MSIGWA AFUNGUKA SABABU YAKUITOSA CHADEMA KUHAMIA CCM "MIMI NI MTU MZIMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 158

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +19

    Leo kwa akili zako timamu unatuaminisha kwamba ccm ni chama kizuri, huna tofauti na maiti!

    • @Blacksamitz
      @Blacksamitz 8 วันที่ผ่านมา

      Alie kwambia CCM chama kibaya nani?

  • @faithmlay5944
    @faithmlay5944 9 วันที่ผ่านมา +5

    Pole sana Mchungaji. Hujatambua mpaka leo Ole wa kuwategemea wanadamu hasa wana siasa? Nadhani huko unakoenda ni shimoni rudi tu madhabahuni umtumikie Mungu wako.

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 9 วันที่ผ่านมา +5

    Nadhani chadema imeshaingiliwa ili kuvurugwa. Ungetulia tuu chadema na kuwakosoa openly. Ila kwenda ccm ni sawa na kuruka mwiba mmoja mbaya na kukanyaga mbigili mbaya nyingi

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +11

    Angalia macho yake kama mchawi!

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +12

    Hufai hata kuitwa mchungaji, wewe ni mwizi na mnyang'anyi tu! Huna lolote!

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 9 วันที่ผ่านมา +9

    Msigwa,,msigwa, msigwa funga kinywa,,utakuja kujutia kauli zako

  • @shahamzanda5857
    @shahamzanda5857 9 วันที่ผ่านมา +7

    Ukiingia CCM muda huo huo unafanana nao kila kitu.

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 9 วันที่ผ่านมา +8

    Amekula matapishi yake huyo

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 9 วันที่ผ่านมา +7

    Njaa nenda ipo siku utakuwa moto nenda zakayo

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 9 วันที่ผ่านมา +7

    Ume fail mchungaji huna msimamo

  • @denisosward7464
    @denisosward7464 9 วันที่ผ่านมา +3

    Nafikiri mnaendelea tu kufungua macho Leo ccm kinauchaguzi mzuri duu hatari Sana.Mchungaji pole Sana kwa mawazo finyu.

  • @shadrackdamson7904
    @shadrackdamson7904 9 วันที่ผ่านมา +5

    Akili mkubwa imekubali kuongozwa na akili ndogo umekulupuka mng'ang'azi wa madaraka kweli huna uvumilivu akaanguka sikuelewi kabisa mimi

    • @plujoncylugano4611
      @plujoncylugano4611 9 วันที่ผ่านมา

      Maneno yake haya sijui kama anakumbuka,akili ndogo kuongoza akili kubwa,ametukosea sana lkn amechafuka kupita kawaida aache siasa akahubiri .Lkn pia atahubiri nn na usaliti ungali ukimfuata?Ovyo sana Msigwa

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 9 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu mchungaji uchwara kumbe ndie aliekwenda kujifanya anamsapoti lisu kumbe ndie alikua anampelekea wahuni

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 9 วันที่ผ่านมา +2

    USAJILI UMEANZA KUELEKEA 2025 ...DIRISHA LIMEFUNGULIWA Well done. .

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi nauliza swali, Endapo kama wote wakihamia ccm kama mnavyotaka, Je, kutakuwa na umuhimu gani wa siasa!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 วันที่ผ่านมา

      Hakutakuwa na maana yakudanganya Dunia kama Tanzania kuna Demokrasia wakati hakuna. Huyu toka aingilie sakata la Ngorongoro nilijua hana maana kabisa. CCM wanatenda haki gani?

    • @alexjohn7361
      @alexjohn7361 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@leokamil6284msisahau pia kuhama chama ni sehemu ya tafsiri ya democrasia na ni justification ya individual freedom katika kufurahia haki yake.

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 9 วันที่ผ่านมา +6

    Hafai ata kuchunga mbuzi

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 9 วันที่ผ่านมา +5

    Unaanza kuropoka sasa, nyamaza tu,

  • @user-ig6pg6oz9i
    @user-ig6pg6oz9i 8 วันที่ผ่านมา +2

    Umedharirika we do msigwa kweli au copy

  • @emanuelmasele8213
    @emanuelmasele8213 8 วันที่ผ่านมา

    Karibu Peter kwenye Chama chenye maono Kwa maslah ya umma

  • @nelsongodfrey9952
    @nelsongodfrey9952 9 วันที่ผ่านมา +4

    Hoja ulizosema ungezijenga hata ukiwa chadema. Twambie why umetoka chadema usilete maneno. Twambie ukweli why umetoka chadema?

  • @justinekamala9703
    @justinekamala9703 9 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi kwann wabunge wa Chadema wengi ni njaa kali sn? Umelipwa mshahara miaka 10 kweli umeshindwa kuwa na miradi ya maana hadi mnakuja kuwa omba omba kwa mliowatukana kila kukicha? Mbn kabla ya Sugu hajakushinda ulikuwa hujahama na kuyasema hayo unayoyasema sasa?
    Akiri ndogo uliyokuwa unaisema kila ck ndo sasa nimegundua kuwa ulikuwa unajitukana wewe mwenyewe

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 7 วันที่ผ่านมา

    hahahahhaha Mama Samia kiboko hahahahha she is so genius,

  • @user-mp7zk7dk7f
    @user-mp7zk7dk7f 9 วันที่ผ่านมา +3

    Kumbe Huwa ni kabaya hiv

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 9 วันที่ผ่านมา +4

    kuna wakati ulitoa ahadi kama ukihamia ccm gari lako nyumba zako sichomoe moto,,,vp utachoma mwenyewe au?

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 7 วันที่ผ่านมา

    Kwa Iringa Mjini Msigwa ni nguli wa siasa. Ataiathiri CHADEMA pakubwa kuelekea uchaguzi mkuu.

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 9 วันที่ผ่านมา +1

    Usimtaje hata Mungu hapo kaka ,umetukosea sana wanachi

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 9 วันที่ผ่านมา +1

    Umekula matapishi Yako mwenyewe broo

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 9 วันที่ผ่านมา +1

    CCM mchukue tahadhari kubwa na huyu mtu ,Niko paleee

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 9 วันที่ผ่านมา +3

    History is very harsh remember that Msigwa

  • @juliusbura4550
    @juliusbura4550 9 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe umegeuka chawa

  • @pancrasluoga4584
    @pancrasluoga4584 9 วันที่ผ่านมา +4

    Wewe ni mpumbavu...nenda kawekwe

  • @MzeewaslowHusseinAndrew
    @MzeewaslowHusseinAndrew 9 วันที่ผ่านมา +1

    Njaa kali huyo Mzee

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hahahahahaha pole hutudanganyi nawe uwe unaitikia ndiooooo mikatapa yakutuumiza watanzania

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali 2 วันที่ผ่านมา

    Weka maneno ya Amina chadema imekuheshimisha ipo siku utaikumbuka

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa wiki iliyopita alitukana chama na serikari yake akiwa na kwenye mikutano singida Leo anakaribishwa na Rais. Hapa sio msigwa tu hata CCM inajivunia heshima.

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 9 วันที่ผ่านมา +4

    makala ccm kuna haki?vp mpina na sukuri,,kama kuna haki,, mpina mbona asipate haki na ukweli?

    • @FredymaswiMwita-oj6gv
      @FredymaswiMwita-oj6gv 9 วันที่ผ่านมา

      why wanasiasa hamuaniki? mioyo yenu ina Siri gani na siasa? eeeeeeeewewwwwwwiiiii mchungaji peter msigwa.. Joshua nasari..david silinde...peter lijua likali...mbunge wa shinyanga mjini.. ( katambi} mmmmhhhh naona kama naota...je tuamini kama mnaruaminosha uongo unao fanana na ukweli ?

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 9 วันที่ผ่านมา +2

    NJAA MBAYA SANA. LIJUA KALI HIVI YUPO WAPI. 🤣🤣🤣🤣🤣YUDA WAPO WENGI HAKI.

  • @matinyahaule792
    @matinyahaule792 8 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji msigwa umechelewa sanaaa kuchukua maamuzi. Ungewahi zaidi

  • @thomaskwibonelwa9240
    @thomaskwibonelwa9240 8 วันที่ผ่านมา

    Deadliest politics! Mwalimu Nyerere aliwahi kusema wapo wanasiasa Malaya!

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 9 วันที่ผ่านมา +1

    kimekulamba but Usaliti ni mbaya sanaaa - Ni heri ungekaa kimya .

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 9 วันที่ผ่านมา +7

    Juzi juzi tu alikuwa anawatuka anawaita akili ndogo jamaniii hawa wanasiasa ni kuwaogopa kama ukoma

  • @gadielkahemba6514
    @gadielkahemba6514 9 วันที่ผ่านมา +2

    Unamshuru mungu labda kea unafiki.kila siku mama angalia kua wanaiba na acha waibe kwani watazikwa na vyo!!?amakweli tumbo likiuma akili Ina pumbaa.

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 9 วันที่ผ่านมา

    Umekula hela, funga domo lako. Sisi watu wazima zaidi yako, shika adabu yako

  • @barakabethuel6353
    @barakabethuel6353 8 วันที่ผ่านมา

    njaa MBAYA SANAA

  • @bangilibangili
    @bangilibangili 9 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sawa kabisa jamaa

  • @UfahamuwaKristo
    @UfahamuwaKristo 8 วันที่ผ่านมา

    Msigwa bora ungesema unaacha siasa ila sio kwenda kwa watu uliowaponda kwa miaka yote yani hauwezi kueleweka

  • @user-hb8er6dq2q
    @user-hb8er6dq2q 9 วันที่ผ่านมา +2

    Taperi uyuuu umeyakanyaga

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 8 วันที่ผ่านมา

    Hhahahahah siasa ni laana pesa ni kubwa kweli 😂😂

  • @remmysanga8820
    @remmysanga8820 9 วันที่ผ่านมา

    Safi sana jembe umefanya maamuzi mazuri mnoo.karibu Sanaa tuijenge nchi yetu.

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 9 วันที่ผ่านมา

    Vizuri sana wanao kutukana kimewauma

  • @Leonardherman-ng1qt
    @Leonardherman-ng1qt 8 วันที่ผ่านมา

    Mm siasa bas

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio mchungaji ni tapeli sawa Na chui aliyejika ngozi ya kondoo

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 9 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa pole kwa madhila yote lkn hongera kwa kujiunga na ccm. Bila shaka umepiga hesabu ya kuangalia maslahi yako ya mbeleni. Kati ya demokrasia na fedha ukiamua kuchagua fedha pia niuchaguzi halali. Ila mwakani ccm wakikutosa kura za maoni usije ukachukia mana kule iringa mini tayari wanaccm wanaye mtu wao. Lakini usiogope zipo nafasi za viti maalumu.

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa kweli kama atakaa kwenye chama kwa maana ys kuwa kiongozi tuu basi wanachama watakuwa wachache sana. Huko ulikoenda ndiko kwenye haki kweli. Kuondoka kwa namna hiyo kumeonyesha immaturity.

  • @user-qq6zu3no4z
    @user-qq6zu3no4z 9 วันที่ผ่านมา

    Hiii nchi niyetu sote kuhama chama walasiyo tatizo tujenge nchi yetu kwaamani

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 9 วันที่ผ่านมา

    Msigwa ameenda kuunga juhudi, kama wenzake walivyokwenda kipindi cha Magu

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 9 วันที่ผ่านมา

    Mushes. Felix. Gari. Musariti

  • @kassimjumanne5399
    @kassimjumanne5399 9 วันที่ผ่านมา

    Umenikwaza bhn msingwa

  • @isacklaizer6776
    @isacklaizer6776 8 วันที่ผ่านมา

    Ogopa mtu mwenye ndimi mbili, Nyoka.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 วันที่ผ่านมา

    Nakumbuka nilishawahi soma kitabu
    * The mine boy*
    Themes za kitabu hikoo
    ninkwamba mpambanaji huwa hakimbii tatizo huwa anarikabili!
    Sasa msigwa ww %100
    ni njaaa
    umefikir kuwa nikitoka mapema huku 2025 ntapewa uongoz huko! na maisha yaende!
    Sasa na cc hawatakupa uongoz!
    Utajuta sanaa!
    1- watu umeshapoteza iman yao kwako
    2- Wadhiwa wako kama mchungaji umekuwa 000
    Ila njaaa nyooooko kwakweli

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct 5 วันที่ผ่านมา

    Hakika misgwa umejdhalilisha sana sana sana

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 9 วันที่ผ่านมา

    Uchungaji wake huwa siuelewi,,mchungaji huwa mkweli na asiye yumbayumba

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 6 วันที่ผ่านมา

    hivi uenyekiti kanda ya nyasa una maslahi gani mpaka msigwa uliposhindwa uchaguzi huo uchanganyikiwe kiasi hiki

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 8 วันที่ผ่านมา

    Msigwa akili zako zipo kisogoni huaminiki ni muongo kupitiliza

  • @JanuaryBacabura-em3sg
    @JanuaryBacabura-em3sg 8 วันที่ผ่านมา

    Siasa ya maslahi tumbo ni hatari sana,

  • @DicksonLyimo-ie7md
    @DicksonLyimo-ie7md 8 วันที่ผ่านมา

    Msigwa Hana tofauti na malaya

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kila mtu anajuwa chadema ni shamba la mwamba,

  • @AmusedLargeTree-md2jv
    @AmusedLargeTree-md2jv 8 วันที่ผ่านมา

    Njaa imezidi

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 9 วันที่ผ่านมา

    Dalili za wanafiki ziko kwa wanasiasa. Tulisikia muda mrefu kuwa msigwa anakwenda CCM. Basi kuwani tu wanafik kwa vile mumeshapigwa mihuri ya unafik ktk mioyo yenu.

  • @flaviankiria8251
    @flaviankiria8251 9 วันที่ผ่านมา

    Chadema muwapime wagombea niazao kwanza kabla hajachagua njaakali kama msigwa

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani kitakachoendeshwa na viongozi wasio wabinafsi Ili kuiondoa CCM madarakani. Vyama tulivyo navyo kamwe haviwezi kuiondoa CCM. Wengi tunakimbilia kutukana wanaohamia CCM, kama hatutakubali kujichunguza na kujitafakari tuendelee kuwashutumu wanaohama kuwa ni wasaliti huo ni ujinga.

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o 9 วันที่ผ่านมา

    Aya bhana mchungaji ,

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 8 วันที่ผ่านมา

    Kumbe yani huyu afai kuitwa mchungaji msaliti na mwenye tamaa ya fedha umehongwa sana

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 9 วันที่ผ่านมา

    Huna tofaut na maiti

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 9 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndio siasa ilivyo msimlaumu msigwa huo ni uamuzi tuheshimu na ndio demokrasia .pia nawashangaa wanaomlaumu mkuu wa mkoa chalamila kugeuka kimtazamo Kwa uongozi uliopita na kwenda na siasa za usasa na kwenda sambamba na mama samia

  • @OswadSanga-hb2vi
    @OswadSanga-hb2vi 9 วันที่ผ่านมา

    Kweli kwa mungu hawafiki peponi

  • @nestorygwanko4013
    @nestorygwanko4013 8 วันที่ผ่านมา

    kuna...siku mtaelewa..kuwa mpinzani katika taifa hili ni ZITTO ZUBERI KABWE

  • @user-cr6tm5jz8x
    @user-cr6tm5jz8x 9 วันที่ผ่านมา

    Huyo ni njaa tu ila chadema na wao ni taabu tu Bora arudi chama Dume ccm

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 9 วันที่ผ่านมา

    Lissu alisema kunapesa zimemwaga kwenye uchaguzi wa chadema

  • @AshrafImam-o7t
    @AshrafImam-o7t 9 วันที่ผ่านมา

    Ila njaa mbaya jamani😂😂

  • @AminaNdele
    @AminaNdele 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wanasaikolojia tumekuelewa zaidi ya aliyoyazungumza,nadhani amefanya maamuzi kwa kukurupuka,hata ukimuangalia ni kama hajiamini na maamuzi yake.

    • @TheresiaKwaslema
      @TheresiaKwaslema 9 วันที่ผ่านมา

      Exactly! he was uncomfortable coz has already abused ccm party so anajua maccm wamempokea ilimradi kaja ila hawatamwamini kabsa!

    • @TheresiaKwaslema
      @TheresiaKwaslema 9 วันที่ผ่านมา

      Exactly! he was uncomfortable coz has already abused ccm party so anajua maccm wamempokea ilimradi kaja ila hawatamwamini kabsa!

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 3 วันที่ผ่านมา

    CCM kama ulikihama ukirudi hawakuamini tena hivyo atafute shughuli ya kufanya akumbuke wenzie waliotupwa jalalani

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 9 วันที่ผ่านมา

    YAANI MSIGWA NI JIZI,YAANI TUNA WASHUNGAJI FEKI, JMN MUOGOPENI MUNGU ALIE HAI.

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 9 วันที่ผ่านมา

    Haya bhana kapige makofi moto ukieasubiri

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 วันที่ผ่านมา

    Hawezi kuvumiliya njaa

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 8 วันที่ผ่านมา

    Hana lolote kafeli kisiasa muumba wa haki amlaani kwa tamaa zake

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 8 วันที่ผ่านมา

    Alaaniwe huyo njaa ndo himempeleka huko

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 9 วันที่ผ่านมา +1

    Looo msigwa siwewe ulisema mama samia kauza bandari mama samia kauza uwanja wa kia mama samia kauza mbuga za wanyama mama samia kauza ifadhi za misitu jamani sasa tuwaaminije na wenzako kwenye helicopter c mnatudanganya sasa

  • @BahatiLogondisha-vq7gg
    @BahatiLogondisha-vq7gg 8 วันที่ผ่านมา

    Mch ngani wasio nakweli tunaka sukari mwafaka wake

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 9 วันที่ผ่านมา

    Yuda

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 9 วันที่ผ่านมา

    MUOGOPENI MUNGU ALIE HAI, MSIGWA SHETANI WEWE

  • @user-gx9jr5le2f
    @user-gx9jr5le2f 4 วันที่ผ่านมา

    Shida ya chadema hawataki kuwambiwa ukweli

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 9 วันที่ผ่านมา

    Chama cha 3 hicho ktk kuhamia ccm wakiwa hawajampa uongozi anahama kwa akili za kawaida ccm huwachukuwa viongozi wa upinzan sikama wanamapenzi nao na huwa ccm hawawamin mwisho wanapotea.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 9 วันที่ผ่านมา

    Pesa pesa loo mmh

  • @raymondmjebe2412
    @raymondmjebe2412 9 วันที่ผ่านมา

    Tumuogope Mungu ila mimi natambua kuna haja kubwa sana kuwachunguza watu wa design ya msigwa ok but kuna haja mungu awaongoze vyema wanasiasa watuvushe

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 9 วันที่ผ่านมา

    Dah qua mamake aisee

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 9 วันที่ผ่านมา

    Mashetani yote uchungaji wa kichawi na kiganga kuanzia leo natoka kanisani kwako mnafiki mkubwa

  • @angelvictor718
    @angelvictor718 6 วันที่ผ่านมา

    Uyu mtu nashindwa hata awe kundi gan la kiumbe dunian

  • @user-le7cc9zk4d
    @user-le7cc9zk4d 9 วันที่ผ่านมา

    Muhuni kama wahuni wengine

  • @AsifiweMwakabwenda
    @AsifiweMwakabwenda 9 วันที่ผ่านมา

    Hatukwelewi msigwa unauchu wa madaraka