RAIS MWINYI ASHTUKIZA SOKONI ATINGA KUJUA GHARAMA ZA VYAKULA "Hali ni mbaya sana"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, leo amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.
    Ziara hiyo ya kushtukiza ilikuwa na lengo la kujionea hali ya chakula ilivyo na bei zake.
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 69

  • @josephkiliko7114
    @josephkiliko7114 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe maisha marefu na ulinzi wake.
    Daima malaika wa bwana Mungu wakulinde pande zote.

  • @rubenlengai7195
    @rubenlengai7195 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ndivyo kiongozi antakiwa kufanya siyo kusubiria taarifa nimeipenda mungu amsaidie

  • @patrickmkunda3666
    @patrickmkunda3666 ปีที่แล้ว +3

    Ongera sana MH RAIS.hiibndio halibabya uongozi, kujua changamoto ya wananchi wako.MUNGU HAKUOE MAISHA MAREFU NA AKUZIDISHIE HEKIMA ZAIDI.

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 ปีที่แล้ว +6

    JPM wa Zanzibar hongereni huko

    • @salumsalim7564
      @salumsalim7564 ปีที่แล้ว

      Huyajui kilo 3000 huku

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Sasa hongera ya nn wakati kashasema VAT inawahusu walaaji sio wauzaji unajua maana ya sentence iyo aloongea

  • @lilianvitus2488
    @lilianvitus2488 ปีที่แล้ว +2

    Nakutamania sana Mungu akupe maisha marefu uwatumikie watu wako vzr

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah hakika Rais huyu mnyenyekevu hana majivuno mtu wa watu Allah akupe Kheir nyingi duniani na akhera Insha Allah

  • @Wastara001
    @Wastara001 ปีที่แล้ว +5

    Kiongozi anayejua kuwa kesho ana dhima mbele ya Allah atajishusha namna hii

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Itabidi kajishusha apo au sio jamani tusipende kuigiziwa mambo tuweni making na wanna siasa

    • @Wastara001
      @Wastara001 ปีที่แล้ว

      @@kassimali2273 kawaida ya binadamu kuona makosa badala ya kupongeza jitihada za mwenziwe

  • @mgosimkome9242
    @mgosimkome9242 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Rais Mwinyi kujua hali ya bidhaa sokoni ikoje

  • @ahmadburian8854
    @ahmadburian8854 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mola akufanyie wepesi ktk majukumu yako insha'Allah

  • @daudkindy8062
    @daudkindy8062 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @babalao910
    @babalao910 ปีที่แล้ว +5

    Huku Bara, Hakuna wakuja kutujulia Hali.

  • @saidirashidi6604
    @saidirashidi6604 ปีที่แล้ว +2

    Jpm alikiona kitu kwa mwinyii mola akupe maisha marefu

  • @allykombo7029
    @allykombo7029 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana rais mwinyi umenikumbusha marehem magufuri jinsi alivyo kuwa akitumbambania huku bara

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana hii ndio tunataka mtukumbuke wafanya biashara

  • @floramateru
    @floramateru ปีที่แล้ว +2

    Beloved president nice one Dr mwinyi

  • @husseinsaid709
    @husseinsaid709 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mashaallah

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +3

    Bora huko huku bongo unaambiwa wanakazi ya kulinganisha na nchi nyingn kila kitu, wanasema ni rahisi ukilinganisha na nchi jirani bei ipo juu

  • @wilfredmaimu1958
    @wilfredmaimu1958 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah. Rais hivi basi nchi itakuwa na imani.👍

  • @yom.Prodaction
    @yom.Prodaction ปีที่แล้ว +1

    Dah Namuona Magufuli hapa

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Kwasababu katemebelea maduka unajua kwann watz tunapijwa matukio sn na wanasiasa? Kwasababu sisi wepesi wakuchukue drama anatakiwa kuonesha mfano wa kupunguza kodi sio kuwambia wauzaji wapunguze bei wakati TRA bei ziko juu sn

  • @jonasnyanga8167
    @jonasnyanga8167 ปีที่แล้ว +1

    Ramadan imekaribia ndio anashtukiza kujua bei Ramadan ikiisha anapotea

  • @aniyma-tz1100
    @aniyma-tz1100 ปีที่แล้ว +2

    💯

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 ปีที่แล้ว +2

    Kwa tabia ya taifa letu kiongozi no 1 lazima ushuke chini kwa wananchi ukajionee mwenyewe na sio kutegemea kuletewa taarifa na wasaidizi
    Ukiwa mtu wa kuagiza tu na kusubiri kuletewa taarifa lazima utadanganywa tu na kuchonganishwa na wananchi.
    Kwani ni bei gani kufanya hivi?
    Hili nalo nendeni mkashuhulike nalo .
    Kila siku utadanganywa tu,matokeo yake taifa zima kila mtu analalamika kuanzia viongozi hadi wananchi.
    Lazima tuelewe kwamba mambo mengiyanayowaumiza wananchi ni yale yanayowanufaisha baadhi ya viongozi,biashara nyingi mizizi yake ni watawala
    Sasa unapowatuma hao hao wahusika wakatatue matatizo walioyatengeneza wao kisha unategemea matokeo hiyo ni kujidanganya
    Big up H.Mwinyi nimeona uongozi wa kupigiwa mfano.

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 ปีที่แล้ว +2

    Aiseee kilo 50 shg 92,000 maana kilo moja 1800 aiseee huku uwiiiii

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

    Safi!!

  • @harithmuhammad4394
    @harithmuhammad4394 ปีที่แล้ว +1

    Wewe huna njaa unaumiza wenzako anakuja rais unamwambia vip mwambiye kuna wanyonge ashushe kod ili upunguwe bei zaid

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว +2

    we baba nime kupenda bule sijui dada ako samia sijui ana kwama wapi

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว

      Wewe Samia yupo vizuri mama anachapa kazi tu

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Umempenda kwasababu anapita madukani uyo anapenda sn public attention sasa apo unahisi katengeneza au kabomoa maana mm upande wangu nahisi kabomoa zaidi maana huwezi ukasema VAT haimuhusu muuzaji inamuhusu mlaji unajua maana ya sentence hi ndugu au mnasifia tu kwa wanasiasa

  • @Noricssa
    @Noricssa ปีที่แล้ว

    Mwamba huyu hapa🙏🙏

  • @jumarocky9544
    @jumarocky9544 ปีที่แล้ว +1

    Asa jamani rais wetu ndio usharizika wananchi wako tule mapembe jamani

    • @axa29
      @axa29 ปีที่แล้ว

      Usisahau na maharage😁

  • @salminazizi8039
    @salminazizi8039 ปีที่แล้ว

    best comeback ever mr presidentz

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 ปีที่แล้ว +1

    Ubabaishaji tu hakuna lolote hapo vyakula vimepanda bei vimetugalagaza now mnajifanya kutufariji

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Wasojua mchezo wa Mwinyi watamuona anafanya la maana sn wakati apo kashasema VAT inamuhusu mlaji sio mfanya biashara inamanisha dhahir kua bei ya chakula itapanda kwasababu ya VAT kuwa juu na VAT wenyewe haimuhusu muuzaji inamuhusu mnunuaji

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 ปีที่แล้ว +1

    Aina ya Rais ambae alitakiwa awe huku Bara

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Kwasababu mnapenda kudanganywa na wanasiasa apo anafanya maigizo jamani tujiaribu kuelewa msipende maigizo wa2 wanataka actions

  • @jamesncheye3957
    @jamesncheye3957 ปีที่แล้ว

    Kwakweli Zanzibar wamebarikiwa kuwa na rais anae wajali.

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 ปีที่แล้ว

    Mwinyi umefeli sn wasojua nn umeongea watajua dhumuni lako umemwambiaje Mzee kuhusu VAT inawahusu walaaji inamanisha wanyonge ndo wakukandamizwa maana apo mfanya biashara apandishe bei ili VAT isimuhusu yy aise umebugi apo wasoelewa watakuona umefanya laa maana

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 ปีที่แล้ว +1

    Huyu rais Amekuzwa kidini Haswaaa,means kama Hayati Jpm Alivyokuzwa kidini ila wengine Dooh,Hawajui hata wakifa kuna makutano na molah wao.
    Hivyo wapo kimasrahi tyu.

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว

      Wewe nenda shule Samia yupo vizuri acha Mambo yako mama anaipga mwingi

  • @hajimakame7211
    @hajimakame7211 ปีที่แล้ว +1

    Siasa tu hizo

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anapenda kiki hakuna cha maana apo anaona wa2 maboya wakati maisha halisi ni mabaya sn

  • @bakariamour1024
    @bakariamour1024 ปีที่แล้ว

    bado sana angalau polo liwe 72000 apo kido mwananchi wa chini anaweza kujivuta vuta

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Atajivuta vp wakati kashasema VAT inawahusu walaaji ambao walaji wenyewe ni maskini wanao nunua uo mchele wanasiasa wajanja sn

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 ปีที่แล้ว

    Wenye akili wanatambua kinachoendelea

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 ปีที่แล้ว

    Uongozi ni kutumikia c kutumikiwa.

  • @zulfajuma9897
    @zulfajuma9897 ปีที่แล้ว +2

    Inahitaji confidence kuongea na raisi,

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa,,,,tena Rais kama Magufuli ilikuwa hatari

    • @rashidsalehsalum6462
      @rashidsalehsalum6462 ปีที่แล้ว

      Pembe haliliki...Aende kwenye Maduka ya mbea

  • @khamisame8435
    @khamisame8435 ปีที่แล้ว

    Shamba aje amaan ndio kuliko bei hasa

  • @burudatv751
    @burudatv751 ปีที่แล้ว

    Sisi bara tulipigwa na kitu kizitoo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว

    RAIS SAMIA AMEIGE RAIS MWNYI,AAGIZE MCHELE NA MAHARAGE KUTOKA NJE KABLA YA RAMADHANI
    MCHELE 3500 NA MAHARAGE NI BEI HIYO HIYO!!
    WATU HAWANA UWEZO WA KUMIUDU BEI HIZO!!

  • @kassim1262
    @kassim1262 ปีที่แล้ว +2

    Ccm wapo katika harakati zao zakisiasa kuna watu et hongera raisi raisi yupi wakati ni ccm wanatembelea maduka kutaka kujua vipi wanazidi kutudidimiza ifike sehemu tujitambueni basi japo kidogo

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 ปีที่แล้ว

      Unacholalamika nini sasa huyo raisi kwani wachama gani

    • @abrahmansururu4393
      @abrahmansururu4393 ปีที่แล้ว

      Acha siasa izo

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Hakika sisi watz hatujitambui Rais anasema VAT inawahusu walaaji akimanisha wanunuzi ambao ni wachini ndo inawahusu apo kakusudia muuzaji auze bei ambayo itamfanya ile VAT imuhusu mteja sio yy muuzaji halafu wa2 wanamsifu ki2 chengine kama Rais anataka unafuu wa bidhaa kwann asipunguze kodi au kuweka bandari huru kwenye chakula haswa kipindi cha Ramadhani wanatudanganya sn wasoelewa watamuona m2 sn

  • @Wastara001
    @Wastara001 ปีที่แล้ว

    Samia anafanya haya?

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 ปีที่แล้ว +1

    Nguo zakijani zanini sasa

  • @TANZAFORUM
    @TANZAFORUM ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/h1wze1_GV88/w-d-xo.html
    Dkt mwinyi awaibukia wananchi wa mfenesini