❤ haki nasikia furaha na pia bajikia na wivu kwa ndugu zetu watanzania kwa kupata rais mzuri sana mama samia ni rais mpenda watu wake na nchi yake sio kama huyu wetu ndili mla watu.hongera mama mungu akulinde na akupe afya.
Asante sana mama umefanya mambo makubwa sana ayo ni mambo ya kiroho yatakuwa kweli ktk kizazi chake uongozi wa kiti cha urais upande wa kina mama utaendelea ayo ni mambo makubwa sana ktk ulimwengu wa kimwili na kiroho
Kwakeli rais amefanya Jambo la msingi kwa mtoto hua kumpea nafasi yakuketi kwenye kiti hadi mtoto huyo akajihisi sababu ndoto zake kua rahisi zitimilike ❤
Ubarikiwe Sana Mheshimiwa kumtia moyo mtoto sio dogo litawapa somo watoto kuwa mawazo Yao Yana nafasi tena tunawajali Inapendeza Ubarikiwe Sana Raisi Samia
From Dwangwa Malawi yes a moving scene the president hugging the small girl even sitting on a presidential sofa unheard of across the globe thanks the humble Mama Samia Zikomo Mama mkuu
Hongera sana historia imeandikwa na haitafutika mtoto aliyekalia kiti Cha Rais mbele ya hadhara. Keep it up siku moja iwe kweli Mungu akujalie hekima na maarifa na upeo na uwezo mkubwa wa kiuongozi asiwepo mwenye kuharibu ndoto zako. Amen
❤ haki nasikia furaha na pia bajikia na wivu kwa ndugu zetu watanzania kwa kupata rais mzuri sana mama samia ni rais mpenda watu wake na nchi yake sio kama huyu wetu ndili mla watu.hongera mama mungu akulinde na akupe afya.
Asante sana mama umefanya mambo makubwa sana ayo ni mambo ya kiroho yatakuwa kweli ktk kizazi chake uongozi wa kiti cha urais upande wa kina mama utaendelea ayo ni mambo makubwa sana ktk ulimwengu wa kimwili na kiroho
acha ushamba
Hongera sanaa mama yetu kwa upendo wako ju ya watanzania bira kujali umri Hongera sanaa mama
Nimeipenda hii mtoto hiyo ni baraka kubwa baadae jitunze utakuwa kiongozi mkubwa baadae mama hongera
Kwakeli rais amefanya Jambo la msingi kwa mtoto hua kumpea nafasi yakuketi kwenye kiti hadi mtoto huyo akajihisi sababu ndoto zake kua rahisi zitimilike ❤
Walovomment hapa wengi ni wale wakatoliki. Walokuwa wanamtukana mama . Eti leo asante mama hivi nyie wakrsto mtaacha unafiki lini
Ubarikiwe Sana Mheshimiwa kumtia moyo mtoto sio dogo litawapa somo watoto kuwa mawazo Yao Yana nafasi tena tunawajali Inapendeza Ubarikiwe Sana Raisi Samia
Amen
Africa ni inchi yamani lakini wale ma beberu hawataki tuwe namani inchi
Mama Samia anahuruma sana ila watu hawajamuekewa tu
Anahuruma kumwachia hicho kiti akae 😂😂duh hatariii
Mimi nasema mama anafanya kazi nyinyi amuelewi mnataka afanyeje mmuelewe
Congratulations our president, umeonesha kumjali huyo mtoto, ni historia nzuri kwake
Ila umaarufuu ni kitu kidogo sanaa jmnii😂😂😂
😂😂karais katoto 👏👏👏
What has happened it has been established in Heaven
Kwakweli haijawahi kutokea
Nchi ina Mambo hii?
Aandaliwe vzr kielimu ili badae awe hazina ya Taifa letu
Amina Amina Amina sana.
Ndoto hii na itimie kwa jina la Yesu Kristo.
Heshima yako sana Mh Rais Samia
P0❤❤❤❤❤⁰00p0
Nimelia kwa furaha hii nimeipendaa kwa dhati❤ #ssh 🙏🙏
Nauliza huyu mtanzania au mboana kiswahili hakipo vizuri
Kumpisha huyu mtoto Ni ishara nzuri za baraka kiutawala na kmafanikio serikalini kiuchumi na kadhalika
Mama umefanya kitu sijawahi kukiona katika maisha yangu wewe ni kweli mama unamapenzi na watoto
Sahi sana Munhu hawabariiki wote
Hii imekaa poa sana
❤Mama wetu sote
Mungu akulinde utimize ndoto yako
Mtoto
Najisukia Amani
😴ee ninihiitena
Atakuwa kiongozi mkubwa siyo kuwa raisi hata huyu aliyepo ni basi tu cjui kama nchi hii itakuja kutawaliwa na mwanamke cyo kweli.
😂😂sisi watoto wa mtwara na kigoma tuliojaa funza miguuni ata tukafanyaje hatuwezi sikizwa... Nchi yangu hii 😢
Daaa inapendeza sana hongera Rais wetu kwa upendo wako .
Vzr xan we mtoto mzuri Mungu akubark utimize ndoto yaki
Wonderful day to see little girl like this God bless you beautiful girl Have The Best fureture In Jesus Name.
Huyo mtoto amepokea uongonzi kwa maisha yake
Huyo mtoto amepewa baraka wa uongozi
Waaaoohhh vizuri sana mtoto mzuri Mungu akutunze uje kutimiza ndoto zako
Wau wonderful 🎉❤ mu h love mama mtukufu rais hongera sana
Hapa Kenya zakayo amekataa kushuka kwa miti
Na hapa Kenya zakayo ametufinya Kama kuku
Na itimie kwa Jina la Yesu
Wow
Nice mma samia
Wow hongera mtoto jasiri..
Mama nimekukubali mpk naumwa
Safi Tena inafurahisha sana
Amina Mungu amlinde kwa kila hatua ndoto yake itimie
Inapendezasana
From Dwangwa Malawi yes a moving scene the president hugging the small girl even sitting on a presidential sofa unheard of across the globe thanks the humble Mama Samia Zikomo Mama mkuu
Kenya huwezi fika karibu
MUNGU akubariliki mom
Uongozi bora wa Mama
Ni rais alie kama muda mfupi madarakani.
Sijaelewa maAna yake nini
Wow wow nice congratulations ♥️
kinta
Hongesa Samia
What has happened it has been established in heaven
Yaani baada ya weye hatutaki tena raisi mwanamke
😂😂😂😂wewe unaakili sana acha hicho kiti akalie lakini hatutaki tena rais mwanamke
Wakenya tulikosea wapi Mungu 😭😭😭😭tuko na raisi wa shakahola
😂,😂😂😂😂
😅😅😅😅 uwiii..
Lovely Samia Hassan.we love you .Kenya
Mashallah
Hogera san 🎉
is it Raisi or Rais?🤔🤔🤔
May almighty bless you mama
Good generation
Excerent
Waooh!!!
Wow wow that was so good
Very nice,
Waooh!!!
Marshallah
So nice❤❤❤❤❤
Hongera sana historia imeandikwa na haitafutika mtoto aliyekalia kiti Cha Rais mbele ya hadhara.
Keep it up siku moja iwe kweli Mungu akujalie hekima na maarifa na upeo na uwezo mkubwa wa kiuongozi asiwepo mwenye kuharibu ndoto zako. Amen