RAIS MAGUFULI AFICHUA SIRI KUHUSU DK. HUSSEIN MWINYI "SIJWAHI KUWAPA HII SIRI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2020
  • #millardayoUPDATES #DODOMA

ความคิดเห็น • 84

  • @johnpeter7832
    @johnpeter7832 4 ปีที่แล้ว +23

    I like Tanzanian politics, love from Kenya

    • @laurentmwauri
      @laurentmwauri 4 ปีที่แล้ว

      We need to brow some knowledge from TZ

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 4 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli kiboko!
    Shikamoo kila siku!
    Maanake anahitaji kijana kuchapa kazi.
    Asante Mr Pesident wangu!

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +2

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

  • @nyuroschannel2078
    @nyuroschannel2078 4 ปีที่แล้ว +7

    Kama umesikia iiiiihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama mm gonga like Apo chini

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 4 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaahhah 😂"ukishindanishwa na akina mama lazima utashidwa 😂 😂 😂"

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 4 ปีที่แล้ว +4

    Yaani John Pombe Magufuli mungu akulinde tukutane uso kwa uso ujue na wengine wazembe uwanyooshe

  • @sautiyamwanamke5560
    @sautiyamwanamke5560 4 ปีที่แล้ว +1

    Yes! Damu mpya na mambo mapya. 👏👏👏👏 tumepata kijana atakae kwenda na speed ya SGR💪💪💪💪🔥🔥🔥🇹🇿

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 4 ปีที่แล้ว +6

    Upole na hekma ya juu ndo imemfikisha hapa alipo Husseni Mwinyi.

  • @alihaan7652
    @alihaan7652 4 ปีที่แล้ว +10

    umeongea jambo nyeti San muheshimiwa ukaskazn. kusini. upemb na uuunguj. hlo ndo kuta gumu linayo ifany zanzibar isipge hatua nakupenda sana magu msem kweli. naipend ccm

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo zaidi ni kwa Wapemba kwa sababu wakiwa madarakani wanapendelea kupita kiasi mfano Maalim Seif, Mpemba yoyote asiyemsapoti Maalim Seif huyo anatia shaka lakini aliwaumiza sana sana Waunguja kiasi cha kujenga chuki kubwa sana na fitna baina ya Unguja na Pemba. Na hata hiyo Pemba Wakaskazini wanajiona wao ndio Wapemba kwa upande wa Kaskazini Unguja wana tatizo la ushamba sana wamechelewa kusoma mfano tunae Mhe. Omar Haji Kheir Waziri Wa Tawala za Mikoa na vikosi vya SMZ anatokea kisiwa Cha Tumbatu hivyo anapendelea Tumbatu kwao vibaya mno sio Kaskazini kwa Ujumla. Kusini Unguja hawa afadhali kidogo wakiwa madarakani wanakuwa "balance" hawapendelei sana kwao na kukosa kwa Mhe. Shamsi wamefurahi sana kwa sababu Serika ya awamu ya sita (Mhe. Amani) Serikali yote aliwapa wao Mhe. Shamsi alikuwa Waziri Kiongozi, Ramadhan Muombwa Mwinyi alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Pandu Ameir Kificho (Spika) Haroun Ali Suleiman alikuwa Waziri wa Elimu, Samia Suluhu Hassan Waziri Wanawake na Ustawi wa Jamii nk pia Makatibu Wakuu na Wakurugenzi kadhaa lakini cha ajabu wote hao hawakufanya chochote kwao utashangaa ukiiona Skuli ya Makunduchi utashangaa ni bora mabanda ya mbuzi wakati kulikuwa na miradi kadhaa ya Maskuli.
      Kwa maoni yangu Dr. Mwinyi ni chaguo sahihi sana na Maalim ajiandae kama anasema anaporwa mara hii ndio kwanza tunataka tumpore, anagombea na Waziri wa Ulinzi. Kura ya ndio kwa Dr. Mwinyi, Maalim naomba ujitafakari ulikuwa Waziri Kiongozi Urais wa baba yake Dr. Mwinyi miaka 36 iliyopita, Usultani gani huo?

    • @alihaan7652
      @alihaan7652 4 ปีที่แล้ว +2

      sasa nauona tochi mpy inataka kuimulik mwanga wake katk kiza kinene kilicho kuwepo zanzibar. dokt mwiny ni ww sasa tumulike wa zanzibar. magu baba isaidie chag tochi hii isije zimwa n weny ftina za ukabila ambz zpo chini kwa chini. kisiw chetu ni kidgo sana kukibdilish. eny viongz weny uzalendo shirikianeni na rais wet mtarajiwa ili munyooshe nchi na kuijenga vyem ifike wakat kula na kutumia vbya madarak iwe ni kikomo. munatmbea nchi mblmbli na kujionea hatua nzuri za kimaendeleo bas naiwe wigo kwetu. nawe Dr mwny safixh chma chetu usiwe na muhali na mtu ataekuw fisadi na kuijumu uchumi wa nchi yetu pendwa. mungu akuongoze vijana wa zanzibar tuntk mabdiliko. na hkun wa kubdlisha nchi ispokuw yule kiongz mkni tulomuamin na kumtegemea km ww Dr mwiny. ww ni mpole smrt. upo bright pia. tubdilishie nchi yetu tusiusudu vya watu.

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@hajihassan5433punguza ujinga na uhafidhina chuki mara nyingi huzaa hasadi na choyo.

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 4 ปีที่แล้ว +9

    Kabisa mzeee...
    Nakubaliana na wewe...
    Mimi na mama yangu ni dah hauwezi kutubadilishaaaa...
    Mwinyi Hessein ni kama baba yake...
    Wanelewa kunyenyekea...
    Mungu awabariki saaana

  • @aliabeid6226
    @aliabeid6226 4 ปีที่แล้ว +3

    hapo umesema Mr president tatizo la zanzibar ni ubaguzi kila mmoja anjiona yeye n bora kuliko mwenzake

  • @arafataliomar7432
    @arafataliomar7432 4 ปีที่แล้ว +3

    Halafu tukae tukisha baguana tuseme ni wabara ndio wanaosababisha haya leo watupatanisha hawa

  • @zephrydanaromwanabhajamari2345
    @zephrydanaromwanabhajamari2345 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongeereniw

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa haya mambo ya upemba na unguja ukusini na kaskazini ndio yanaila Zanzibar Hebu tuamke kwa maslahi ya wazanzibar

  • @cidewashington467
    @cidewashington467 4 ปีที่แล้ว

    We Magufuli weee mtumishi wa Watanzania chapa kazi Raisi wetu tupo nyuma yako sisi Watanzania , Allah akujalie afya njema . Amiina

  • @sandalalutubija235
    @sandalalutubija235 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama umesikia gihiiiiiii inamaana hakuna mambo ya chenga chenga

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 4 ปีที่แล้ว +2

    Dr.Mwinyi anastaili kabisa atakuwa Rais bara

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 4 ปีที่แล้ว +5

    Waache kweli ukaskazini na ukusini upemba na uunguja

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +2

    Inhiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!🏃🏃🏃😆

  • @peter2020laizer
    @peter2020laizer 4 ปีที่แล้ว

    You spoke well Mr president

  • @madiyaahmad7453
    @madiyaahmad7453 4 ปีที่แล้ว

    Yaani hadi raha❤❤❤

  • @vuaimuhidin6343
    @vuaimuhidin6343 4 ปีที่แล้ว

    Thanks Mr president 4 bring us golden mind.

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akamtangulie, Akampe utulivu zaid ya hayo aloyafanya nyuma,

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 4 ปีที่แล้ว

    Kiini macho heavey👌😎

  • @mwarabulaizer5918
    @mwarabulaizer5918 ปีที่แล้ว

    Kwakweli wezangu mimi binafsi ni kama namwona rais wangu aliye tangulia mbele za haki kama yupo hai dah RLP rais wangu mungu akulaze mahala pema peponi

  • @salimmawiya6473
    @salimmawiya6473 4 ปีที่แล้ว +2

    Wapo hapo wabaguzi wanaoleta upemba na unguja

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 4 ปีที่แล้ว

    Binafsi Mwinyi hata mm namuelewa sana huyu kk. Mungu hamtupi mwema.

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa Zanzibar hii labda mufanye Mambo yenu yale yale mpira mutiye kwapani Ila kwa kura wazanzibari hatufanyi kosa Hilo. kura husemi mwinyi hatumpi ng'oooo

  • @Deep-state
    @Deep-state 3 ปีที่แล้ว

    Kenya and Tanzania we are one jameni

  • @anthonyzambi4415
    @anthonyzambi4415 4 ปีที่แล้ว +1

    Namuona marehemu raisi mstaafu mkapa hapo akiwa anafurahi

  • @kombochaliii3187
    @kombochaliii3187 4 ปีที่แล้ว

    Asante mueshimiwa kwa kuyaongelea hayo w2 waache ubaguz

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 ปีที่แล้ว +3

    Ccm oyeeeeeeeeeee

  • @julessebintu6525
    @julessebintu6525 4 ปีที่แล้ว +2

    tuseme ukweli sisi wanyarwanda, wakongo,waganda, wakenya,warundi,wa uganda, Tanzania ni wazungu mukichwa. wanatuzidi uzalendo wakupenda inchi yao. NYERERE ni mutusi tunafahamu alikuwa na akili yawa israeli. iko nahakili yakuona mbali njomana wa Tanzanie wanaishi amani

  • @ameyashey3174
    @ameyashey3174 4 ปีที่แล้ว +2

    Nani kasikia SHIKAMOO SHIKAMOO SHIKAMOOooo😂😂😂😂

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiiiiii

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 ปีที่แล้ว +14

    Uzuri wa CCM wanahazina saana ya viongozi saana tena saaana.

    • @mwinyimkuu1045
      @mwinyimkuu1045 4 ปีที่แล้ว

      Ccm oyee

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 4 ปีที่แล้ว

      Yah..... nipo pamoja na wewe.... maana jaribu kuvuta picha HAPO MBELE kwa MFANO tu aangalia... Majaliwa,Jafo,Kabudi, Lukuvi.... n.k

    • @vascokasambala2159
      @vascokasambala2159 4 ปีที่แล้ว

      Ipo poa

  • @sharifjuma1220
    @sharifjuma1220 4 ปีที่แล้ว +2

    Jecha uyee 😎 tunajitazamia mara hii mnachukuwa uraisi kwa janja ipi. You can fool people sometimes but not all the time.

    • @bernardndemba2253
      @bernardndemba2253 4 ปีที่แล้ว

      Acha chuki Kijana wewe ikifika siku ya uchaguzi nenda kachague unaemtaka

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 4 ปีที่แล้ว

      @@bernardndemba2253 wacha wewe mie sinachuki yeyote wacha kunifikira ubaya. Nimesema ukweli, na utakuja kuniambia. Stay tuned. Ccm democracy in progress.
      Jecha si kawaweka na juzi kawavua nguo. Yaani vituko kwenda mbele.

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 4 ปีที่แล้ว

      Na mke wa Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi. Yuko Dodoma kwa taarifa yako. Katika makada wa mkutano mkuu.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว +1

    Nenda huko na corona lako ukawaongoze mashetani wenzako.

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Hapo mwisho mheshimiwa nimekuelewa kwa mbaali, makamo wa raisi wa Zanzibar unataka akuzidi umri bila shaka, 😂😂😂 usijali, tutakuwekea mstaafu meja.🏃🏃 wengi hamtonielewa, ila screenshot hii meseji, tukutane November 2020,

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 4 ปีที่แล้ว

    Wanatushinda kwel kweli mweee ...😅😅😅😅😅

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 ปีที่แล้ว

    Huyo hakuchaguliwa na Wazanzibar, co chaguo lao kwa mujibu wa kura na wajumbe wsliotoka Zbar ni 35 tu nando kura walizopata wazanzibar

  • @williammatondo
    @williammatondo 2 ปีที่แล้ว

    Mlaze mahali pema pepon

  • @petromtakati2975
    @petromtakati2975 2 ปีที่แล้ว

    Bola angekuwagaa mwinyi tu pumbavu

  • @stevenpaul4818
    @stevenpaul4818 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahahahaaha

  • @narxtz
    @narxtz 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatari hatari saaana

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kweli umesema, lakini tatizo lipo hapo Upemba na Uunguja, hatuendi na tatizo lipo kwake mzee unakaa sana Bara huku kwetu hao watu wako ndio wanaoharibu mambo uje utoe povu angalau mara 1 kwa mwezi.

  • @vuaimuhidin6343
    @vuaimuhidin6343 4 ปีที่แล้ว

    Huyoooo ameshapita ccm oyeeeeee

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

    Ndio kura atapata zanzibar, tunajua sote atashinda, Jamani vitisho vya nini? Tuna ndugu zetu msituulie tena kawa siasa kwa tamaa za madasaraka, Jamani anae jua maana ya eeeeheeee ihiii mtaona matokeo.
    🤔🙄🙄

  • @festomsoffe3767
    @festomsoffe3767 4 ปีที่แล้ว

    Mwinyi pokea kura yangu kwa moyo mkunjufu

  • @rebeccantenga3311
    @rebeccantenga3311 4 ปีที่แล้ว +2

    I love ccm

  • @asharamadhani4641
    @asharamadhani4641 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @konceptualagency4837
    @konceptualagency4837 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu hataki kumakia shikamoo

  • @aminaomar9675
    @aminaomar9675 4 ปีที่แล้ว

    Usultani Naina hapo

  • @asmahassan7570
    @asmahassan7570 3 ปีที่แล้ว

    Had usifiw na magufur ujue umefny kubw😂😂😂

  • @harithahmeid8704
    @harithahmeid8704 3 ปีที่แล้ว

    Kwailo zanziba hujatushawish kabisa uyu mtalii tu znz rabda mtuzulumu tena ktk uchaguz.....znz huna ndugu ww.

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiki chama ni Hatari mno, Kina Wafuasi kibao na Sera zao hua hazipindipindi🙋

  • @salimmawiya6473
    @salimmawiya6473 4 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa Magufuli umewachana hao washamba wanaoleta upemba na unguja

  • @abaskhatoon9425
    @abaskhatoon9425 4 ปีที่แล้ว

    DUA ZETU ZIKO NA YY ACHUKUE ZANZIBAR.AAMEEN.

  • @benjaminmangu4833
    @benjaminmangu4833 4 ปีที่แล้ว +6

    Tunzeni hii comment, "Dr. Mwinyi is going to be the next president of URT after Dr. JPM."

    • @salimkimaro2311
      @salimkimaro2311 4 ปีที่แล้ว

      I agree with you bro.

    • @martinemasanja1633
      @martinemasanja1633 4 ปีที่แล้ว

      Akipewa Zanzibar hawezi kuwa raisi wa jamhuri

    • @franciscomasungulwa3575
      @franciscomasungulwa3575 4 ปีที่แล้ว

      You are talking about 15 years later

    • @benjaminmangu4833
      @benjaminmangu4833 4 ปีที่แล้ว

      @@martinemasanja1633 kwa nini? Ngoja tusubiri!

    • @benjaminmangu4833
      @benjaminmangu4833 4 ปีที่แล้ว

      @@franciscomasungulwa3575 Duh, unamaanisha ombi la mzee mwinyi litafanyiwa kazi?