"Kuongoza kwa stail ya Mwanri hapana" Rais SAMIA amkumbushia Aggrey Mwanri akiwafunza Wakuu wa Mikoa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 261

  • @user13375
    @user13375 3 หลายเดือนก่อน +31

    Mwanri hakuongoza vibaya na alikuwa akisisitiza maendeleo sana, mwanri ni level nyingine..

    • @petermwijage9882
      @petermwijage9882 3 หลายเดือนก่อน +3

      Mwanri ni mtu wakurudisha kwenye uongozi hasa tabora ss tunamwitaji sana siyo vyongozi wengine wakufanya jinai kwawanainchi

    • @wamburajohn1009
      @wamburajohn1009 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ndugu yangu tenda wema nenda zako.....wazuri wanakumbukwa na wanyonge.

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 2 หลายเดือนก่อน

      Mwari alikuwa vizuri

    • @juliuslucas593
      @juliuslucas593 หลายเดือนก่อน

      ni kweli yeye anachosisitiza sio kusubiri maelekezo kama ma eng wa mwanri kipindi kile hajitumi adi aambiwe ila Mh Rais kasema kwake yeye uongozi wa kutoa maelekezo kama mwanri alivyokuwa. Anatoa maelekezo hapana kila mtu akatumie ujuzi,ubunifu, kufuata sheria kuongoza na kusinamia maendeleo pasipo kusukumwa au kusubiri nini cha kufanya.

    • @aidankumburu3792
      @aidankumburu3792 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa alikuwa anamasihara lakini ni mtendaji mmoja mzuri sana

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 ปีที่แล้ว +30

    Lakin mheshimiwa Aggrey Mwanri , katusaidia sanankuinyoosha Tabora yetu , angepewa tena .

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 2 หลายเดือนก่อน +12

    Jidhalau mwenyewe kabla hujadharau mwingine Mwanri ni bonge la mchapakazi,SUKUMA NDANI

  • @mfebricknkuna7106
    @mfebricknkuna7106 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaaani mwari akigombea cheo chochote kite wakati wowote ule na chama chochote kile atapata bila rushwa. Mwari amefanya kazi nzuri na wananchi wanamwelewa na kumkubali sana.

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mwanli alikuwa anatatizo gan kwenye uongoz wake mama fafanua tujue tatizo lake ninnnn

  • @halimashabani7373
    @halimashabani7373 ปีที่แล้ว +14

    Mkuu wamkowa tabora ndio bora sio Hao ulio nao

    • @qwertqwerty1239
      @qwertqwerty1239 หลายเดือนก่อน

      Kwani yeye kaponda au kasema watu wasingozwe bali wajiongoze ndio maana aksema alikua anasemaje vingozi wakamalizia soma hyoo

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 ปีที่แล้ว +2

    Mama Samia,mimi ninachotaka ktk maisha yangu ni AMANI tu ila ungetoa hili swala waarabu sina shida na uongozi,ukoo wangu hakuna anayefikiria nafasi hiyo na siwezi kumwangaikia mtu,nahangaikia Taifa langu TZ iwe na amani
    Thanks

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 ปีที่แล้ว

      Sasa warrabu walifanya nini

    • @amosantony9546
      @amosantony9546 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว

      Usione haibu kumsema hafai tu bc inatosha mpaka treni ya Moro haizindiliwi kwasababu gani Yani unaiona bandari tu

  • @businessngoni5334
    @businessngoni5334 13 วันที่ผ่านมา

    Mwanri alikua mwamba sana, speed yake iliendana na speed ya JPM, alileta mageuzi wakubwa sana ya kimaendeleo na msimamo kazini pale Tabora, anastahili heshima kubwa

  • @gwakisanoah2538
    @gwakisanoah2538 ปีที่แล้ว +2

    Kwani Mwanri alikosea nini?

  • @mohammedyally7104
    @mohammedyally7104 ปีที่แล้ว +1

    Mama unataka maendeleo ya nchi yetu lkn watendaji wazembe usiwafumbie macho hap ndio wanaokuangusha miradi mikubwa inasimama haiendi vizuri unayaona Haya wanakueleza hembu mama tembea uone na uambiwe fanya kushtukiza uone mama

  • @petermwijage9882
    @petermwijage9882 3 หลายเดือนก่อน

    but sisi wana tabora tunamtamani mwanri arudi huku maa na tunajua wapi alitukuta ,nn alifanya na wapi alitufikisha kimaaendeleo so we appreciate him so much

  • @kepharichard4183
    @kepharichard4183 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mbona unapenda kusaidiwa saana!!!?? unapenda misaada sana

  • @OmarYussuf-j5g
    @OmarYussuf-j5g 3 หลายเดือนก่อน

    Kabisa présidente juu kwa Mungu!!!!??? Makonda etiiiiii eneya uji kute. Good job na tanzania geuza izo sheria mbovu za wazungu etiii mihula 2 peke haitoshi kwa mama huyo.

  • @davidmwita3008
    @davidmwita3008 ปีที่แล้ว

    Hapo mama hakuna alie elewa somo,

  • @nogigwatv0702
    @nogigwatv0702 ปีที่แล้ว +2

    Angemrudisha mwamri tabora ungekuwa wa maana sn

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 3 หลายเดือนก่อน

      Mwamri ni bwege tu ndio maana katupwa nje, mzee wa magizo.

  • @geraldndila5172
    @geraldndila5172 3 หลายเดือนก่อน +2

    Rais Samia kunawakat kama nakuelewa ivi ila kunawakat unanichanganya nashindwa kukuelewa vizur, kwamfano huyo Mzee wasomaiyoo alikuwa naubaya Gani kwenye utendaji wake wakazi? Mh rais taifa letu, nimala mia tukawa narais mpole kama wewe ivo ila watendaji wako wangazi zote wakawa kama akina mwanli , silaa ,makonda ,bashungwa, aweso , biteko , majaliwa,aly happy, sabaya ,nawengine wengi waaina hiyo nchi yetu itapaa sana hata kiuchumi, maana huku chini ndo Kuna madudu mengi sana viongozi wanahujumu sana milad ya selikali milad ambayo wewe umetoa fedha Ili itekelezwe, mila inatengenezwa chini yakiwango napesa zingine zinaishia mifukoni mwao , wakijiamini hayupo wakuwafuatilia , maana mh rais kusema ukweli huwez wewe kama wewe kufuatilia au kutembelea miladi yote nchini Hadi ngazi yamtaa nikitu ambacho hakiwezekani, hata kama ningekuwa Mimi nisinge weza, nakushaulitu mh rais wewe nikiongozi mzuri sana jitaid2 kututafutia viongozi wawajibikaji siyo wanaokuja kukaa maofisini2

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Alikuwa sio mbaya yule mkuu wa mkoa sio kama chalamila

    • @chachamwita4687
      @chachamwita4687 หลายเดือนก่อน

      Ningekua mshauri wako, ningekushauri viongozi wasiwe wanakusifia majukwaani, waache wananchi wenyewe wayaone mema yako, wao Wana macho na masiko na wanajua nchi inavyoenda. Kusifia kuna kera wanachi

  • @chademaelfhasmolell
    @chademaelfhasmolell ปีที่แล้ว +2

    Mwandi alikua kiboko soma iyo

  • @SaidMohamed-j2v
    @SaidMohamed-j2v 3 หลายเดือนก่อน +1

    waandishi wanafikisha ujumbe vibaya, hajasema kwamba mwanri alikuwa kiongozi mbaya . kasema style ya kiongozi mpaka uambiwe majukumu yako kama mwanri alivyokuwa anawaambia ma engineer yeye hapana ...anataka mtumishi ajue wajibu na majukumu yake atekeleze

    • @user13375
      @user13375 3 หลายเดือนก่อน

      Lugha tata, unaweza kueleza utakavyo,ila wengi tumeelewa,si ulivyoelewa🤣🤭🤭🤔🤔

  • @Ananiamwigavile
    @Ananiamwigavile 3 หลายเดือนก่อน

    mama Yale maneno aliyoyatoa Mwigulu pale Bungeni wasiyatumie , Yale ya kusema dereva akigonga mtu akafa hanyongwe? Yale nafikili aliingilia kazi za Mungu bila kujitambua, ni maneno ya kupuuzwa.

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 6 หลายเดือนก่อน

    Hao wote hakuna kitu. Ni wezi wameapishwa

  • @Immanueljosephmishinga
    @Immanueljosephmishinga 3 หลายเดือนก่อน

    Kiukweri namkubali sana agrei kwani ndio mkuu wa mkoa alie kuwa tishio katika mkoa wake mlete dar....

  • @JosephDandu-sr8tr
    @JosephDandu-sr8tr หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kumaliza kusikiliza speech ya uyu mama

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 ปีที่แล้ว

    Tatizo kubwa la viongozi hawatatui matatizo ya wananchi.wao wamebaki kukaa ofisini tu.
    Wanachi wana shida nyingi za kutatuliwa na viongozi, ngazi ya mkoa,wilaya,tarafa, kata,na kitongoji.lakini mpaka asubiriwe kiongozi mkuu kutoka juu ndio wanachi wanafunguka matatizo yao.

  • @josephhusein3383
    @josephhusein3383 ปีที่แล้ว

    Niulize swali nitumbuliwe, acha nikapige hela😂😂😂😂

  • @maxmilianwiliammallyawilia2791
    @maxmilianwiliammallyawilia2791 2 หลายเดือนก่อน

    KAMTHALILISHA SANA HUYU MZEE KAZI NZURI ALIOIFANYA TABORA ILIPELEKEA MPAKA AKAPEWA UCHUNGAJI

  • @SalimSaid-k3z
    @SalimSaid-k3z 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mama gesi usiwekeze kwa nguvu zone. Tunapikiya na magaripiya yanatumiya gesi .mama tunafeli vipi cc.mama mbona kama tumerogwa

  • @K.L.P.TMWANGATA6635
    @K.L.P.TMWANGATA6635 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa MUNGU kuacha kusema na watu direct ni wew na mahusiano yako na MUNGU na viwango vyako vya imani na kumpenda yeye

    • @user13375
      @user13375 3 หลายเดือนก่อน

      ka imani kadogoo,🤣🤣🤣🤣

  • @michaelboniface7003
    @michaelboniface7003 หลายเดือนก่อน

    Hamna ki2 hapa.

    • @KhamisHaroub-uj5ci
      @KhamisHaroub-uj5ci หลายเดือนก่อน

      Roho mbaya acha itakuuwa mapema wewe mwenye nalo mbona hujaekwa

  • @chachamwita4687
    @chachamwita4687 หลายเดือนก่อน

    Kiongoz akifanya kosa la makusudi mf ubadhilifu wa fedha za umma, kutosimamia utekelezaji wa miladi na ni mzembe, huyo asihamishwe kituo bali afukuzwe kazi. Hapo hata wengine watafanya kaz iendelee.

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 ปีที่แล้ว

    Soma hiyooo

  • @DICKISONJULIUS-z1x
    @DICKISONJULIUS-z1x ปีที่แล้ว

    Raisi leo umenikosha kidogo unaongea kwa upole adi nashawishika 2025 nikukpe kula yang

  • @SalumChema
    @SalumChema 3 หลายเดือนก่อน

    Tunataka.kama.huyo.wa Tabora haunaowatakamama.watakuangusha.wanajisahau sana bilavibokohawaendi.siunaonamwenyewe.lawamazotekwakokilasiku

  • @Geofrey-k3g
    @Geofrey-k3g 3 หลายเดือนก่อน

    Agrey Mwanary

  • @alexandermalima610
    @alexandermalima610 ปีที่แล้ว

    Mkono hausimamishwi mheshimiwa rais bali unanyooshwa,nabaki na questions kichwani

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @MasumbukoNgata
    @MasumbukoNgata 3 หลายเดือนก่อน

    Temberea wananchi wako rais na cyo kukutana na watu wako

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k ปีที่แล้ว

    Unaanzaje kumuuliza rais maswali? 😂😂

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl ปีที่แล้ว

    Iv nyote nyie mume kosa swali hata moja 😮😮sifa tu kwenden zenu uko

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว

    Hamna swari😅

  • @majulamatiginya8195
    @majulamatiginya8195 3 หลายเดือนก่อน

    Simama Tuombe

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis ปีที่แล้ว

    Hawana maswali

  • @dandara008
    @dandara008 ปีที่แล้ว

    umepewa power kwa hekima na umeamua ku abuse power

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mama Unawapa pawa kubwa hivyo, Viongozi hao! Watatuumiza Sana Wana Nchi Maana Watakuwa hawaogopi chochote kile 😢

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 3 หลายเดือนก่อน

    wanaume wazima wanaamka kuchekacheka huu ni ujinga,Kuna tofauti kati ya fulsa ya maswali na maoni.

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 3 หลายเดือนก่อน +26

    Ibrahim traore ndio kioo cha africa hawa wengine na ruto wao ni vibaraka

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 3 หลายเดือนก่อน

      traore tusubiri kwanza mapema mno , wapo wengi walioingia asksri kama yeye walishindwa vinaya

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 29 วันที่ผ่านมา

      Kwa Ibrahim kama Babu yetu

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 ปีที่แล้ว +22

    Kwa kazi aliyoifanya mwanri alipaswa kupewa pongezi

  • @emmaboka959
    @emmaboka959 ปีที่แล้ว +20

    Wangeulza nn, kama unataka maswali njo huku kwa wananch, hao ni wateule wako, hawawez kuulza

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว

      Tumpi pipi zake akalale Kyle

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu หลายเดือนก่อน

      Mtaka mwamba kabisa mtoto wa mara hatar sn

    • @hermanmakulilo6708
      @hermanmakulilo6708 หลายเดือนก่อน

      Kama hujaelewa kaa kimyaa si lazmaa ukoment

    • @romanilyimo
      @romanilyimo หลายเดือนก่อน

      Kwani kasema huongo? Hao ni wateule kweli hawawezi kuuliza maswali aje uku kwa wananchi kama atakimbia maswali.​@@hermanmakulilo6708

  • @maxmilianwiliammallyawilia2791
    @maxmilianwiliammallyawilia2791 2 หลายเดือนก่อน +4

    KAMTHALILISHA SANA HUYU MZEE KAZI NZURI ALIOIFANYA TABORA ILIPELEKEA MPAKA AKAPEWA UCHUNGAJI

  • @lydiamutani1725
    @lydiamutani1725 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanri ni Kiongozi Bora Anastahiri Tuzo. Ni Kiongozi aliyemkweli na anasimamia kazi
    Hatasaulika Tabora

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 10 หลายเดือนก่อน +7

    Labda mama yetu tukukumbushe sisi niwadamu hakuna mkuu wamkoa alifanyakazi iliotukuka kama mzeee gama namwanli alifanya vzur sana tabora mpaka saa sijaona wakuwazidd sijaona ngao ya umoja tumeishikilia

  • @alturycharles7127
    @alturycharles7127 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa style hii ya uendeshaji wa nchi, tutachelewa sna, hivi kweli mwanwari alikosea

  • @zablonmlazi4415
    @zablonmlazi4415 ปีที่แล้ว +4

    Mama kuna mkurugenzi wa Chato ,hafai hata kuwa mwalim mkuu, wanaweza wakaomba kuwasaplai vitu na ukapeleka , wakuu wa shule wakaaandaa cheki ,mwisho aisaini yeye itoke ,,ikachukua ofsn kwake miezi hata 2. Mwishoe anaomba rushwa na hata ukimpa ili mladi tu wewe hela yako iludi kwenye mzunguko na bado Hatoi......mkuuu watu wako ni mfilisi ,

  • @allychengula3511
    @allychengula3511 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh hapa tumepigwa jaman

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watu tunasikiliza hotuba ya maguful maana ww umejigeuza chura

  • @laizerstudio5790
    @laizerstudio5790 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi ndo kaweka heading title yenye utata 😂, enzi za mwanri watu walikua hawajielewi hadi mheshimiwa mwanri anafoka "soma ukooo.... ngapiii ukoooo??" yani hawaelewi wafanyeje au wajiongeze vp hadi wabustiwe na mkuu wa mkoa sasa huyu mama ndo anasema anataka watu wote wajielewe wajue wanafanya nn wasisubiri kuambiwa "ngapi ukoooo, soma ukoooo" kila mtu acheze kwenye nafasi yake vzr ili wasiwachoshe wakubwa wao kuuliza uliza na kifoka kama akina mh. mwanri 😂

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wabongo,huwa tunaelewa harakaaa😂. Ila huwa tunasahau harakaaaa😅

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm kusema ukwer wakuu wamikoa AMBAO ntawakumbukaa skuzangu zoote na ntazid kuwakubar hatakama watastaafu nimzee wa Toronto mzee wa sukuma ndaniii na charamila aseee nawakubar Sana Hawa wazee WA kaz nataman skumoja nionane nae live hata niwanunulie soda mnisaidie kunkutanisha nao

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya mzee kikwete wewe mama ukienda vizuri sisi wafanyakazi tulifurahibsana enzi ya kikwete hakika yule mzee atakumbukwa sana .fuata nyayo zake mama bila kuogopa chochote sisi watumishi tutakukumbuka

  • @AmosiLazaro-i5i
    @AmosiLazaro-i5i หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sanaaaaaaaa mhe rais

  • @lazarosimbo752
    @lazarosimbo752 หลายเดือนก่อน

    MAMA UNAMAMLAKA , NAKWAMINI SANA TU LKN NAAMINI HUJAWAI KUMWELEWA MWANRI,, KUNA MAALI PA KUMBIA, NA KUNA MAALI PA KUTEMBEA, NAKUOMBA UMKUMBUKE MWANDRI MKUU WA MKOA WA TABORA KWENYE UONGOZI WAKO, TABORA ILIKUWA KAMA HAIPO KAWAKIMBIZA, ILO NI KOSA?

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 ปีที่แล้ว +15

    Alichomaanisha Rais ni hiki, si kwamba ni vibaya kuongoza kwa staili ya Mwanri, hapana, ila anataka hao Wakuu wa mikoa wasisubiri kuambiwa cha kufanya kila wakati na Rais! Ndio maana ya mfano wake wasisubiri awaambie "fanya hilooo! Msisitizo wake ni kwamba wajiongeze katika utekelezaji wa majukumu, si kusubiri maelekezo tu! Ili mradi wafuate sheria. Na binafsi namuunga mkono katika suala hili. Hivyo mwandishi wa title, title yako iko tofauti na uhalisia wa alichomaanisha Rais.

    • @kenedynyamohanga9898
      @kenedynyamohanga9898 ปีที่แล้ว +2

      Bora we umemwelewa and that is true

    • @ErickJohn-c3h
      @ErickJohn-c3h ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli,

    • @rodgersgregory7198
      @rodgersgregory7198 ปีที่แล้ว +2

      Waandishi wanaandika heading za kuvuta wasikilizaji zaidi

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 ปีที่แล้ว +2

      @@rodgersgregory7198 Nafahamu lakini kuna muda mtu anaandika heading mpaka unaweza kudhani ni kiazi!

    • @KisimaTv99
      @KisimaTv99 ปีที่แล้ว

      Umeelewa vema. Alichomaanisha Rais hatotoa maelekezo yatakayopoka nafasi ya mkuu wa mkoa au katibu tawala.

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 ปีที่แล้ว +7

    Kwa kweli Rais wetu anafanya mambo muhimu sana ila sijui kama hao viongozi na sisi wananchi km tunamwelewa,nchi haiwezi kuendeshwa kwa ubabe bali elimu na kujituma bila ya kusukumwa.
    Moja ya tatizo kubwa maofisini ni uzembe,utoro,wizi, kwenda kinyume na sera ya serikali kujinyanyapaa,kujidunisha ,kuogopana n.k

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว +1

      Shetani ulisha wahi mkalibisha chumbani mwako? Mama wa kambo hatufai itoshe kusema hatufai habari za unamkubali na sisi tumkubali futilia mbali kama unamramba kisigino lamba kama nividole lamba hata miguu yote ww lamba ila usitulishe matango Poli hapa

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja 3 หลายเดือนก่อน

      Hajawahi kutumbua mtu aliyeimba yeye kila mtu ni mzuri tu

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja 3 หลายเดือนก่อน

      Hajawahi kutumbua mtu aliyeimba yeye kila mtu ni mzuri tu

    • @yasiniSwedi-qg5oc
      @yasiniSwedi-qg5oc 3 หลายเดือนก่อน

      Mjinga ww hna hata1zulikwa wtz niujingatu ndiotunaouona eti kusifiwaga na wateulewako wnanchi hutaki hta kuwasikiliza kelozao yaanisasa wnanchi tunatawaliwa na makabulu

    • @chachamwita4687
      @chachamwita4687 หลายเดือนก่อน

      Hapo Umefeli, tz wachache Sana wanaoweza kuongoza kwa uadilifu bila kusimamiwa kwa karibu

  • @msouthqualitymabati4657
    @msouthqualitymabati4657 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake ni viumbe venye maswali na ili kufikia makubalino lazima uji elezee tuna imani na mama yetu kila anacho sema lazima kuwe na maelezo chanya sio mazoea

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu awabarik na tuwatakie Sabato njema

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo wanatamani kusema shkamooh MUNGU watu 🤣🤣

  • @BotulphusAugustine
    @BotulphusAugustine ปีที่แล้ว +2

    Wambie ila wasisitize haki kwa watu hakuna

  • @abdulhamidmusa8962
    @abdulhamidmusa8962 3 หลายเดือนก่อน +2

    Soma iyo ..kiongizi makini

  • @athuman7480
    @athuman7480 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa raisi anakili kabisa kwamba Africa bila miasaada hatuishi kabisa duh

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว

      Hajitambui huyu Yani inaitwa misaada halfu tunalipia Kwa garama kubwa jitambue ww mbumbu

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 ปีที่แล้ว +1

    Mama samia hapo unajichanganya tu...hao ni kupeleka kijeshi tu

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 ปีที่แล้ว +2

    Chalamila kasimama kwenye nafasi yake vizuri sana

  • @danielmboje8751
    @danielmboje8751 ปีที่แล้ว +2

    Raisi mm binafsi nimekuelewa sana .

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 ปีที่แล้ว +1

    Mama kwakweli nakuelewaga sana uko vizuri Mama yetu,ila hao watendaji hao wakuu wa mikoa wengine vichomi wako hapo wamekodoa macho wakirudi vituoni kwao wanaanza kuvurunda,tu Mungu awasaidie wajitambue nawaombea hizo akili zao wajielewe na waelewe ulicho waelekeza hapo na shindilia Mungu awasaidie. Hongera kwa busara zako Mama Mungu azidi kukupigania 🙏

  • @francofrederick972
    @francofrederick972 3 หลายเดือนก่อน

    Hajatumia mfano wa Mwanl kwa ubaya ni uelewatu do maana Kuna 100 na Kuna 0 yenye macho

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 ปีที่แล้ว +6

    Tuseme ya kweli na yanayotuhusu kwa kila nyanja na ikibidi tusiwe woga wa kuyasema yote nafasi ndio hii ya kuyasemea tuliyoipewa na mama au Raisi wetu aliyotusemea

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanri alikua mwamba. Alikua akinguruma wanasikia tu

    • @elipidtesha5466
      @elipidtesha5466 หลายเดือนก่อน

      Mwanri alikuwa.anatenda kwa umakin uzalendo ili apate
      matokeo
      Na watendaji bila kuwafuatilia.vile utavuna mabua

  • @veryminja6513
    @veryminja6513 ปีที่แล้ว

    Shida mweshimiwa RAIS wangu sijui utafanyaje Hawa WATENDAJI WAWEKE UZALENDO MBELE shida ya maendeleo ni ya Kila MTU tatizo kubwa WATENDAJI wakipewa nafasi wanajitumikia wenyewe na kuwasahau wananchi

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 2 หลายเดือนก่อน

    Juma Nature:-
    "Tembea kwa mwendo wa pesa nchi ishauzwa hiii, ya leo kali afadhali ya janaa" ya leo kali mjomba mentali njoo tutafakali tupige mistari eeee" by Juma Nature huyo

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi ปีที่แล้ว

    Wanaogopa kukuuliza wasikuudhi kitumbua chao kikaingia mchanga

  • @veryminja6513
    @veryminja6513 ปีที่แล้ว

    NAKUSHAURI MWESHIMIWA RAIS PIMA WATENDAJI Kwa Kila mmoja kuonyesha matokeo ya kazi zake Kila mwezi hata ikiwezekana kwenye midia wananchi tunakukubali sana una maono ya AJABU SHIDA WATENDAJI

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 2 หลายเดือนก่อน

    no maswali yapo hizi kazi ngumu lazima MDA mwingine hutumie nguvu ya zaida maana nchi zetu bado hazijawa ktk mwongozo wa sheria so lazima tupige kazi kwa nguvu zote sio kufanya kazi kwa mazoea.

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 ปีที่แล้ว +1

    Madame president knows how to lead the people

  • @deogratiasrugaba9271
    @deogratiasrugaba9271 หลายเดือนก่อน

    Rais na mwalimu wanguwakati mwingine inaweza kuwa vigumu kueleweka kwa mitazamo ya watu. Tupo wananchi wa kawaida kabisa tunakuelewa na kukupongeza. Leo mm pia najifunza kutoka kwako na katika yale ya kufanya kama wananchi wa kawaida nitafanya kukuunga mkono... MUNGU akutunze Ndoto yako kwa Taifa itimie.

  • @johntengio1438
    @johntengio1438 3 หลายเดือนก่อน

    Mama shikamoo kama itakupendeza tunamomba mwandri agrey Kilimanjaro

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 ปีที่แล้ว +4

    Mxiiiiiiiiiuu 😥😥Rip JPM

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 3 หลายเดือนก่อน

      @mohamedelmi7435 Raana zinawasumbua vibaraka wa kahaba

    • @hermanmakulilo6708
      @hermanmakulilo6708 หลายเดือนก่อน

      Tunawafuatiliaa kimkakati,, huwez kutukanaa mkuu wa nchii kijinga jinga,,

    • @danielmathias160
      @danielmathias160 หลายเดือนก่อน

      ​@@hermanmakulilo6708acha kutisha watu mpumbavu ww. Anatukanwa Trump sembuse huyo mpuuzi wenu?

    • @KhamisHaroub-uj5ci
      @KhamisHaroub-uj5ci หลายเดือนก่อน

      ​@@danielmathias160upuuzi wake nn wacha roho mbaya wewe aliepewa kapewa Subir zamu yako itafik ln Shaa Allah

    • @KhamisHaroub-uj5ci
      @KhamisHaroub-uj5ci หลายเดือนก่อน

      ​@@merckmdamu2942Raana au laana halafu usipanic taratibu kila mtu na wakati wake

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 หลายเดือนก่อน

    Yani viongozi wetu wengi ni 😂 tunashindwa kuigia hata kwa anayofanya rais wa Burkina Faso Adam traore Yani tunaenda kama mbuzi Alie fungwa kamba .

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan viongoz wachapa Kaz ndo wanachukiwa hii nchi,ndugai alisema ukwel akatumbuliwa,mpina kasema ukwel kapgwa Pini hii ndo Tanzania ya walafi wachache

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 หลายเดือนก่อน

    Mm traore ndio kiongozi wngu pendwa na ndio kiongozi Bora kabisa wa Africa sio mbabaishaji sio kibaraka

  • @LazaroMetivoi
    @LazaroMetivoi 3 หลายเดือนก่อน

    Aggrey Mwanry aliitendea haki nafasi ya ukuu wa mkoa. Nashangaa kwa nini hajapewa tena hiyo nafasi.

  • @anastazialushika
    @anastazialushika 3 หลายเดือนก่อน

    Kama makonda jamaa yuko vizur sana tena ni mbunifu sana acha awapige spana watendaji wote wazembe,waongo, na wala rushwa waige kwa huyu mwamba

  • @ismailseleman2952
    @ismailseleman2952 ปีที่แล้ว +5

    HuyuRais kiukweli abawezajuon anaweza kuongoza munguambariki hakuna mwanadamu.asie kosea

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hajasema mwanri aliongoza Vibaya bali anasema isiwe kama vile alitumia nguvu nyingi sababu watu walikuwa hawawajibiki kwenye maeneo yao, sasa anataka kila mtu awe kiongozi na awajibike kwenye nafasi yake isiwe kama enzi za mwanri kwa maana mkuu wa mkoa anafanya kazi mpaka za mlinzi hii imepitwa na wakati.
    Kama hunaelewa basi huelewi tena.

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 ปีที่แล้ว +5

    Mwandishi wa title ya clip na title yake ametafsiri tofauti maelezo ya Rais. Kwa hiyo kilichoko kwenye title si kilichoko kwenye maudhui ya clip husika! Mnakurupuka mno katika uandishi wa title zenu!

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 ปีที่แล้ว

      Kwani kaandikaje mjuaji mramba nyao za mama wa kambo

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 ปีที่แล้ว

      @@alexmalyango1405 We una akili kweli hata ndogo tu, au ulizaliwa akili zinaangalia nyuma? Ulipelekwa shule kweli, au ndo vile? Kwanza umetokea wapi, shimo la choo au mitaro ya maji taka? Kwanza habari ya video hii we umeisikiliza vema? ukilinganisha na title we unaona title iko sawa? Halafu we ndo unaiona hii habari leo? Na comment yangu ndo unaiona leo? mbona ya siku nyingi sana? Matusi yako yakurudie wewe mwenyewe mramba nyayo zako mwenyewe, mtu ambae huna chembe ya akili!

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 10 หลายเดือนก่อน

    Kwangu mwanli alikuwa kiongoz bora kabisa mwenyeuchungu na nchi yake mchapa kaz hodar toka naibu wazili tamisemi awamu ya nn hongera kikwete kwatuonyesha mwanli bila wewe tusingemjua

  • @chawalive
    @chawalive ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂Sina swali Mh raisi

  • @mohammedyally7104
    @mohammedyally7104 ปีที่แล้ว

    Miradi haiendi mama haishi ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa pesa sasa mama Haya mpk lini ajira zipo kwenye hiyo miradi na kusipokuwa na pesa hiyo miradi haitaweza kuajiri lazima watapunguza watu makandarasi wengi wanalia hawajapewa pesa.

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 ปีที่แล้ว

    Maendeleo hayana lelemama. Nchi zote zilizoendelea kw kasi huko Asia zilikuwa na ufuatiliaji wa karibu wa miradi km alivyokuwa akifanya Magufuli na Aggrey Mwanri. Bila hivyo tutaendelea kuibiwa na miradi kutokamilika. Matokeo yake ni umaskini, tena umaskini wa kujitakia. Tusilaumu ukoloni mamboleo. Hatujitambui!!!
    Tatizo letu Watanzania hatujui tunachokitaka na hatukitaki tunachokijua.

  • @mailacamillius
    @mailacamillius 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Mkuu!!???? Dalili mbaya.
    Kumtaja Mwanri kwa namna hii, ni kuteleza kwa ulimi au kughafilika!

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 3 หลายเดือนก่อน

    Mama deni la taifa trioni 91 bajeti yako ya serkari trioni 41 unarionaje hiri mwar magu kamuamini sana kainyosha tabora wewe unawambia wasifanye kama mwanr

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 3 หลายเดือนก่อน

    Mhh.hakuna mkuu wa mkoa aliyependwa ktk hii nchi kama mwanri na haitatokea huyu mzee mwanri aliinyosha tabora na kwenye huo utawala mama huyo alikua ni makamu wa rais magufuri na aliona mwanri alivokua akifanya kz au ni chuki binafa nn.mi ndio maana sipendi siasa kbs

  • @hamdankiangio7335
    @hamdankiangio7335 ปีที่แล้ว

    Kazi ya mkuu wa mkoa msimamizi wa mahitaji ya mkoa husika . Mkuu wa wilaya nikuangalia mahitaji ya wilaya aliopo sio kufanya siasa inawezekana mkuu wa ncha ndo ana waelekeza kwenda kufanya siasa utekelezaji wameweka pembeni ndo hali halisi tusipepese maneno