RAIS MWINYI ASHINDA MECHI NGUMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 15

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 ปีที่แล้ว

    Big up Mh Rais Big up Mr Amin Mungu akubarik wallah

  • @asalkhan9168
    @asalkhan9168 ปีที่แล้ว +1

    Good 👏🏻👏🏻

  • @saidmayunga2867
    @saidmayunga2867 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 ปีที่แล้ว +1

    Ni jambo zuri, lakini je bei itakua chini? Sio kwenda sokoni af samaki ni Tsh elf 5000

  • @kichachu6391
    @kichachu6391 ปีที่แล้ว

    Mutabadilisha kila aina ya rangi blue kijani n.k lkn ukweli na uhalisia kadri siku zinanavyokwenda maisha ya watu yanazidi kuwa magumu na ukipinga hilo itakuwa niushindani tu kwa ufupi nchi imewashinda miaka 60 ndani ya madaraka yenu hali ya Mzanzibar inazidi kuwa mbaya

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 ปีที่แล้ว

    Hi sio ALFata ni Almavi tv. watu wanakufa njaa maisha magumu nyie mnatuletea ukhanith kama huu, njaa zenu za kujipendekeza kw madhalim hawa zinatufanya tuwachukie na vichannel vyenu .

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว

    Al..fatah mmekwisha nyinyi

  • @jumakhamis1720
    @jumakhamis1720 ปีที่แล้ว +1

    Waulize raia hali yao ya maisha musijimwambafai

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 ปีที่แล้ว

    Dhulma haileti maendeleo

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 ปีที่แล้ว +1

    Hii TV ni ya ccm sasa

    • @AaAa-vm8bb
      @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว

      Kila kitu ami ni ya Ccm sio TV tu

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 ปีที่แล้ว

    🤔Ukihukumu au kuchangia mada, angalia mfano wa Mungu. Alipoumba wanadamu ilikuwa ni mume na mke. Kwa maana hio kila kitu hapa duniani kitakuwa na pande mbili, nzuri na mbaya kama vile pepo na moto kwa ahadi ya Mungu. Tuangalie nini Mheshimiwa Rais wa Zanzibar anasema na anachokifanya pima, angalia na utajua lipi zuri na lipi ni baya hapo ndipo unaweza kuhukumu. Vinginevyo hutatenda haki wakati bado mambo mengi ya nchi yako kwenye michakato. Muda utasema = time will tell🤔.

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว

    Mtakosa hata samaki mdogo baada ya miezi michache tu hawa wa Chinese wanazoa kila kitu kilicho kua Baharini tumesha yaona baadhi ya nchi mwisho wake waliondolewa na hili baadae ndio athari yake itajitokeza

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 ปีที่แล้ว +1

    Reja mafuta na gesi yanchimbwa lini