Serious yaan nililishuhudia tukio hilo 2017 maeneo ya mnazi mmoja Dar, mzungu alitoka bank na hela ndefu sana sasa wakat yupo ktk foleni alishuka jamaa upande wa pili akiwa na bunduki na kuifata ile gar ya mzungu kugonga kioo cha mlango kwa utako wa bunduk na kumwambia nipe begi ya hela, mzungu akatoa begi ya hela akampa jamaa jamaa akakimbia na kurukia boda ilosetiwa pembeni nakupotea, aisee hakuna tena wakumuamin
Unatakiwa uwe mjanja kutoa Million 60 cyo shida ila unapoingia kwenye gari una badirisha pesa na kuzigawa ndani ya gari zaidi ya sehemu 6 arafu unachukua pesa kidogo unaacha kwenye huooo mfuko hivyo ili kukinga wasikuue wao wakifika hawahesabu watabeba tu kwa haraka kumbe kuna Million 2 au 3 cku nyingine jiongeze pesa zote hizo aziwekwi sehemu mmoja
Kweli kabisa Mimi mwenyewe nilipewa milioni 3 na mume wangu nizitunze nilizigawa nyumba nzima Hadi siku mwenyewe anazitaka nikampa Hadi zingine zikanipotea nilipoweka nikaja kuzipata baadae 😅
Mshukuru Mungu uko salama pesa zinatafutwa. Binadamu wamekua makatili sana wanauwa binadamu wenzao hata kwa milioni moja tuu. Wewe mshukuru Mungu kwa uhai basi
Unasema gari halifanani na pesa aliyokuwa nazo wengine hawapendi sifa ,na wenye pesa wengine hawana mbwembwe nampa pole sana dua ya kimasai ni zaidi ya halalbadil aliechukuwa apeleke kimyakimya
Arusha madini mengi pesa inadharaulika sana, bro mimi nikibeba hata 5m tu sina kituo mpaka zifike zinapokwenda na ndio usalama wangu. Maana pesa inakutoa uhai dk sifuri ikiotewa haitaki mara umepita saloon mara unakutana na mtu mara moja. POLE SANA BRO
Kuna maduka huwa wanauza bidhaa zao kwa cash tu kwahyo ni lazima ukatoe pesa bank uipeleke cash haijalishi ni kiasi gani ila tu huyu jamaa ni amekuwa mzembe sana kwa sababu gari huwa hatuziamini ni lazima ushuke na begi lako ukirud unarud nalo laptop tu yenyewe huwa tunashuka nazo sembuse pesa?
Pole sana ila next time ongeza umakini Hali ni ngumu sna ktk nchi yetu uwez beba pesa nyngi hivyo Kisha ukajiamn kias hta vioo vya gari huoandsh alafu unataka kulingishia watu pesa yaan pesa ya chai ukachomoe ktk bagi lenye milioni 62 kwann usitnge hta kias kdgo Kwa matumz yko
Sheria ikisema ifuate mkondo wake. Hapo Moleli anashtakiwa kwa kutembea na pesa nyingi bila ulinzi. Ila pole sana isee pesa ni nyingi wengi huwa wanakufa kwa Pressure
Pia hizi gari za zamani huwa zinaingiliana sana funguo. Sio za kuamini sana. Kwa hizi za kisasa watu wanavyunja vioo na kuiba kilichokuwepo ndani wakijua kabisa kitu cha thamani kipo hawabahatishi.
Duh mh pole hila hapo watu wa benk watakua wanausika,angalieni tella iliyomuhudumia na je alipomaliza kumubudumia aliongea na nani kwenye sim na alizungumza nini,pole sana,
Binafsi sikulaumu chochote,fanya jitihada zako ila shkuru M'mungu hao watu walishakuweka kwenye target,wasingepata hiyo nafasi huenda wangekufanyia kitu kibaya na kutimiza azma yao
Hiv utow hel benk ni hao hao kun majambaz wao bwan nani angejuw kuna hela uko jaman ila hela nying jaman kuna watu wanamilik mi hela daah mshukur mung wak wangekuuw wasingekuacha kabisa walongw tyu j manne
Je,wakati anaondoka ktk gari,hakufunga mlango Kwa ufunguo/lock? Mara Kwa mara ,Jeshi la Police&Taasisi zaFedha zimekuwa zikitahadharisha juu ya kutobeba fedha nyingi taslimu;Kwa tahadhari ya kuibiwa nk,Lakini wengi wetu tumekuwa tukipuuzia tu tu! Je,eneo Hilo hakunaga "CCTV Camera"?Zinazoweza kusaidia kutiwa mbaroni waezi hao? "NB:- Endapo hataweza kuwakamata waezi hao,basi bora aende Sumbawanga Kwa waganga,au aende pale Babati Kuna mama mmoja ambae anaweza kusaidia.
Hujamuelewa mwenzako ebu punguza matusi ndugu yangu hii ni dunia mwenzako amemaanisha gari lake ni la kawaida so mtu kujua kama uyu jamaa ana hela ni ngumu sana @Peterchila-un2lx
Mungu atakupa nyingine nyingi zaidi ya hizo. Kuna sababu Mungu ana sababu na huyo aliyefanya arudishe tu kwani maumivivu ya mwenye fedha hizo kaumia sana
hapa Kuna mambo mengi sana naukiagalia nimfanya biashala kwahiyo kwenye pesa Kuna vitu vingi sana haiwezekani kwahakili ya halaka halaka pesa nyingi namna hiyo uichukue utembee nayo hata Kama anafanya kazi ya mazawo unachukua kidogo unaeda unalipa alafu unaludia tena hapa yeye mwenyewe kacheza mchezo na Kama Kuna watu anafanya nawo biashala inaweza ikala kwawo kwamana ya kua zulumu maelezo yake sijaya kubali
mpango ulisukwa huu na uliponea ulipoenda kununua keki wakapata nafasi ya kuzichukua bila purukushani, bila hivyo walipanga kuzipora kikatili na kukumaliza
Huo wizi inaelekea shida ilianzia benki. Huwa inatokea sometimes. Mtu aliwekwa tayari akufatilie. Pia watu wanaojifanya ni wateja wa benki. Kukaa tuu mle ndani kwa kuvizia wakiangalia nani anatoa pesa nyingi ili wamfatilie.
Nakubaliana na wewe maana ndugu yangu aliibiwa simu Bank ya crdb mlimani city akiwa anajaza fomu mtu akaiba na wakakataa kumsaidia kumuona huyo mwizi kwenye camera. Kwa hiyo ni kweli huwa wamo mle kutega
Yani dk nne nyingi sana kwa wezi wanao kufuatilia. Mm niliibiwa mzigo wa zaid ya 2M kkoo ndani ya dk 1 yani dk haijaisha wameiba na mzigo haupo... Ni kitendo cha kugeuka kuupa mgongo mzigo kisha narudish macho 😅😅wahuni wakasepa nao 😅😅😅
Hela zilikuwa benki salama kabisa unaenda unazitoa kuzurura nazo...kwanini? Sku hizi mabenki yapo kila sehemu ...na mtu yeyote ukitaka kufanya nae biashara kubwa za hela kama hizo inabidi utumie bank sio kulipa cash. UMEJIFUNZA SASA.
Mwanzo mungu amempa hiyo pesa amezaliwa bila kitu kwahiyo aseme mungu wewe ndo umenipa mwanzo naomba tena pesa zaidi ya hayo lenye heri kwangu inawezakana ile ilioipiwa haina Heri kwake na hiyo pesa amesahau kule kule benk aende bank aka angaliye camera ya benk kama ametokanayo pesa au hapana
Hizo gari mzee zinaingiliana funguo kwenye kufungua ila kuwasha ndo haiwashi lakn kufungua inafungua corola corona premio ya zaman zinaingiliana ila haiwashi mm nilikuwa nina premio funguo zake zinafungua corola ila haiwash gar
Daudi kwansa wewe nimujinga sana toa sadaka pili omba mungu kama saidi mohamedi lugumi anajali sana yatima wasio jiwesa pili helahio ninyingi sana shukulu mungu umepona wangekutoa loho wahuni sio tembea nawatu hata muwe wawili poleyako Kalibu sana geita nyanhwale kumasahabu uchimbe bola
Mnaolaumu watu wa bank hanuelewi kuna wezi huwa wanazagaa zagaa wanawinda magari yaliyopakiwa. Wangekuwa majambazi wangevunja kioo hawana muda wa kupoteza. Yaani huyu kaibiwa na kibaka sema kaotea dodo.
Yaan haya mambo yanatokea mara kwa mara kuna rafiki yangu alienda sokoni alikuwa na simu mkononi akaja kijana akamchangamkia kama anamjua akampa mkono wakasalimiana akampa ile simu bila kujua ile amerudu nyumbani ndipo akagundua hana simu kwa hiyo huyu jamaa huenda kuna mtu kamfanyia huu mchezo. Pole sana
Hakuna kitu kama hicho unatoa kwa ujinga wako tu hakunaga dawa ya hivyo watu wote wangeibiwa dawa ikubadilishe lazima u take action mtu akupe mkono humjui jwanini asiseme shida yake kwanza mkono ufate watanzania tujitambue
@@othmanshahib1115usiombe ya kukute nlikutana na mtu aliniuliza tu mtaaa kitendo Cha kuanza kumuelewweshs kumbe tukachukuzana pale mpaka home kwangu nlipakia vitu vinavobebeka nikampa
Hi design za gari zinaingilia funguo aisee iliwahi nikuta fundi kaagizwa gari nyingine akafungua gari yangu na kuwasha na kuondoka niliporud skuikuta asee sio poaa🙆🏾♂️ Mungu amsaidie mwamba
Mshukuru mungu alikuokoa Kwa njia ya hiyo keki huenda ungeuwawa
Pole sana, walikulia rada tangu unatoka benk,akuna mtu angejua kama kwenye gari kuna ela.
Jamaa yupo cool as if nothing happened 😮😮
Aisee Mungu akutie nguvu
Mijitu ya bank nayo ni majambazi"wanakula pamoja na majambazi
Serious yaan nililishuhudia tukio hilo 2017 maeneo ya mnazi mmoja Dar, mzungu alitoka bank na hela ndefu sana sasa wakat yupo ktk foleni alishuka jamaa upande wa pili akiwa na bunduki na kuifata ile gar ya mzungu kugonga kioo cha mlango kwa utako wa bunduk na kumwambia nipe begi ya hela, mzungu akatoa begi ya hela akampa jamaa jamaa akakimbia na kurukia boda ilosetiwa pembeni nakupotea, aisee hakuna tena wakumuamin
@@menalikechildren8836huu ni mchongo😢
Uwezi jua kama hio keki ndohiliokoa mahisha yake kama alikua anafatiliwa na watu wabaya
Kweli kabisa.... hao wame m tail
Hakika yaani😢
Moleli dunia ni yako?. Unatembeaje napesa yote hiyo?. Unasikia watu wanatekwa na wengine hawana hata100. Shukuru Mungu huja chinjwa.
Pimbi kweli wewe
Alienda benki kutoa hela
Nifanya biashara wa nafaka ujaelewa utaenda kijijini kukusanya mazao bila pesa
Kwa wafanya biashara ni kawaida kutembea na hela
😊😊@@GeorgeJusto-y4v
Lakini huu ni uzembe watumishi wa benki hawaaminiki, tamaa mbaya kifo kinawaita
Millad ayo uje uteletee mrejesho baada ya dua ya wamasai kama itasaidia na sisi siku moja yanapotukuta tuwatafute tufanye maombi nao
Unatakiwa uwe mjanja kutoa Million 60 cyo shida ila unapoingia kwenye gari una badirisha pesa na kuzigawa ndani ya gari zaidi ya sehemu 6 arafu unachukua pesa kidogo unaacha kwenye huooo mfuko hivyo ili kukinga wasikuue wao wakifika hawahesabu watabeba tu kwa haraka kumbe kuna Million 2 au 3 cku nyingine jiongeze pesa zote hizo aziwekwi sehemu mmoja
Unamawazo kama ya babaangu hajawah beba hela nying kwa pamoja na mm ndo nafata nyayo
Nikweli kabisaaa
🎉
Kweli kabisa Mimi mwenyewe nilipewa milioni 3 na mume wangu nizitunze nilizigawa nyumba nzima Hadi siku mwenyewe anazitaka nikampa Hadi zingine zikanipotea nilipoweka nikaja kuzipata baadae 😅
@@AgnesJohn-f1r🤣🤣Hatamie nilikuwa namilion Sita naLaki 8nilizigawanya nakipindi natoka Bank sikuhitaji mtu wowo Anizoee nilizigawanya pia
DAH..!POLE SANA ASEE
Pole sanaaa
Mshukuru Mungu uko salama pesa zinatafutwa. Binadamu wamekua makatili sana wanauwa binadamu wenzao hata kwa milioni moja tuu. Wewe mshukuru Mungu kwa uhai basi
Pole sana mkuu
Hiyo hela inauma sana
Aisee narudia tena aiseee hao wazee wa mila sio mchezo😢😢😢😢😢😢😢nawaonea huruma
Unasema gari halifanani na pesa aliyokuwa nazo wengine hawapendi sifa ,na wenye pesa wengine hawana mbwembwe nampa pole sana dua ya kimasai ni zaidi ya halalbadil aliechukuwa apeleke kimyakimya
Ukitaka kununua gari tizama matumizi yako, ndiyo hii kitu inatuponza katika uchumi
Bank officials wanahusika
Kabisa mpango ulisukwa umo bank
Daud mjomba saningo,kua makini
Yes
💯💯💯
Arusha madini mengi pesa inadharaulika sana, bro mimi nikibeba hata 5m tu sina kituo mpaka zifike zinapokwenda na ndio usalama wangu. Maana pesa inakutoa uhai dk sifuri ikiotewa haitaki mara umepita saloon mara unakutana na mtu mara moja. POLE SANA BRO
Hamna hazijapotea hizo tafuta begi vizuri hapo nyuma ulipoweka.
Itakuwa ni mchezo huo,jaman ila wabongo jaman ,sio wa kuwaamini kihivo
Hii ni setup ya watu wa benki
Watu wa bank hao ndio deal zao pole sana lakini unatoaje pesa nyingi hivyo aisee 😢
Watu wanapga mbishe za m500 na kuendleaa tena kwa cash na hawawaz mkuu
Kuna maduka huwa wanauza bidhaa zao kwa cash tu kwahyo ni lazima ukatoe pesa bank uipeleke cash haijalishi ni kiasi gani ila tu huyu jamaa ni amekuwa mzembe sana kwa sababu gari huwa hatuziamini ni lazima ushuke na begi lako ukirud unarud nalo laptop tu yenyewe huwa tunashuka nazo sembuse pesa?
Inawezekana ni mchongo imeanzia hapo
INAONEKANA WALIKUA WANAKUFUATILIA NAUNGESHUKA NAILOBEGI PANGECHIMBIKA (pole)
Pole ndauo huwezi kujuwa mipango ya mungu
Pole sana walikuwa wanakufuatilia .
Pole sana brother
daaaah pole Mzee sema helakuzipata ngumu sana ingekuwa umeibiwa gari sawa ungelipata
Uwiiiiiiii
Wazeee hayo maombi n balaaa inamqliza familia zimaaaa ad mjukuu kitukuu yan ni mbaya s a naaaaa
Watu wa bank wanausika 100%
Au begi ukuipakia Kwenye gari
Wamuunganishe na huyu aliyenitapeli mimi,roho inaniuma sana😢
Pole sana ila next time ongeza umakini Hali ni ngumu sna ktk nchi yetu uwez beba pesa nyngi hivyo Kisha ukajiamn kias hta vioo vya gari huoandsh alafu unataka kulingishia watu pesa yaan pesa ya chai ukachomoe ktk bagi lenye milioni 62 kwann usitnge hta kias kdgo Kwa matumz yko
Sheria ikisema ifuate mkondo wake. Hapo Moleli anashtakiwa kwa kutembea na pesa nyingi bila ulinzi. Ila pole sana isee pesa ni nyingi wengi huwa wanakufa kwa Pressure
Uwiiiii
Na maisha ya bongo no camera in the streets 😢😢
Pia hizi gari za zamani huwa zinaingiliana sana funguo.
Sio za kuamini sana.
Kwa hizi za kisasa watu wanavyunja vioo na kuiba kilichokuwepo ndani wakijua kabisa kitu cha thamani kipo hawabahatishi.
Duh mh pole hila hapo watu wa benk watakua wanausika,angalieni tella iliyomuhudumia na je alipomaliza kumubudumia aliongea na nani kwenye sim na alizungumza nini,pole sana,
Pole bana hizo ni sadaka zimechukuliwa,utapata zingine kwa uwezo wake Allahr.
Mkiona watu wanakua vichaa ndo kama ivi,,apo jamaa wakienda kimila awo waizi lazma watakua vichaa
Akifanikiwa mrejesho muhimu.
Hiyo hella ni nyingi huwezi kuzulula nayo mtaani huwo ni ushamba pole sana
😂😂😂 nicheke kama mazuri
Tunao fanya biashara tunaona kawaida kutembea na pesa
Jaman katoka nayo bank ili akafanye matumiz kwaiy hana makosa hapo
Ww ndo mshamb mwenzio alichukua pesa akalip na nyingne kuifanyia kaz tatzo umekariri vtu kutembea na el kutembe na ela km unaijua ela
Kwako wewe ndiyo unaona pesa nyingi, watu wanatembea mpk na million 100 kwenye gari, wizi ni wizi tu !
Pesa zinanukia huu msemo huwa naambiwa na ndugu yangu kila nikitembea na pesa😊
Mungu wangu jamn yaaan mbaka natetemeka mhhh million 62 jamn daaaa ila acha nisiteme sana cheche maana mwanasheria wangu ayupo nchin
Binafsi sikulaumu chochote,fanya jitihada zako ila shkuru M'mungu hao watu walishakuweka kwenye target,wasingepata hiyo nafasi huenda wangekufanyia kitu kibaya na kutimiza azma yao
Hiv utow hel benk ni hao hao kun majambaz wao bwan nani angejuw kuna hela uko jaman ila hela nying jaman kuna watu wanamilik mi hela daah mshukur mung wak wangekuuw wasingekuacha kabisa walongw tyu j manne
Je,wakati anaondoka ktk gari,hakufunga mlango Kwa ufunguo/lock?
Mara Kwa mara ,Jeshi la Police&Taasisi zaFedha zimekuwa zikitahadharisha juu ya kutobeba fedha nyingi taslimu;Kwa tahadhari ya kuibiwa nk,Lakini wengi wetu tumekuwa tukipuuzia tu tu!
Je,eneo Hilo hakunaga "CCTV Camera"?Zinazoweza kusaidia kutiwa mbaroni waezi hao?
"NB:-
Endapo hataweza kuwakamata waezi hao,basi bora aende Sumbawanga Kwa waganga,au aende pale Babati Kuna mama mmoja ambae anaweza kusaidia.
Daa pole afu inaonekana unafaiti maana hilogari unatembelea lakawaida pole sana
Lakwako liko wapi ambalo siyolakawaida mkundu wa Mama yako wewe masikini wewe
Itakua maisha yanakuchapa sana aisee😂😂😂 pole bana hasira zielekeze kwenye kujikwamua na si kwa watu😂 @@Peterchila-un2lx
Hujamuelewa mwenzako ebu punguza matusi ndugu yangu hii ni dunia mwenzako amemaanisha gari lake ni la kawaida so mtu kujua kama uyu jamaa ana hela ni ngumu sana @Peterchila-un2lx
@@Peterchila-un2lxmatus ya nini, kwan kaongea kwa ubaya?? Gari ni kweli la million 5,
@LouisianaRiri lakwako lamilioni 50 likowapi 🐕🐕🐕 wewe masikini wewe
Mungu atakupa nyingine nyingi zaidi ya hizo.
Kuna sababu Mungu ana sababu na huyo aliyefanya arudishe tu kwani maumivivu ya mwenye fedha hizo kaumia sana
Kikubwa umepona ww manamhuo mpango ulikuwa ufe ww au waoo.mshukur.Mungu
Pole sana ndugu kwa kufanyiwa unyama
Yaani kama anafanya maombi ivi sio Poa iyo 😂😂😂
kwahyo keki ndio ilokupomza pole sana kaka
hapa Kuna mambo mengi sana naukiagalia nimfanya biashala kwahiyo kwenye pesa Kuna vitu vingi sana haiwezekani kwahakili ya halaka halaka pesa nyingi namna hiyo uichukue utembee nayo hata Kama anafanya kazi ya mazawo unachukua kidogo unaeda unalipa alafu unaludia tena hapa yeye mwenyewe kacheza mchezo na Kama Kuna watu anafanya nawo biashala inaweza ikala kwawo kwamana ya kua zulumu maelezo yake sijaya kubali
Daaah, basi Mungu akusaidie
Utazululaje na maburungutu hayo,
Ila pole sana haki Yako aipotei
Wewe ni mpuuzi sana hizo huwezi kuzipata kwa sababu hata Sheria inakataza mtu kubeba Hela nyingi hivyo
wa trace mawasiliano ya wafanyakazi wa benk waliokuwa zamu siku hiyo.... Au wa trace mawasiliano ya mtu ambaye aikuwa aende kufanya nae biashara....
Watuhumiwa namba moja ni watumishi wa benki
Pesa hazilogeki broo focus kwenye kutafuta zingine hizo zishaenda
Pole n qadar ya mungu
mpango ulisukwa huu na uliponea ulipoenda kununua keki wakapata nafasi ya kuzichukua bila purukushani, bila hivyo walipanga kuzipora kikatili na kukumaliza
Atakua alimwambia rafiki wa karibu, hao ndoo nyoka siku hizi.
pole kaka!
Sasa km nimemuona na sikujua km sío gari lake!!!itakuwaje jamani!!!!
Kwa hiyo hela ya kunywa chai, ulitaka kutoa kwenye ile milioni 62?
Huo wizi inaelekea shida ilianzia benki. Huwa inatokea sometimes. Mtu aliwekwa tayari akufatilie. Pia watu wanaojifanya ni wateja wa benki. Kukaa tuu mle ndani kwa kuvizia wakiangalia nani anatoa pesa nyingi ili wamfatilie.
Nakubaliana na wewe maana ndugu yangu aliibiwa simu Bank ya crdb mlimani city akiwa anajaza fomu mtu akaiba na wakakataa kumsaidia kumuona huyo mwizi kwenye camera. Kwa hiyo ni kweli huwa wamo mle kutega
Aliweka kwenye gari gani Sasa, Hilo gari unaweza kuweka M 62 gari la M 4.
Yani dk nne nyingi sana kwa wezi wanao kufuatilia. Mm niliibiwa mzigo wa zaid ya 2M kkoo ndani ya dk 1 yani dk haijaisha wameiba na mzigo haupo... Ni kitendo cha kugeuka kuupa mgongo mzigo kisha narudish macho 😅😅wahuni wakasepa nao 😅😅😅
Mwizi alichonga funguo na alikuwa anamtega kwa ufupi kambahatisha na kibunda wapige tu iyo dua litamfika mtu na yupo
Hela zilikuwa benki salama kabisa unaenda unazitoa kuzurura nazo...kwanini? Sku hizi mabenki yapo kila sehemu ...na mtu yeyote ukitaka kufanya nae biashara kubwa za hela kama hizo inabidi utumie bank sio kulipa cash.
UMEJIFUNZA SASA.
Duuh pole wanna kijana wangu
Mwanzo mungu amempa hiyo pesa amezaliwa bila kitu kwahiyo aseme mungu wewe ndo umenipa mwanzo naomba tena pesa zaidi ya hayo lenye heri kwangu inawezakana ile ilioipiwa haina Heri kwake na hiyo pesa amesahau kule kule benk aende bank aka angaliye camera ya benk kama ametokanayo pesa au hapana
Watu wa Bank wachonga madili, watarudisha pia wajomba ni mama jmn
Kwani wa wahudumu wa bank wanasemaje
Hawana usemi😅😅😅
Matukio ya picha zote zilichukuliwa na Nani na kuna nini?
Dua ya mtu mwenye kudhulumiwa Mungu anaipokea na alishasema haina pazia , ni vyema ukawapa namba za simu huyo mtu au ndugu zao wakakutafuta
Hizo gari mzee zinaingiliana funguo kwenye kufungua ila kuwasha ndo haiwashi lakn kufungua inafungua corola corona premio ya zaman zinaingiliana ila haiwashi mm nilikuwa nina premio funguo zake zinafungua corola ila haiwash gar
Daudi kwansa wewe nimujinga sana toa sadaka pili omba mungu kama saidi mohamedi lugumi anajali sana yatima wasio jiwesa pili helahio ninyingi sana shukulu mungu umepona wangekutoa loho wahuni sio tembea nawatu hata muwe wawili poleyako Kalibu sana geita nyanhwale kumasahabu uchimbe bola
Jifunze Kiswahili Mbwa wewe
During limechexwa na wafanyakz wa Bank aminia
Polisi wamdake huyu jamaa huu ni mchongo mtu anapigwa hapo
Alikuwa anafatiliwa kutoka bank .
Hiyo stori akiweka hapo inamsaidia kutolipa deni hilo analosema .
Mnaolaumu watu wa bank hanuelewi kuna wezi huwa wanazagaa zagaa wanawinda magari yaliyopakiwa. Wangekuwa majambazi wangevunja kioo hawana muda wa kupoteza. Yaani huyu kaibiwa na kibaka sema kaotea dodo.
Apo wahusika wa kwanza ni bank wenyewe, tellers wakusanywe wote wanakuwaga sio waaminifu ata kidogo wanakuuza kwa majambaz
Kurujuani hiyo mfuate Mzee magoma mkwala huo
Mh pole Jmn
Pole ndugu kwa kunyanyiwa unyama
Mchakato umeanzia Kwa yule aliekuhudumia benki nasiivinginevyo
byasha yamazao nikawaida kubeba kiasi icho wenyewe wakulima wanata walipwe kash pole sana kosa moja nigoli
mchezo uo dea ndo maana mi naingiaga bank na kindoo au lifuko tu lakawaida hahaaa
Kichek mim eti akifanikiw mrejesh muhim jaman 😅😅😅
Kama.una gari jitahidi kuweka hela kwenye buti
Huwezi ibiwa uka relax namna hiyo anaongea kwa mapozi huku ananesanesa
😂😂😂 labda Bado zipo nyingi bank
Bank ndio wahusika wa kwanza
Hata hiyo hela yote unatoa hafu unaweka kwenye gari hujuwagi kama kunakutekwa?mshukuru mungu we umetoka salama
Unatembea na 62m bila wasiwasi unashuka kwenye gari unaenda kununua keki kilichokuponza ni mazoea
😂😂😂😂
Malipo bado huwa mnafanya cash? Huko kunafaa sana kupiga mchomoko. Hakuna cha maombi wala dua. Pesa haitorudi
Yaan haya mambo yanatokea mara kwa mara kuna rafiki yangu alienda sokoni alikuwa na simu mkononi akaja kijana akamchangamkia kama anamjua akampa mkono wakasalimiana akampa ile simu bila kujua ile amerudu nyumbani ndipo akagundua hana simu kwa hiyo huyu jamaa huenda kuna mtu kamfanyia huu mchezo. Pole sana
Hii ndio mtindo mpya tuwe makini
Hakuna kitu kama hicho unatoa kwa ujinga wako tu hakunaga dawa ya hivyo watu wote wangeibiwa dawa ikubadilishe lazima u take action mtu akupe mkono humjui jwanini asiseme shida yake kwanza mkono ufate watanzania tujitambue
@@othmanshahib1115 yakikukuta utaelewa
@@othmanshahib1115usiombe ya kukute nlikutana na mtu aliniuliza tu mtaaa kitendo Cha kuanza kumuelewweshs kumbe tukachukuzana pale mpaka home kwangu nlipakia vitu vinavobebeka nikampa
@@othmanshahib1115yakikupata ndo utaelewa
Hi design za gari zinaingilia funguo aisee iliwahi nikuta fundi kaagizwa gari nyingine akafungua gari yangu na kuwasha na kuondoka niliporud skuikuta asee sio poaa🙆🏾♂️ Mungu amsaidie mwamba
Ukishika milioni 10 na tayari una nyumba yako nununua pikipiki usinunue gari kuna kitu nimejifunza mimi
Bnk wanashiriki