute 28 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wanapesa kuzidi matha ila ukiwaona mama zao au baba zao usema mbona matha anajitaidi na ni mwema na anautu

  • @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
    @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mastaa kuteteana ni kawaida na ndo maagano yenu ya uko mnakokutanaga

  • @Di9797-t4f
    @Di9797-t4f หลายเดือนก่อน

    Mimi haijalishi nna mapungufu makubwa kiasi gani au nna makosa kiasi gani,ukinisemea mabaya yangu mbele za watu i’ts over kama ni uraki ndo umeisha kama ni undugu ndo umeishia hapo tutakutana kwenye matukio ya lazima misiba au sherehe …Mtu mwenye upendo na wewe mtagombana atakupasua mkiwa private ila mkiwa mbele za watu mnashikana

  • @SashaOscar
    @SashaOscar หลายเดือนก่อน +1

    Mbn vido na Frida wanaanza kama kufanana 😅😅😅 au macho yngu yana matege

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tunatafuta ata la milioni kumi atupati

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kweli matha anatuhumiwa yule dada yupo sahihi mumewake kajibu Ivo Kuna mchungaji wa Kongo msikilize ndo ujue yana ukweli asilimia100

  • @fasheamani5395
    @fasheamani5395 หลายเดือนก่อน

    Huyu hawezi kuwa mtoto, mama hawezi kukaa kimya, mtoto akaongea/kuandika mamneno ya namba hii kwenye mtandao

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 หลายเดือนก่อน

    Nami nashauri Beatrice asiongei tena Aache huyo dada yake aje aongee kisha ongea nae aenda kuongea kwa #sns 😅 wapenda umbea uendelee 😅😅

  • @barryhezron2764
    @barryhezron2764 หลายเดือนก่อน

    Mko mwilini zaidi ni ngumu kuelewa,chakula cha mtu mzima huwezi kumpa mtoto mdogo

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 หลายเดือนก่อน

    UTANGAZAJI WA KISHAMBA SANA

  • @chany9950
    @chany9950 หลายเดือนก่อน

    Akini jmn awa wakaka wawiri mbona awana wake jmn wakaka wazuri jmn siwashike ata ako kabinti kazuri duuuh🤣

  • @SelestinaMnemele-o1v
    @SelestinaMnemele-o1v หลายเดือนก่อน +3

    Nyie mnaosema mihemko cjuw kama mmemsikiliza huyu dada tangu mwanzo mpaka mwisho na cjuw kama mnauelewa vizur ulimwengu wa kiroho me naona wengi wetu hatujuw hata vita ya kiroho ni nn badala yake sisi ndo tunakoment Kwa mihemko

  • @oswardnyamoga4213
    @oswardnyamoga4213 หลายเดือนก่อน

    Halafu watu mbona sio waelewa jamani? Dada Beatrice hajasema dada yake bali ametoa ushuhuda jinsi ambavyo walifungwa wote lakini yeye Mungu amemfungua, lakini dada yake bado na hajui kama amefungwa,

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน

    Alikua anahitimu mafunzo ya uchungaji napale alitoa ushuhuda kanisani mbeleya madhabahu kwani mtu kutoa ushuhuda kunashidagani

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd หลายเดือนก่อน +1

    ukiwa Na afazali ya kiuchumi halafu ndug zako wengne hohe hahe razima wakugombanishe Na wazazi ukiwa kalibu sana Na wazee wako utasikia2 mwenzetu yeye Ndio anae pendwa kwa sababu ana pesa binadam bn

  • @Daniel_ivan.
    @Daniel_ivan. 29 วันที่ผ่านมา +1

    Muwe mnaweka time stamps jamani aaaaah

  • @majaliwaandulile8379
    @majaliwaandulile8379 หลายเดือนก่อน

    Hili nalo litapita mambo ni mengi mnoo